Najipata nasikiliA uku chozi lanitoka Sina uwezo Wala Mimi sio marufu SI msanii sio muigizaji Wala sio mchekeshaji pia Sina uwezo wa kumsapoti uyu mtoto ila ningekua na uwezo mungu ningekua karibu nae adi nione amefanikiwa ndo niachane nae ila kaka nakuombea mungu ❤❤❤❤ utafanikiwa inshallah amini mungu yupo
Huu wimbo aivyoiachia jana kwakweli ndo wimbo ambao leo nausikiliza huu ndo wimbo wangu namba moja kwa huu mwezi yaan toka mwaka umeanza ndo wimbo wangu namba moja
Uk vzur sana kijana mdogo ila nakutabiria na kukuombea utakuja kuw msanii mkubwa tz, east africa na africa kwa ujumla.... likes button kwa ajili ya wish hi 👇
Mtoto huyu kipaji sana , mashairi yake yanachoma sana,anaimba vitu vya maana,anaburudisha,anaelimisha na anamuabudu Mungu ampishie na mabaya ya Dunia. Daah htr tupu
Hii nyimbo imenigusa aise tena nimelelewa na Single Mother kuna muda unataka ulaumu ila unashindwa mana hujui nani mwenye kosa Embu naombeni hata like 10 tu 😢😢
dogo we ninoma sana dah ww ni fire najua we ni future ya kesho dogo imba achana na hao wasenge wanao imba mapenzi na kutumia maudhui ya uchi (utupu). kaza kjana ushatoboa
Umenibadilisha imani nilijua ulibahatisha ila sasa naamini unaweza Name ndio shabikiyako namba 1 Kikubwa muombe mungu tu Tunao mkubali dogo tu LIKE hii community ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
You are so talented and creative, whenever I watch your songs I find myself shedding tears of joy because the Lord has really manifested his power on you.. Thank you Lord again on before of this young soul
Kama unamkubali kijana wenu likes hapa tufike 1k views tunataka kujua Kenya, Tanzania,Somali, Uganda, Sudan and Ethiopia ni wangapi wengi fans kwa Ndogo wetu
Mwambaaa endelea upo vizuri, Endelea kuimba mashairi yenye mafunzo kwa jamii utatoboa tu na nyimbo zako zitaishi sana mioyoni mwa watu, Watu hata huku vijijini wanazipenda sana kila rika ,wakubwa kwa watoto maana hazina matusi, Tuliho kifura kibhondo
Am sure nobody ameicheza zaidi yangu coz nimeicheza more than 20 times♥️♥️♥️ messi kadenge 254 i love you bro na penda kazi zako ni kubwa kinoma mkuu🙀🙀💪💪
Nimependa dogo alivopita na hilo bit syo pw katisha kinouma❤🎉🎉🎉🎉 waliopo nyuma yako wasilale wahakikishe unafika pale panapo stahili tupo nyuma yako ukweli ni kwamba unajuwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
huyu mtoto atakuja kuliteka soko la mziki wa bongo fleva maadamu asimamiwe na manejimenti bora tu aendako asijichanganye na miluzi mingi atulie sana kwenye kuchagua menejimenti ,amsikilize sana Babu tale atafika mbali sana mola mtangulizie hekima
Eheee sasa hizi ndizo ngoma safi sana..zinafundisha kuhusu maisha..sio upuzi wamapenzi saa zote..mambo kama haya reality in real life..keep on going dogs we need more from you
Imajin game ya Nigeria vs Cameroon inachezwa ya Afcon time umeachilia ngoma hii yako sa nakaa tu nikiicheza sifuatilii mpira tena😂💪 much love from messi kadenge 254.❤
