MAHARI Sehemu ya Kwanza ( 1 )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 22 ม.ค. 2025
- Hii ni Filamu inayomzungumzia MADEBE aliekua anafanya kazi ya serikali huku mkewe akishawishika na mionekano matokeo yake anaingia pabaya na kubeba mimba akiwa ndani ya Ndoa Fuatilia mkasa huu
kwa kutaka kufanyiwa matangazo Tupigie/SMS
+255769000762
Kama tulikuwa kwenye matusi na mwali wangu na leo tupo kwenye mahali tujuane hapa kwa like 🔥
broo tunguza hiyo sigaret mapafu broo
Here I'm , by the way matusi ilifika wapi.
Episode
💥
Mimi nipo
Tuko hapa Bwana Madebe your fan from Kenya...hata kabla ya kuwatch nakuamini najua umetupa kitu safi
+254 madebe on top
@@marywairimu5682 Kabisaa this Guy is the real Deal
Kabsa
@@salmasaid6621 👍
Kidali ukipenda maiko 😂😂😂😂 we mkaka mi Nakupenda sana❤❤❤
Tumeanza kama ifuatavyoooo💪💪💪
Madebe Lete vituuuuu
Bila kusahau nimekuwa wa kwanza 😘😘
Kama kawa
Madebe I love your Movies so much I wish you uploading movies Everyday my mom loves you and your team so much BIG UP SANAA🙏🏽🙌🏾🙌🏾
Movie z madebe huwa zina nyimbo tamuu🎉🎉🎉🎉❤
Siku zote unajua nini cha kufanya. Hongera sana hakuna anaejua kuigiza kama wewe ndio mana kila mwaka waigizaji bora tofauti. ##MAHARI part 2 please
sunaona sasa???hongela sana mzee wangu madebe kwa kazi ulio ifanya.basi data zangu nakuahidi utazimariza zote.
Jamniiii cyo cri napendaga back ground songs🥰🥰🥰😋😋
Madebe unafundisha vizuri kiswahili chako nakielewa sanaa hongera broo
Kali sana madebe ndo mana na kukubali sana kitu Kiko bomba
Madebe shukrani kwa kutuletea hii MAHARI TH-cam, nilikuwa na hamu sana 💪
Achakusema😂😂😂😂
@@zena6203 Wacha tusifie ndo tuendelee kupata kazi safi💎
❤nafatiliye kazi Kabisa 🇨🇩🇨🇩 bembe to Thé World 🌏💪
Madebe una ubunifu wa hz movies hadi roho inapenda hongera brother kongole kwako
From Italy we love you madebe
Nikali sanaaaaa lakin please tuwekee mkwaju jaman team mkwaju heb gongen like hapa 😍
Kwa kweli maana ata haikuisha
Mkwaju iliisha
Kbsaaaaa
Mabede anachezaga vizuri ila kwakukawa aaapana anatisha
@@zena6203 kwakukawa ndio nin
Mashallah kazi nzuri madebe mungu akutangulie Ktka Kila Jambo Amiiiin
Ongela kwa kazi mzuli nakupenda sana kaka madebe mungu akulinde
Madebe nakukubali sana,Am fan From Mozambique (Msumbiji)
My best actor of Bongo movie industry
Wakwanzaaaa movei nilikuwa naivizia humu atomaye leo imetufikia nawapenda sana madebe na watu wako❤❤❤❤
Minakupenda wewe apo😂😂😂
Madebe nivile tu hujawahi kuniangusha nakubali sana tunahitaji mwendelezo chap🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Tatizo lako kubwa Madebe huwa seson zako hazifiki mwisho, unazikomeshea njian unatukatili sana mashabiki zako
Ya mkwaju hajamaliza katoa hiii
Sijawah kujut kuftilia movie zako 🔥🔥🔥🔥🔥
Following from Kenya, I believe it gonna be a good one.
Hngr madebe kw kz nzr n zenye kutuelimisha n kutufhmisha mng mzr❤
Huyu mwamba anajua Sana huwa sichok kujifunza big up madebe mwana walidai
Nakubali mkuu hata mm natamani sana kazi yako niwe kama ww...niko Arusha
Mi natak ako ka mziki ndo kananogesha movie Kaz nzr madebe from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
New taste in town🙌💛
Madebe nakubali since day 1💯💯💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Oooh! Nice I like this brideprice is best one madebe you did very nice
Nakukubali bro madebe hakuna filamu bora kama zako bro keep it up bro
Madebe hujawah kufeli👍🙌🙌
Big up sana shabiki yako toka Congo 🇨🇩 DRC Yav
Mbonaa mkwaju mmeiacha na ilikuwa nzurii madebe
Zote Kali🔥🔥 ila ya mkwaju tunataka muendelezo🙏🙏
Hicho ndo kilio changu movie hamalizi
@@rosepiere1857 itakuwa anafuatilia maoni yetu huenda atayafanyia kazi hasa ile ya mkwaju hatujui Nini kinafuata kwenye kile kibuyu kutupwa!!!
