leo umependeza sana davistar, ila naomba Mungu akulinde kwa kazi unayofanya maana shetani anaona unavyomfichua na siri zake kupitia shuhuda mbalimbali, hivyo ninaomba Mungu aliye juu mbinguni akuzungushie ulinzi wake kila unapokanyaga na unapoenda uwe mikononi mwake Kristo Yesu
Ndio maana some time mkienda kwa waganga mnakuta vitabu vya kichawi vimeandikwa maandishi ya kiarabu kama hujui Qur an unaweza sema ni qur an kumbe ni vitabu vya kichawi vinavyotumia lugha ya kiarabu
SHEIKH NA MCHAWI NI WATU WAWILI TOFAUTI, UISLAMU HAUFUNDISHI USHIRIKINA WALA UCHAWI, BALI WATU HAO WANATUMIA KIVULI TU CHA DINI, NI WACHAWI NA SIO MASHEIKH..
Professa ndugu yangu. Naamini unampenda Mungu na dini yako. Lakini tafadhali fanya uchunguzi. Waislamu wa kawaida wanamfuata Mungu kwa dhati, lakini wasomi wa dini kina Shekhe na Ustadh ndio wanaoelewa undani wa uislamu. Ulijua kwa mfano kuwa Uchawi dhidi ya wanaopinga uislamu kama vile wakristo ni mojawapo ya JIHAD? Tafuta katika TH-cam clip inayoitwa " Aliyekuwa Muislamu ..." Ina picha ya mwanamme aloyevalia nguo ya blue. Anasimulia jinsi alivyofunzwa elimu ya uchawi ambayo iko katika sehemu ya mwisho ya Q'uran. Anaeleza vile wakati mwingine alishirikiana na kikundi cha Mashekhe kuroga Wakristo waliokuwa wamepanga crusade. Lakini wote walishindwa. Unajua kuwa waganga na wachawi mashuhuri kabisa ni Mashekhe? Na wao hutumia Q'uran. Ni kweli kuwa waislamu hufunzwa kuwa dini imekataza uganga na uchawi lakini ukweli wa mambo ni tofauti kabisa. Unajua vilevile kuwa "Albadr" inayosomewa mtu aliyekukosea ni uchawi na iko katika Q'uran? Wakati wa kuisoma majini huitwa kumwandama mkosaji wamwadhibu? Zaidi ya hayo, sehemu ya mwisho ya Quran ni mafunzo ya uchawi. Tafadhali chungiza kwanza.
@@LOGOSNew ndugu yangu cathrine kwanza nikujuze kuhusu albadri ni nini. Kulikua na vita kati ya waislam na makafiri sehemu ina badri. Ikaitwa vita vya badri. Lkn hakuna kwenye quraan inaeleza kusoma au kufanya badri. Ila waganga wametumia hiyo kwa manufaa yao wakaita albadri ili watu waamini. Na ujue wenye kufanya hiyo albadri ni haramu na ni dhambi. Waganga wanatumia maandishi ya kiarabu kwa asojua quraan ukiona utasema quraan. Sababu waganga wenye kufanya hivyo. Wanafanya africa tu wakienda nchi za arabuni ukikamatwa na hivyo vitabu ni kuchinjwa tu unajulikana ni mchawi. Sijui umenielewa?
