JINSI YA KUPIKA HALF CAKE ZA KUPASUKA ZA BIASHARA |HALFCAKE ZA CHAPA MAANDASHI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 223

  • @mwalimusalanga
    @mwalimusalanga  ปีที่แล้ว +3

    Tumetoa video nyingine ya half keki hii
    th-cam.com/video/QLw9GLFI0yA/w-d-xo.htmlsi=9P18sLYtnmVBxB7K

  • @SalumuuChitende-lh1vn
    @SalumuuChitende-lh1vn ปีที่แล้ว +1

    Waoooooo nimzuri na najifunza pia hongera Sana Kaka tupo pamoja

  • @edithaminja9231
    @edithaminja9231 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwl. Salanga nimependa Sana. Nitajitahidi kukufollow ili nami niinuke Mungu akipenda.

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  10 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusimamie sana

  • @AnnetNakayenze-w1u
    @AnnetNakayenze-w1u ปีที่แล้ว +2

    Umepika vizuri Sana mwalimu.am in uganda

  • @FaizaAbdhalla
    @FaizaAbdhalla 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah nmejaribu kupika zangu ziko mwaaa

    • @estermassawe747
      @estermassawe747 2 หลายเดือนก่อน

      Umeweka maji ya moto au ya bridie na mafuta je

  • @Sarah-o5u9t
    @Sarah-o5u9t หลายเดือนก่อน

    Asante Mwalim nimejifunza nahitaji kupika za biashara

  • @WINFRIDAJMOLLEL
    @WINFRIDAJMOLLEL 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ninzuri nimependa nitajaribi.

  • @mpinabwilamusonda-by8ou
    @mpinabwilamusonda-by8ou ปีที่แล้ว +1

    You know how to teach 🙌🙌

  • @RosinaKayombo
    @RosinaKayombo ปีที่แล้ว +1

    Waoo recipe nzuri sana

  • @RebekaRichard-t1j
    @RebekaRichard-t1j 4 หลายเดือนก่อน

    Wao ni nzuri sana ntajifunza pia nimependa

  • @Nelsonrono-wn1rx
    @Nelsonrono-wn1rx 10 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa darasa nzuri

  • @lightnessmasaki9485
    @lightnessmasaki9485 2 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda kazi yako

  • @eliasbirungi8660
    @eliasbirungi8660 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mwalinu nimependa sana msomo hi, natoka Kampala uganda bye bye

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  10 หลายเดือนก่อน

      Ahsante sana

    • @HalimaWeyimi
      @HalimaWeyimi 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwalimusalangaunatumia maji moto Au baridi?

  • @NorahNyange
    @NorahNyange 4 หลายเดือนก่อน

    Nzurii sana asante kwa mafunzo

  • @maureenatienoochieng5087
    @maureenatienoochieng5087 9 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafunzi

  • @jackym177
    @jackym177 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana ndugu, nimejifunza kitu kizuri🤗🤗

  • @AdlyneMachuka
    @AdlyneMachuka ปีที่แล้ว

    Asante Sana is a great job

  • @hopemakangale1596
    @hopemakangale1596 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeionja kwa mdomo tamu sana🎉❤

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante ❤❤❤

  • @Primepanorama
    @Primepanorama 11 หลายเดือนก่อน +1

    Great Job bro🙏

  • @HekimaRichard-n6v
    @HekimaRichard-n6v 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukulu mwalim

  • @silasmwawuganga-m4l
    @silasmwawuganga-m4l ปีที่แล้ว +1

    Asante Kaka nimejifuza kitu

  • @swafybites
    @swafybites 4 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu thanks for this recipe,nilijaribu but zangu zilinyonya mafuta sana,sijui nilikosea wapi plz?❤❤

