Yanga SC 1-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League - 08/05/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2024
- Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC dhidi ya Kagera Sugar.
Imeshinda goli 1-0 na goli limefungwa na Mudathir Yahya akipokea pasi kutoka kwa Stephane Aziz Ki - กีฬา
AZAM wamedhihirisha vita yao dhidi ya YANGA hata kuonyesha goli la YANGA hawataki kweli Azam wanachuki na yanga, YANGA inapambana na Marefa ,TFF Azam TV, Azam FC na Simba duh!,
Highlight ya Kiwaki sana hii! Acheni kuonyesha basi kabisa mechi za Yanga😊
Azam nyie amna tofauti na muamzi wa Leo, sasa inamaana gani ya highlights na goli lililofungwa atuajaona lilivoingia ?
Wametoa highlits mbili nyingine washatoa fatilia chin utaona
@@Vichris2237highlits mbili sawa hii ndefu ilobeba matukio mazima ya mechi na goli likiwepo, mbona hawakulionesha?? Mnafeli padogo AZAM 😢
Wazinguaji sana ao
Ajabu kweli
Ya guede sio offside kabisaaaaaaa....kanyimwa goli mwamba.....gamond ana haki ya kupaniki inakera
Mmekuwa wapuuz nyie Azam vp hata goli halionekan
naona leo Dua yao yanga apoteze mechi
Wajitokeze wazamini wengine waonyeshe ligi kuu azam HAPANA HATUWATAKIII WABINAFSI
Leo Yanga imecheza timu 4 na Kagera, Azam Tv, Waamuzi na TFF.
kabisa
Historia imeandikwaaaa highlights ya kwanza duniani kutokuonyesha the only goal in a big competition 😂😂
Nini maana ya highlights,inamaana goli lilifungwa sio tukio muhimu kwenye mchezo. Kunapoelekea kila team hiwe na tv yake,azam tumewachoka.
Shanga na Ww
Mbona makasiliko au upande wa pili
Hivi nini maan ya highlights halafu goli halionyeshwi
Highlights gani goli halijaoneshwa sasa
Asipofunga AZIZ KI STEPHANIE BADO pia muda ankooo wa simu Leo ataipata simu yake iloibwa🎉🎉
Sasa Hilo Gori kwenye ubao hapo mbona hatujaliona likifungwa.... Au na ninyi huwa mnapitiwaa📌
Congratulations to our lads, it was a tough game but it counts as usual. Keep the energy, we have unfinished business with Azam...We want to make them regret!
Azam mmeanza mambo ya hovyo Sasa itakua mnatuonesha ujinga kama Goli amnjaonesha siwezi Tena nkafungua Azam upande wa utube🏃🏃🏃
mbna goli hatujaona shds nin ety
Video sio nzuri goli lenyewe halionekani lilipatikanaje!
Allaah Akbar
Ila TFF na waamuzi wenu hawa nawahakikishia kunasiku litawakuta jambo na mtakosa wakumlilia...2 goli na hakuna of side.??kweli hazi ipo...
Hivi hii mechi iliisha bila kufungana...!? Maana sijaona goal lolote....Azam mnaliwa jitathminini
Azam mnatuonea wivu Yanga na mnamuonea wivu Mudadhir, mtambo wa magoli, mmeficha goli la kwanza.
Goal la mudathil halijawekwa kumanina zenu🙌
Mpira Gamondi-algentina ❤️
😂😂😂sehemu ya goli imekatwa
highlight haina goal sijawai ona.
Akuna kitu cha nyongeza ni alhamdulillah tu mengine tunamwachia Mungu
Oya Azam acheni usenge kwani sisi tunataka kuangalia kosa kosa kenge nyinyi mnakela marusharusha sana Bado goli na mnalirusha
Wasenge essences
highlight si nzur goli la kwanza vip wamepeana ?
Jifunze kuweka highlights pamoja na goli
Kipa alivyoingia kwenye nyavu 😂😂
Mie Niko mnyarwanda rakini hiii yanga hifungwe ao bs igawe mutwambie siye banyarwanda
Ok poa banyarwanda tunawapenda
@@GeradinaJohn-xh8pw asanteni sana na siye pia tunawapenda wa Tz kwa ujumala
Fresh banyarwanda nimeelewa maneno mawili tu
@@user-rj3cd2lh8w 😂😂😂😂😂😂😂
Mbona goli lililopatikana halionekani limefungwaje? Azam nanyi mnakuwaje?
YANI SIJAONA HUDUMA YA UDHAMINI YA KIPUUZI KAMA YA HAWA JAMAA INATAKIWA IJE KAMPUNI KULETA USHINDA NI AZAM WANAZNGUA
Wekeni highlight ya kueleweka kwanza fupi sijui mkoje mbwa nyie
kafungwa mtibwa ila walio umia cyo kolo tu mpk hawa wauza icream 😁😁
Goli lmefungwa na nan sasa ntakuwa siangalii tena highlight zenu tenaa😢
Inakuwaje offside wakati kabla Guede hajauwahi ule mpira uliyorudi kutoka golini rebound tayari mshika kibendera alishakuwa mbele ya Guede baada ya Guede kufunga goli ndiyo yule kibendera anaonekana kurudi nyuma na kunyoosha kibendera chake juu kuashiria ni offside! Sasa kama Guede alikuwa ni offside kwanini hasionyoosha kibendera pale pale aliposimama mara ya kwanza?!!
