ooh asante Mungu.Aaliyah nimekutafuta sana. Naitwa Hussey Lee kutoka Kenya (Cherangany) lakini nakoishi hapa ni Nairobi (Doni). Mimi ni upcoming singer/song writer nimetoka katika familia maskini na niko peke yangu Nairobi mbali na familia kwa sababu nilikuja nairobi ili nijaribu bahati kwa talent yangu at least nikifaulu nisaidie sio tu familia yangu ila waliomskini kama mimi na wanajaribu kila siku. Kwa hivo nimerecordi ngoma kadhaa ila bado haijapata mapokeo vema na nilipokufuatilia mitandaoni nikaona uzuri wako kwa wasanii wadogo kama mimi unavyowasupport ni jambo nzuri kabisa na sio eti nimekujua leo nimekuwa nikiona show hii yako na kwa kweli unawakilisha vema. Mimi naomba tu kitu moja my sister pls pls pls nichukue kama zero kabisa yaani nothing maanake bado kabisa natamani saaaana kuwa star siku moja ila nko kwa zero step na naamini kuwa ukinishikilia sis my steps will change for real na Mungu atafungua njia. Mimi naimba secular songs/good music na ningependa saaana unishikilie mkono kwa kunisupport nijulikane sis tafadhali.Mimi pia ni hawker nauzaga Airtel Sim Cards kwa mitaa ili niweze kupata pesa ya kurecordi,kodi chakula na kadhalika ila mapato yangu ni kidogo kwa kweli na ningependa sana siku moja kuwa star please na i will appreciate sana. Niko na Ngoma yangu mbili(Taabu) na ingine (Corona) naomba utazame kisha unionee huruma pls sis na ndashukuru sana God bless you Aaliya hii hapa ngoma yangu th-cam.com/video/NpV79XZNMrk/w-d-xo.html alafu number yangu hii hapa 0713060519
Ningekuwa mimi niwewe ningeenda instagram DM kwake, hii sio account yake ni ya wasafi tv, kuna zaidi ya 95% ya kutoiona, na hata akiona anaweza kupuuza juu hujatumia ustaarabu
Bhana mi naona, Youngkiller alipita Kavukavu. Unajuwa ukiwa Star Vitu vingine vinafanyika kwa kuomba Mungu au Kibahatibahati tu. Lakin pia hata huku mitaani kwetu uswahilini kuna videm vimaarufu vya mtaa pia watu huwa wanapita nao tu bila Ndomu. Hatareeee
Kama unamkubali Killer weka Like hapa...
sina ubishi kwa killer kwenye ipapu ndobaba yao
@@soudkhalifa9143 like That
Huyu young killer ni mwingine kwa interview na kwa beat pia ni tofauti.. Msodoki!!🇰🇪🇰🇪
Killer,mi huwa Napenda unavyowajibu Hawa watu.Number one rapper always brother from another mother 💪
Kama unaamin killer amekonda gonga like
Yuk fresher jamn
Amepungua
Kuliko Nani?
Kweli aisee chaliyangu umekonda kweli man
Jaman mdogo wangu UMEKONDA" Kweli lkn WATZ msichukulie hvo kama mnavochukulia. 😍😍😍
Inaonekana alizimika sana kwa mtoto Wolper
sasa kam pumzi yangu yenywe najua itafika mwisho sasa kwanini Lisiwe penzi..? 😹😂
Hii kali bwana😁😁
Shikamoo ebwa umetishaa
Kali~sana
Umependeza my Aaliyah love you 💛💛💛
Umekonda Mr
“Kuchotana news kuni confuse uki bet kwa hapa umeliwaaa”
Hahahahha jibu hilo apooo
Uko sawa
Umenenepa kaka hongela
Young Killer Msodoki MY HIP-HOP ARTIST
Eti nawapa hongera sana walioelewa😂😂
Kukonda na kuongezeka kwa binadamu ni kawaida2 haina haja yakumhoji killer🔥💪eee bhana
Au sio
Pole bro killer huyo tupa chini, move on
Watu lazima wawe happy but alone💯🤙🏾 sault you young genius👑, much respect from +254🇰🇪 +973🇧🇭
