RC CHALAMILA HALI TETE/KAULI ZAKE ZAMUWEKA PABAYA,RAIS SAMIA AHUSISHWA KUMUWAJIBISHA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- #JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►TH-cam: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/
Kaka omba msamaha,sauti ya watu ni sauti Mungu-Amen
Chalamila ni sawa ametutusi wanawake wote hana kauli nzur siku zote
Honestly imeniqusa sana kwakionqz mkubwa kama yy kutoa kauli isiyo na mashiko Wala tija kwa umma,nilifikiri hata anqequswa kwa kumtumia mama yule hata laki Moja papo hapo Ili TU aokoe maisha yake kwanza half baadae akachaqize Hilo suala kwa kutoa elimu kwa kina mama na akina baba Ili kujua wajibu wao na wajibu wa serikali yetu kwenye uanda huo wa afya , amekosea sana honorable chalamila .
Mnyalukolo badilika kauri zako si nzuri kwa Jamii usituangushe wahehe wenzio tunakutegemea ebu toka hadharani omba msamaha yaishe kwa hayo matamshi uloshatoa kwa kufanya hivyo hutopungukiwa na chochote zaidi kuimarisha uongozi wako .
Ikiwa chalamila hatakemewa au kuondokewa kwenye kiti chake basi atakuwa kapewa baraka na chama na wakuu wake ametoa kauli nyingi chafu na kutushia maisha watu mara nyingi
kinachotia aibu zaidi ni kwa ukimya wa Rais Samia ambae ni mwanamke kusikia unyanyasaji kama huu na kukaa kimya ina maana anakubaliana nae
Kabisa
Hapaswi hata kuwa kiongozi Hana tatizo la afya ya akil
Ni aibu kiongozi kukosa lugha ya staha.
Tuungane kama ivi kukemea maovu kwa nguvu moja.mitandao ina nguvu sana
Daa viongozi wetu mnakwama wapi jamani
Hapo kiongozi umekosea sana
Anajichetua sana huyo mhehe ana hekima ya Mungu
Mshamba sana huyu Chalamila. Ni aibu kuwa na mkuu wa mkoa kama huyu katika jiji letu tukufu la Dar es salaam
Cha ajabu wananchi waliokuwepo waliendelea kumsikiliza kwa kutokujua sera na haki za uzazi kikanuni na sheria
Umemdhalilisha mwanamke mmoja ni sawa na kutudhalilisha wanawake wote.yeye angezaliwa na visu na mume wa mama yake asingekuwepo hivi Sasa.awajibishwe
Anajifa sana huyo,Bado hatambui kosa lake
Ameizoe kazi 😢😢😢
Amezoea hiyo ndio tabia zake
Raisi samia badilisha kaz huyo mtuu kaisha kua na kauli mbaya tofaut tofaut kwa wananch tanzania yaaman naaendeleo iko juu yako kauli gani hii mama
INABIDI AACHISHWE AU ABADILISHWE LA SIVYO ATAENDELEA NA UPUMBAVU NA DHARAU ZAKE HANA MAANA KABISAA
Huyu Mkuu wa Mkoa achukuliwe hatua maana imekuwa tabia yake kudhalilisha watu.Rais anajua vizuri zake chafu.Achukue hatua atumbuliwe tu
Huyo chalamila afai hata kua kiongozi kwaza amekaa kwa bahati hpo kwenye hicho kiti
Chalamila hatoshi kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa hususan jiji la Dar es salaam! Mama Samia tumia uchungu wa mama kumuwajibisja
Sio ukuu wa mkoa tu hafai kwanafasi yyt
@@isaackchambo2642 exactly
Kweli kabisa inatakiwa aombe msamaha kwa wananchi kauri chafu ariyo itumia
Huyu bwana tatizo domo lake amezoea kuropoka sana ,hatuwezi kuwa na viongozi wa aina hii ,awajibishwe,sio lazima awe mkuu wa mkoa ,wanalewa madaraka
Fukuza tu sio ujanja kujibu mbovu cheo dhamanatu
YAANI AACHIE NGAZI TU HANA MAANA HATA KIDOGO JE HUYO ANGEKUWA MAMA YAKE AU MKE WAKE AU DADA YAKE JE ANGEJIBU UPUMBAVU HUOO? HANA ADABU
Huyo hafai hata kuwa mkuu wa mkoa basi ni vile wanabebana
Sio mkuu wa mkoa HAFAI KUA HATA MKUU WA FAMILIA
Hafai huyu hata siku moja ni mbele wa hivyo kuliko wala mbwa..
