Aliyesikia mzee Abdulu anapenda pombe sana na kupewa hela juu ya interview anipe like na kwa hilo nimegundua mzee ndiye mwenye chimbuko la hii story kutokea . Kisa ukosefu wa kuzibiti pombe na kupenda sana pesa bila kujali anazipokea kwa kazi gani.
hapa hamna cha pesa. haya ni mambo ya familia, wanayajua zaidi yetu. baba ni baba awe maskini wala tajiri ni baba yao. luckily hao wanao wanamkubali. mzazi hawezi sema mtoto wake ambaye ni mtu mzima abadilishe jina. wengine wetu tumepitia mambo kama haya pia. majina na ulezi wa wazazi walezi lakini bado wanatupenda na kutuheshimu na pia sisi vivyo hivyo
Kaongea vizuri,ingawa alikuwa anataka kupanic mahic kwa hasira ya situation yenyewe,naamini mungu mkuu dada yashapatita Cha msingi mzee atulie I wish atafanya kitu kwa maisha ya mzee Abdul.
Kwa Mara ya kwanza nimekukubali hongera kwa maneno ya busara mungu akubariki jitahidi usikubali kila mambo yako ya ndani yajulikane mitandaon kila LA kher
This topics it is is too tough for her i fiil so sad for her in a body language anadhalilika sana na hii hali lkn anajikaza kisabuni mbele ya cameras kuonyesha kua yuko alright but hii situation iko ngumu sana kwake thats why amepungua mwili although she is looking nice in his new body.
FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME 0655523211 1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku 2.mkojo kutoka kisiri siri 3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali. 4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume. 5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa. Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama 🔸 Upungufu wa nguvu za kiume 🔸 Saratani ya tezi dume 🔸Figo kufeli 🔸Mawe kwenye figo 🔸Kifo Kwa ushauri na tiba 0655523211.
Dada umeongea point sana mungu akubariki na azidi kumpa hekima ya hali ya juu kwakweli tunamlaumu diamond bt kwa upande mwengine mzee abdul ana matatizo cos ni mda sana akidhalalisha watoto wake mtandaoni na huwezi panda maindi ukavuna mtama so anavuma.
Queendareen umeongea vizuri sana ♥️ ungekuwa karibu ningekuwa tano, muangalieni baba
Kweli mume ni dawa, Queen tangu aolewe amekuwa na busara sana mashaaAllah. Mola akutangulie kila khatua. Ameen 🤲
Umeongea busara sana Allha akuzidishie
Amin
Busara kutangaza mitandaoni kama baba ake mlevi uko ni kukosa heshima
Sasa kama baba wa tungi asiseme
@@josephmaguza6413 Ndoo amtangaze kwenye vyombo.vya habari
I love you Queen, Mama B❤🥰. Umejibu kistarabu kwa kweli. Kila lakheri mamy🌹
Queen naona Siku hizi amekua nabusara Sana kweli mume ni wamuhim saana kwenye maisha ya mwanamke
😂😂😂 katulia
Mwanaume ni malighaf isiyoozaaa
Amepata Dr.mzuri
hili swala darlin alikua analijua yeye sio geni kwahiyo hawezi kushtuka kivile big up darleen umeongea vizur
Nakupenda Sana Queen mama b tulia mwaya mungu akutunzeni 🤲
Inshallah dada mtegemee Mungu daima atakutunzia ndoa yako
Aliyesikia mzee Abdulu anapenda pombe sana na kupewa hela juu ya interview anipe like na kwa hilo nimegundua mzee ndiye mwenye chimbuko la hii story kutokea .
Kisa ukosefu wa kuzibiti pombe na kupenda sana pesa bila kujali anazipokea kwa kazi gani.
