YOUNG KILLER: Young D na Dogo Janja nitawafanya vitu vibaya Sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 204

  • @sebachaz6483
    @sebachaz6483 6 ปีที่แล้ว +57

    killer mwamba wa mistar kama unamkubar killer gonga like hapa

  • @salimabrahmani198
    @salimabrahmani198 6 ปีที่แล้ว +35

    kama unamkubali young killer gonga like hapa kama mm

  • @brightonvalentino9024
    @brightonvalentino9024 6 ปีที่แล้ว +51

    KAMA UNAMKUBALI YOUNG KILEER GONGA LIKE

    • @yohanastambuli3464
      @yohanastambuli3464 6 ปีที่แล้ว

      Anajua Young Killer

    • @saidsobo9015
      @saidsobo9015 6 ปีที่แล้ว

      Dogo kilah ukopowa sana

    • @oscarmichael8773
      @oscarmichael8773 6 ปีที่แล้ว

      pao yang kila ña kuunderxtend cana broo m mcanii toka mbeya citiez nataka kuja kuchana kweny kumi za maangamiz unanixaidiaje 0784139909

    • @barakatumaini5455
      @barakatumaini5455 6 ปีที่แล้ว

      msodokiii

    • @ntakirutimanainnocent7041
      @ntakirutimanainnocent7041 5 ปีที่แล้ว

      Young killer wendo jembe la majembe.big up sana.dogo janja ni bahau

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 ปีที่แล้ว +31

    Msodoki Wee mkali saana bro
    Asikudanganye fala 💪💪😂😂👏

  • @tafutampenzi1653
    @tafutampenzi1653 6 ปีที่แล้ว +147

    Kama unamkubali killer like hapa

  • @harzonmail9104
    @harzonmail9104 6 ปีที่แล้ว +48

    nyie wawili nawaelewa Sana killer Vs ommy

  • @abandabitangacha3476
    @abandabitangacha3476 6 ปีที่แล้ว +5

    mm mkongo hapa,
    ozabien ,
    kama unamkubali lilommy Kama ninavyo mkubali, like hapo bana.

  • @josephvicent8470
    @josephvicent8470 6 ปีที่แล้ว +17

    Young killer noma

  • @almandowizzy1883
    @almandowizzy1883 6 ปีที่แล้ว +7

    Young Killer ndo master wa Hii Game ya Hip Hop Kwa madogo

  • @samilymahawi6996
    @samilymahawi6996 6 ปีที่แล้ว +97

    Kama unamkubali young killer gonga like hapa

  • @robertmatonya1851
    @robertmatonya1851 6 ปีที่แล้ว +14

    killer ni king wa madogo wote watulie

  • @bish_daddiyao
    @bish_daddiyao 6 ปีที่แล้ว +2

    Hii Top Yake Noma Uko Na MVP Na MasteOf Rhyms Boooom..😊🙌🏽♥️🇰🇪♥️

  • @aminijuma9627
    @aminijuma9627 2 ปีที่แล้ว +1

    Sajatoka walio toka uwezo wao Bado kabisa young killer bad Moto 🔥🔥🔥🔥🔥unawaka ndan ya maji

  • @edgarvevo9580
    @edgarvevo9580 6 ปีที่แล้ว +47

    killer nnachokuelewaga hujibu maswali kwa kupindisha maneno

    • @dillplus9556
      @dillplus9556 5 ปีที่แล้ว

      uko pw saaaana killer

  • @mgabejames6365
    @mgabejames6365 6 ปีที่แล้ว +10

    Sema dogo unaongea ukweli yong dee na dogo janja umewazidi kimuziki Ila madogo wanajisifia sana

  • @mdozmtz2968
    @mdozmtz2968 6 ปีที่แล้ว +8

    Sawa kk nakubali ngoma zako zpo kuntu"

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 ปีที่แล้ว +2

    @11:52 #SisterP anakulaum kwahilo pia..
    Nakukubali sana #YoungKiller ponchlines zako zakibabe sana...

