Kwakweli hii nishai weka kwa 3 weeks. But ile nyengine nilitengeza bila kuweka Carrots ilikaa kwa Fridge 5 months hata niliisahau na bado ikawa nzuri tu.
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 You are v. welcome. The more we love and support African products/sister/brothers the more we will be united bila ubaguzi.
If you would like to watch this video in the English language 👉th-cam.com/video/mv0yOPq94QA/w-d-xo.html
Ukwaju umekolea vizuri sanaaa yaani aajabzzz sista 😋😋😋👌🏻
Shukran sana sista 😘
Nitajaribu Asante
Asante Dd unielekeze jinsi. Ya kuandaa mkate WA ngano nzima
nimetengeneza nzur sana mashaalla nipo hapa nauzia mishkaki
Wooo congrats
Wow! asante sana kw kutufundisha jinsi y kutengenez ukwaju mtamu.ukwaju looking amazing
Karibu sana
Asante sana tajirs kitchen nimejifunza mengi kupitia upishi wako sasa ningependa unifanyie video ya kupika viazi karai
@@mildredaoko7782 OK tayari kitambo tu
Asante kwa somo dada
@@joyceerasto-z8u karibu sana
To tell the truth, ur my kitchen guider....nakupenda mnoo
Thanks so much dear, mm nakupenda zaidi 🥰
Utamu mtupu mashallah ❤😊
Mzuri Sana kweli 💖💕
Asante sana, hii lazima nitengeneze 👌👌
Karibu sana
wewe.nimpishi.maalum.mashallah.mashallah
Shukran sana 😊
Ama unaweza kuchemsha?
mashaAllah....appetizer kbsaaa
Kweli kabisa
Nimejaribu hii recipe leo ni tamuuu hatari nimelia viazi karai asante sana dear
Karibu sana dear 😋
Am gonna try it
Masha'ALLAH 😋😋😋
Kwa urojo hapo
Kabisa tena hun 😘
Mashaallaah
Inshallah ntajaribu
Maa shaa Allah ukwaju mtamu
Masha'Allah Ukwaju mzuri sana
Asante saaana
Masha Allah. This looks amazing. Asante
Shukran 😘
How long can this last
Maashaallah utamu mtupu.bado juice tu hapo
Mwanangu hapo XAXA kujiachia...kesi baadae mmmmmmmmmh 🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️🌶️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🤣🤣🤣
Nimekubali mama
Please pilau ya waswahili tafadhali ..... Kindly upload a video on the preparation.
@@beatricemayaka764 th-cam.com/video/Kh4BUcKcrdE/w-d-xo.htmlsi=3UYoYtGDlTa8toHr
@@beatricemayaka764 Ndio hiyo
Shukran Dadaa
Karibu sana dear 😘
Simple and delicious.. That's what am making for my girlfriend..
Ulimtengenezea
Nice mitakarobu
🤩🤩🤩
Asante sana umenisaidia sana katika upishi wangu
Karibu sana
je ukitaka kuhifadhi kwa muda mrefu hiyo sorce unafanyaje?
Kwa fridge inakaa miezi miwili
Masha Allah uko full zanza kwenye mafunzo yako 😂 👍👍👍💯
Shukran sana
Tamu sana
Asante sana Dada tajilis kwa tamarind source yako
Karibu sana 😊
Thanks tasty😋
Asante.sana.thank.you.very.much
Most welcome dear
Aki Halima Haunifanyii Poa, venye umezoom ivyo viazi naskia mate yanidondoka😋 Napenda ulivyo utengeza wavutia, mzito vizuri
🤣🤣🤣 Nilijua mutaumia wengi tu 🙈
Mashaallah utamu apo na ivyo viazi da nikweli utamu wa ukwajuwa ladha ya viazi😁
Kabisa tena dear, ukitaka kuinjoi viazi ni upate ukwaju mzuri 😋
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 nakubali swaiba
Natali sana hii, good share to make ukeaju
Thank you hun ❤
I have subscribed thumbs up.
Thank you so much for the support
Hapo kwa vile viazi vya rukia nasahau korona mweee 😋👌
🤣🤣🤣
Mom naitaji kujifuz Zaid maan mambo matam
Very nice thanks for sharing
Tufanyaje kama hakuna blender? Nilijaribu juice ya ukwaju it was so good thanks for the recipe
Tumia kinu kuponda dear, traditional hand blender 😍
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 thank you. I'll try that next
Wow
I like it...naeza tumia nyanya badala ya carrots?
Loo hiyo ya nyanya siifahamu dear
Nilipika ile pilau jamani, thanks Soo much am here to stay,very neasy steps,I really appreciate
I'm so happy to hear from you dear, most welcome 🥰
Mate mdondoko mama.... Viazi ni ukwaju.