Pesa hizi jaminii shda sanaaa Na ogopa Sanaa umasikini il kuwa Makini 👊
hapa hamna cha pesa. haya ni mambo ya familia, wanayajua zaidi yetu. baba ni baba awe maskini wala tajiri ni baba yao. luckily hao wanao wanamkubali. mzazi hawezi sema mtoto wake ambaye ni mtu mzima abadilishe jina. wengine wetu tumepitia mambo kama haya pia. majina na ulezi wa wazazi walezi lakini bado wanatupenda na kutuheshimu na pia sisi vivyo hivyo
You deserve to be whom you are big up Queen Darleen 💪
Asante dalin
Great answer NI BABA YAKE NA ATAENDELEA KUA BABA YAKE.... NI KAKA YANGU NA NI BOSS WANGU MILELE.. QUEEN KAJILIPUA PWAAA LIWALO NA LIWE
😄😄
Kaongea vizuri,ingawa alikuwa anataka kupanic mahic kwa hasira ya situation yenyewe,naamini mungu mkuu dada yashapatita Cha msingi mzee atulie I wish atafanya kitu kwa maisha ya mzee Abdul.
Hapo kw mzee Abdul bora ilo swali usingejibu ingependeza zaidi
She knows how to answer question .... Love the approach
very true, smart and intelligent. i can now believe the dad is the problem.
Nafikiri darleen ungejibu no comment kwenye swala la mzee ingependeza zaidi.
Ili iweje ma ukwel unajulikana kwann mnapenda ufitini ayo majibu ya no comment yanapatkana cloud kwa wapmbav huko
Inshaallah
Daa
Nakupenda sana dadangu
MashaAllah 😍😍waongea vizuri sana dada
Kwa Mara ya kwanza nimekukubali hongera kwa maneno ya busara mungu akubariki jitahidi usikubali kila mambo yako ya ndani yajulikane mitandaon kila LA kher
Umeonngea point sn Queen Darling nimekuelewa mno
Nakupa hongera kwa maamuzi dada
Mwanamke wa shoka😙😙😙
Kweli queen Darling umeongea point
shes very beautiful
Queen kama Queen 💓💓💪
This topics it is is too tough for her i fiil so sad for her in a body language anadhalilika sana na hii hali lkn anajikaza kisabuni mbele ya cameras kuonyesha kua yuko alright but hii situation iko ngumu sana kwake thats why amepungua mwili although she is looking nice in his new body.
Stop speculating things she might be 100% alright
Momdi.in.frimanson.nimasharit.aliopewa..asomsaidiinaamkate.yaani.tunavyomshangiliando.anapatahelaaa
@@ashamwamba9088 na endelea kumshangilia ivo ivo maana hata hukitambui unachokiongea😆😆
@@ashamwamba9088 kw hyo baba yake alivyoachaga kulea familia nae alikua freemason sasa mbn hana hela muamini muumba wako acha kutukuza miungu hyo
Sio his new body, ni her new body
Me love you Darlen
Darleen you are the best
MashaAllah amejibu vizuri
FAHAMU DALILI ZA UGONJWA WA TEZI DUME
0655523211
1.Kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku
2.mkojo kutoka kisiri siri
3.mkojo kutoka bila nguvu na kutokuruka mbali.
4.kukosa hamu ya tendo la ndoa na kuishiwa nguvu za kiume.
5.kupata ugumu na maumivu wakati wa kukojoa.
Tezi dume isipotibiwa mapema huleta madhara mbalimbali kama
🔸 Upungufu wa nguvu za kiume
🔸 Saratani ya tezi dume
🔸Figo kufeli
🔸Mawe kwenye figo
🔸Kifo
Kwa ushauri na tiba 0655523211.
Queen upo vizuri we piga kazi
You are bright my sister
Waoooo cammooon queen umeongea point saaana
Queen darlin hongera sana umejibu kishujaa
Njaa mbaya sana. Utumwa mbaya kuliko wote ni kuruhusu tumbo litawale kichwa. Kama fikra zikiwa utumwani, uwe na uhakika mwili pia kadhalika.
Ulitaka aongee",nn muiteakuhoji unachojuwa familia ndoinajua kilakitu
Amina mugu akulinde
Gorgeous darling 🥰🥰🥰😍😍😘🥳🥳
This gal is saved,Anapenda Mungu
Queen amekomaa anajua kujibu maashallah
Queen mwembamba jamani ila kapendeza saana mashallah
Dada umeongea point sana mungu akubariki na azidi kumpa hekima ya hali ya juu kwakweli tunamlaumu diamond bt kwa upande mwengine mzee abdul ana matatizo cos ni mda sana akidhalalisha watoto wake mtandaoni na huwezi panda maindi ukavuna mtama so anavuma.
