PART3:NIMEUA NDUGU ZANGU WOTE NA KULA NYAMA ZAO/TULIMUWEKA NYUMA YA MLANGO/ALICHAPA USINGA TUKAPAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว +5

    Tunamuomba Mungu atulinde na Mtihani Ya dunia amen 🙏

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 ปีที่แล้ว +9

    Hiii inatufundisha usipokee mgeni usiyemjua ukalala nae kwako jaman dunia ya sasa imebadilika mno Mungu atusaidie sana.

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +7

    Yan sheik wa Allah anampeleka mgonjwa kwa mganga 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌waislam

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      Makubwa haya😂😂😂😂

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

      Ndoapo wanapo nichoshaga😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁😁

    • @simonhaule6567
      @simonhaule6567 4 ปีที่แล้ว

      @@roseuwambe8089 kina Nani?

    • @neemaabdallah3567
      @neemaabdallah3567 4 ปีที่แล้ว

      Anaenda kutibiwa Hapana ubaya wowote

  • @mwesigwaannte1658
    @mwesigwaannte1658 4 ปีที่แล้ว

    Davistar Thanks for the good work wachawi wako na kazi kweli

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana wanayaona sasa KWA mwenyezi mungu

  • @shaniashani5032
    @shaniashani5032 4 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo letu sisi wa africa hatutakagi kuwapa nafisi watoto wajieleze na kuwamini..kila kitu tunaonaga hawasemi kweli ni watoto. Japo watoto asilimia nyingi hawajuagi kumtungiaa mtu uongo wanasemaga yale walio yaona ama kuyaskiaa..wangemskiaga mapema yasinge wakuta .yalio wakutaa.✌🇳🇱🇳🇱

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      kweli hio ndilo tatizo la waswahili wala si uwongo

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 ปีที่แล้ว +1

    Kinachoniuma kila mara nikwa nini wanalazimisha mtoto mdogo kushiriki mambo ya ushirikina bila kuelewa hata kimachoendelea. Masomo na maisha ya mtoto inaharibika. Nahata akiwacha uchawi huwa ameshadhuru jamii. Makosa.

  • @likeothers2498
    @likeothers2498 4 ปีที่แล้ว +3

    Sio mbaya 77 naomba likes zenu jmani

  • @abdillahkhamis4303
    @abdillahkhamis4303 4 ปีที่แล้ว +3

    Leo mm wa kwanza naombeni like zenu

  • @towettcheptoo3047
    @towettcheptoo3047 4 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana Mr fact

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 4 ปีที่แล้ว

    Loooh Mungu awalaani wanga na wachawi wote

  • @yoldayim4492
    @yoldayim4492 4 ปีที่แล้ว +3

    kila muda nakuja kuchungulia humu nakuta hola....hatimaye davista umefanya kweli

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 4 ปีที่แล้ว

    Thanks alot for the episode

  • @mohamedngoshani5913
    @mohamedngoshani5913 4 ปีที่แล้ว +2

    Mchaw afadhilik pia watu weng wamepata mattzo sabbu ya wema wao plz ndg zng tuwe makn na binadam wenzetu japo cyo wote

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 ปีที่แล้ว

    Dah hiyo noma sana

  • @fredichaki4868
    @fredichaki4868 4 ปีที่แล้ว

    Nakupata vizuri kutoka hapa Singapore

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +3

    Kk Davi, migomba ipo mikavu haina ndizi hapo😄😂😂😂

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi inasisimua sana.afadhali kaacha uchawi ila maskini baba yake sijui atakuwa na hali gani huko, baada ya bibi na shangazi kufariki.

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 4 ปีที่แล้ว +12

    Leo nimewai kinoma,nipeni like wa sita,DM mambo vip

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

    yan haw wachawi wataponza ht wenye matatizo kweli wasipokelew wl kusaidiwa jaman Kwan wachawi mna tatizo gn

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +3

    Pamojaaaaaaaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🙏✌️

  • @salehfarid1003
    @salehfarid1003 4 ปีที่แล้ว

    Alivyobeuwa huyu dogo... davister km kashtuka hivi na harufu 😂😂

  • @p.matabaro
    @p.matabaro 4 ปีที่แล้ว +1

    16:22 😂😂😂 Davista leo umeceka saaana

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 ปีที่แล้ว

    Safi kwa maamuzi

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja saana

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

    Ni vizuri ulitoka walaaniwe wachawi wato kwa yale wanayo wafanyia watu

  • @demetriushenry3585
    @demetriushenry3585 4 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur kaka
    But ninaushaur mdogo kwako maana naona Kuna mda unaumia Ila unashindwa kujizuia
    Kwann usinunue ile stand ya mic 🎤 ili iweze kukufanya uwe free ktk mahojiano yako brother

  • @yvettekyalika907
    @yvettekyalika907 4 ปีที่แล้ว

    .. Wickedness...