  • @immaelidadi4998
    @immaelidadi4998 6 ปีที่แล้ว +7

    Kama unamkubali killer ongeza like hapo👍

  • @shaphyvuai6805
    @shaphyvuai6805 6 ปีที่แล้ว +5

    Msodoookiiii namkubali sanaaa keep it up

  • @michaelmwadime7247
    @michaelmwadime7247 6 ปีที่แล้ว +3

    Msosoki The Son, keep on with that spirit, to teach and to reach out to the young one's. Mzuka

  • @alfrange7886
    @alfrange7886 6 ปีที่แล้ว +2

    A lot of inspiration unto me brother from Kenya, shabiki mkubwa.

  • @yahyaahmad2425
    @yahyaahmad2425 5 ปีที่แล้ว +2

    Killer yupo juu 2 anaandika miatar ya kueleweka gonga like kama wote tuna mkubali killer

  • @guccij3549
    @guccij3549 6 ปีที่แล้ว +13

    UnaAnzajE kukoxA sHow y kiZaz kmA hii..... MambO kmA yotee..... 🔥 🔥 🔥 WataPata TabU SanAa WasiO like.....

  • @hamismcganga469
    @hamismcganga469 6 ปีที่แล้ว +5

    Young killer ni noma

  • @fredeezey9740
    @fredeezey9740 6 ปีที่แล้ว +2

    Cha muhim watoe ngoma moja, young d, killer n janjaro .afu humo ndan sijui nan atakalisha. Ndicho nacho kisubr

  • @benedictorsupertall6440
    @benedictorsupertall6440 6 ปีที่แล้ว +8

    killer uko njema mzeee

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 6 ปีที่แล้ว +7

    MSODOKI THE SON!! 🙌

  • @mdouharuna6849
    @mdouharuna6849 6 ปีที่แล้ว +6

    Ommy lliy tz one

  • @loth5
    @loth5 6 ปีที่แล้ว +2

    Gonga like hapa kama unamkubali KILLER

  • @kennisblessed8639
    @kennisblessed8639 5 ปีที่แล้ว +2

    kama unamkubali young killer nipee like zangu wanangu?

  • @benedictorsupertall6440
    @benedictorsupertall6440 6 ปีที่แล้ว

    lilomy show zako Kali bro cjui nitakupata vp nahitaji ushaur toka kwako bro

  • @nicksonnanyaro2521
    @nicksonnanyaro2521 6 ปีที่แล้ว

    killer huwa nakukubali upo vizurii sana ktk kujieleza

  • @GegoMnete
    @GegoMnete 6 ปีที่แล้ว +3

    #YOUNGKILLER🔥🔥

  • @patriciomanuelmwadi525
    @patriciomanuelmwadi525 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥ukomakini unajua kujizugunzia kwa umakini sana brow

  • @charmartonixirmichael4396
    @charmartonixirmichael4396 3 ปีที่แล้ว +1

    Killer 👑🔥🔥 of hip hop

  • @costantinemajenga5075
    @costantinemajenga5075 5 ปีที่แล้ว

    Nakbaliiiiii,,,we mkali young killer mwanza mwanza

  • @sebachaz6483
    @sebachaz6483 6 ปีที่แล้ว +12

    killer mwisho wa matatizo

  • @talikikateja7872
    @talikikateja7872 6 ปีที่แล้ว

    Young tisha Sana man we nimkali zaid ya killer ki2.

  • @SUZIBALE_OG
    @SUZIBALE_OG 6 ปีที่แล้ว +3

    Sungura young killer we jamaa unajua na unajua kujielezea yani unajiamini naamini unaposema kabla ya kukubali umeshajikubali na pia ni mganga unaejiganga kaz kaz unajua na naamini utazidi kutuhakikishia ujuzi wako much respect Sungura.... instagram follow me @smartclassic696

  • @livinusgeorge6148
    @livinusgeorge6148 3 ปีที่แล้ว

    Mkali sanaaaaa @ killer msodikiiiii

  • @abdallahmchange1370
    @abdallahmchange1370 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dogo ni hatari Sana
    Yeah ni Hatari mno

