PART2:NIMEUA NDUGU ZANGU WOTE NA KULA NYAMA ZAO/TULIMUWEKA NYUMA YA MLANGO/ALICHAPA USINGA TUKAPAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 106

  • @cloriosashirima9351
    @cloriosashirima9351 4 ปีที่แล้ว +6

    Yesu ww ni mzuri sana umetuokoa, YESU ni kila kitu wachawi hawana jipya kwa kweli!

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +6

    Wachawi hawana maana kabisa faida yenyewe wanayopata ni hamna,roho mbaya bila huruma ,sasa furaha yao ni kuua na kutesa watu,bila kosa.

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 4 ปีที่แล้ว

    Listening and learning a lot from the show,,,big up Mr fact

  • @mariamukingazi3668
    @mariamukingazi3668 4 ปีที่แล้ว

    Dah uchawi noma sasa wanapataga faida gani

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Kazi yaujingaa usiokuwa nafaidaa yani Mali yakafaraaa 👐👐👐👐👐👐👐 Eee MOLA nijalie nisiwe na tamaaa kamahiyo

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsantee YESU nimekujuwa ww na kukutumikia... Jamani ww unafurahia kuwauwa ndugu zako jmn.😭😭😭😭

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      Mchawi ni mtu hana maana kabisa yani akikosewa kidogo yuampa mwenzake adabu ya kifo hivi tutajibu nini tukirudi kwa hakimu wa haki,Eee Mungu tuongoze🙏🙏

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 Amina🙏🙏🙏🙏hakuna mtu mkatili na mwenye roho ngumu kama mchawi..shangazi yake ameshaenda kwenye hukumu yake.

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 sijui atajibu nini,ingekua Mungu anahukumu kama mwanadamu dunia ingekua haina mtu,ila Mungu wetu Amelia huruma na upendo, licha yakua tunamkosea kila sekunde😢😢

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 anatakiwa kuombewa ili roho yake iingie peponi..Roho nyingi zinateseka toharani zimezuiliwa kuingia kwa Baba

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว

    Duuhh AISSEH mbona mtiani uhuu doo AISSEH mungu hatunusuru na Wachawi

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +7

    ushirikina ushindwe kabisa kwa uezo wa ALLAH.

  • @swahilitrends
    @swahilitrends 4 ปีที่แล้ว

    Bro big up naomba tuongee

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 ปีที่แล้ว +1

    Mm pap💃💃💃Nawakilisha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 ปีที่แล้ว +4

    Moyo wangu unavuja dam binadam tumegeuka wanyama😢😢😢😢😢

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌

  • @shainnakamoto5310
    @shainnakamoto5310 4 ปีที่แล้ว +1

    Hey Mr Davistar Mata,How did you search and find stories like this? And why did you decide to do it?

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Nmewahi Leo pamoja sana bro

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 ปีที่แล้ว

    Cameraa yako iko powaa my davista yaani picha iko good Sana had raha....

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

    Yesu ndie kiboko yao

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 4 ปีที่แล้ว +4

    Dah! Wachawi motoni ndio itakuwa makazi yenu ya milele!

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka toka nimeanza kufatilia izi stori sijasikia wachawi mmepata utajili wa kudumu

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hao misukule wanapolima,je watu wa kawaida huwa hawawaoni?na kulima kwa usiku na giza wanaona vipi?na je majirani hawashangai kuona shamba limelimwa?

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana Davistar 🤝

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 4 ปีที่แล้ว

    Makini sana

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +1

    Mfalme wauchawi 😂😂😂yeye akiitwa ivyoana furahi kumbe anamaliza ndugu🤣🤣🤣

  • @serahjosephine674
    @serahjosephine674 4 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza leo naomba like nyingi

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +4

    Duh wachawi wote hawataenda mbinguni

  • @emmanuelyraphaely3343
    @emmanuelyraphaely3343 4 ปีที่แล้ว +2

    Oya kwa wale wakaz wa dar kama na ww umesikia kijiji kinachoitwa magomeni gonga Like tujuane 😂