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atunusuru jaman🤔

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 3 ปีที่แล้ว

    Pat4 chap

  • @hellenmanzi4740
    @hellenmanzi4740 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kitu nmejifunza kikubwa mno TUACHE KUWASAIDIA WATU TUSIOWAJUA NA KUWALETA NYUMBANI

    • @sarahyvonne4580
      @sarahyvonne4580 4 ปีที่แล้ว

      Hini mtihani mzito sana,MUNGU anaeza kutanisha na mtu anashida,ini umsaidie,takapo mpita usimsaidie,siku ya mwisho MUNGU atakuku mbusha itakusababisha usingie mbinguni,ndo mana NENO LA MUNGU,linasema funikeni maisha yenu kwa DAMU YA YESU, kabla ujafanya chochote,tanguliza mungu kwa mambo yako yote,ANGALIA MUNGU ALIPO MTUMA MUSA,MUSA ALIMWAMBIA ENDA NAMI,SITOKI HAPA USIPOENDA NAMI,unaona kupitia hawa wazazi walio pokea huyu mtoto,wamesababisha akapona

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว

    Nyumbani sitoenda ukinipa hela nitakula aiseee😄😂😂 hadi Davi kafurai

  • @rosellaabraham13
    @rosellaabraham13 4 ปีที่แล้ว

    Davistar anavyocheka sasa 🤣🤣...cheko lake linaambukiza unajukuta na ww unacheka cheka tu😅😅🙌

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +4

    Wacha nicomments before ni watch 😂😂😂😂

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +2

    Sio mbaya 29..nimechungulia hadi nimelala juu ya simu.😂😂😂

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂usinichekeshe eti umelala juu ya sim ndio ngoma ikiingia tu unaskia kama alarm 😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 ndio maana nimekodoa macha TH-cam hadi yameuma

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 pole 😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 nimepoa baada ya kupata prt3...uko my

  • @marykanjila5699
    @marykanjila5699 4 ปีที่แล้ว +1

    My!

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 ปีที่แล้ว

    Kijana Mrudie tu mungu wako hakuna asilo liweza nakushukuru hukumtoa mamako

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 ปีที่แล้ว

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli

  • @arestidesshematheodore5716
    @arestidesshematheodore5716 4 ปีที่แล้ว

    Mmmh!

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Mrudia Munguu wako mana umepitia mengi nyamazawatu kula loo

  • @OmarMohamed-cb1tu
    @OmarMohamed-cb1tu 4 ปีที่แล้ว +2

    Hii wa kwanza wa mwisho sijui niliwahai ina faida gan mso kaa mukasikiza hadithi...

    • @OmarMohamed-cb1tu
      @OmarMohamed-cb1tu 4 ปีที่แล้ว

      Bro kua Makin sana ama upikwe ju izo interviews zao Hao wtu.. wengine mitego

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +3

    Leo mapema ila nimechelewa😊

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimefika

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 4 ปีที่แล้ว +1

    Mfalme wakichawi😂😂😂😂

  • @winniedorah778
    @winniedorah778 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo nimejifunza kitu kupata mtoto barabarani umpeleke kwako chunga sana, niliwahi Pata mtoto kazi I hotelini nilipokuwa nafanya mtoto mganda mwenye umri WA miaka 8 kumbe yule mtoto ni mwizi, wanajifanya Street children ukiwa peleka kwa nyumba Wanaiba wanatoroka

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

    Duumtu kakusaidia tenauna muwangia nakumfanyisha kaziusiku wachawi hawana akilihata kidogo😔😔😪😪