Dah move imeanza ikiwa iko fire siomchezo😂😂big up sana madebe sinashida nafilamu zako mana zinaelewela
napenda sana movies zako. natokeya Congo DRC 🇨🇩 Bukavu
Madebe never disappoint ✌️
i like this move..... keep it up madebeee lidai
Ni movie nzuri still madebe amejaribu kuonekana kimjini amejitahd sio mbaya
Madebe tatizo lako umalizagi movie zako kama mkonjani episode zako haziishi kiukweli unaachiaga katikati mnao ungana na ukweli huu like hapa Hata chumvinyingi ameeza juzi lakini anahakikusha anafanya kweli
Madebe naomba hiy nyimbo full please tuekee na msanii wako masha allah anajua kuimba
Nyimbo kali sana jina pls
Yaan kaka, wewe uwaga nakuamini Sana tu kwavitu ivi we nibingwa, endelea kutupa vitu vizuri
Niceeee tuweke ya2 basiiiiì😆
Kazi nzuri sana kaka na kwamini
Masha Allah ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️
Noma sana, watu tulieni kwa ndoa zenu 😁😁
King wa movie all the time uyu jamaa anajua mpk anajua tena achana nae kbs🔥🔥
Madebe never dissapoint
Your my best actor bro lidai.... from kenya
Much love from Kenya
Madebe niliingoja kwa hamu hii mahari umefanya kazi safi kuleta
Kazi nzuri sana 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦👣👣👣🥰🥰🥰🥰
Nakukubali sana madebe
Duh, aisee hio series imeanza na moto mbaya
Kazi zako hazina mashaka ni moto ndani ya moto,ombi langu vipande viongezwe muda viwe hata na dk 30 au 45
Ongezaaa ya piliii Bwana Madebe Kazi safiii
Ma li you're the most intelligent, focus.....
Madebe never disappoints
Mmi kuna kitu uwagga nashindwa kuelewa..ssa wakiwa chumbani kma hivi na hawana nguo uwaga wachokorana ukweli😂😂😂😂WAMBEA WENZANGU TUJUANEEE🔥🔥🔥🔥😀😀😀
Uko vizr sana Madebe nakupenda sana💛💛💚💚
Nakuamini saaana madebe.
Ila limjengo hili hamuendani
Ungetafuta kanyumba kakuendana nawwe.
Ila ideer nzuli saaaaaana
Nakukubali sana shabik yako toka🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Big up brother
Congratulations nzuri sana 🎉
Jamii potovu, maisha hayahaya ya kisasa
Masha Allah umenifurahisha sana
Mwendelez hii kali San hujui kufel madebe
Oyaaaa muendelezo plz🙏🙏
MAHARI🔥🔥🔥🔥
Tunasubili lin itakuwa hewan .nakukubali san
Hii movie nilikuwa naisubiri sana bac madebe fanya hima tupate mwendelezo tafadhali usitubwage mashabiki wako
Madebe u are de best
Tuletee sehemu ya pili mzee baba tunasubili
Broh madebe movie zako za akili sana bro nakibali zinaleta hisia na hamasa ya kuitazama
Safi sana mtu wa ruangwa nakubali ila jitaid episode zisichelewe kutoka Fanya kama umbamba
Leo nimemuona mtumishi mvuta sigara
Kutoka kenya 🇰🇪 unakubalika sana madebe
Salute kwenu
Huyu mtoto anajua kweli,,,,, madebe lidai
Duuuu daktari wa Kijiji akiolewa na muuuza majeneza, madebe wakuache bana
Madebe kama njoivo ulivyo na kwako muke wako amebarikiwa Sana naomba like zamadebe
Subutu watu waivo kwakuachwa sasa wanachwagahadi wanachwa tena😂😂😂
Yani madebe anavyuwaiz nyingi kushinda hata series zinginee😂😂
Ma Shaa allaha 👌
Nice work bravo
Nyingi lini☝️☝️☝️👍🤗
Yec nice natural look
Mkwaju hamjamaliza mmetuacha njia panda mko uku tena kazi nzuri ila mnatuchanganya ss tutashindwa kufuatilia film tukihofia mnatuachia njiani 😓
Mkwaju iliisha,mke wa madebe alienda kwa mganga ili akamuue mmewe,kumbe mganga mwenyewe mkwaju ambae ni madebe
Song tamu sana
Wa kwanza
🔥🔥🔥 madebe jitu lenye maadili yake kichwan akikaa anakuja na mpya kali
Madebe supar talleŋty
hii nyimbo behinde da scene inaitwaje
KAZI Safi Sana
Uko safi sana
Tatizo ni moja Boss wetu anatutia hamu hlafu anatukimbia
Kama kawa anakupa chukuwaiyo ushasahawuu😂😂
Mbona cku hiz madebe anapenda kuvuta sigara
Hatr nasubr sehem ya pili
Matusi na Mkwaju zote zilikomea njian, Madebe jitahidi uwe unamaliza story
Kibenten 😂😂🙌🙌