ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hongera...tunakuamini na tunakutakia majukumu mema, Mwenyezi Mungu akutangulie.
Hongera sasa Father Kitima. Unaupiga mwingi....... Mungu awe pamoja nawe daima!
Baba kitima tunakutakia utume mwema 🎉
Hongera sana baba mungu akuatamie kama kuku aatamiavyo vifaranga wake ukalitangaze vyema neno la mungu ktk kweli
MUNGU akupe hekima zaidi ÀMEÑ ÀMEÑ ÀMEÑ 🙏
Amen mungu awepamoja nawe
Fr kitima na fr msaga wote hao ni matunda ya jimbo katoliki la singida. Hongereni sana, utume mwema na majukumu memaaaaa❤❤❤
Huyo anaewaapisha sio Fr. Dulle wa Singida?
All the best our spiritual father. We pray for you
Fr kitima hongera sana muhaja!
Hongera sana
Utume mwema Baba Kitima
🎉
Ni askofu wa lind
Rais mpya wa tec ni nani?
Wolfgang Pissa,Askofu wa Lindi
Hivyi father. Kitima kwanini hajawai kuteuliiwa kuwa Askofu ..
Kwani ni lazima yeye ateuliwe? Kwa nini uulizie kuhusu yeye tu? May be wakati wake haujawadia!
Kwani kafa!?
Uaskofu siyo shauri la mwanadamu, bali Uaskofu ni shauri la Roho Mtakatifu.
Changamoto za nadhiri za kichungaji
@@celestinshayo7295 Huwa najiuliza sana pamoja na yule Method Kilaini hakuwai kuwa Askofu mkuu ila Askofu Msaidizi..