Uyo kweli alifata elimu ila bila kujua kuwa uyo sheikh ni mganga pamoja na hao majin walimtak wamtumie kwenye kazi zao ,,..Au yeye anatficha alifata elim ya uganga ili awe mganga mwidho kayaona makubwa ikawa sabab ya kkimbia
Nilidhani niwachingaji wanaficha makucha yao mana wengiwao wanatumia nguvu xagizaa huyo shakhe naye sio kidogo dini kumbe mauza uzaa mybe alitaka kukufubdisha jinsi yawanga🤣🤣😂😂
Hao watu ulikuwa unawaona ndio waliokuwa wamemtokea Muhammad kwenye lile pango la Jabari hiraaaaaaaaaaa...........akawa anaminywa mbavu ...mara tatu ......🤠..wakampa na utume ...........huwezi ukafikia elimu ya kuitwa sheikh bila kuifikia elimu ya majini na kuwa na majini yako ...huwezi ukaitwa sheikh . Hayo ndio mnasema majini wema 🤠🤠..hakuanaga majini wema ....mashetani ni mashetani tu........think twice ma friend
Davis naona kama unaogopa vile ndo mambo ya kidunia mkuu au ww nae wakupeleke kwa xhehe ukimbizwe yaani kama nakuona vile xuti itakavyopepea huku maiki mkononi hahahaaaaaaa
Hiyo uliokwenda kusoma sio elimu ya dini na huyo wala sio shekhe Bali ni mchawi tena ni mshirikina hafai kuitwa shekhe na wala asinasibishwe na uwislaamu na we kaka unaekea hujuwi chochote kuhusu dini yako Mimi ninakuomba kasome nidi ya Allah na utubie saana ndugu yangu ktk imaani
Anatia shombo uwislaamu tu, hana lolote huyo ni mchawi na kaka kama umeamua kuacha basi tubia kwa Allah usiiyaanike mabaya yako mbele. ya viumbe wenzako
Huyu inaonyesha alikwenda kufanya uchawi asitudanganye kua dini. Na huyo sio shekhe ni mchawi tu na yy anajua. Ni vizuri devi anavyotuletea hivi visa tunajifunza
Jamani ndugu zetu waislamu, si anayezungumziwa hapa ni Shekhe, mwalimu wa dini yenu? Si anamfundisha huyu kijana dini yenu? Kwa nini basi huyu Shekhe amejaa majini na nguvu za kichawi? Kwa nini mafunzo anayotoa ni ya kichawi? Inamaanisha uislamu ni dini ya aina gani? Mungu asaidie watu wake wafunguke macho ya kiroho-katika jina la Yesu.
Cathrine wacha kudhalilisha dini za watu. Kama shekhe ni mchawi ndo uislam wachawi? Hujui kua yyni binadamu kama mapadri wengi tu ni wanga na wachawi sasa tuseme ndio ukristo uko hivyo? Nadhani hiini mara ya 2 nakufahamisha au akili zako zimefungika? Na tunajuaje ksma huyu mtu katumwa wacha uzembe
Ni kweli hata mapadre wengine ni waovu na kuna uwezekano mtu ajiiye shekhe akiwa anajifanya. Lakini chunguza utaona kuna aina mbili za elimu ya kiislamu: elimu ya kidini na "elimu dunia", ambayo waumini wa kawaida hawadiriki kuifikia.
@@susanejd7775 Aina mbili za Elimu ya Kiislamu: (1) Elimu Akhera - mafundisho juu ya kuabudu Mungu. Kila mwislamu anayo hii elimu. (2) Elimu Dunia - Juu ya majini, uchawi na siri za ndani za uislamu. Hii ni ya waislamu wa viwango vya juu kama vile Mashekhe na Ustadhi. Ni mafunzo yenye siri nyingi ambayo mwislamu wa kawaida hatakiwi kujua. Ni ya koo za viongozi wa dini n a watu ambao wanaweza kuaminika kuhifadhi siri bila kuropokwaropokwa. Ukichunguza kwa bidii utajua ukweli lakini haitakuwa rahisi. Huo ndio ukweli dada yangu.
@@LOGOSNew hakuna kitu kama hicho ati aina mbili za elimu. Dini ni dini hata awe baniani hakuna dini inayofundisha uchawi. Kama hao wachawi wanaojiita mashekhe mbona wakienda kuhij saudi arabia hawendi na hivyo vitabu vyao vya kichawi. Maana wanatumia alphabet za kiarabu lkn lugha sio kiarabu wala quraan. Wewe unajua ksma kuna watu wakikamatwa uarabuni na hivyo vitabu hukumu yao ni kuchinjwa unajua hiyo? Sssa kama ni moja ya dini ya kiislam kwa nn iwe haramu na wakanatwe? Usiwe mjinga hao wstu wanawadanganya sababu hamjui quraan.
