Thanks dear..I tried it and it worked perfectly but Nina swali...je kama Sina baking powder na baking soda Nina hamira tu naweza pika bila kutumia b.p na b.s
Jamani nimependa nikitaka kupika 3klg naweka chapa kias gani beking soda kiasi gn bicabonet kiasi gana ma sukar na mafuta kiasi gani naomba maelekexo love
Hi lovies Unaweza kutumia selfrising pia kama Huna tumia vipimo vyangu❤
Nakakpika kiromoj
Nataka kupika kiromoja yaunga ndio sierew nittumie vipimo gan
Hello there. Great sharing looks golden brown
Napenda the new technique. Mafuta iwe kiasi tu. Zimetokea tamu sana. Rangi mzuriii.
Thanks dear
Asante sana. Much love from Uganda
Thanks soo much love you too
Ahsante nimejifunza ubarikiwe sana
Ameen asante sana
Hongeraaa sana nzur sana
Asante sana
Zinakaa tamu sana, asante for yet another great recipe
Nitamu sanaaa
Mashallah ajab 😋😋😋😋☕
Nimependa na pia nimejufunza🥱
Asante sana
Tamu
Sanaa
Naomba dd unifundishe zakuuza
Zipo video nshaeka
Glad you are back. We missed you! Thank you for the recipe. MashaAllah Bismillah 😋 . Nitajaribu leo.
Missed you more my Love shukran sana can't wait mirejeshoo yako sikuzote inakua best
Waoh another great recipe is here,
Thanks sis
God bless you my sister
Ameen you too dear
Asante kwa somo ila naomba kuuliza,,nikizipika mimi huwa zinachukua mafuta sana,,tatizo nini my dear
Labda wakati unapika hua moto ni mdogo sana jitahidi kuongeza ukipunguza sizikae sana kwa mafuta
Asante kwa mafunzo mavuri
Karibu sana
Tamu sana nimependa
Asante kipenzi
Ahsante najifunza mengi toka kwako be blessed my dia
Ingependeza tuwekee vipimo kwa grams vikombe vinachanganya
okey love
My favourites zinakaa tamu and so crunchy. Will make some ove the weekend its been a while🤗👌
Thanks sis utapenda sana
Zinakaa tamu sana
Tamu sanaa
Safi asante sana!
MashaAllah
Tabarakallah dear shukran
Add translation mode from kiswahili to english etc..
For non swahili fans
InshaAllah
Thanks.
Hii recipe inakaa rahisi sana alafu zimeshambuka vizuri,nitajaribu mwanzo hapo kwa shape za madonge
Yes jaribu mpenzi nasubiri mrejesho all the best❤
Ni nzuri sana
Sana shukran Paa
Great share enjoyed watching stay connected friend
Nazipenda hizo ngoja na mm nianze kutengeneza
Kila la kheri
My favorite ❤️ so sweet
Pia mimi
We love you too sis
Shukran Love
Nakama huna paking soda una paking power huezi tengeneza mpka ziwe zote mbili
Nice
Asante sana
Karibu love
Dada barikiwa nimepika muda huu kwa kufatisha video yako aisee ni nzuri mno nilikanda unga nusu kwa majaribio siku ingine nakanda kilo
Awww nimefurahi sana kipenzi yaani enjoy na familia🥰🥰
Half keki uweki amira
😍😍😍😍👌👌👌
❤️❤️❤️
Yummy
Mahitaji ya halfucake
Angalia video
Thank you so much ❤
You're welcome 😊
Tamu sana
Asante dada umenifanya naingiza kipato sasa mungu akubariki
Ziko poa
Asante dear
Shalum. Looking yummy
Thanks
😃😃😃
😃😄😄😄
Ready to learn from you all the time
Thanks alot
Asalam Aleikum siz,thanks for the recipe but nilijaribu na zangu zilinyonya mafuta sana,what could be the reason plz?
They look so yummy yummy 😍. I will try this recipe.
Utapenda sis
Je silazima na (blue and)
Welcome Back sis
Vlogmas inakuja let's warm up hehe🤣🤣
Thanks dear..I tried it and it worked perfectly but Nina swali...je kama Sina baking powder na baking soda Nina hamira tu naweza pika bila kutumia b.p na b.s
Usitumie hamira.
Jamani nimependa nikitaka kupika 3klg naweka chapa kias gani beking soda kiasi gn bicabonet kiasi gana ma sukar na mafuta kiasi gani naomba maelekexo love
Hi love fanya ty hesabu ya vipimo pls
Looking yummy Yummy 😋
Thank you
Ziko poa sana
Asante sana
😋😋😋😋😋😋
Upooooo
Upooooo
Iyo vanilla mm do cjui
Nenda dukani uulizie vanilla ni kama arki
Asante
Karibu❤️❤️
First
Thanks for coming 🤝❤
Dada mm nkpnda sna mana unafungua akili yangu asnteee mungu akuzdishie inshallah
Nakupenda pia kipenzi Aameen asante
Waeza tumia limau kama fulevar
Asante sana
Hamira sijaona
Sijaeka
🥰🥰🥰
❤️❤️
Can you believe I even Googled the recipe today
Yes i can relate dear
Ukimaliza kukanda unga unauacha kwa mda gan, na kama sina bakng soda hakuna mbadala ? Au nisipotumia baking soda haitafaa?
tumia zote nlizoeka baby na unaeza ziacha 5min pekee
nikitaka kuzifanyia biashara hizi nauza hw much habbty kwa hapa Tz
Kwa tz huwa sielezi bei zao muhimu usiende hasara na isiwe ghali sana
Jamani baking soda siijui ipoje
Unaongea haraka sana hebu slow down ili tukuelewe
Umewaka nahamira au sukari tuu namayai
Siajtaja hamura dear
Mbon nimepika ina kauchungu kidogo naomba msaada apo
umezidisha baking powder au soda basi
Hivi unaweza kuweka maziwa badala ya maji
Yes kipenzi
Hi naweza kutia maziwa?
Yes unaweza
Asalam alahkum,, Mimi nafanya biyashara ya mandazi, nahuliza kwa kilo 8 na weka kiya si gani ya vifawo
wslam vizuri sana
nimependa vp unaweza kuweka hamira?
Usieke hizi
Baking soda enafanya nini kwa short cake
Half cakd
Maji inafaa kuwa moto au baridi?
Ya kawaida mferejini
Amila unaweka au ?
hapana
Kwan hapo hujatumia maj n mayai t
angalia. vizurii kipenzi
Likely to talk by I IRS mostly J
Must try
Naomba namba yko ungekuwa na group whtsp
Group kwasasa limepoa kipenzi
dada me nmejaribu nmeshindwa jaman hat hazipasuki au nakosea wap.....vipimo vya unga robo tatu n vikoje???
yummy from smart club gilrs fb kindly give some love too
Thanks Darling 😘please subscribe and share
Asante sana
Karibu dear