    • @bintimrope
      @bintimrope 4 ปีที่แล้ว

      😃😃😃kakosea tu sio kijiji ni mtaa mtwara mjini

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      Nimekidikia

  • @leylahloo5863
    @leylahloo5863 4 ปีที่แล้ว

    Subhanallah is very sad sad sad

  • @yussufmohamed7427
    @yussufmohamed7427 4 ปีที่แล้ว

    First to like first to watch

  • @ummusulaish5586
    @ummusulaish5586 4 ปีที่แล้ว

    Duh !
    Haya mm nafuatilia tu na kuzidi kujifunza mengi

  • @aishamustapha7381
    @aishamustapha7381 4 ปีที่แล้ว

    Duh!!hii shida kwa kweli

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu HAWA wa chawi wanapata faida gani huyo shangazi yako bibi yaka NA wewe pia laana tullah mtasema nini KWA mwenyezi mungu 💔💔💔💔💔😭😭😭😭😭

    • @chumbeboy9632
      @chumbeboy9632 4 ปีที่แล้ว

      Kama katubia kweli na karudi kwa mola wake basi elewa kuwa huenda akawa ni bora kuliko ww

    • @simonhaule6567
      @simonhaule6567 4 ปีที่แล้ว

      Jamani c ametubu!!!huenda atasamehewa!!

    • @hamidaalhabsi8568
      @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

      Kama atakuwa BORA KULIKO MIMI je KWA mwenyezi mungu tuna juwa nasamehewa KWA makosa lakini si yakichawi elewa bro hilo JAMBO la uchawi mwenyezi mungu alilikemea kabisa😭😭😭

    • @chumbeboy9632
      @chumbeboy9632 4 ปีที่แล้ว

      @@hamidaalhabsi8568 usimuhukumu mwenzako dada ni kweli cjakataa ila mungu husamehe madhambi yote icpokuwa kushirikishwa ila huweza pia na hilo kusamehe kwa amtakae na Allah (s.w) humuingiza peponi mja wake kwa rehma zake ila sisi tuachie hapo Allah ndo anaeijua hatma yake na Allah atusamehe yeye pamoja na sisi na in sha Allah siku ya miadi atujaalie kuwa ni miongoni mwa watakaokipata kivuli chake na kuingia peponi in sha Allah. ASSALAAM ALAYKUM

  • @ylosvijevana6815
    @ylosvijevana6815 4 ปีที่แล้ว

    Davister hem uliza wakila nyama za watu kichawi wanashiba katika hali ya kawaida ya ubinadamu?

  • @luqmanmohamed9198
    @luqmanmohamed9198 4 ปีที่แล้ว

    Mr Fact wachelewesha sana Episodes

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +2

    Davi, hebu uliza kwa nn wanachukuwa mwili alafu sana wanaeka mgomba manake sana hutumia mgomba uliza tujue

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว

    Part 3,unachelewesha Davista

  • @amriyalibent8441
    @amriyalibent8441 4 ปีที่แล้ว

    Kwa Mungu kuna mengi dah watu hawafi kiukweli

  • @nasserkhoduri4087
    @nasserkhoduri4087 3 ปีที่แล้ว

    Dunia Hii🤔🤔🤔

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 4 ปีที่แล้ว

    Tabu yote hiyo kuua ndugu halafu faida yake ni kuwanga tu na dhambi juu
    Hawana maendeleo yoyote na wakipata hela za masharti sasa raha iko wapi. Duniani mateso na kesho kwa Mungu mateso ili mradi balaa tupu

  • @LifeofSalmah
    @LifeofSalmah 4 ปีที่แล้ว +1

    🙂Stori inatisha,usiombe yakukute🙂

  • @nancychissamo379
    @nancychissamo379 4 ปีที่แล้ว

    Nimewi wai wallah!!!😁😁😁

  • @mamuuwesu7236
    @mamuuwesu7236 4 ปีที่แล้ว

    Kaka mung akulind.