Waislam wenazangu na wakiristo pia nawatakia iddi njema mungu atupe afya njema na tuzid kumsapot davista
Asamte fatma
Eid Mubarak
Amen
haswaaaa
Eid Mubaraq Fatma sule
Mtihani sana haikuwa elimu ya dini hiyo ilikuwa unafundishwa uchawi bila kujua alikuwa mchawi huyo si Sheikh amejificha kwenye kivuli cha dini
leo umependeza sana davistar, ila naomba Mungu akulinde kwa kazi unayofanya maana shetani anaona unavyomfichua na siri zake kupitia shuhuda mbalimbali, hivyo ninaomba Mungu aliye juu mbinguni akuzungushie ulinzi wake kila unapokanyaga na unapoenda uwe mikononi mwake Kristo Yesu
Mungu ni mwema kakutoa
Nice story divester mata nakufatilia sana bro kipindi chako
Kuna mambo upande wa pili Tumuombe Mungu mwenye kuokowa
Nice story binadamu wabaya Sana jamani
Mr Facts hongera sana Pili macho Yangu Au Naona kama Shavu dodo Ivi Masha Allah 😊😊
Nice brother
🤔 Dunia kuna mambo kweli but Thanks Davi for the good work
Honger davist mata
Endelea kutuelimisha Mr Facts pamoja sana
Nilikua live...naangalia shuhur ya esma
Lakin nimeacha kwa ajili yako davistar naomba unijibu...hongera kwa kazi nzur🇴🇲
Hata mm..yaan nimeacha fastaaaaaa😅😅😅😅
@Zeinab Farah kwani we uko wapi Zena?
Nakutakia eid utuketee tende tu
@@ayushsaeed1051.....mminal-mufaidhina....ucjali tende tyuu na huu ndo msimu wake zipo kama zote
@@lissapoul5227 kumbe tupo wengi
Asante sana Da vista
Pole sana kaka huyo kajivalisha vazi la uislam nimshirikina tuuh
Hatupoi Mtu makini🤝
Pole sana
Usitudanganye bro ulifata elimu nyumbani
Ndio maana some time mkienda kwa waganga mnakuta vitabu vya kichawi vimeandikwa maandishi ya kiarabu kama hujui Qur an unaweza sema ni qur an kumbe ni vitabu vya kichawi vinavyotumia lugha ya kiarabu
Kweli na ndo wanavyovikuta hawajui kitofautisha baina ya sheikh na mshirikina kanzu watajua kutofaitisha baina ya Qur-an na kitabu cha kiarabu?
Apo sawa umenena Kweli
SHEIKH NA MCHAWI NI WATU WAWILI TOFAUTI, UISLAMU HAUFUNDISHI USHIRIKINA WALA UCHAWI, BALI WATU HAO WANATUMIA KIVULI TU CHA DINI, NI WACHAWI NA SIO MASHEIKH..
Hii story sijaimaliza lakini naona imekaa kikutengeneza tengeneza fulani hivi.
Ukiwaamini sana watu utakuja kufeli,
Professa ndugu yangu. Naamini unampenda Mungu na dini yako. Lakini tafadhali fanya uchunguzi. Waislamu wa kawaida wanamfuata Mungu kwa dhati, lakini wasomi wa dini kina Shekhe na Ustadh ndio wanaoelewa undani wa uislamu. Ulijua kwa mfano kuwa Uchawi dhidi ya wanaopinga uislamu kama vile wakristo ni mojawapo ya JIHAD? Tafuta katika TH-cam clip inayoitwa " Aliyekuwa Muislamu ..." Ina picha ya mwanamme aloyevalia nguo ya blue. Anasimulia jinsi alivyofunzwa elimu ya uchawi ambayo iko katika sehemu ya mwisho ya Q'uran. Anaeleza vile wakati mwingine alishirikiana na kikundi cha Mashekhe kuroga Wakristo waliokuwa wamepanga crusade. Lakini wote walishindwa.
Unajua kuwa waganga na wachawi mashuhuri kabisa ni Mashekhe? Na wao hutumia Q'uran. Ni kweli kuwa waislamu hufunzwa kuwa dini imekataza uganga na uchawi lakini ukweli wa mambo ni tofauti kabisa.
Unajua vilevile kuwa "Albadr" inayosomewa mtu aliyekukosea ni uchawi na iko katika Q'uran? Wakati wa kuisoma majini huitwa kumwandama mkosaji wamwadhibu? Zaidi ya hayo, sehemu ya mwisho ya Quran ni mafunzo ya uchawi. Tafadhali chungiza kwanza.