Kabisa tena
Unafaa kwenye mishikiak????
MashaaAllah ukhty unaweza ukautia kwenye chupa ukahifadhi kwenye fridge unachukua muda gani kutoharibika. Shukran
Kwakweli hii nishai weka kwa 3 weeks. But ile nyengine nilitengeza bila kuweka Carrots ilikaa kwa Fridge 5 months hata niliisahau na bado ikawa nzuri tu.
Hii ni language gani 😂
mashaallah umenimaliza hapo
🤣🤣🤣🙈
Is it necessary to heat the ingredients after blending?
@@marygatuhi3932 You need to heat before blending.
Asante sanaaaa Dada uswahilili🤣🤣🤣🤣🤣
Karibu sana dear
Ukitengeneza nyingi waweza itumia kwa siku ngapi bila kuharibika?
3 months in a fridge
Thank you Madam
Inawekwa kwa maji moto au baridi
Amin
Nimetengeneza leo imekua tamu hatar nashukuru kwa mafunzo yako
Karibu sana dear
Like it🥰
Raha ya viazi ni ukwaju kuwa mtamu... Hapo umenena!!
Shukran dear 👌
Inawezekana kutengenezwa ya biashara, na packaging???
Mashallah
Mimi nim geni kwa hii chanale
Mashallah iko sawa
@@abdullahiabubakar4913 Karibu sana
A question,why do you add carrots?
Yummy MashaAllah
Shukran 😘
Whats those fritters that you was crushing with your hands will you post the recipe? thanks.
Tamarind
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723 I know but you was crushing the food after you poured the tamarind sauce over the prepared food is it Bajias?
@@jossrock6458 Ooh sorry 😄 here the link 👉 th-cam.com/video/40wezG8ikgI/w-d-xo.html
Mate yananitokaaa ....
Tajiri, napenda sana your pillow (muto?). You have nice ideas. I am here for this recipe. Good job, girl.
Thank you so much for your support dear 😘
@@tajiriskitchenswahiliflavo1723
You are v. welcome. The more we love and support African products/sister/brothers the more we will be united bila ubaguzi.
❤
Late to this lakini yakaa tamu sana. Swali, kama huna blender?
Tumia mpondeo
Assente sana, nime penda hii chatini na ntai jaribu.
Karibu sana 😊
Shost Leo nmenunua ukwaju nitengeneze lkn cna Brenda carot nizifanyeje?
Shemsha kisha Saga kwa kichuji
Haiwez kualibika kama ukiifaz?
Weka kwa fridge utakaa mda mrefu tu
Viazi karai recipe 👉th-cam.com/video/40wezG8ikgI/w-d-xo.html
Unaishi wapi dada nije class ya mapishi 😊
Niko USA dadangu
That secret ingredient Mimi ndio nimeisha very tangy and yummy na viazi am doing this tommorow
🤣🤣🤣 Ji enjoy my dear 😋
Na unakaa kwa mda gani
👌👌👌
Pilipili wazimu! 😀😀😀
🤣🤣🤣
Tanzania tunaita pilpili kichaaa😂😂
Ukitengeneza kama hvy inauwezo wakukaa SKU ngapi bila kuharibika?
Kwakweli hapo sijajua, but mm wangu nilikutumia kwa mda wa mwezi ukiwa kwa fridge.
Masha Allah ajjab 😘
Shukran dear 😘
Hivi sauce haiwi chachu sana? Na haiitaji kupikwa? Asante
Sasa carrots inapunza uchachu
Huo ukwaju unaweza ukadumu kwa muda gani na namna gan ya kuuhifadhi? Kama huna jokofu Ahsante.
Kama hauna jokofu usiweke carrots
Eeee nameza mtee tuu
Jinsi ya kutengeneza ukwaju
Sasa haichachi
Hivi unaweza kuiweka bila fridge
Ndio kwa siku 3 lakini
Je kwenye friji inakaa SKU ngapi?
utanifaa kwa biashara yangu nimzuri wallay
Tena wateja watakuja kwa wingi sana na mm nikiwa mmoja wao🙈
😋♥️
Wageni musasikiraibu chanel ikue
Asante sana😘
Hii recipe nzuri ila inavimbisha tumbo na gesi
Huyu ni mdigo 😅
Looo hapana 🤣🤣🤣
😘🔥🔥😘😘😘
Jaman pilipili wazimu😂
Mpishi.poa.madhishi.poa
Shukran sana
Ili ikae mda mlef unatia nini
Muashoo
Tena sana tu 🤣
Unadumu kwa muda gan bila kuchacha
Wangu bado uko kwa Fridge mpaka leo ni mwezi nani mzuri tu. Sasa na wewe jaribu uwone.