At least Kenya Human right Wako Macho Kama Igelikua Ni Huko Mwanzo Wangefanyws Kama Wale Wa Ki Ngo'ngo Prison Nyeri Hapo Awali, Kudos 2 Kitui Police Kweli Wako Radar 👍🏿👍🏿👍🏿❤️🇰🇪
My first guess was this criminals were not far from the prison...actually I thought they would be all be arrested in Ruaka while eating wet fry and mukimo
Mbona yule Bwire Hadi leo hajapatikana karibu siku kadhaa amaserikali munacheza na akili zawa Kenya Shemegi ya mtuu a alieudumu serikalini ndio manake sijawai sikia kamiti mtu katoroka eti jela ipo porini Simba chui fisi una nafasi ya kupatikana cheza toto
Serikali ina mkono mrefu…excellent job done Matiang’i
At least Kenya Human right Wako Macho Kama Igelikua Ni Huko Mwanzo Wangefanyws Kama Wale Wa Ki Ngo'ngo Prison Nyeri Hapo Awali, Kudos 2 Kitui Police Kweli Wako Radar 👍🏿👍🏿👍🏿❤️🇰🇪
Congratulations our officers. Hawa watapigwa zaidi kichapo cha Ubwa
Mtu ameangukia million waa makubwa hayo wafungwa washakamatwa
Matiang'i pongezi na our security team👋👋
Pesa potelea mbali good job
Wakamba wako na mkono mrefu hhhh wah traditionaly
Mr. Prezo na matiang 👍👍👍👍
Msicheze na watu wa kitui😂😂😂😂noma
My first guess was this criminals were not far from the prison...actually I thought they would be all be arrested in Ruaka while eating wet fry and mukimo
Kazi Safi, wafungwe.
Aki Kenya mnaweza act movie
Good job. Kudos to our officers
Ghai 69 million imenitoroka hivo
Wage vaa mask vizuri💃
Afro cinema continues shortly.
Heeee haaaaa! Funny.
Upuzi huu
lol
Kazi nzuri serikali yetu
Good job ...salute all Kenya police 🇰🇪
Good job our Police Department.
Hongera.
You realise how good Kenya intelligence is! Outstanding performance. However corruption is making this country efforts stale
That's great our security
Ooh,millioni imenitoroka😭😭
Ama mnajaribu kupunguza tension tu, coz siamini mimi
Mm naeza amini Km wamepatikana kitui😂😂😂🔥🔥atareeeeee
Hehee watu waliona wenzao wamefutwa kazi wakaamua tu waseti hao wafungwa. Anyways good job wameshikwa tena
hizo million vipi
Serikali Iwarekebishe ,Sio kuwauwa
Hakuna kutoroka ..police wa jela walipewa kitu kidogo basi
How come they still walked together. Who is fooling who ?
Nice job Kenyan police
Upuzi huu
Usihukumu Usije Ukahukimiwa
Good job guys in uniform
Afro cinema continues
Wafinywe kabisa nawasikae pamoja tena
i think were getting true movies in kenya
Mimi nilisema serekali yenyewe ishukulike cause hao ndio waliwaachilia na wale hizo pesa 20m
Kwani wanaenda pamoja kama mapacha
Ati inakuingia na akili hiyo kweli? 😂😂
Yes tunataka kuwaona sura zao ndio iaminike
nani amepewa 60 million
Kenya is turning into a Nigeria movie channel state
Aaaa mnajitekenya mkicheka...
Wiliedea kamuti too bad hawakua wamefika kwa daktari na kwani walifuatana kama kondoo
Wamekamatwa Kitui wakienda wapi? Ama wakifanya nini?
Hizo pesa zisha gawanywa waseme wamepewa zawadi waliotoa habari hizo walikua wataka izo pesa 60m hao
Good news
Who is kidding who how can you escape 3 of you and again caught 3 of u again
Finya Hawa Make***de Kabisa na Wapatie Mkenya M60 Roho safi 😂😂😂📢
Hope ule jamaa amewaitania atapata hio chapa hongera
🙏🏼
Mungewaona muniambie nikwachue Mili 🤣🤣
Amen
YES
Photos zao ziko
Hao ile kufinywa watafinywa waulizee tu kina raira...
Ety kitui walikuwa wanaenda wapi?serekali iwache kutuchezea akili...
Hhhha imagine man...
Kuna foulplay government inaweka reward jamaa wanapatikana na siku mbili mmmh!
Walikuwa wakitaka kufuka somali
Wow, well done 👏.
Mbona yule Bwire Hadi leo hajapatikana karibu siku kadhaa amaserikali munacheza na akili zawa Kenya Shemegi ya mtuu a alieudumu serikalini ndio manake sijawai sikia kamiti mtu katoroka eti jela ipo porini Simba chui fisi una nafasi ya kupatikana cheza toto
Mmh
Hawakutoroka ,it's the government that's finding away to stay more years in somalia
Haha Somalia no yetu
Tutakaa uko kabisa
Wa Sheka kale awkey
Wa sheka kale awkey
This is Drama in making
Ooo God why why noooo
kuna mtu mahali alifinywa makende akatoa info😂😂
Prison break 2 continues shortly
Serikali iko na PR pia,,,,
Amen
Amen