@@LOGOSNew ndugu yangu cathrine kwanza nikujuze kuhusu albadri ni nini. Kulikua na vita kati ya waislam na makafiri sehemu ina badri. Ikaitwa vita vya badri. Lkn hakuna kwenye quraan inaeleza kusoma au kufanya badri. Ila waganga wametumia hiyo kwa manufaa yao wakaita albadri ili watu waamini. Na ujue wenye kufanya hiyo albadri ni haramu na ni dhambi. Waganga wanatumia maandishi ya kiarabu kwa asojua quraan ukiona utasema quraan. Sababu waganga wenye kufanya hivyo. Wanafanya africa tu wakienda nchi za arabuni ukikamatwa na hivyo vitabu ni kuchinjwa tu unajulikana ni mchawi. Sijui umenielewa?
Subuhanallah Rajabu
Mungu tunusu na walimwengu
Eid Mubarak kwetu sote
Muendelezo plzzzzzz🙏wengine usku tunakesha mitandaoni 🤣😂
Ni hatari hata muda wa kumshukuru Mumgu unanyonywa Mungu atupe kias Mimi nawapenda humu ndani
Naomba muendelezo davistar
Uyo kweli alifata elimu ila bila kujua kuwa uyo sheikh ni mganga pamoja na hao majin walimtak wamtumie kwenye kazi zao ,,..Au yeye anatficha alifata elim ya uganga ili awe mganga mwidho kayaona makubwa ikawa sabab ya kkimbia
😁😁😁
Huyu jamaaa si ndiyo walimuuwa fred wakiwa na Lameck.
Daaaah hamlali
Nilidhani niwachingaji wanaficha makucha yao mana wengiwao wanatumia nguvu xagizaa huyo shakhe naye sio kidogo dini kumbe mauza uzaa mybe alitaka kukufubdisha jinsi yawanga🤣🤣😂😂
Daa pole na mitihani sana kaka mungu yupamoja nawe Inshallah
Mtihan mzito
Davistar Bona umejiangalia apo ivo Mara mbili
tazam Jinsi zuchu Alivyochenza na diamond platnumz th-cam.com/video/fAUuWjgr3ac/w-d-xo.html
Leo Davistar umependeza😘 tunaeza anza famiia love from kenya
Wewe enda ukazae na raila odingi.usiharibu kijana wa tz.
@@hamadshein498 😀😀😀😀😀
@@hamadshein498 😃😃😃
@@hamadshein498 Mimi ni +254 but umenichekesha but wacha chuki 🙆😂😂😂😂
@@hamadshein498 Raila is too old to be my grand father,am just showing some love , showing support ,stop hateing nothing serious lo!
part 2
Tuned 🇰🇪
Big up.... thought I was the only Kenyan listening to this channel hahahaha
@@ramadhangona9085 No we're many infact i like this channel and many other Tz channels.
Yes Tz have so many online channels and interesting stories.... really stories.... let's keep enjoying
@@ramadhangona9085 Sure
Story nzito san hii 🙏🏿🙏🏿
Very good brother
Kazi nzuri sana bro
Hao watu ulikuwa unawaona ndio waliokuwa wamemtokea Muhammad kwenye lile pango la Jabari hiraaaaaaaaaaa...........akawa anaminywa mbavu ...mara tatu ......🤠..wakampa na utume ...........huwezi ukafikia elimu ya kuitwa sheikh bila kuifikia elimu ya majini na kuwa na majini yako ...huwezi ukaitwa sheikh . Hayo ndio mnasema majini wema 🤠🤠..hakuanaga majini wema ....mashetani ni mashetani tu........think twice ma friend
Huyu ajui kuflow... ila ngoja niendelee kuichek
Tunaendelea na simulizi yetu ya bwana aliyepitia mazingira ya kuwa TEJA (Mla unga)👇👇
th-cam.com/video/B9q1Kx1f7SA/w-d-xo.html
Wakwanza
Hongera 😆😆
Davistar tafta mic zile za kuvaa hapo kati
Sauti Leo hamna
Doh watoto wawenyewe kile hua mnakutana nacho wacha tu
jaman kesho nita tazama leo ucku no by wapendwa 😀😀😀
Acha uoga
@@butondodavid2105 😀😀😀
Duller Mzungu hapa
Uyosheehe alikua na majini😔😔😔
Sauti haiskiki vizury
Mekuja kuwah no tu stor kesho 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Duuh shehe huyo
Humu dunian cjui hata umuamin nani maana hata mwenyewe tu unajiogopa 🤣🤣
Nakuona DM upo kwenye jacket😊😊😊
Aisee dunia hii
Pongez kwako mtu wetu makin ,piga kaz tupo pmj
Mziki ya nini hatusiki vizuri ondowa mziki
wa pili leo🙌🙌 ...naombeni likes plz🙏🏿✍🏿
Aysha Mahariq upo..?🤣
Aysha Mahariq nashukuru kama upo na naomba uendelee kuwepo🤣🙌
Aysha Mahariq facebook unatumia jina gan🤣🤣🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Aysha Mahariq oh sawa naiomba bhc
Aysha Mahariq ok waiting.!