  • @emmymukama895
    @emmymukama895 หลายเดือนก่อน +1

    Nitajaribu

  • @AchiengMilda
    @AchiengMilda ปีที่แล้ว +1

    Wow ni simat

  • @ruthwelikhe7982
    @ruthwelikhe7982 10 หลายเดือนก่อน

    I like to learn more

    • @NeemaPaul-i2x
      @NeemaPaul-i2x 9 หลายเดือนก่อน

      Hamira hujaweka

  • @swadrathswaib2251
    @swadrathswaib2251 ปีที่แล้ว

    Asante saana mwal.naomba niwe mwanafunz wako

  • @NeemaHamis-e5h
    @NeemaHamis-e5h ปีที่แล้ว +1

    Simple na smart

  • @MagretAnita
    @MagretAnita ปีที่แล้ว

    Maji baridi au moto

  • @filomenabaltazary9060
    @filomenabaltazary9060 ปีที่แล้ว

    Asante sana nimejifunza kitu

  • @SirieliAuwani
    @SirieliAuwani 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona ujaweka amira

  • @Mecrylinekacherobert
    @Mecrylinekacherobert 7 หลายเดือนก่อน

    Nice kiwango cha mafuta unaeka kiwango gani

  • @EfraziaDeo
    @EfraziaDeo ปีที่แล้ว

    Asante sana mwalimu

  • @esterndosi7867
    @esterndosi7867 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana,

  • @JaberongaNephthali
    @JaberongaNephthali ปีที่แล้ว

    Aksante sana

  • @StephenKalenzi-fg3km
    @StephenKalenzi-fg3km ปีที่แล้ว

    Asante nakupataje

  • @micknessmjema3000
    @micknessmjema3000 ปีที่แล้ว

    Asante sanaa nimejifunza kitu apoo

  • @mwelezamweleza4591
    @mwelezamweleza4591 6 วันที่ผ่านมา

    Naomba unitumie nijue namba ya kupika half keki

  • @FrancisKisala-w7f
    @FrancisKisala-w7f 14 วันที่ผ่านมา

    Natumia maji ya uvugugu ama bardi?

  • @AsinatiMlope
    @AsinatiMlope 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubuyu unaandaje kaka napenda kujifunza😊😊😊😊😊 5:32 5:36

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  8 หลายเดือนก่อน

      0682456819 njoo whatsap utapewa mwongozo

  • @ZaharaNyoka
    @ZaharaNyoka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maji na mafuta ni ya moto au yabarid nijuze hapo mwalim❤

  • @NaomiBlessing-o3r
    @NaomiBlessing-o3r 5 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @SalmaSaid-y1i
    @SalmaSaid-y1i 10 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah ila kiwango cha mafuta ni kipi?

  • @zawadihassan4061
    @zawadihassan4061 ปีที่แล้ว

    Waooo,barikiwa sana, nimejua namna ya kupika

  • @bethnganga9135
    @bethnganga9135 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @AbuuOthuman-e4j
    @AbuuOthuman-e4j ปีที่แล้ว

    Asante

  • @RenathaShubira
    @RenathaShubira 8 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @GraceKomanya-t2q
    @GraceKomanya-t2q ปีที่แล้ว

    Ntakutafta Mwl

  • @subilagamwakimi5811
    @subilagamwakimi5811 2 ปีที่แล้ว

    Asante kwa darasa zuri

  • @rajabumuya7113
    @rajabumuya7113 ปีที่แล้ว +1

    Safi Sana zinavutia

  • @JoyceHaule-e6u
    @JoyceHaule-e6u 11 หลายเดือนก่อน

    Nipenda teachet

  • @happinessrevocatus8853
    @happinessrevocatus8853 3 หลายเดือนก่อน

    Waow

  • @notburgaheryvitusnapokea2333
    @notburgaheryvitusnapokea2333 2 ปีที่แล้ว

    Asantee kesho ntaanza.kumbe huweki amira ee

    • @GabrielaMbaruku
      @GabrielaMbaruku 9 หลายเดือนก่อน

      Hata mimi najua naweka hamira

  • @AsinatiMlope
    @AsinatiMlope 8 หลายเดือนก่อน

    Mwalmu nam naomba niwe mwanafunz wako ruangwa 😊😊😊à

  • @EstherMuyenjwa-gh5qv
    @EstherMuyenjwa-gh5qv ปีที่แล้ว

    Dah Asante

  • @SalamaRajabu-c6h
    @SalamaRajabu-c6h หลายเดือนก่อน

    Km hy moja kias gan

  • @Rehema-n3d
    @Rehema-n3d ปีที่แล้ว

    Jeamira Ina ulazim

  • @florahjaphet1170
    @florahjaphet1170 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kaka nimeweza hakika nafurahia