Siku zote huyo jamaa yuko against na wananchi..... Pia nahisi afya yake ya ubongo haipo 100% sawa
Mdomo ulimponza kichwa...Mh..unasema sana..
Safi
Huyu ovyo sana cjui mama samia alimludisha hapo tena kufanya nini maana hata kyela alitoa kauli mbovu sana wakati wa mafuliko katika kijiji cha tenende kata ya mwaya wilaya ya kyela akasema hivi ninyi watu wa tenende mmezidiwa akili na kuku sijui alikuwa na maana gani kwa kauli zake kwahiyo amezoea c wanatolewa pia wanaludishwa tena wanajitapa kuwa wapo kwenye cstimu wanamzalilisha rais wetu bila sababu mama toa huyo unawatu wengi sana tena vijana
Hiii nchi inaitaji maombi makubwa sana,baadhibyaviongozi wetu jmn niwakatili sana,kwamacho yahadharani huwezi kuwajua,ilakwnyuma yapazia NIWATU wakatili sana.Hyu kiongozi amezaliwa NAMWANAMKE ,Uchungu wamana yke ndio Uchungu wamwanamke yyte yule aliebeba mimba miezi Tisa.Hii nchi imekuwa naviongozi wenye ulevi wamadaraka. Nakushiba fedha zawalipa kodi hao hao wanaotukanwa kukejeliwa nakuteswa kwenye baadhi yataasisi zetu.Sijui watanzania tumelogwa na nani jmn.Hii nchi ulipaswa iwe nanidhamu kubwa Sana.Mama Samia wajibisha hwa viongozi wanaotuona sio watu kwenye vytu
Uongozi wowote hautaki mzaha wala kujiinua, Mungu hapendi kwani unapokua kiongozi ww ni mtetezi wa watu wako, tetea hao watu unaowaongoza na uwe na huruma.
Sijui lakini ila serikali haiwezi kumwambia chochote.... Tumirudi zama za kale
Laana hiyo ya John pompe Joseph kwa kumgeuka
Kweli kabisa aisee.
Lakini huyo jamaa ndivyo alivyo si bshati mbaya )
Aombe msamaha wann afukuzwe tu. Analinga sana chalamila sababu yeye mke wake anatumia kodi zetu .
HAPA TZ MBONA YOTE NI KAWAIDA HAKUNA CHA AJABU HAPO.
Hiyo ni mikwala tu chalamila anamuwakilisha rais wala raIS HAJAWAHI KUMKEMEA sasa nyie imbeni mapambio
Kwahyo kama anamwakilisha ndo unamwona yuko sawa??
Au nawe ndo wale,wale waliokunywa uji wa mgonjwa??
Chalamila syo mzma kiakil kwahizo hoja zake ambazo hazna matiki!!
Na kaz yake kubwa ni kuropoka,ropoka kama sio kiongoz!!
Inabidi aombe msamaha otherwise ajiengue mala1.
Wamama ndo tengemeo la taifa la kesho!!
Tatizo siyo aina ya viongozi kama Chalamila, tatizo ni ujinga wetu sisi Watanzania. Tuna upole wa kijnga Sana. Ingekuwa Kwa wenzetu huyu asingekua madarakni Hadi.
Mnajua hii teuwateuwa ndo tatizo inayo tuumiza hospital ni za umma Hawa wateuzi wanaishi kwa Kodi zetu napendekeza wakuu wa wilaya na mikoa WAWE wanachaguliwa tu hakuna namna
Wanawake wneyewe ndo tunajidharirisha. Watetezi wa haki za binadamu muanze na wanawake wenyewe.
Walisema wazazi bure lakin akuna chochote uwongo tu
Rais ni mwanamke na ndiye aliyempa hiyo nafasi jama amefurahia kauli hiyo basi tusubiri
Wanawake nguvu mnayo
KURA
Kiukweli anajisahau sana madaraka Huwa yanabadilika hiyo kauli yake awaombe msamaha wanawake wote
Tetea tuu. Bure inaisha. Wacha jamii ielezwe ukweli.Trump ameanza kukata mirija .