ooh asante Mungu.Aaliyah nimekutafuta sana. Naitwa Hussey Lee kutoka Kenya (Cherangany) lakini nakoishi hapa ni Nairobi (Doni). Mimi ni upcoming singer/song writer nimetoka katika familia maskini na niko peke yangu Nairobi mbali na familia kwa sababu nilikuja nairobi ili nijaribu bahati kwa talent yangu at least nikifaulu nisaidie sio tu familia yangu ila waliomskini kama mimi na wanajaribu kila siku. Kwa hivo nimerecordi ngoma kadhaa ila bado haijapata mapokeo vema na nilipokufuatilia mitandaoni nikaona uzuri wako kwa wasanii wadogo kama mimi unavyowasupport ni jambo nzuri kabisa na sio eti nimekujua leo nimekuwa nikiona show hii yako na kwa kweli unawakilisha vema. Mimi naomba tu kitu moja my sister pls pls pls nichukue kama zero kabisa yaani nothing maanake bado kabisa natamani saaaana kuwa star siku moja ila nko kwa zero step na naamini kuwa ukinishikilia sis my steps will change for real na Mungu atafungua njia. Mimi naimba secular songs/good music na ningependa saaana unishikilie mkono kwa kunisupport nijulikane sis tafadhali.Mimi pia ni hawker nauzaga Airtel Sim Cards kwa mitaa ili niweze kupata pesa ya kurecordi,kodi chakula na kadhalika ila mapato yangu ni kidogo kwa kweli na ningependa sana siku moja kuwa star please na i will appreciate sana. Niko na Ngoma yangu mbili(Taabu) na ingine (Corona) naomba utazame kisha unionee huruma pls sis na ndashukuru sana God bless you Aaliya hii hapa ngoma yangu th-cam.com/video/NpV79XZNMrk/w-d-xo.html alafu number yangu hii hapa 0713060519
Ningekuwa mimi niwewe ningeenda instagram DM kwake, hii sio account yake ni ya wasafi tv, kuna zaidi ya 95% ya kutoiona, na hata akiona anaweza kupuuza juu hujatumia ustaarabu
kweli
@@BMCOMPANY_FILMS asante
@@kingcopper_tz ni kweli let me try to DM her ila i need your help too God bless
Mnao sema young killer amekonda lini alikuwa mnene jamani
Rapper wangu bora sio tanzania tuu DUNIANI
Nakubaliana nawe
Mbna umekondesha mtoto wa watu
Jack iv kwel ulipiga na ndomu
Daaah umekonda sana kiukwer mwanetu
Mshikaj mbona kama ana mawazo sana pia amekonda...hii itakua ni miwaya kaikanyaga kwa jack🤣🤣🤣🤣🤣
Msodooookiiiij!!!......Black Live matter ....punch after punch💥💥💥
brother from another mother
Hakuna kijana lijal ambae ajawai kumtamani wolper tuache utan
Ndoa ya bibi na vijana 😂😂😂
Alisema yeye
hahahahahaahaha
👇🔥 Subscribe Hapa Twende Sawa 🔥👇
th-cam.com/channels/aS8hsEQnwQSMEQCT_GJIVQ.html
🔥🔥🔥 Nouuma na Nusu 🔥🔥🔥
Umekondo bro.... Lkn kukonda sio kesi kwani kukonda si Ni kawaida
Safi brother yuko vizuri
duh kiukweli dogo umekonda sana,
Ukwel ndugu umepururuka sanaaa Yan umekonda sanaaaa Sielewiiii
We mtangazaj nakupenda xanaaaa
Yong killer umetish vbaya
Oy jamani naombeni like please over please🙏🙏
The young king
Hivi aliemwambiaga hizo nywele zinampendeza ni nani??? Nampenda, napenda kazi zake sana isipokuwa hizo nywele hazimfai aache kuiga
Penda Sana nyimbo za huyu mtu
We Mtangazaji acha umbea utakuwa kumwambia mtu Namenänderung Hiyo kwamama umekonda🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Je t’aime Aaliyah 💜💜💜
Kila umekonda duh😭😭😭
Ila kweli mwamba umekonda...
kama umesikia tengeneza kauli zako twende mwa like hapo
Wabongo bhaana mnafanyiwa interview huku mnatafuna big gy
"kwani kudumu kunaanzia muda gani,?"
"kuwa proud nikupost,?"