Lakini tunasubiriya part zinazo fata
DRC
--------
Leo hulali davistar huyu mtu anaonekana so innocent
Davistar kwani ni vibaya kua na Mike mbili?
Jamani Davista nampenda Kwa kweli yupo
Kikazi zaidi hapendi mteremko Kama wanaume we ngine
😆😆🤣
🤣 🤣 Aaaa ii izi str nikisikilizaa usk naogopaga nalala pekeangu jmn😆😆
Huyo sio shekhe ni mshirikina anataka kuchufua dini .
Jamani huyu si ndio waliemchinja mwenzao?
Nimeona hivyo pia
Sie uyo
Huyu ni yule walimchinja mwenzao au wamefanana?
Umependeza mtu makini 🥰🥰
👏😋😅😅
Davi umzima?mbona kama umebadilika ...😥
Ipo gud xana Davistar
Uko arusha davi pongezi
Ehh kumbe ni yule wa madin,,kofia iliziba sura asee🙁😁. Mhhh story hz aseew jmn.
Huyu wa juzi pole kwa majanga
Eid Mubarak ndugu zangu...wapi mialiko jamaniiii...😜...karibu Tena Rajabu.👩💻👩💻
Karibu uje kula kwe2 mwaya
@@fadhiliswalehe9286 Asanteeee
@@beatricekweka6683 waja au
Ipo kwaajili yKo
@@fadhiliswalehe9286 Nipe location nitue hapo chaap...🤔🤔
Davistar Mata Mr ffffff
Huyu wacha tuangaalie.akiwa kama domo zege.tuna mlefti.
Davis naona kama unaogopa vile ndo mambo ya kidunia mkuu au ww nae wakupeleke kwa xhehe ukimbizwe yaani kama nakuona vile xuti itakavyopepea huku maiki mkononi hahahaaaaaaa
Maluelue yote hayo ilikuwa ni kumpima Rajabu kama hana nguvu za kumpima Shekhe
Muenderezo
Utuletee tena domo nimemis
Hiyo uliokwenda kusoma sio elimu ya dini na huyo wala sio shekhe Bali ni mchawi tena ni mshirikina hafai kuitwa shekhe na wala asinasibishwe na uwislaamu na we kaka unaekea hujuwi chochote kuhusu dini yako Mimi ninakuomba kasome nidi ya Allah na utubie saana ndugu yangu ktk imaani
Mujuwe kutofautisha elimu ya dini na uchawi huo ni uchawi na sio dini.
Sio shekh huyo jamaa mwanga to anajificha katika dini
Kweli
Naam huyu walimficha hakumwambia walimfundisha elimu ya kichawi mshenzi alikuwa mchawi huyo
Why dont you create paid app for ur story
TH-cam wanamlipa so haina haja 😅
Utalipa muache afanye free
Yani wewe kidume kizima wajiita zuchu? Yani kweli wewe umeamua ujiite Jina la kike eti ndio TH-cam yako ikue kwa haraka 😆😆😆 wanaume wengine bana
@mathias gau kweli chief
@@sjfamily8121 😃😃😃😃
Wa 30!
Team kuchelewa leo nimejitaidii nimekua wa 20 wadau wenzangu
Nitafute plz Niko arusha
Anatia shombo uwislaamu tu, hana lolote huyo ni mchawi na kaka kama umeamua kuacha basi tubia kwa Allah usiiyaanike mabaya yako mbele. ya viumbe wenzako
Nakufatilia kutoka Brazil uko sawa mtu makini
Pole kwayote
Wao leo wa 13 hahhahahahaahaahah
Hukuenda kusoma dini ulienda kusomea uchawi huo.