Wimbo mzuri nao ubunifu umetuwezea sana Mwanangu.Mtunzi bora ajuaye wake huo uhodari.Founder Mwenyezi Mungu naye kibali katika utunzi wako akakuzidishie.Meseji nzuri nazo mikakati zako pia mizuri.Diamond kakukosea sana maana kweli mimi nimekiaminia hicho chako kipaji.Kaitie fora sababu aliyekianzisha ndani yako ni muaminifu na tena mwenye sote wetu mpaaji.Dogo we mkali nawe usijikatie tama maana Mola na aliyekupa nyota mpendwa wetu halali.Nimeipenda tangia mwanzo lakini dah kweli wewe ndiye wetu Mpenzi.Much love ❤❤❤❤❤
Parabéns founder tz pela linda mensagem, de fato queremos músicas como está , uma música educativa que tu poças escutar ao lado dos seus pais até sogros.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏🔥🔥🔥
D voice ana la kujifunza kama unaungan n mim gonga like
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenyan well represented here
If I had a record label I will record you ASAP❤ .... BIG TALENT Kenyans let's gather here🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ke
Love❤ brother 🎉
Anaye mkubali dogo founder tz agonge like🎉🎉🎉🎉mpeni.maua yake
Tunahohangalia mara kumi 10 tujuwane ❤️❤️❤️❤️kutoka hapa labda mda wa match ya Congo uheneye🇨🇩👌🥰❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
D voice unasikia mwamba huyo???nyimbo 10 za D voice anazifuta kunyimbo moja tuuu,,,❤❤❤❤
Oya wewe unamaono sanaaa tena sanaaaaa
Mwenyeshida amufwate muganga dogo anajuwa
Kweli anajua
Najipata nasikiliA uku chozi lanitoka Sina uwezo Wala Mimi sio marufu SI msanii sio muigizaji Wala sio mchekeshaji pia Sina uwezo wa kumsapoti uyu mtoto ila ningekua na uwezo mungu ningekua karibu nae adi nione amefanikiwa ndo niachane nae ila kaka nakuombea mungu ❤❤❤❤ utafanikiwa inshallah amini mungu yupo
Bwana mdogo upo vzr
Utafika mbali
Fanya kama Wewe
Usiwape wajanja wakutumie hiki kipaji ni chako mwenyewe
Uyu dogo ana kipaji kikubwa kweli 🔥🔥
Sisi kama wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tutazidi kusimama na watanzania wapi like s zangu watanzania
Huu wimbo aivyoiachia jana kwakweli ndo wimbo ambao leo nausikiliza huu ndo wimbo wangu namba moja kwa huu mwezi yaan toka mwaka umeanza ndo wimbo wangu namba moja
Kweli kabisa tangu mwaka umeanza hakuna Ngoma Kali kama.hii
Dogo unajua kuandika nakuimba ii ngoma imegusa moyo wangu Allah akufanyie wepesi utafika mbali
Kama unaamini hii ndio next superstar talent Ya bongo fleva nipe likes
Uk vzur sana kijana mdogo ila nakutabiria na kukuombea utakuja kuw msanii mkubwa tz, east africa na africa kwa ujumla.... likes button kwa ajili ya wish hi 👇
Yani dogo fikra zake za kiutu uzima..Mungu akuzidishie kipaji ufike mbali🇰🇪🇰🇪
Mtoto huyu kipaji sana , mashairi yake yanachoma sana,anaimba vitu vya maana,anaburudisha,anaelimisha na anamuabudu Mungu ampishie na mabaya ya Dunia.
Daah htr tupu
Hata wasafi wakikataa hii nyota kijana twampenda kenya,wapi likes za founder 😢 😢😢❤❤❤
#ZagaKenya
Am from 🇰🇪🇰🇪 Kenya but this song touched me so much,just keep it up kijanaa uwezo unao
Safi sana dogo,, umewapita hadi hao wanao tuenyesha maisha yao ya chumbani,, nyimbo yako haijaisha kama movie za kibongo
Ashley aliaza hivi jameni. Wimbo mtamu sana. Mungu akuzidishie baraka.