  • @iddyhamis5330
    @iddyhamis5330 4 ปีที่แล้ว +1

    wakwanza leo

  • @emmanuelyraphaely3343
    @emmanuelyraphaely3343 4 ปีที่แล้ว +2

    Oy a wanazengo na mm leo nimewah ila #davistar awa watu wenye hii mikasa unawatoaga wapi au na ww mchawi 🤣😂

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 ปีที่แล้ว +2

    Changamka kuongea yan kweny story zote juma ndo nomb 1 nilikua nasikiliza had rahaa

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Mimi yule wa migodini aiseee story ile ilikua tamu

  • @davidsimpungwe1108
    @davidsimpungwe1108 4 ปีที่แล้ว

    You

  • @sekelamwambomanabiiwakwwli8559
    @sekelamwambomanabiiwakwwli8559 4 ปีที่แล้ว

    Wachawi wanaroho za wajumbe

  • @sarahmuch3637
    @sarahmuch3637 4 ปีที่แล้ว

    Wachawi hawana huruma kweli.

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 4 ปีที่แล้ว +1

    Uzingizi mwingi"Mchawi"

  • @hamidibrahim5369
    @hamidibrahim5369 4 ปีที่แล้ว

    DM waulize hawa wachawi wanauwa m2 vipi, wananyonga, sumu ama? Na njia yakujikinga na madhara ya uchawi

    • @voodothurday
      @voodothurday 4 ปีที่แล้ว

      Ayat kursiy,aya mbili za mwisho za surat baqrah,al ikhlas,al falaq na annas

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว

    Yani hii balaa aisee

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 4 ปีที่แล้ว

    Nipo hapa Makini wa kwanza

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว

    Mmh haya Mambo..nisikie tuu...😭😭

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +1

    Niwaulize wa tz hii misukule hua ni watu wameuliwa ama ni watu wamepotea kwa mazingira tata halafu wachawi wanawabadilisha akili wanakua hawajielewi?

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      Yeah wanakuchukua kwa njia ya kiroho then unafanya kazi mwisho Mungu akitaka kukuchukua ndo unakufa lkn duniani watu wanajua ushakufa kitambo

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 ปีที่แล้ว

    Teh

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว

    Kk Davi, hizi story venye watu wamefanya mikasa hii huwa haezi shtakiwa ama polisi kumshika ama kuhukumiwa

    • @momadeatibo6729
      @momadeatibo6729 4 ปีที่แล้ว

      kesi kifungu gani??, haiwezekani maana selikali haiamini uchawi, alafu hawa wapo kwenye majuto, kwahiyo haiwezekani.

    • @farhadhassansaid1297
      @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว

      @@momadeatibo6729 Sawa kwa kunifahamisha

    • @momadeatibo6729
      @momadeatibo6729 4 ปีที่แล้ว

      ila hawa jamaa wanakera sana!!!!!.

    • @bonniebaraka
      @bonniebaraka 4 ปีที่แล้ว

      @@momadeatibo6729 si watamloga hata hakimu hawa ???

    • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
      @salmakiyabosiriyamachoziha8756 4 ปีที่แล้ว

      Da mungu tusaidie eee kimbe tunaonaga misb mwaka huu kaf mud kafa mwingine kumbe unauliwa na nduguuu mungu turehemu sana unamchezache sasa du

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +3

    Alie sikia ucha ilishaanza kuninogea gonga like twende sawa omon 1🇹🇿🇴🇲

  • @bmoa3538
    @bmoa3538 4 ปีที่แล้ว

    Wewe hutaki kuwa na cheo kama cha hassani

  • @marymungedi5629
    @marymungedi5629 4 ปีที่แล้ว +1

    Hey guys

  • @rehemamustafa8134
    @rehemamustafa8134 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu! Mtu unaweza kusema kwa utani !! Mchawi nn kumbe unaenda kufanyiziwa kweli!

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 4 ปีที่แล้ว

    Duh wachawi jamani

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 4 ปีที่แล้ว

    Mh mbona me sielew mchawi akimchukua mtu si anamuweka kwanz mpk 40 ndio anakatwa ulim Hawa mbona wakiwachukua usiku wanawakata kabs🤔

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

    Dooh hatar sana

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 4 ปีที่แล้ว

    Uchawi mwisho wake mbaya

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว

    Mumerauka leo wadau

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 4 ปีที่แล้ว

    Anataka kuwa kama hasani nakichwa chake kama sahani😂

  • @zaimahamed3375
    @zaimahamed3375 4 ปีที่แล้ว

    kumbe utumwa bado upo duniani

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

    Jamani watu warauka😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 zege hailali my friend

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 😝😝😝😝