Huyu chalamila amezoea kutamka maneno ya kachifa Sana. Maana alisema mwanaume unauza uduvi utaolewa. Kwa maana Baba zetu wataolewa. Huyu jamaa Nina hasira nae kinoma
Wanalewaa madalakaaa watoto zaooo wanasomaa ulayaaa wakeee zaooo wanaendaaa kuzaaa ulayaaa kwaaa kodiii zetuuu yoteee kufaaa magufuliii bakiniii naaaa uyuuu mamaenuuu mwishooo utafikaaa tuu
Chalamila kamdomo mdomo, mfano wa kiongozi asiefikiria kabla ya kufungua domo lake
Nafasi uliyo nayo usiitumie kunyanyasa watu bado haujafika ndugu yangu
Malanyingi anatoa kauli Tata hatujawahi kuona anachukuliwa Sheria yoyote kama wanyo chukuliwa kama wesi wa kuku
Jamaa huwa hajielewi kabisa yani viongozi waa ajabu kiasi hiki
Chalamila hafai kuwa kiongozi kiongozi unatakiwa uwe na busara kwa unaowaongoza
Jmn mazuri mengi kufutwa nakosa la sku Moja to!
Chalamila yupo sawa, huyo mwanamke alikuwa na nia ya kuwadhalilisha wahudumu wa afya kuwa wanamuibia pesa wakati kweli vifaa vilikuwa havipo. Aanze huyo mama kuomba radhi.
Mbona hatujasikia Aliye mdhalilisa kiongozi Mkubwa kwamba ni Mwanamke na hawezi kupitia kwenye uongozi Kwa kuwa ni mwanamke
Huyu jamaa ana kiburi sana ila watu wa ccm ndo walivyo walisha jiona hakuna mtu atakaye wafanya chochote
Tafteni KAZI za kufanya unganeni na kina mama wengine kwenye maendeleo ya taifa sio kukalia maneno yasiyo na tija mkitaka maneno matamu nendeni kwenye kipindi Cha lovy davi
Tatizo elimu mama tuletee makonda
mnajilalamisha ninyi ivi aliemteuwa Kuwa haono afu msijisahau yule ni muwakilishi wa rais kisheria alichoongea yeye ndicho alichokimaanisha rais wenuu ndo maana hawezi kumchikulia hatua Kwa kelele zenu
Sijawahi kumpenda hata kidogo kwa kauri zake .
Haya mashirika trump kule kwake ameyatupilia mbali maana wanakuza sana mambo.chalamila ameishaongea alikua anamaanisha kuwaweka vizuri wananchi jinsi ya kusaidiwa na serikari
Hakuna Anaye Weza Kuufuga Ulimi Ulimi Hufananishwa na cheche ya Moto ULIMI HUCHONGANISHA NA HUPATANISHA PIA
Tatizo chalamila nimropokaji kwenye utendaji zero pale hamna kitu hovyo sana
Jifunzeni kwa Makonda
Acheni ushabiki nyie ndo mnaharibu nchi watanzania hatutaki kuambiwa ukweli kipi kakosea kusema ukwel kila mtu anajukum la kulinda afya yake fanya maandilizi vizur juu ya maisha yako na wanaosumbua ni wale walizonazo wakiambiwa kitu wasumbufu chalamila piga spana
Ametutukana vibaya sana ametuvua nguo wanawake tuliomleta duniani tulokesha bila kulala akiumwa ,jamani aombe msamaha.
Tatizo watu hao wamelewa madaraka na kikubwa kinachowabeba ni uchawa kwamba hata akiboronga anasema atakwenda maeneo mengine akahutubie na kumtukuza mama ili kumjaza sifa kibao akijua hatafanywa kitu
Asa kama kiongozi anaongea vile mnategemea nn hakika nizamu ya kazi ilikua kwa Magufuli saiv mahosipital ya serikal unaweza kufia mapokezi ukiwa na hela bora uende private
Uyoyuposawa mbona tunatokanakilakitu alichokosea kutamka azalan
CHALAMILA ANAONGEAGA UKWELI ACHENI SIASA KATIKA AFYA NA AMETOA MIFANO MINGI MIZURI MTU ANAFANYA SHEREHE YA KUZALIWA MTOTO ANASAHAU KUWEKA PESA YA KUJIFINGULIA SIMPENDI CHALAMILA NAMPENDA MANENO YAKE HAMKENI ACHA MAMBONYA KATIBA MAMBO MANGAPI HAMFUATILII JE KAMA VIFAA HAVIPO ACHA UJINGA
Yaan huyu alistaili kufukuzwa kabisa kwenye ukuu wa mkoa kwa sababu yy ni kiongozi wa umma na yupo pale kwa ajili ya watu si vinginevyo
Ila wanawake akiwa mwanaume hamna haya mamb ni chochote kikukute
Achukuliwe hatua kali za kisheria hata kufukuzwa inauma sana
Hivi huyo bwana alirejeshwa ofisini kwa vigezo gani , maana kila wakati anakashifu wananchi, ana sifa za ziada tusizozifahamu? kwani ccm haina watu wazuri???