  • @jrwizzy1883
    @jrwizzy1883 6 ปีที่แล้ว

    Kama una mkubalii young killer like hapa

  • @juventusjohn9276
    @juventusjohn9276 6 ปีที่แล้ว +1

    Killer noma sana

  • @mohamedsadiki9846
    @mohamedsadiki9846 6 ปีที่แล้ว +6

    Younkiller mwanz mwanza

  • @michaelmasijah724
    @michaelmasijah724 6 ปีที่แล้ว

    Young killer ni bonge la rapper....
    Game unaliweza #Msodoki

  • @KhamisChazy
    @KhamisChazy 4 หลายเดือนก่อน

    Killer we mwezaaaa sana kakaa

  • @MR-411
    @MR-411 6 ปีที่แล้ว +2

    Waueeee

  • @rashsaidi2027
    @rashsaidi2027 6 ปีที่แล้ว +2

    Inapendeza sana

  • @pastorywilson2622
    @pastorywilson2622 6 ปีที่แล้ว

    Noma sana killer the young

  • @lolentomsodoki7367
    @lolentomsodoki7367 6 ปีที่แล้ว +3

    Killer Msodoki 🔥🔥

  • @mustafajulius785
    @mustafajulius785 6 ปีที่แล้ว

    uko juu brathee

  • @imamziwanda6602
    @imamziwanda6602 3 ปีที่แล้ว

    Mwela sana

  • @edwadilwanda6600
    @edwadilwanda6600 4 ปีที่แล้ว

    Killer uko juu☝️👊🏻

  • @salimsiri5735
    @salimsiri5735 6 ปีที่แล้ว +14

    nakubali sana bro nipo mombasa Kenya 254 lakini home tanga Tz

    • @mndigaboy2534
      @mndigaboy2534 6 ปีที่แล้ว

      Salim Siri kar kwenu wewe seem gani ndani ya hili jij kk 18 ndonilipo

    • @francestewart8847
      @francestewart8847 6 ปีที่แล้ว

      Namkubali sana young killer

  • @jossejosse5041
    @jossejosse5041 6 ปีที่แล้ว

    Young kille hakika kuhusu young D na DOGO janja sure wewe ndo mkuu wa kazi

  • @maishadume3272
    @maishadume3272 5 ปีที่แล้ว

    nice killer show love

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 4 ปีที่แล้ว

    aliye fanya young killer afanye mzuki ni young de na country weezy

  • @shadrackemanuel1464
    @shadrackemanuel1464 4 ปีที่แล้ว

    💪 NAKUBLII 🎙️

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar2067 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu bro wamuachiy tu

  • @qeenraysaid4076
    @qeenraysaid4076 6 ปีที่แล้ว

    Daaah interview kali saaaana

  • @rodrickbm8326
    @rodrickbm8326 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mbaya mtu atariii mtu fundiii w michanoo ni xhidaaa like y kibabe ukidondoxh cyo kesiii

  • @antonymenza9835
    @antonymenza9835 6 ปีที่แล้ว

    Oyo dogo mipango ya mungu sio mkosane sijui nimungu gni unayemzungumuzia

  • @mukingtv1781
    @mukingtv1781 6 ปีที่แล้ว

    top killer nimekubali

  • @emmagrousmpimo1067
    @emmagrousmpimo1067 6 ปีที่แล้ว

    Young killer we ni mkali kaka

  • @gazamagerlad5245
    @gazamagerlad5245 6 ปีที่แล้ว +1

    achana na wasanii fyatu ombaomba njaa 2 ambao wakifanikiwa hawapokelei cm wa,2

  • @baltazarchristopher6333
    @baltazarchristopher6333 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @faidapugutufaidapugutu6699
    @faidapugutufaidapugutu6699 6 ปีที่แล้ว

    Young ller ndo baba yao

  • @pidpower9920
    @pidpower9920 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo la wana hip hop ni kujiamini kupita mipaka sasa #killer Y , anamzidi wapi Y. Dee kwa mitindo kwa muziki au kwakuandika. Kiukweli walau kidogo zamani alikuwa anaandika vzur ila kwa sasa aaah hana lolote ndio mana anaandika sina swagah mara tatu. Kaone show kwa stage. Ndo utagundua kuwa Bongo bahati mbaya(BBM)

