Barikiwa sana Mwl. Naomba tuandalie somo la jinsi ya kutengeneza mziki kwa kutumia Open chords pia utuelekeze Open chord zipi zinaendana ili kutengeneza mziki
@@Eli_Music Asante brother nimeanza kujifunza masomo yako mwanzo mpaka nafatilia nilikua sijui hata kitu kimoja lakini nashukuru kupitia wewe nimeanza kujua
🙌🏾 Asante
Nice bro pamoja sana
Asante ndugu
Nakuju note
Good
Asante
Barikiwa sana Mwl.
Naomba tuandalie somo la jinsi ya kutengeneza mziki kwa kutumia Open chords pia utuelekeze Open chord zipi zinaendana ili kutengeneza mziki
th-cam.com/video/oUxD9dY0Og0/w-d-xo.htmlsi=UZsQiyCiFl3oKhmG
Nine chia video uloomba
Helpful
Brother nilikosa umbo la tano
Kwenye video gani?
@@Eli_Music kwenye mfululizo wa kupiga aperjo
Pia naitaji kujua ni jinsi gani ya kutengeneza mziki wako kuacha za nyimbo zilizo imbwa tayari
Poa basi Ngoja ntengeneze video ambayo itajibu swali hilo
@@Eli_Music Asante brother nimeanza kujifunza masomo yako mwanzo mpaka nafatilia nilikua sijui hata kitu kimoja lakini nashukuru kupitia wewe nimeanza kujua
pia tunaitaji kujua tekiniki za kupig ile major scale bro inatusumbua san
th-cam.com/video/9_Q5IDA8dAg/w-d-xo.htmlsi=8oQzUDb6QiWvR-OO fwata link hii