Jinsi Ya Kupika HalfKeki Za Biashara Zenye Faida Kubwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 95

  • @dorcusosewe1620
    @dorcusosewe1620 10 หลายเดือนก่อน +5

    Nimeona hii video late,,but i have to comment mummy,,,you guide so well and its encouraging,barikiwa sana

    • @carolharo
      @carolharo  10 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana

  • @NanaMachela
    @NanaMachela หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante njia yako ni nzuri na rahisi

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน +9

    Samahani nipo Nairobi nauliza kwa unga kilo 2 zinatoka hafcake ngapi za sh 10

    • @naomikamau5055
      @naomikamau5055 10 หลายเดือนก่อน +3

      Me natoaga, 80, but itadepend na venye utazikata

    • @carolharo
      @carolharo  2 หลายเดือนก่อน

      Am here,,,niulize tu

  • @SusanRadido-zf6de
    @SusanRadido-zf6de 9 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you I'll give it a try for biashara

  • @MonikaGodfrey-up4kj
    @MonikaGodfrey-up4kj 7 หลายเดือนก่อน +2

    Asante dad nimependa pishi lako

  • @FaidhaLyimo
    @FaidhaLyimo 3 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri nimependa hujaongea Lunga ya wezetu❤

  • @EvodearVenance-xe3xs
    @EvodearVenance-xe3xs 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejalibu ila azija pasuka shida itakuwa nini?

  • @instra_electricalsmedia
    @instra_electricalsmedia 3 วันที่ผ่านมา

    No yeast?

  • @IreneIsaya-ye6kn
    @IreneIsaya-ye6kn 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ukiwa unaweka vitu ili uchanganye uwe unadisplay na majina yake kwa screen

  • @HabibaKippa
    @HabibaKippa 28 วันที่ผ่านมา

    Hujaweka baking powder

  • @ChausikuRubibihamisi
    @ChausikuRubibihamisi ปีที่แล้ว

    Asante kwa elimu ya pishi la haf keki

  • @HassanGodfrey
    @HassanGodfrey 3 หลายเดือนก่อน

    Kama huna casters powder unapika hivo hivo

  • @mwakagarimwakipelelefi9738
    @mwakagarimwakipelelefi9738 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona huja weka Amila hau haitumiki

  • @EliasyNgitoriacheupe
    @EliasyNgitoriacheupe 5 หลายเดือนก่อน +1

    hamira amna beking powder hamn vipi apo??

    • @carolharo
      @carolharo  5 หลายเดือนก่อน

      @@EliasyNgitoriacheupe nimetumia unga wa cake

  • @urbanpoultry6201
    @urbanpoultry6201 3 หลายเดือนก่อน

    Hello morning,ni baking Gani between baking soda and baking powder yenye inafanya half cake ama kangumu ipasuke? sababu nilipika half cake na unga ya kawaida kilo mbili nikaweka baking powder lakini hazikupasuka ,nilikosea wapi? Tafathali nitumie ingredients za unga wa wakaida kilo mbili,ndio nijue mahali nimekosea nianze biashara, kindly.

  • @OdiraTimothy
    @OdiraTimothy 7 หลายเดือนก่อน

    What make it to be hard , hapo sielewa vizuri😊😊

    • @carolharo
      @carolharo  7 หลายเดือนก่อน

      Hard how? Before or after cooking?

    • @OdiraTimothy
      @OdiraTimothy 7 หลายเดือนก่อน

      @@carolharo after

  • @Khalfan.Ramadhani
    @Khalfan.Ramadhani หลายเดือนก่อน

    Good

  • @RehemaDaph
    @RehemaDaph 3 หลายเดือนก่อน

    Hamira huweki???

  • @tarsilajohn4569
    @tarsilajohn4569 ปีที่แล้ว +1

    Asantee Sana ubarikiwe

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Tubarikiwe sote kaka

  • @VeronicaMbuya-t7u
    @VeronicaMbuya-t7u 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona hakuna hamira au baking powder?

    • @AstridInnovator25
      @AstridInnovator25 5 หลายเดือนก่อน

      Half cake hazitiwi hamira dear.