Kabisaa
Queen uko sawa sana piga kazi
Da mdogo unaongea vizuri sana shukran. Upo vizuri sana.
Umeongea vizuli sana dada mungu akubariki ww na mme wako na akukuzie mtt wako
Maahallah dalin umekonda umependeza
Masha Allah m'y Queen
Inshaalah 🤲
Noma xna
Queen Darlene ♥️ kasema vizuri🇧🇮🇧🇮🇧🇮
👌👌👌
saiz queen ndio anamwili mzurii
Mucheki Giva ana ngoma kali sana
Love u mwanahawa❤❤❤❤
Eti mondi baba yangu😀😀😀😀 darling
Woow! She is bright!
Big up queen darlin. Nice response
Majibu ya kiutu uzima asante Dada
Mashallah queen ameongea point Sana
Safi sana.
Nimekupenda Qwen
Pole njaaa mbaya
Good saana
Mzee Abdul pongezi uko na watoi wasupuuu
Huyu nae njaa tu
Yes nimekuelewa
Darlin umekua sana big up
Dahhhh I love you queen 😩❤🙏
Pole mzee Abdul hata huku unakanwa eti baba ni dai
Daàaaaaa mm siamini kama mzee abduli ni mlev
Bakris anaendeleaje🙈🙈🙈🙈🙈
Pole
HAYA MZEEE USUPER STAR SASA HAKUNA KIMYAAA
Ukiwa na pesa siku zote utapewa kila aina ya heshima sawa yote maisha
Umeongea point brother🤝
Pole sana dada
Good job Darline
That's Queens to talk full authority
Njaaa mbaya sana
Ana njaaaa kweli waaaaaa
Nyie wanafiki sana na kesho hamtauona ufalume wa mungu mlitangaza kaachwa taraka 3 mungu ameharamisha uongo
Kwa hiyo wewe ndio utauona ufalme wa mbingu kwa vile unapenda kusema uongo unazimisha uongo uwe kweli kwa matakwa yako!
Forever 🤷tusubiri
Queen anaongea na hekima sana nampenda sana
Shikamoo Dareen
Nakupenda bure Darling
Dalin umependeza sana
Just reminds me of Meghan...... Many blessings to you Queen Darlin
Queen Darleen kama 👸. Meanamke mwenye hakiri na busara.. Unafanya vizuri hauropoki kwakujibu wambea. Unajuwa cenye unatafuta maishani. Moja kwenye mastaa wakike tz wakuigiwa. Mme wako amebarikiwa. Uwo njo urembo wamwanamke . 🙏🏾
Mungu awadumishe na mumeo
VIzuri Mwanahawa nakupendaga sana Qeen wangu!
Maashaallah
Baba ako anaekunywa sana ni yupi..MZEE ABDUL au DIAMOND manake hao wote umesema ni baba zako
😂
Ata mondi anakunywa
😂😂
Yani pesa ni kila kitu. Yaani Darlin leo Mwambino awe baba yako?
Wew haunywi
Njaaa haiwez nifanye nimsaliti baba ang hvyo. Huyu diamond na mama ake ningewacharukia na ningeachana nao mara moja
Unayosema unauakikia, sio BB yke mnalazimisha
Darleen mwenyw alikwa anajua na hyu mzee aliwafukuza toka miaka hiyo ata wakienda kumuona ila ww endelea kuchanganywa na umaskin
Njaaaaaaaaaaaaaaa mbayaaaaaaa saaaaaanaaaaaa🎤🎤🎤🎤🎤
Njaaaa mbaya sana
Kweli dalin nakukubali
Wewe ni mama kweli
Wow Queen u r one in amillion
wa2 wakuona mjinga ila mie nakuona wewe ni shujaa kweli wewe umilisi kakili ya mzee wako cz huna pupa so hongera sana dada
Mpuuzi sana
Da ishakua kesi sasa
🤔🤔🤔looooohh Baba yko tena