Mpoki hongera. Nimekipenda kipindi chako. Nimecheka sana. Sio tuu vichekesho bali umefanikiwa kuwashawishi wapenzi kuweza kufikia hatua ya kukata shauri kufunga ndoa. Pia kuwapa maua yao waliokwisha dumu ktk ndoa. Tunza kipaji chako. Una nafasi nzuri kwenye jamii yako
yaaan mpoki umenifanya nitazame kwa mara ya kwanza saa nzima na dk nilisema ngoja nifungue nitazame mamamaaaa nikawa nimejitusu hadi pindi limeisha ongera umejua kunishika aiseee unaweza hii k2 mkuu walio open kwa kujaribu kama mimi wakajikuta wametazama had mwisho gonga like
Can we have something like Churchill show ya Kenya where by somebody like Mpoki analeta comedians tofauti na show inakuwa tamu sana, this was beautiful tho
Mpoki 😂😂😂😂🔥🔥🔥🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Ebwana mzimaa.. Tuna group la whatsaap hapa UK nione dm +447719640126 ni ku add.. Karibu
King Bidder cool bro add me 07412965765 🙏
Kwiiiiikwiiiikwiii
Tbc zilipendwa
Mwikailege
Mpoki popote ulipo chukua hata bia tano nalipaaa,u made my day ,ur living legend
Umevaa kama wachezaji wa yanga ongera umejua kuvaa suti kixsa
Aisee Mpoki nakukubali sana Mtani lakini angalia umeshavunja sana watu mbavu zao usije ukashtakiwa!😂😂
Talented comedian.
Mpoki fundiii.
Sana.
💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 jamaa wekwel kidali yan umeuwa mbaya mzee wangu mungu azid kukzidishia broo ?
mpoki mimi ninatamani kukuleta inchi ya BURUNDI you're the best in stand up comedy i've ever seen
You are the best brother Mpoki in east African comedy
Kwasasa umekuwa no moja kwangu kama the best comedian
Aiseee kusema ukweli bila unafki mpoki unajua ,,keep it up utafika ndoto zako kutumia kipaji chako
😀😀😀😀😀😀 umenichekesha sana wallah Duuh mpoki eeeee we noma kulekiiiii
Hapo ndo anaiishi ndoto yake yani keshaifikia sasa unataka aweje tena zaid ya hivo alivo.
Mpoki popote ulipo mungu akubariki jamani nimecheka sna mbavu
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Unashuka kwenye gari unapigwa Kibao unakumbuka siraha ipo kwenye gari wapi na wapi tena🤣🤣🤣😂😂😂😂
Uke wez
Jitahidini kidogo
Mnapoandaa live streaming
Na audience waonekane
Yani mlengwa akitajwa aonekane on the spot
Mpoki unaendana na marehemu nyundo mungu amlaze mahali pema
Mpoki hongera. Nimekipenda kipindi chako. Nimecheka sana. Sio tuu vichekesho bali umefanikiwa kuwashawishi wapenzi kuweza kufikia hatua ya kukata shauri kufunga ndoa. Pia kuwapa maua yao waliokwisha dumu ktk ndoa. Tunza kipaji chako. Una nafasi nzuri kwenye jamii yako
Ongera my brother kumbe live show ata sisi tunaweza
Felicitation sana Mpoki, ulifanya bien👍🏾😁Respect from Congo🇨🇩
mpoki unaweza kikubwa watu wa camera mpoki anapoongea na mteja haonekani sura vzr jitahidini hapo.
Mpoki fundiii
Hivi unafanyiaga wapi hizi live performance mie napenda sana
Wewe nihatari kabisa 🔥
sindiria 3 duuuu hatari mpoki ujue wewe ni fireeeee
Nakubali sana mpoki bonge la stand up comedy kama unamkubali mpoki gonga like
Mpoki super star ,weye ni🔥🔥🔥
yaaan mpoki umenifanya nitazame kwa mara ya kwanza saa nzima na dk nilisema ngoja nifungue nitazame mamamaaaa nikawa nimejitusu hadi pindi limeisha ongera umejua kunishika aiseee unaweza hii k2 mkuu walio open kwa kujaribu kama mimi wakajikuta wametazama had mwisho gonga like
Kweli hata mm Nina usingizi lkn nashindwa kulala
thabiti Simba 😅😅😅hata mimi nimejaribu kuchungulia nikajikuta naimalizia kabisa
Mimi pia nimejikuta naangalia mpaka mwisho
Mimi nakukubali sana mpoki nakuamini toka mwanzo naomba uendelee
Hia My Wife shenzi kabisa aiseee😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Uko vizur mpoki hongera kwako
jamaa umetisha mie namkubali na maneno yake ya kukera 😊
Mpoki mbona saizi umeaza kuwa mweupe🤗🤗🤗
Mwarabu wa dubai umetisha ila keep it up 💪🙏
Mhhhh mpoki balaaaa bhn
We acha 2
Can we have something like Churchill show ya Kenya where by somebody like Mpoki analeta comedians tofauti na show inakuwa tamu sana, this was beautiful tho
CHEKA TU
"Cheka tu". its there every month at LAPF towers
makoiga mg this is important for sure
Kabisa
Angalia cheka tu
Uyo ndio fundi wa stendap comedy hao wengine wanaangalia kwake😮
Ahsante mpoki piga kazi. Yani nimecheka mpak bac
Hhhhhhh huyu jama ni fundiiii wa kuchekesha
Comedian nao sasa ivi wanachangisha sadaka kwa lazima...😁😁 real life is hard😄
Ulitisha babu
Hahaaaa lkn afadhali kuliko kuiba
Duuu eti ukilewa unarudi kwako unaanza kumuomba mkeo namba ya cm
We comedy ina zaidi ya lisaa ulichoona ww ni ni mchango tuu
Nimeipenda show
Huyu ni motivation speaker au Comedian 😂😂
Wewe unavopokea hela ulivaa groves😂😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
Nimekipenda hiki kimsemo
Icho.kipengere.kigum
Hatar😂😂
Jamani mbavu zanguuuuuuuuuu mpoki weeeeeeeeee
Dah hatariii mpokii
Nimempenda afande ana point😍😍😍😍
Always
Baba uko vizuri sana
Mpoki is very talented
He is useless thwart!!