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  ปีที่แล้ว

      Hongera sana 😍

    • @SaedaAlbreki
      @SaedaAlbreki 6 หลายเดือนก่อน

      Huweki hamira kk samahani namba kuelewa​@@mwalimusalanga

  • @mmss6774
    @mmss6774 7 หลายเดือนก่อน

    Asan❤❤❤❤

  • @suzanamwaikofu7790
    @suzanamwaikofu7790 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba niwe mwanafunzi wako, nimependa kazi yako

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 ปีที่แล้ว

      Wow ahsante sana karibu sana

    • @marrymwipugi9400
      @marrymwipugi9400 2 ปีที่แล้ว

      Half cake za biashara unaweza kuweka hamira?

    • @winniegidion2946
      @winniegidion2946 2 ปีที่แล้ว

      🙆🙆🙆niliweza keki zilipasuka vizuri lakini nilijaza being poda

    • @silasmwawuganga-m4l
      @silasmwawuganga-m4l ปีที่แล้ว

      Naomba no yako ya WhatsApp

  • @ALukunda
    @ALukunda 2 หลายเดือนก่อน

    Célestine mwamusivemakutumia bicarbonate ?nasucre valinile,nalevur

  • @IreenDorcas
    @IreenDorcas ปีที่แล้ว

    Asante ndugu natizama nikiwa Mombasa Kenya.nimesoma

  • @EstherMuyenjwa-gh5qv
    @EstherMuyenjwa-gh5qv ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri

  • @adelaidanyange5896
    @adelaidanyange5896 2 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @SaudaSalumu-oc2jn
    @SaudaSalumu-oc2jn 5 หลายเดือนก่อน

    Asante ila niliwahi kujaribu kupika lakin azijapasuka nn sababu

  • @WinfridKayng
    @WinfridKayng 7 หลายเดือนก่อน

    M nafanya kama ulivoelekeza mbon hazipasuki

  • @maryjoseph6973
    @maryjoseph6973 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Asante kwa darasa .Hivi karibuni nitaanza ujasiriamali

  • @hujurandoka6275
    @hujurandoka6275 27 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi off cake hazina hamira?

  • @Josephinamwampamba
    @Josephinamwampamba 3 หลายเดือนก่อน

    Chap maandazi 2inawezekam

  • @ElizabethMpagasi
    @ElizabethMpagasi 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona zangu azipasuki kam ivo

  • @FatumaHalfan-c9n
    @FatumaHalfan-c9n หลายเดือนก่อน

    Amira hauweki na maj unatmia maj ya uvugu vug au na mafuta ni ya baridi au ya moto

  • @ummishahame2214
    @ummishahame2214 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hujasema kiwango Cha mafuta

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  11 หลายเดือนก่อน

      Kiasi kidogo unakadiria

  • @RIGHTNESSALULEY
    @RIGHTNESSALULEY 7 หลายเดือนก่อน

    Naweza 2mia unga wa ngano wa kawaida kiongozi

  • @YasintaGambago
    @YasintaGambago 11 หลายเดือนก่อน +2

    Maji umetumia ya barid au vuguvugu na mafuta ya kukandia ni baridi au

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  11 หลายเดือนก่อน

      Nimetumia maji ya baridi ila unaweza tumia vuguvugu mafuta ya vuguvugu

  • @KhadijaYusuphu
    @KhadijaYusuphu 25 วันที่ผ่านมา

    Mimi nikipika zinakuwa ngumu

  • @estermassawe747
    @estermassawe747 2 หลายเดือนก่อน

    Maji na mafuta unaweka ya moto au baridi?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  2 หลายเดือนก่อน

      Unaweka ya moto kidogo

  • @RahmaTulinje
    @RahmaTulinje 4 หลายเดือนก่อน

    Ngano kilo moja unapata afu keki ngapi

  • @SalmaShabani-c6g
    @SalmaShabani-c6g 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unaweka amira

  • @MariamNassor-cd1lj
    @MariamNassor-cd1lj 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ,sasa kama unapika unga nusu unapimaje kwahio chapa maandashi na sukari?