  • @LinetNyamweya
    @LinetNyamweya 10 หลายเดือนก่อน

    Niijalibu cake na ikua brown

  • @EmmanuelPaschal-x1g
    @EmmanuelPaschal-x1g 2 หลายเดือนก่อน

    Samahani dada vp kuhusu amira

    • @carolharo
      @carolharo  2 หลายเดือนก่อน

      @@EmmanuelPaschal-x1g sijatumia hamira

  • @TinnahLogaty
    @TinnahLogaty 8 หลายเดือนก่อน

    Nakupataje whasap😊

  • @aurielalubiri4806
    @aurielalubiri4806 ปีที่แล้ว

    Mbona unatumia mafuta ya moto? Kuna tofauti gani nikitumia baridi?

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Unaeza tumia ya baridi,,Mimi napendelea ya moto

  • @MaureenOdhiambo-o8k
    @MaureenOdhiambo-o8k 2 หลายเดือนก่อน

    Unaweka maji kiasi gani kwa kilo mbili ya unga

    • @carolharo
      @carolharo  2 หลายเดือนก่อน

      @@MaureenOdhiambo-o8k inategemea na unga wako unautumia,ndio upate donge la sawa,weka maji kidogo kidogo

    • @MaureenOdhiambo-o8k
      @MaureenOdhiambo-o8k 2 หลายเดือนก่อน

      @@carolharo nashukuru barikiwa

  • @WillyNgoche
    @WillyNgoche 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unapo kanda unga wa 2kg unatumia kiasi gani ya mafuta ya kukanda na nabaking pia

    • @WillyNgoche
      @WillyNgoche 8 หลายเดือนก่อน

      Mafuta robo kwa kukandia ni sawa,jee unaweza funika unga 1hr ifure

  • @winiKissaka
    @winiKissaka 7 หลายเดือนก่อน

    Naweza weka vanila ya maji

  • @SamirBawazir
    @SamirBawazir 2 หลายเดือนก่อน

    Ili afkec kupasuka zinasabisha nn

  • @ElizabethHerman-t4m
    @ElizabethHerman-t4m ปีที่แล้ว

    Je tukiweka chapa maandazi

  • @estermahita2376
    @estermahita2376 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza asante dada

  • @arnoldbahati3259
    @arnoldbahati3259 6 หลายเดือนก่อน

    Asanti

  • @SarahWaweru-j7g
    @SarahWaweru-j7g 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri
    2kg imetoa halfcake ngapi zako za biashara

    • @carolharo
      @carolharo  10 หลายเดือนก่อน

      Ukikanda vizuri na kukata unaeza toa 80-90 pieces

    • @stansiauisso5441
      @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน

      Za sh10 au sh 5

    • @carolharo
      @carolharo  10 หลายเดือนก่อน +1

      @@stansiauisso5441 10bob

  • @RoseMhongole
    @RoseMhongole 6 หลายเดือนก่อน

    Kwan tunaweka hamila

  • @kudraathumani6020
    @kudraathumani6020 9 หลายเดือนก่อน

    Je naweza tumia unga wa ngano wwte ule aw ni lazima unga huo

    • @carolharo
      @carolharo  9 หลายเดือนก่อน

      Unaweza tumia lakini utaweka chapati mandashi

  • @LeahNgowoko-zq4xp
    @LeahNgowoko-zq4xp ปีที่แล้ว

    Nimefurahi kuona mapishi ya halfkeki.naamini nimejifunza.asante dada

  • @motoikasekemi8561
    @motoikasekemi8561 ปีที่แล้ว

    Kwa kipimo hicho naomba nielekeze jinsi ya kupika kwa kutumia ngano ya kawaida

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      2tbsp baking powder & ½ tsp baking soda

  • @LodrigueIrakoze
    @LodrigueIrakoze 6 หลายเดือนก่อน

    Samahani dada kilo mbili unapata mandazi mangapi

  • @AliMohd-g8p
    @AliMohd-g8p หลายเดือนก่อน

    Kwan huwa hazitumii hamira mbna sjaona?

    • @carolharo
      @carolharo  หลายเดือนก่อน

      @@AliMohd-g8p sababu sijatumia

  • @ElizabethEfulemu-yq7ol
    @ElizabethEfulemu-yq7ol ปีที่แล้ว

    Mi napenda San kujifuza

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de ปีที่แล้ว

    Huwek Amira?