Huyu inaonyesha alikwenda kufanya uchawi asitudanganye kua dini. Na huyo sio shekhe ni mchawi tu na yy anajua. Ni vizuri devi anavyotuletea hivi visa tunajifunza
Uyo siyo shehe nimwanga uyo nauyo baba yako atakuwa mwanga vp akupereke apo
Mtu makini
9 minits Niko hapa Davista love u
Princess Sway..cute
Davista ulali kkkk
Hapoi
Hapoi
Usingemmwelezea nisinge mkumbka
😂😂🏃
Hii si ya kuitazama usiku kabisa, najutaaaa najutaaaaa... leo Taa itapiga kazi usiku kucha
😂😂😂😂
Ukiwacha taa wazi ndo majini wanapata kukuona uzuri 🤣🤣
Comments section never disappoint 🙆😅😅😅😅😅much love 🇰🇪
@@asfarsham9037 kuna unafuu bhana weee... ukizima yeye anakuona wewe humuoni bora iwake muonane😂😂😂
@@damg4332 Hapa pia wakenya Tupo Tupo pia.... nilidhani Niko solo ...wakenya hoyeeeh!
Jamani ndugu zetu waislamu, si anayezungumziwa hapa ni Shekhe, mwalimu wa dini yenu? Si anamfundisha huyu kijana dini yenu? Kwa nini basi huyu Shekhe amejaa majini na nguvu za kichawi? Kwa nini mafunzo anayotoa ni ya kichawi? Inamaanisha uislamu ni dini ya aina gani? Mungu asaidie watu wake wafunguke macho ya kiroho-katika jina la Yesu.
Cathrine wacha kudhalilisha dini za watu. Kama shekhe ni mchawi ndo uislam wachawi? Hujui kua yyni binadamu kama mapadri wengi tu ni wanga na wachawi sasa tuseme ndio ukristo uko hivyo? Nadhani hiini mara ya 2 nakufahamisha au akili zako zimefungika? Na tunajuaje ksma huyu mtu katumwa wacha uzembe
Ni kweli hata mapadre wengine ni waovu na kuna uwezekano mtu ajiiye shekhe akiwa anajifanya. Lakini chunguza utaona kuna aina mbili za elimu ya kiislamu: elimu ya kidini na "elimu dunia", ambayo waumini wa kawaida hawadiriki kuifikia.
@@susanejd7775 Aina mbili za Elimu ya Kiislamu:
(1) Elimu Akhera - mafundisho juu ya kuabudu Mungu. Kila mwislamu anayo hii elimu.
(2) Elimu Dunia - Juu ya majini, uchawi na siri za ndani za uislamu. Hii ni ya waislamu wa viwango vya juu kama vile Mashekhe na Ustadhi. Ni mafunzo yenye siri nyingi ambayo mwislamu wa kawaida hatakiwi kujua. Ni ya koo za viongozi wa dini n a watu ambao wanaweza kuaminika kuhifadhi siri bila kuropokwaropokwa. Ukichunguza kwa bidii utajua ukweli lakini haitakuwa rahisi. Huo ndio ukweli dada yangu.
@@LOGOSNew hakuna kitu kama hicho ati aina mbili za elimu. Dini ni dini hata awe baniani hakuna dini inayofundisha uchawi. Kama hao wachawi wanaojiita mashekhe mbona wakienda kuhij saudi arabia hawendi na hivyo vitabu vyao vya kichawi. Maana wanatumia alphabet za kiarabu lkn lugha sio kiarabu wala quraan. Wewe unajua ksma kuna watu wakikamatwa uarabuni na hivyo vitabu hukumu yao ni kuchinjwa unajua hiyo? Sssa kama ni moja ya dini ya kiislam kwa nn iwe haramu na wakanatwe? Usiwe mjinga hao wstu wanawadanganya sababu hamjui quraan.
Wee wacha dharau kila dini huwa yapewa ujaribio soo wacha dharau kwa dini za watu
Mungu ni mwema kakutoa