Walioplay hii nyimbo zaidi ya mala Moja naomba like zenu🔥🔥🔥
Aliotazama zaidi ya mara mbil kama mim gonga like 👍 🔥🔥🔥😍😍😍
Sisi Kenya Huwa tunasapoti watanzania na Huwa hamtupii likes, nipeni likes 20 tukisonga 🔥💯☑️☑️☑️☑️☑️☑️
Wakenya hatufeki upendo Yani tupo real
@@willymoaziz254 sure💯
Watching from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪The Best song ever 🔥🔥
Wapi likes za Kenya🔥🔥🔥
One love from kenya 🇰🇪🔥🔥🔥hii wimbo ni true story kwangu na kwako mafuns aki l love him 🇰🇪💥
Hapo sasa unyama sana ❤❤❤
By_Director_isha_king B
mtoto wa mama kandu
Dogo una vitu vingi sana kichwani mwako, ngoma zako ni fundisho sana kwa jamii, mungu akubariki sana
Hii nyimbo imenigusa aise tena nimelelewa na Single Mother kuna muda unataka ulaumu ila unashindwa mana hujui nani mwenye kosa
Embu naombeni hata like 10 tu 😢😢
hongera sana umri mdogo ujumbe wa mtu mzima 👏
Hongera sana dogo kwa kazi mzuri ❤
Is back Again musani wangu pendwa sana Asant kwa ujumbe wako muzuri hii wimbo hayiniishi hamu kila mda nabaki nawusikiliza😓😓😓🙌🙌🙌🙌🙌
Ongela san. Bwana mdongo kwakazii umefany 'nip zangu Burundi 🇧🇮🇧🇮 mpeni Maua yak fundaz tz
Best artist talented oy natamani nikuone pale juu kabisa one day
🇰🇪🇰🇪uyu mtoto anaweza jameni much love 💞💞💞
Daaah nyimbo imenigusa Sana 😭 🙏 mungu akufungulie njia zaidi
Dogo anakimbiza trending ata bila kiki wapi maua yake founder tz❤❤
Foundertz foundertz foundertz nmekuita Mara tatu km kusoma tumesoma lkn tupo wap wewe simamia unachokiamini...❤❤❤
Waa kijana wakushitua tz ni huyu ❤❤bambana dogo Kenya twakupenda
Dg tutazidi kuku push adi ufike malengo 💪💪
Kwanza hongera kwako founder tz kwa kuimba ngoma qali na mzur hakka utafika mbal
Pili nakupa recpect directer kwa kaz mzur
Cijui ata seme nin umeuaaa munguu akujalieee maish malef ya hap dunian
dogo we ninoma sana dah ww ni fire najua we ni future ya kesho dogo imba achana na hao wasenge wanao imba mapenzi na kutumia maudhui ya uchi (utupu). kaza kjana ushatoboa
SIKU3 TRENDING NO1 anaebisha nani mondi na jay watashushwa kwa huu wimbo anaebisha nani??
Big up brother kenya 🇰🇪 tunakupenda
Dah dogo mshairi gwiji wewe 🔥🔥zidi kuzidi twakuombea mema na makuu na mola atuepushie sote🙏
Umenibadilisha imani nilijua ulibahatisha ila sasa naamini unaweza
Name ndio shabikiyako namba 1
Kikubwa muombe mungu tu
Tunao mkubali dogo tu LIKE hii community
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
You are so talented and creative, whenever I watch your songs I find myself shedding tears of joy because the Lord has really manifested his power on you.. Thank you Lord again on before of this young soul
kama unamkubali founder tz gonga like bx nipate ata kumi tumsapoti dogo🙏🙏
Mungu hapokei rushwa,, Mungu akufanikishe mdogo wangu
Binafsi siamini Kama Msanii kufanikiwa lazima awe Wasafi Tenaa sikushaurii kabisaa kuingia kule Unajua unajua Tenaaa Pambana simameni Vizuri na Uongozi Wenu Acheni Tamaa Ishini Keshoo Zaidi Founder Hakuna wa kukuzuia 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰
Kama unamkubali kijana wenu likes hapa tufike 1k views tunataka kujua Kenya, Tanzania,Somali, Uganda, Sudan and Ethiopia ni wangapi wengi fans kwa Ndogo wetu
Top🎉
Nina mkubali huyu dogo
Hakika mm pia nimemkari huyu mtoto yaani diamandi aendelee kumpa,faraja anaimba vizuri2
Na kupata 100/100 toka paris,courage mon petit on est derrière toi,on est oublie pas nous serons ensemble un jour je l’espère ❤❤❤❤
Huyu dogo namkubali tena sana. Much love ❤ from 254🇰🇪
Amna kitu kaka, uo mziki apa Tanzania huwez uza, the music business no longer needs this song type in EA market labda aswitch
I really appreciate this kind of music 🎵🎵🎵 from 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷
Hongera sana ni nzuri Kwa kweli mungu akutie nguvu zaidi 🎉🎉❤❤
Nakupenda bure mdogo wangu pia mungu akufanyiye wepesi utimize ndoto zako amen🙏🙏
Mwambaaa endelea upo vizuri,
Endelea kuimba mashairi yenye mafunzo kwa jamii utatoboa tu na nyimbo zako zitaishi sana mioyoni mwa watu,
Watu hata huku vijijini wanazipenda sana kila rika ,wakubwa kwa watoto maana hazina matusi,
Tuliho kifura kibhondo
Founder tz Nakukubali sanaaaa hapa Kenya. Lazima utatoboa❤❤🌟🌟🌟🌟
Nikiskilizaga nyimbo zake nafkiriaga aya maneno anayatowaga wap dogo 🥰🙌🏾
Wapi D voice aone hii kazi ajifinze aache mbwembwe mitandaoni
ndogo wangu una jua na unajua tena naomba mungu akufikishe mbali zaidi nakupenda sana mdogo wangu ❤❤❤❤❤❤
Huu wimbo nimeusikiliza zaidi ya 💯 na bado siuchoki
Nyimbo nzr San dogo🎉
Acha tujipoze na hii mdogo wangu ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏
Waeza sana bro naipata nkiwa ndani ya saudi iko swa ❤❤❤❤
Safi sana dogo Pambana mtegemee Mungu sana atakufikisha mbali
Hawa ndio walitakiwa kwenda wasafi,so talented
Am sure nobody ameicheza zaidi yangu coz nimeicheza more than 20 times♥️♥️♥️ messi kadenge 254 i love you bro na penda kazi zako ni kubwa kinoma mkuu🙀🙀💪💪
So amazing keep going good work congratulations ❤❤❤ song iko lit naipata nikiwa lebanon 💪💪🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🙏🙏🙏🙏🙏
Wakwanza from USA 🇺🇸 ♥️ ❤️ 💕 wapi likes zangu
MashaAllah nyimbo inantia moyo sana wallah❤Allah akuzidishie mdogo wngu🎉
Team founder naomba like
Nimependa dogo alivopita na hilo bit syo pw katisha kinouma❤🎉🎉🎉🎉 waliopo nyuma yako wasilale wahakikishe unafika pale panapo stahili tupo nyuma yako ukweli ni kwamba unajuwa🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Just listened to this song nikiwa kwa matatu, and immediately went to download , l like the message 💜💜💜💜
Iyi wimbo inagusa sana moyo. Mafunzo makali, yenye tunapitiya Kila siku. Mungu niepushiye. Ndogo huko mkali
Good performance
Good music
Good singing
Good talented and
Good everything
I’m so proud of you my young man
#founder-tz
🔥🔥🔥❤ wimbo mzuri
Ameweza uzuri wake haimbi na kelele
Tunaomkubali founder tz nipeni like wanangu
Mimi Nina mkubali haswaaaa bila unafki
Melodi nzuri sana. Dogo uje utoe rumba nzuri watu waburudike zaidi🎉🎉🎉
Wakwanza 🇺🇸 💯💯💯nipeni likes zangu 💯🙏🏿
Chukua 😅
Chukua🎉🎉🎉
Mashallah dogo❤❤, keep going son