  • @DianaAgustino-kd4yh
    @DianaAgustino-kd4yh ปีที่แล้ว

    Hauweki samuri

  • @RoseMhongole
    @RoseMhongole 6 หลายเดือนก่อน

    Lakin ukitumia unga wangano unaweka amila

    • @carolharo
      @carolharo  6 หลายเดือนก่อน

      Weka baking powder

    • @RoseMhongole
      @RoseMhongole 6 หลายเดือนก่อน

      Amila hauweki

  • @WinfridKayng
    @WinfridKayng 9 หลายเดือนก่อน

    Unga waazam nafanyaje dada

  • @maulidabdul2985
    @maulidabdul2985 7 หลายเดือนก่อน

    Ni vitu gani vinahitajika kwenye maandalizi ya half cake?

    • @carolharo
      @carolharo  7 หลายเดือนก่อน

      Unga Wa Keki,iliki,sukari,mafuta ya Kukandia na kuchomea

  • @HusnaKibwana-t2e
    @HusnaKibwana-t2e 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbonaukukandiamafuta

    • @carolharo
      @carolharo  9 หลายเดือนก่อน

      Nimeweka mafuta ya moto mwanzoni nikachanganya na unga kabla ya kukanda na maji

  • @FarajaMwamlima-s4w
    @FarajaMwamlima-s4w ปีที่แล้ว

    Unga huo sijselewa

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Ni unga wa kupika cake

    • @mariamissamkajuna5344
      @mariamissamkajuna5344 ปีที่แล้ว

      Mbona hujaweka chapa mandash

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Unga wa kupika cake uko na chapa maandazi yake Kwa ivo sio lazima uweke

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r ปีที่แล้ว

    Ni😂

  • @HusnaKibwana-t2e
    @HusnaKibwana-t2e 9 หลายเดือนก่อน

    Na amilauweki?

    • @carolharo
      @carolharo  9 หลายเดือนก่อน

      Apana siweki hamira,unga niliotumia uko na hamira yake

  • @ummymwalimu3965
    @ummymwalimu3965 ปีที่แล้ว

    Huwa haziwekwi hamira

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว +1

      Unga niliotumia sio lazima uweke hamira

    • @SusanRadido-zf6de
      @SusanRadido-zf6de 9 หลายเดือนก่อน

      Umetumia unga fani

    • @SusanRadido-zf6de
      @SusanRadido-zf6de 9 หลายเดือนก่อน

      Which is the best unga

  • @HawaRashidi-t8d
    @HawaRashidi-t8d ปีที่แล้ว

    Half keki kuwa ngumu nakuwa na mafuta ndani ninisababu

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Sababu unakanda Kutumia mafuta mengi na unatumia moto mdogo sana wakati wa kupika

  • @TumaHassan-x6x
    @TumaHassan-x6x ปีที่แล้ว

    Uweki amila mum

    • @carolharo
      @carolharo  ปีที่แล้ว

      Apana,huu unga niliotumia hauweki chochote

  • @gedianmwambola4563
    @gedianmwambola4563 9 หลายเดือนก่อน

    Hatutii hamila

    • @salumurajabu80
      @salumurajabu80 9 หลายเดือนก่อน

      Hamila je haifai kuweka

  • @AminaSharif-p4d
    @AminaSharif-p4d ปีที่แล้ว

    Wwww xxxx video

  • @SalmaMussa-ls7qt
    @SalmaMussa-ls7qt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa elimu ya pishi la hafkeki

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน

    Samahani nipo Nairobi nauliza kwa unga kilo 2 zinatoka hafcake ngapi za sh 10

    • @carolharo
      @carolharo  10 หลายเดือนก่อน +1

      Inategemea na size utakayo kata..ziwe kwanzia 70 pieces Hadi 90

    • @stansiauisso5441
      @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน

      nakata zinatoka 54,55 na 57

    • @stansiauisso5441
      @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน

      nakata zinatoka 54,55 na 57

    • @stansiauisso5441
      @stansiauisso5441 10 หลายเดือนก่อน

      sijakata tamaa naendelea kupika

    • @carolharo
      @carolharo  10 หลายเดือนก่อน +2

      @@stansiauisso5441 unakata kubwa sana,kumbuka izi zinafura so make sure unaposukuma unasukuma yenye si nono sana na unakata size ndogo.