Mpoki Umetisha Sana
Babaaaa imekataa😂😂😂😂😂😂😂
Very talented mpoki
Amefanya vzr sana
Ni hatar mpok
Hongera sana brother mpoki
Nakubali show mkali, we ni noma bro
Hukoseagi Kaka,safi sana
Jaman hyo jamaa noma sanaaaa
mpoki.umetisha xn
Nakupenda mpoki
Huyu jamaa Ni shida kwel hahaha
Mpoki ww ni mwendawazimu big up sana
Nimekupata broo uko vzr
sana mpoki kizazi mzeee
Umetishaaaaaaa mpokiiiiii
Ametisha sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Nimekupenda bure, kwa ulinzi!
Hongera Mpoki kwa ubunifu mzuri wa comedy
Kweli mama hawezi kukutupa hata kama huna atakubeba tuu hawezi kukuacha uazilike hata siku moja.
Mpoki mmoja anaifunika churchill ya kenya nzima
Kabisa, huyu jamaa ni noma sana
😂 aje Kenya ajaribu
Pliz kenya is best kids can not watch that.
Never ever hit Kenyan comedians
We mpumbavu et! Mi mbongo ila comedians toka Kenya wanatisha
Mpoki unapigakazi sana shida cameraaaaa!!!
Huyu wampee cheoo Tuuu bi mkubwa amuangiliee kwa jicho la pili😂😂😂 Mr speaker
Umetishaa...
Waah kiswahili ya TZ ni ngumu bro sio kama cha Kenya,mimi sijapata joke hata moja,
Pole jaman
Sometimes mi nilikuwa sipati jokes za churchill
Hats sisi swahili ya genge inatupa tabu.
Wacha uongo wako au wenu
Jifunze Ufurahii😂😂😂😂
Mpoki ukifungua naomba ukifungua sehm ya comedy na me niwepo napend sana
Tisha sana.! Mwarabu wa dubai.!! Mgambile muganyizi
Huyu jamaaa Hakuna Africa mashariki ni Huyu na mc Jessy from +254basi
Iddi Malifedha huyu na Jessy wakikutana Itakua pow Sana
Anastahili aje kenya
Kweli kabisa
Oooo Hapana tena kuja kenya manae omondi anatosha
Iddi Malifedha Ndugu tupendane Acha aje2
You are so creativity 💯
Nimecheka mpaka basi
hahahahahaha baba imekata hajahahahaha mpoki you kill mee
Kama hauna hela uta pendwa na mama ako tu 🤣🤣🤣
Kichwa kimekatika kumbe wigi😀😀😀😀
Good work mjuniiii
hahahahahahhahha hakuna dini inayoruhusu kuzini @dada naomi
Kabisa
Kulewa wameruhusiwa
Kwel kabs
Hahahahaha Mpoki!!!
🤣🤣🤣Baba dstv imekataa
Hahaha..Lyf iz very president
Hahahahaha mpok bahn
Nakukbali mpoki nakupenda sana hongera unavijimambo wewe hahaaaa
Vikaratasi umeandaa wewe sasa ni free style gani!...but you’re very talented comedian!..👏🏾👏🏾👏🏾
aiseee ni fireeeeeeeee
hatariii mpoki
Sawa kaka umetisha sana
Mpoki ni shida kama corona
Mpoki big up
Mpoki noma sana.unajua mwanangu.comedy imefika.
Baba we we noma
Walokole wamewapa Katon ya bia 😂😂😂😂shindwa pepo 😂😂😂
Mwamba kasimamia show saa zima mwenyewe... huu uwezo noma sana aise
Mpoki utaniua mwenzako 🤣🤣🤣
Its so amazing u made it
Ninachomkubali mpoki arud comedy kila siku ana mpya
Good job bro, legend
Amewatoa watu ela sana😂😂
the way anakung'uka 😂😂😂😃
Duuuuu,kali
very good and nice to watching
Uwiiii! Mbavu zangu!we mpoki wewe hahaaaaaa utaniua
Mpoki acha dharau njoo nikuonyeshe kiss kama hujachanganyikiwa
Ama kweli MPOKI anakomedy
Tisha sana mpoki
Very nc mpok
Mpoki nomaaaa sanaaaaaaaa aiseeeee
Mawigi siyapendi kabisa
Kweli?
Kabisa mi mwenyew syapenda hata nashangaa wanao vaa wanajiskia vip aisee