Hajaanzia hapo mbeya alitoa kauli tata kwa mabosi kuwa wauze mabas wannue Bajaj kweny mgomo wa mabasi badala yake wakampeleka mwanza sas mwanza,akalime tu maana uongoz hawezi
Mbona huduma zinalipiwa zote, hayo ni Mambo ya siasa tu
Huyooo Chalamila afukuzwee kazi hafaii kauli yake ni kama hajazaliwa na Mwanamke ...Nashangaa mnoo Rais samia anamlinda hafai kana kwamba ccm haina wanachama wa maana. VIONGOZI WA DINI NCHINI TUNATAKA AOMBE RADHI HARAKA VINGINEVYO !!@???
Hana maadili licha ya kuwa na misimamo kunamameno au kauli ambazo ni rafiki ila nilivyomuona anafanya kaz kwa mazoea.
Hata Mimi nilifedheeka sana na kuskitika maana mtu aliyeenda jando na kuzaliwa na mam awezi kusema ilo jambo kwa jamii hasa ukizingatia kulikuwepo hata watoto unamwambia akafanyiwe operation na mume wake ujui kufa kwa mtu mmoja ni pigo kwa taifa yupo MUNGU hawa viongo Kuna sku watajua tu yupo MUNGU. Na watoto wao watakuja teseka sana
Wananchi wa nchi hii wanamatatizo,sasa hiyo ndiyo ishikiliwe,wafu wa nchi hii ni shida
Nipo..apa..ilo..litapita..ataambiwa..chochote..wala..viongozi..kuliongelea
Wewe dada unaotakiwa ukamatwe uwekwe ndani kwa kuvumisha majungu.
Kuna watu wanarewa madaraka wanasaau kuwa walizaliwa
Mapombe Tu kama akili haichom unashindwa kutumia hekim nabusara
Hivi Mama yake angekuwa alifanyiwa hivo anavozaliwa kama alivosema angekuwepo
Hili taifa linasikitisha sana tuna wasomi wengi sana unaenda kumpa mtu ukuu wa mkoa ambaye Hana akili timamu?
Nahisi huyo kazi yake kubwa ni kutoa maneno ya kukatisha tamaa hana utu
Paoul Makonda amepamba ia san wakina mama w Dar imiwo kupata hospital maalum ya wakina mama kule Chanika
Huyu hapaswi kuwa kiongozi jamani.
Hata mie nimesikitishwa san
Tushamchoka uyi naye mlopokaji sana
Watanzania sisi, yaani hotuba imejitosheleza tena ni yakiswahili safi kabisa lakini tunaitafutia trend kwa kuipa kasoro.
Kwa maana mama mjamzito kama hana hela hahudumiwi!?
Uyo akuagi sikuzit wakati yupo mbeya napo alikuwa nakauli chafu ivyo ivyo
Huyu RC anavuta mabange toene jinga Hilo mbona wasomi wapo wengi tu
Mbona private kila kitu wanatoa leo kituo kikose tu kwa muda uambiwe kanunue uanze malalamiko lakin stareh unatoa acheni mambo ya ajabu nchi hii ni yetu wote watanzania wote tunalojukum la kusaidiana na sio kuiachia serikali
Na USAID imesitisha madawa ya bure ya ARV, TB na mengine sasa tuendelee kuzoea vya bule hivyohivyo tutamlaumu mpaka raisi Samia. Kikubwa tujipange na matibabu ya gharama.
Amejisahau Sana .hekima hana
Fukuzeni akina cha msamaha
Dar mwenzenu gadafi mwanamke akijifungua enzi za uhai wake bule na anapewa pesa haya tanzania vipi
Hawa viongozi wanamna hii ndiyo wanamwangusga mama samia
Siasa shikamooo
Huyu afai kua kiongozi awajajibishwe
boss wake mwenyewe ni mama halafu anadharau wamama
Nikweli siomala yake ya kwanza hilo lininajulikana sana