OMMY DIMPOZ ASIMULIA KIBA ALIVYOOKOA MAISHA YAKE "HATA NIKIMFUMANIA NA MKE WANGU NA MSAMEHE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Kutoka kwenye listening party ya Album mpya ya msanii Alikiba iliyopewa jina la 'Only one king' ambapo wamealikwa mastaa mbalimbali. PLAY KUTAZAMA VIDEO

ความคิดเห็น • 42

  • @jumannesaid4873
    @jumannesaid4873 3 ปีที่แล้ว +17

    Naongezea tu dimpoz sio mmetoka mbali na alikiba unaweza sema pia amekutoa mbali alikiba maana kipindi alikiba anakupa saport katika nai nai tayari alikiba ni star tayari in tz and worldwide

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว +5

    Waooo Alikiba Mwenyezi Mungu akuzidishie

  • @samiraahmed8966
    @samiraahmed8966 3 ปีที่แล้ว +11

    Allah azidi kuwasimamia undugu wenu udumu milele Ommy mungu azidi kukupa afya tele amen🙏🙏

  • @khadijalambo2138
    @khadijalambo2138 3 ปีที่แล้ว +5

    ♥️♥️♥️♥️binafsi Ally ni mwanamuziki ninaemkubali Sana sana hali kadhalika ommy

  • @jedidahorondo8092
    @jedidahorondo8092 3 ปีที่แล้ว +8

    A man with a big heart king kiba

  • @jemaluganolugano6987
    @jemaluganolugano6987 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice i like Alikiba

  • @editharwabasola8436
    @editharwabasola8436 2 ปีที่แล้ว +3

    Mngu ni mwema nakutakia mema zikuwa na Imani moyo wasubira bila kumsahau aliy

  • @thresherjordan6829
    @thresherjordan6829 3 ปีที่แล้ว +12

    Kaka ali jamn kiba hana roh mbaya jamn huyu azid kubarikiwaaàa

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera king kiba

  • @assynanibigira370
    @assynanibigira370 3 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations only on king bwana mudogo

  • @abduli-karimkhamadi1409
    @abduli-karimkhamadi1409 3 ปีที่แล้ว +5

    God bless

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 3 ปีที่แล้ว +6

    King kiba

  • @mariamonorberto920
    @mariamonorberto920 3 ปีที่แล้ว +3

    Waooh 👏🏽👏🏽

  • @alyhamad7529
    @alyhamad7529 3 ปีที่แล้ว +4

    King

  • @stewartsylvester2353
    @stewartsylvester2353 3 ปีที่แล้ว +7

    ❤️

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 ปีที่แล้ว +1

    Omy fala kweli

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 3 ปีที่แล้ว +5

    Aaaaawwww 😭❤️❤️❤️

  • @jacoblusana1082
    @jacoblusana1082 3 ปีที่แล้ว +6

    ,♥️♥️♥️

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 ปีที่แล้ว +5

    Unaongea tu kwakuwa unajua hauwezi kuwa na mke 😂😂😂

  • @annantete8406
    @annantete8406 3 ปีที่แล้ว +2

    Haha ila alikiba ety wacha bwanaa daa nmecheka sanaa lkn nampend sn kibaa

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 3 ปีที่แล้ว +3

    Ata kma we ni chawa kumshobokea mwanaume mwenzako ivo ni laaana

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +4

      Loooo roho mbaya kuwa ba shukraan hata mtu akikupa ubuyu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran gani hiyo? Kaka mbona kama unakosea!!!

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣Nimecheke kwa sauti

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 ปีที่แล้ว +1

    Anasema hivyo vile sasa hana mke

  • @naomisamsoni1040
    @naomisamsoni1040 3 ปีที่แล้ว +1

    Weee.!

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 3 ปีที่แล้ว +2

    Amekonda izo diponz zatokea wapi bora tu kumuita ommy

    • @chief2177
      @chief2177 3 ปีที่แล้ว

      watu kama nyinyi hamna huruma 😅😅😅

    • @hawahabibu661
      @hawahabibu661 2 ปีที่แล้ว

      @@chief2177Umeonaee? Yan mtu anaongea tu kwa kuwa anajiona ana Afya bac hajui Mungu anaweza kukubadilisha wkt wowote

    • @chief2177
      @chief2177 2 ปีที่แล้ว

      @@hawahabibu661 aina zote za watu hazikosekani sokoni

  • @ikrammahonda4566
    @ikrammahonda4566 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂😂Aweeeeee

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 3 ปีที่แล้ว +3

    Acha weee

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 3 ปีที่แล้ว +1

    SASA OMMY DIMPOZ MBONA KAVAA MSALABA SHINGONI NA YEYE MUISLAMU ?????

    • @jackisonmagera4271
      @jackisonmagera4271 3 ปีที่แล้ว +1

      Najua sio macho yako hy n akili ya bang

    • @sitiabubakar2892
      @sitiabubakar2892 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jackisonmagera4271 😂😂😂😂😂😂😂uwiiii..... Nimecheka sana

  • @genz-y3s
    @genz-y3s 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂

  • @muzyexperience
    @muzyexperience 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 3 ปีที่แล้ว +1

    HAKUNA ZAIDI YA USHETANI MTUPU UMEWATALA KATIKA MAISHA YA HAWA WATU

    • @Tiktome1228
      @Tiktome1228 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna mkamilifu duniani atasie tuna madhaifu yetu natabia zetu zisizopendeza tusinyooshee kidole wenzetu wakat nasi mioyoyetu ina tusuta mwishowamtu anajua Mungu leo unaweza ukawaona wanatabia za ushetani lkn mwishowao wakamkiri na kumrudia Mungu wakamaliza salama sie tunaijiona malaika au wasaf tukawashiwa moto tuweke akiba yamaneno kwa wenzetu,kwsb sie sio Mungu adi tuwahukumu.