RECAP: JASON DERULO HANA IMPACT KWA DIAMOND?? AMEWAPITA CHRIS BROWN KWA NUMBER, anatisha SPOTIFY
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny
Brother huwa unavimba ssna unapokuwa hapo kwenye mic....😂 big up sana
Anajua anachokifanya
EFM ni wasenge na kila mtu analijua hilo, achana nao brother.. Jason Derulo ni GOAT and we know
Nadhan hamumjui diamond, diamond anajua sana anachofanya sana
Jasson@,derulo sio wakawaida , ni msanii wa dunia , na ameshawai kufanya mengi zaidi na kuitikisa dunia kwa muda mrefu . So wa tz msichukuliye poa kabisa
Kwani kolabo ya diamond na Rick Ross ilimpelekq wapi diamond?
Tatizo baazi ya wabongo ni roho mbaya chuki tu big up diamond❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉tuko nyuma yako
Madini mwenye hakili kaerewa mjinga hawezi kuerewa sikuizi namba tu ndio kila kitu au maliza ubishi
Fact broo tpo pamoja❤🎉🎉🎉
Hum courage vraiment Diamond Platnumz 🇨🇩
Hongera Sana kaka upo Vizuri Sana na Unaelewa mziki sanaaa
Nakuelewa sana mando
Sijajua hiyo bongo 5 ni yako au umeajiriwa,ila kama umeajiriwa basi wakulinde sana maana uchambuzi wako hakuna media itakataa kukupa kazi
Ndomana na kuku kubali kk mkubwa namando 🎉🎉🎉
Recap yako inakuwa kubwa zaidi kwenye nchi zinazo zungumza kiswahili.... You are just amazing bro... Only fact you are telling people.... Big up...
From Congo Drc🇨🇩
Ametoa Album yake ni miongoni mwa wasanii 5 bora inchin. Marekani
Kubabake😂😂😂 wadanganye tu hao wapuuzi wenzako
Brother El Mando hua nakuelewa Sana recap zako🫡
🔥🔥🦁
Fact bro
That's true man
bro unaleta vya wazazi bro have respect please
Nimekulewa sana
Huyu jamaa anajua sana kuchambua mziki, hongera Sana bro na umeongea fact huku ukitoa evidence
Yani bro napenda kazi yako, Simba ni Simba, +254
Well aticulated Mando❤
🔥🔥🔥🔥🔥 point ☝️
Jason derulo is fire of the wold
Jornijo umeskia kuja na fact lakini si chuki binafsi
Brother unaongea ukweli sana kaka 🙌🏾🔥
Brother ongera sana,wabongo vichwa vio vibovu,Diamond si kitu mbele ya Derulo,ndio ata soka la bongo linakufa kukosa maharifa
Nadhani wakina jonijo wamepata darasa
Kwel 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Wimbo wa Dunia 😊
Tell them the fact
Endelea kuwakwangua ukoko kwwnye hivyo vichwa vyao vilivyojaa chuki
Unanikosha sana mshikaji unajua bongo hatupendi maendleo ya wasanii wetu labda mwambino afanye kolabo na yesu ndo wataisifia lakin kwakwel komasava remix inafanya vizur
Jamaaa aña jaribu sana
Bro ambaye ana ongoza Spotify kwa wasikilizaji kwa mwezi ni the weeknd 🙏
Jamaa hanaga mambo mengi ndo maana watu wengi wanaona kama hana impact
What you should know is that kimasava remix imekua kubwa kisa huyo Derulo.kama kunae anaepinga akwende
Mzee wa Kujitekenya na kucheka 😂😂
Bro uyo n wakawaida na wakati wake umepita
Sema impact kwa mziki wa south Africa na sio Tanzania iyo si ni piano
Wamekusikia kaka safari nyingine wakuleta ubishi tutawakanda vibao😂😂
Mimi nakukubali kaka kwasababu unaongea ukweli mtupu
Wabongo tumezoea kurahisisha maisha magumu
Jasson derulo ni msani mkubwa sana
wantazania wana zarao sana naona awajui uyu mwamba😮😮😮
Ana impact kiukweli maana amuwezi Chriss ata kidogo sio uko yutube angalia show za Chriss au Uyo wizkid
Ana impack kubwaa zaidii
Wata tuelewa sis
Mdogo wangu unapatikana kwa jina gani Ig?
Nilichojifunza ukitaka kupata biashara nzur yenye mafanikio kimziki nenda kawekeze katika audio kali ziuzwe ma spotify huko boomplay na ndio kina drake wako huko muda sana
Waambie kaka n wapuzi sana
Kama huamini uyo jasoni wako aachie ngoma na burna aachie af uone ipi itaenda
Bongo 5 wawe makini, waki zubaha, tunakusajili white house kama mbappe 🚶🏾🚶🏾🚶🏾🚶🏾 kichwa kikubwa , efm waje na explanation zao sasa
Af jason usimfananshe jb wala cb tn kw drake nd matusi kaka lbd km hujui mzk
Simba katisha
Bongo iyo mambele Zaid ya wanaija
Kumi na tisa si kumi na nne
HUYO JONIJO NI TAKATAKA GANIII....? ALISHAPOTEA KWENYE MASIKIO YA WATU ANATAKA KURUDI MJINI KUPITIA COMASAVA YA DIAMOND.
Hawawezi kula bila ya kumtaja mond
Kaka wale ni wasenge tu watangazaji wakubwa ila kumbe ni wajinga tu hata awa fatilii mambo wana lopoka tu. Hata mimi nili wasikia kina jonijo kume hawajui
Jason derulo na rick ros nani hakuwa na impact katika vipindi mondi anafanya nao kolabo?
j balvin tafuta uyu jama alafu rud tupgie story vizur
🫅🫅🫅
no impact apo ushuuzi tu
Mzee wafagit
ANZISHA GROUP LA WASAP TUKUPE MADINI MAZIKI HAUZUNGUMZIW IVO KAKA UNANIANGUSHA
Kelele bhan Umepitwa na story hii ilisha pita mudatu wewe ndio uleta leo
Fukuzwa kunguru
🤦♂️Sasa unafanya nini hapa!
Utakua Mmakonde 😂😂
Ww ndo toka hapo ,,🤣🤣
Mchawi
Watoe tope wajinga hao mbavu zao.
Watu wanjinga sana wanoo sema Jason Derulo nimsanii mdogo hao wafuta bangi tu au nimashabiki wa ubande wa pili kama kina dingano 😂😂😂😂
Kwenda huko
Subscribers sio kitu.. mbna diamond akona subscribers wengi Africa.. lakn sio mkubwa kuliko wanigeria.. Tanzania wacheni ushamba wa maisha.. hii kukosa elimu inawacosti
Apo kaelezea vitu vyote.. 🤔apo unataka nini tena mjomba; katumia social media mbalimbali kuchambua wabongo much know sana😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Ww elimu yako imekusaidia Nini ikiwa cost unaandika costi😆😆
𝑠𝑖𝑠 𝑡𝑢𝑛𝑎𝑘𝑢𝑒𝑙𝑒𝑤 𝑚𝑢𝑎𝑐ℎ𝑒 𝑗𝑜𝑛𝑖𝑗𝑜 𝑛𝑎 𝑟𝑜ℎ𝑜 𝑚𝑏𝑎𝑦 𝑦𝑘𝑒 𝑎𝑛𝑎𝑢𝑚𝑖𝑎 𝑠𝑎𝑛 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑎 𝑤𝑐𝑏