  • @halimashabani4177
    @halimashabani4177 4 ปีที่แล้ว

    Mh, hawa ma bibi hawa sio poa

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

    Wachawi nao hawana haya looh yani umekaribishwa bado mnawachezea dooh

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

    Dooh mmh

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa kweli Phd

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 4 ปีที่แล้ว

    Tuna walogaaaaaa 😂😂😂😂😂😂

  • @ninasheby0159
    @ninasheby0159 4 ปีที่แล้ว

    Tunawalogaaaaaaa

  • @juliusphabian6336
    @juliusphabian6336 4 ปีที่แล้ว

    Iv ni kwel shehe anaweza kufanyiwa ivo?..... au iman haba

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 ปีที่แล้ว

    Ongela sana na pole sana🙏🤲🙏

  • @habibafeithal4014
    @habibafeithal4014 4 ปีที่แล้ว

    Mm napenda anavyoongea tu huyu mzee wa kuchapa watu bakola

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuwa wa 9 najipongeza

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว +1

    Mim nasemaga mashehe na waganga lao moja

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 ปีที่แล้ว

      Je unasemaje kuhusu machungaji walokwenda nigeria kuchukua uchawi na kujifanya wanawatoa waumini majini. Na kuzidisha waumini kiuchawi. Hao unawaitaje? Ebu tuliza mshono tusikilize mkasa wa huyu jamaa usitutoa kwenye mada. Imefika au nizidishe volume

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ulishawah kusikia mganga mkristo

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      Sasa kama mashehe na waganga mbona huyo shehe alikuwa anatwaliwa na wachawi bila ya kujijua so acha fikra hizo ndugu yangu , mtu mchawi anaweza akawa ni mtu yeyote , Mimi mkristu lakin siwezi nikasema maneno hayo kwasababu hakuna mtu yeyote ajuaye yaliyo silini pa mtu

    • @butondodavid2105
      @butondodavid2105 4 ปีที่แล้ว

      Point yangu hamjaielewa huyo shehe angejua uwezo wake mdogo angemtafutia shehe mwingine au angemruhu aende kwenye makinisa nasiyo kumpeleka kwa waganga tatizo mnachukulia hisia tu

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 ปีที่แล้ว

      @@butondodavid2105 huko kwa wachungaji wao ndio wamawatia majini waumini ili wawatoe mbele yenu muamini. Na nikisema hivi sio kama siamini ukristo hapana. Mm ni muislam ambae najua dini yangu na najua ukristo na naamini ni watu waloshushiwa kitabu kama waislam. Lkn kwenye uchungaji huu wa kutoa majini hapana. Kwani ukristo umekuja miaka hii? Mbona miaka ya zamani hatukuona haya mambo ya kutoa majini sijui kufufua wafu? Ina maana kuna wachungaji wa kweli na wako matapeli. Ni sawa na mashekhe wako wenye imani na wako wachawi na wazinifu pia. Hii ni nature ya binadamu. Sasa tusitukane na kukashifiana wakati wote cc ni binadamu na kila mmoja ana mapungugu na aibu zake. Mungu ndie anajua ukweli wetu

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 ปีที่แล้ว

    Part 3 dah kila saa nilikuwa nachungulia yuotube jaman hatimae iyoooo

  • @damg4332
    @damg4332 4 ปีที่แล้ว +1

    🙄🤔

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 4 ปีที่แล้ว

    Wakuchelewa

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 ปีที่แล้ว

    Kwani Mwalala Huku😂😂😂

  • @muddymohammed9039
    @muddymohammed9039 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha et olewako useme!

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 ปีที่แล้ว

    Uchawi nibalaa

  • @shanyabdul2386
    @shanyabdul2386 4 ปีที่แล้ว

    Wa 18 sio mbaya

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇴🇲

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 4 ปีที่แล้ว

    Kimbia fasta

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 ปีที่แล้ว

    🙄🙄🙄

  • @angelinedastan2310
    @angelinedastan2310 4 ปีที่แล้ว

    wachelewaji tupo km kawaida davi...

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 ปีที่แล้ว

    Wachawi Mwapata Faida Gani😏😏😏😏🙄🙄🙄

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

    Maostadhi wanabebwa na wachawi 😂😂😂😂😂alafu wanajifanya wananguvu

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyo akuwa ustadh wala shehe ,huyo msimuliaji yeye ametaja tu majina aunt vyeo ata hivyo sikila kiongozi wa dini Ana nguvu ya kutambua wachai ,

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gadafimasoud310 wala usipate tabu kumfahamisha huyo mimi mimi anataka kukera watu hana lake jambo. Kuna watu wanakuja hapa kukera watu

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 ปีที่แล้ว

      ovyoooo kwedraaaaaa🙄🙄🙄🙄

    • @zaitunijuma7831
      @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

      ni kweli wp wt wanakuj kuker wtu hp

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว

    Mambo ya ajabu kabisa,yaani Shekh anampeleka mchawi kwa mganga? Ngoja nikae kimya tu nisichafue hali ya hewa.

  • @marykanjila5699
    @marykanjila5699 4 ปีที่แล้ว

    My!