Waamuzi wetu ni majnga
Inamaana goli halipo kwenye highlight?????????
Goli mbona halipo??
KUMBE NIMEGUNDUA YANGA INA WAPINZANI WENGI. GOLI HALALI KAM HILO UNALIKATAAJE SASA
Lkn mungu ametulinda tumepata point tatu muhimuuu
Azamu hawataki kuona mudhathir akiwapigia cm tena kwenye uwanja wao 😂😂😂
MB zangu zimeenda bure kwakua target yangu ilikua ni kuona Goal
Nyie wasenge ni highlight gani hii mnashindwa kuonesha matukio muhimu, kama mikundu inawawasha si museme tu.
Waamuzi bhna. Sasa offside ya goli la gwede iko api?
Kipa wa kagera sugar yumo sana.
Ndo nini sasa Gamond anafanya jamani 😢
Kwani nn jmn ilo goli letu cjaliona hapa
Goli haliinekani kuingia mbona
Azam vp mnakwama wp goli mbona haturioni jamani so haki😮😮😮😮😮😮😮
Mbwa nyie sasa goli lililofungwa nmeonyesha wapi
Nakodoa macho mpaka yanauma goli hakuna jamani acheni kubana,acheni chuki binafsi
Mmeniharibia MB zangu...washenzi nyie
Natamani DStv wapambanie waonyeshe hii ligi, maana naona kabisa kila mfanyakazi wa Azam tv anahujumu avyojuwa.
Highlights hii haina maana yoyote
Azam acheni usenge, where is gool
Bola msinge weka highlights au? Kwakua kafunga muda
Kwani hawa waamuzi huwa wanaokotwa wapi
Azam vyote mmeonesha goli ni kitu Cha kutuficha jmn
Azam tunaomba mjitahidi mlete VAR na Goal line Tech. Hawa waamuzi wetu wanajificha sana kwenyw kichaka cha makosa ya kibinadamu.
Mnaliwa na manyani😮
Highlights haina goli, kweli wahandishi hawana d mbili
Mbona goli la gwede lipo clear there was no offside
Goli liko wap
Video mmehonesha vipande 2 weka saliyo
Yanga oyeeee..
Mtaan atakufa kw haw jamaaah
Huyu kocha ua anakaza sana.
Azam azam Azam mnashidaa Gani 😢😢
Pamoja Na yang a kufanyiwa Gigisu kwa
sijawahi kuuna msaidizi mwehu kama huyu, hajui kutafsiri offside
Angalieni mwamuzi wa Leo kati ya Simba na azm Kuna vituko vikubwa.mwishini mwa ligi yetu waamuzi wanapewa maelekezo kama sio basi wachunguzwe
Waaamuzi wa mchongo hao
Kwanini hamjaweka goli ?? Azam media mnaonesha wazi kabisa mna chuki na Yanga,
Mimi natoka kagera rakini watoto wasituchezee wache yanga iitwe yanga
Nyie wasenge kweli azam
Mbona goli hamuweki
Yanga.vs.yanga oyee
Marefa na malinseman wanajaribu kuizuia Yanga lakini wapi sasa Yanga ikishatangaza ubingwa utashangaa vitendo walivyokuwa wanaifanyia Yanga vitayeyuka. Hii inaashiria walikuwa wanafanya hivyo makusudi ili Yanga isifanikiwe na kama mbinu ya kutaka kupata kitu.
NIMESOMA COMMENT NIMEONA SINA HAJA YA KUANGALIA VIDEO COZ GOLI HALIPO
Mnachelewa saana
Umeshatuona sisi vibwengo wasenge hawa
Azam niwapuuzi sana
Wasenge Hawa Bora hata wachukuen
Dst tu
silly highlights;where is the goal??????
yani tukio la muhimu la gori halikuonyeshwa hahaha yani mnachuki nyie azam duuu
mbona goli hamkuonyesha nyie wapuuzi? mnakwama sana na taaluma zenu wangese nyie
Mimi nimerudia Zaidi ya Tamara tatu sijaona goli
Wamekula chuma pamoja na waamuzi wao
Kwan hilo gor vp mbona sielew apa azam mmepigaje apo? Mshaanza ubinafus eeh
Uyu mzee nidham haba🤣
Azam mbwa kama mbwa wengine hilo goli halali mbona hamjatuonesha?k nyie
Bongo atuna malefa niuchafu2
Azam tv wasengeee San 😂😂😂😂😂 goliiii halipoo kumanina zenuuuu
Azam mnafeli sana San sikuizi
Jamani sio Azam ni awa walio chukua izi krp ndo wamezingua
Ni azam bwana uchoyo mwingi
Yanga inajimudu kwa hivyo azam sio lazima kurusha mechi za yanga.rusheni za simba na zenu.
Sasa goli halionekani
Nyiee Azam makengeee Sana kwanini amjaonyesha goal
Mbona goli Amna Azam vp nyinyi