"Rekebisha kauli yako af tuongee,"
nice👏👏👏👏👏,"alone but happy"
aisee haka kajamaa kanafrahisha aiseee🔥🔥👊🏻
Majibu ya ki genius
Bhana mi naona, Youngkiller alipita Kavukavu. Unajuwa ukiwa Star Vitu vingine vinafanyika kwa kuomba Mungu au Kibahatibahati tu. Lakin pia hata huku mitaani kwetu uswahilini kuna videm vimaarufu vya mtaa pia watu huwa wanapita nao tu bila Ndomu. Hatareeee
Ninakubali bro
iko vizuri
Good sanaaa 🌹🤙🤙🤙
Daah sema mshkaji umeisha kinoma, Mapenz haya Daah...
Ila fresh ngoma nimeisikiliza ni kali
Nakubali Kaka msodok
Killer love from 254
Jaman mbona aliyah mimba haikui nilisikiaga anamimba 😂😂😂😂😂
Sio kwamba hakuwa proud ila hakuwa msemaji ,,killer huwa anajibu points sana
Killer nywele ndio zinakukondesha hebu zitoe bhana
Hahaaah
Akuna Mapenzi Apo Wala Ndoa Nikiki Izo Za Kibongo Mnaleta Habari Feki Tupu
Hahahahaaa akili nyingii.... Safi sanaa.... Mwandishi kachemka kukuhoji
Msodoki 🙌👏👏👏👏👏
Umejibu safi sana
Naona wazamini new tenco .
Killer umekilikwa😂😂😂😁😁😁😆😆si kwa kupululuka hivyo mdogo wangu unamun'gunyika ka sukari gulu
Majib ya ki genious
Na mwanza unirudishi ata kwa kafara la ng'ombe
Uyu Dada Hajui Kuvaa! Au Nguo Hazimpendezi? Wabaya Km Yeye Wanashauliwa Kukaa Chini, Tena Wakiwa Ndani ya Studio.
I like u bro!big up and keep movin!if u know u know so u got a talent bwoy🙌🙌
Nomaaaaa✌️
Noma sana
Big up sana young kiler og sana
Killer bhana eti milele Amina 😄 🤣
Nakwaminia sana Msodoki.
Makunguru jamani kwani mko kwenye jaa
Khaaa kumbe alipiga kweli😃😃😃
Akili mingi huyu dogo
Huyu jamaa fundi sana
Killer umekonda kinouma afu kwenye wimbo ulikuwa umewaka au ulipiga kitaulo maana apo ndo naona uko na rangi ako
Balaa lako Yang nizito 🇹🇿
Au mzee bb umeukwa
Napenda apo tu ukisema ee bana
Hii swag alikuwa anaitumia jamaa mmoja anaitwa babu mkombe alikuwa kwenye kundi la uchekeshaji la futuhi 😀
@@ismailkatala4792 oooook nimekumbuka mwamba kwel kabisa ee bwana
@@misanamohamedi8438 🤣🤣🤣🤣
Jamaa majibu yake talent
😀😀😀😀😀😀 unge tumia ndom yasinge kukuta ayo 😂😂😂😂 ulimuamini kisa Star ndo hawez kuwa na ngoma 😂😂😂😂 pole Msodokiiiiiiiiiii
Mmmmmmh!! Really
🤣🤣🤣
Nakbl BG brother
Killer umejibu vema sana askari angu
Eeeeh bhan
Wasafiii bango kubwa
Aaaah huyoo si yulee wa dogo janjaa....mstari huoo eeeh
Jamaa kavuuu 😅
Nan Ameona Msodoki Anaonja onja ngada kidogo
Huyu presenter hajielewa kweli...hatujui Wcb ilimtoa wapi huyo jamaa..hayumo kishenzi..hata maswali yake yanaboesha balaa
Mhh killer
Nicely
Yaaani ww umekonda mpaka bc 🤔🤔🤣🙄
🤩🤩
Wewe unauliza swali gani
Vishimo ni ivo vidimpo
Young killer for life
Km unaamin dogo kakubuu gonga like
Huyu dogo fundi sanaa
Jack ananoma kila anayeachana naye anamchana harmo nishachoka
akuna msanii wa kuchana ukamfananisha na young killer
Alafu mbona umeulizwa hivyo ukachukia daaaah umeniacha na maswali mengi sana
Young killer ni mtaftaji kwo me sishangai akikonda
Umenoga
Ila nyie waga mnahoji ivo ili iweje sasa
Jamaa angu umekonda
Yaaaaa good