  • @karimtbabittv3426
    @karimtbabittv3426 6 ปีที่แล้ว

    Killer ni noma San

  • @PhilipoMabula-ky9vs
    @PhilipoMabula-ky9vs ปีที่แล้ว

    Young killer kwel w mkubwa wao broo wakimbize

  • @salimsiri5735
    @salimsiri5735 6 ปีที่แล้ว +7

    sijawai kukosa shoo yako broo

  • @pancholatino3225
    @pancholatino3225 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @farajimmasudi14
    @farajimmasudi14 6 ปีที่แล้ว

    Upande wa 2 tuna comment wap😀😀😀

  • @sahhirabdillah448
    @sahhirabdillah448 6 ปีที่แล้ว

    mazee hichikichwa young killer dah ninavomkubali yani achatu kamaanaipatahii angejuwa kama Mimi nimshabiki wake mkubwa sana

  • @franktz8327
    @franktz8327 6 ปีที่แล้ว

    noma sana

  • @saidymagulu5831
    @saidymagulu5831 3 ปีที่แล้ว

    Kaliiii

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 6 ปีที่แล้ว

    Respect kwako killer

  • @lenjeevara3407
    @lenjeevara3407 6 ปีที่แล้ว +2

    pwaaaaaaaaaa

  • @saidsobo9015
    @saidsobo9015 6 ปีที่แล้ว

    Mwelevu sana dogo

  • @edgarvevo9580
    @edgarvevo9580 6 ปีที่แล้ว +9

    nimeekaa kama daika mbili kutafakari hilo jibu lako la "sungura " then nmekuta nacheka kwa sauti

  • @moziidavchonchi3338
    @moziidavchonchi3338 6 ปีที่แล้ว +1

    HIV AO MADOGO BADO MNAMFANANISHA NA KILLER TUU DOH?? KILLER NI FIRE

  • @jumannewazir6716
    @jumannewazir6716 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fatumamachemba9887
    @fatumamachemba9887 6 ปีที่แล้ว +5

    naamu ommy

  • @GegoMnete
    @GegoMnete 6 ปีที่แล้ว +4

    #UMakeMeSick😂😂😂😂🙌

  • @AllamMdapo-o7b
    @AllamMdapo-o7b 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @suleimanmboma5456
    @suleimanmboma5456 5 ปีที่แล้ว

    Killer we ni shidaa

  • @hamisrajabu5506
    @hamisrajabu5506 6 ปีที่แล้ว

    nakubali mwana

  • @bulabulqmustaphaumeonakwel5582
    @bulabulqmustaphaumeonakwel5582 6 ปีที่แล้ว

    killer noomaaa sanaaaa

  • @salimsiri5735
    @salimsiri5735 6 ปีที่แล้ว +4

    poa sana msodoki

  • @chiporchipor2400
    @chiporchipor2400 6 ปีที่แล้ว

    kacm nomaa sana

  • @mg.general7710
    @mg.general7710 6 ปีที่แล้ว

    killer moto msimfananishe na mdogo

  • @georgeroshy4432
    @georgeroshy4432 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa saivi namkubali sana anafanya hiphop..ndo aliebaki kaka zake.wote wanapodoa

  • @Bullah_tz
    @Bullah_tz 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubal sana killer kwel ww n muuaj mdogo

  • @amirykatchunga324
    @amirykatchunga324 6 ปีที่แล้ว

    Kweli man

  • @danstanyjohn9045
    @danstanyjohn9045 6 ปีที่แล้ว

    Nakubal killer

  • @prosperkibiki6384
    @prosperkibiki6384 6 ปีที่แล้ว

    hahaaaaaa youngkiller young msodokii tunakubalii

  • @athmanali9319
    @athmanali9319 6 ปีที่แล้ว +5

    Kesi ya mauaji hahaha nimekusoma msodoki

  • @israelmgimba4087
    @israelmgimba4087 6 ปีที่แล้ว

    Young killer waueeee

  • @Jacoboedwadi-nz1tt
    @Jacoboedwadi-nz1tt 6 ปีที่แล้ว

    Atariii

  • @joelbishoo6301
    @joelbishoo6301 6 ปีที่แล้ว

    Nice chaliangu