  • @HellenPascal-tn6zu
    @HellenPascal-tn6zu 8 หลายเดือนก่อน +1

  • @elizabethunga2806
    @elizabethunga2806 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hiv lzm maji ya moto au barid??

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  11 หลายเดือนก่อน

      Ukitumia hamira tumia ya moto kama hauweki hamira usiweke

    • @MarryJoseph-gz8ir
      @MarryJoseph-gz8ir 10 หลายเดือนก่อน

      Kwenye halfcake inawekwa hamira

  • @AshirafuHakimu
    @AshirafuHakimu ปีที่แล้ว

    Mbona sijaona uweke amiraa kwa mfano mi nataka nipike za biashara naweza nikaweka amira

  • @IsdoraMwanyika-he8dk
    @IsdoraMwanyika-he8dk ปีที่แล้ว

    Waooo

  • @NahraGodfrey
    @NahraGodfrey 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mimi zangu hazipasuki nakosa nini mwalimu

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  9 หลายเดือนก่อน +1

      usikande muda mrefu

  • @fatumajane7124
    @fatumajane7124 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unaeka amira

  • @DavidKimanthi-o1x
    @DavidKimanthi-o1x 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu c aelezee mafuta kia's gani maji ni moto ama

  • @GracePaul-x3q
    @GracePaul-x3q ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @asiaseifu-qp1fh
    @asiaseifu-qp1fh ปีที่แล้ว +1

    Nauliza amira atuweki

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  ปีที่แล้ว

      Kuna aina nyingi za upishi wa half keki

  • @UpendoMtemelo
    @UpendoMtemelo ปีที่แล้ว +1

    Inamaana hamira haiwekwi?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  ปีที่แล้ว

      Upo upishi wa aina nyingi sana huo hatuweki hamira

  • @barakabigambo8487
    @barakabigambo8487 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu maji ya moto au ya baridi?mafuta ya moto au baridi

  • @EmmaKithusi-fg4ol
    @EmmaKithusi-fg4ol ปีที่แล้ว

    Mafuta waeka ya moto au baridi,? Naeza kuchanganya na amira, nawacha unga ufure?

  • @Max00-bw2wb
    @Max00-bw2wb ปีที่แล้ว

    Hi

  • @HellenMakalios
    @HellenMakalios 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu Kama ngano kilo tatu unawekaje chapa mandashi he vijiko vingapi?

  • @oscarmorice3403
    @oscarmorice3403 ปีที่แล้ว

    Hallo,
    Ni Mwl.Salanga kutoka KIGONSERA!!?

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  ปีที่แล้ว

      Oscar morice my friend kutoka kigonsera

  • @vivianmarsh2694
    @vivianmarsh2694 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana mwl wangu kazi zako nzuri

  • @magrathmanzila3984
    @magrathmanzila3984 ปีที่แล้ว

    Hizi hafukeki zako hauweki smile? Naomba uni juze

  • @mamamoza6497
    @mamamoza6497 2 ปีที่แล้ว

    Hata mm nimependa niunge kwenye group lako. Asante

  • @MarryJoseph-gz8ir
    @MarryJoseph-gz8ir 10 หลายเดือนก่อน

    💯

  • @EzraZakayo-f7d
    @EzraZakayo-f7d 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hiyo video xjaona ukiweka amira lakin yameiva nimeona yamevimba n kwa nini

  • @iribagizayokebedi2441
    @iribagizayokebedi2441 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nibiro 2 vya ngano naweka chapamandazi vijiko6 na sukali vijiko16 nisahidiye nataka nianzishe biashara ni Burundi

    • @mwalimusalanga
      @mwalimusalanga  11 หลายเดือนก่อน

      Punguza kiwango Cha sukari weka chapamaandashi vijiko.vinano

    • @KamugishaJames-x8l
      @KamugishaJames-x8l หลายเดือนก่อน

      ​@@mwalimusalangaamira aitumiki???

    • @Hadithizababu
      @Hadithizababu หลายเดือนก่อน

      Vp mkuu nami niko burundi ushaga jaribu kutengeneza na ukapata halfcak?​@@KamugishaJames-x8l