Mdogoangu mungu akubaliki sana
@@DorcasNamafu-dk2rn pitia na kwangu tafazali
Mungu akuzidishie kipaji mdogo wangu hongera sana
Safi sana mdogo wangu,Bujumbura tunakuskiya tano kwa tano 🇧🇮
huyu mtoto atakuja kuliteka soko la mziki wa bongo fleva maadamu asimamiwe na manejimenti bora tu aendako asijichanganye na miluzi mingi atulie sana kwenye kuchagua menejimenti ,amsikilize sana Babu tale atafika mbali sana mola mtangulizie hekima
❤❤ mtoto unaguza mioyo ya watu unajua sana,hadi nimelia wah
Nani karudilia huu wimbo
Mimi nime play ⏯️▶️ marakibao kwenye gari
Big up sana young man ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Eheee sasa hizi ndizo ngoma safi sana..zinafundisha kuhusu maisha..sio upuzi wamapenzi saa zote..mambo kama haya reality in real life..keep on going dogs we need more from you
❤❤❤❤❤❤ noma sana mungu akusimamie tunakuombea uzidi fanikiwa
Huku Kenya twakukumbali,talenti safi
254 twamkubali kwa sana
Imajin game ya Nigeria vs Cameroon inachezwa ya Afcon time umeachilia ngoma hii yako sa nakaa tu nikiicheza sifuatilii mpira tena😂💪 much love from messi kadenge 254.❤
Kama unaaminia kipaji cha huyu ndogo gonga like❤🇰🇪🙏🇹🇿
Hapa Kenya walaihi napenda nyimbo zako sauti ni fine kabisaaa blazah❤ continue pushing bro your going well man
Nimesikiliza huu wimbo zaidi ya mara 20 itoshe kusema dogo unajua mungu akulinde kwa kila kitu
Jaman walio ludia ngoma zaidi ya malambili kama mm gongo likes hata kumi tu tujuwane❤❤❤❤
Miye mara tano
20
Toka jana ilipo toka napiga usiku kucha had now
❤️❤️❤️❤️
daaaah hii song ni kwamba dogo kaona mbali snaa
Wimbo mzuri nao ubunifu umetuwezea sana Mwanangu.Mtunzi bora ajuaye wake huo uhodari.Founder Mwenyezi Mungu naye kibali katika utunzi wako akakuzidishie.Meseji nzuri nazo mikakati zako pia mizuri.Diamond kakukosea sana maana kweli mimi nimekiaminia hicho chako kipaji.Kaitie fora sababu aliyekianzisha ndani yako ni muaminifu na tena mwenye sote wetu mpaaji.Dogo we mkali nawe usijikatie tama maana Mola na aliyekupa nyota mpendwa wetu halali.Nimeipenda tangia mwanzo lakini dah kweli wewe ndiye wetu Mpenzi.Much love ❤❤❤❤❤
Huu wimbo nao dah uko juu sana nausikiza siku nzima bila kuchoka mungu saidia huyu dogo na kipaji zaidi
Naitaji tusukume gurudumu kwapamoja Ndugu yangu mtoto anaweza saaaaaana❤❤❤❤
Good jb
Itoshe kusema dogo anajua sanaaa 🙌🙌
Parabéns founder tz pela linda mensagem, de fato queremos músicas como está , uma música educativa que tu poças escutar ao lado dos seus pais até sogros.🇲🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏🔥🔥🔥
Mungu muepushe na wasafi watazima nyota yake😢😢❤
Mimi sijuwi wangapi naomba like zangu From Mozambique 🇲🇿🇲🇿❤❤❤😂🎉Good Vídeo💫👌📺💯🔥
Nmefika huku from Kenya 🇰🇪 wapy likes zetu kwa dogo🔥🔥🔥
Kijana unakipaji,utafika mbali,ila inatakiwa usome ,Ili mziki wako ,uwe wakimataifa.Maana nyimbo zako ,Zina ujumbe wa Maisha halisi ya utafutaji.Keep it up.But don't forget EDUCATION .for Everything.❤❤❤❤
Janja inshaalaaah alah afany wepesi na huu mwaka tutatoboa tu hata kwa tochi an nakukubali sana ❤❤❤