TAZAMA MCHEZO HATARI WA KUJIRUSHA BAHARINI, UMEKUWA KIVUTIO ZANZIBAR, SERIKALI YAANGILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #makachuZanzibar #millardayoUPDATES
    Makachu ni mchezo maarufu kwa Zanzibar hasa eneo la Forodhani vijana wengi hujumuika muda wa jioni na kucheza mchezo huo wa kujirusha Baharini, kwa sasa ni kivutio kikubwa kwa wageni wanaotembelea Zanzibar na tayari Serikali imekuchukua hatua za kuwatazama vijana wanaocheza mchezo huo kwa kuwaboreshea eneo wanalofanyia mchezo huo

ความคิดเห็น • 179

  • @abdulaabdula2631
    @abdulaabdula2631 2 ปีที่แล้ว +27

    Hongra kak..... Kutemblea kisiw ch marash my home good good. Gonga like hap kw zanzibar. Km upendo❤️

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 2 ปีที่แล้ว +18

    Nakumbuka nikiwa Nina umri wa miaka kumi takribani miaka ishirini na mbili iliyopita nilinusurika kufa hapo Allah aliniokoa. Alhamdu lilahi. Lakini makachu ni raha. Keep it on love you zanzizbar wherever I am.

    • @Mustakeem967
      @Mustakeem967 2 ปีที่แล้ว

      Ok

    • @receptionifabeach1329
      @receptionifabeach1329 2 ปีที่แล้ว +2

      Wengi vijana wa ngamo tumepita hapa hahaha nazani ulikuwa mtoro chuoni na unakuja kujificha forozani kwa makachu hahaha

    • @Alkaburu
      @Alkaburu 2 ปีที่แล้ว

      @@receptionifabeach1329 sure bro That day nilifanya utoro kidogo nikatinga foro

  • @khadijaali6
    @khadijaali6 2 ปีที่แล้ว +6

    Wekeni walipe mpate rizki hakuna vya bure siku hizi

  • @kijaziwakijayo6833
    @kijaziwakijayo6833 2 ปีที่แล้ว +20

    Huu mchezo mwanzo ulikuwa on fire utaanza kupoteza radha sasa kwa kuwa control na mamluki kujiingiza

  • @magorimagori9264
    @magorimagori9264 2 ปีที่แล้ว +7

    Huyu mtangazaji ni International level aisee...anajua kuuliza maswali vizuri sana na anajua kutumia sauti yake..nimemfatilia sana tangu anaishi mwanza pale nyegezi he is a good guy...keep it up brother

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 ปีที่แล้ว +5

    Mambo ya kawaida tu ayo kwa wazanzibar lazima upite apo toka enzi na enzi hakuna hatari yoyote

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 2 ปีที่แล้ว +23

    Jambo muhimu ni kupewa elimu
    Hao wanao ruka isitoshe wapimwe
    Afya zao na vilevile naomba
    Wapewe mafunzo kwani wanaruka ovyo
    Ovyo watapata vilema kuvunjika shingo
    Na sehemu nyingine naona wengine
    Wanaangukia tumbo ni hatari
    Pia waokoaji wa majini lazima wawepo

    • @ladyt1471
      @ladyt1471 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @Mustakeem967
      @Mustakeem967 2 ปีที่แล้ว +1

      Afya wanazo ndomana wanaruka

    • @ashuranuhu8586
      @ashuranuhu8586 2 ปีที่แล้ว +1

      Yani iyo sehem watu wengi wamebakia walemavu kisa uo mchenzo tu

  • @mitanotena5149
    @mitanotena5149 2 ปีที่แล้ว +2

    Niliruka sana hapo sana tulipiga vidola vya wazungu daaah enzi hizo natokea chuini hadi folo daah

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa iyo skuiz kuogelea hapa ni kwa kibali? acheni ayo mambo maisha magumu na starehe ya mnyonge isiyo na dhambi pia mnataka kuifanya ngumu ,ayo mambo ya vibali hatuyataki pelekeni ukoo

  • @king_agil6297
    @king_agil6297 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu muhindi muongo sijawahi kusikia kuhusu vitambulisho na mm naenda kujirusha na watu na sijawahi kudaiwa kitambulisho wala nn

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 ปีที่แล้ว +3

    Good job, sema uyu mwandishi namfananisha na Dula Ambua kwl yn au n ndugu?

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 2 ปีที่แล้ว +9

    Serikali ingewajengea vizuri ikaweka steps pale mkiruka badala yakupanda ukuta mpite kwenye steps naona kama mtafika mbali zaidi hata kwenye michezo ya Olympics mutafika kukiwa na mpangilio mzuri

    • @Mustakeem967
      @Mustakeem967 2 ปีที่แล้ว

      Tumependelea ukuta

    • @yunushuden1639
      @yunushuden1639 2 ปีที่แล้ว

      Na ngazi zipo sio kama hamn ila ukuta ndo kat ya kivutio pia

    • @ramsikhamis7083
      @ramsikhamis7083 2 ปีที่แล้ว

      Hivii panakuwa na kina apoo wanapotulia amaa maji ya kifua tuu

    • @ashuranuhu8586
      @ashuranuhu8586 2 ปีที่แล้ว

      @@ramsikhamis7083 parefu apo tena san hasa yani kama hujui kuogelea unakufa apo

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama Pana mawe bac nivizur yakatolewa kwaajili ya usalama zaid

  • @amoury1481
    @amoury1481 2 ปีที่แล้ว +5

    6:05 That one is So Funny🤣🤣

  • @salumsaid5519
    @salumsaid5519 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo sio hatr ni michezo yet wameruka kk zang nimeruka na mm na wataruka wtt wng asil haipotei Zanzibar ndio yet koga mton uliwe na mamba hbr redio

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapa Forodhani ni zaidi ya miaka khamsini vijana ikifika jioni tuu mchezo unaanza.watu wazamani walikuwa wakipanda juu ya ile restaurant na kuruka, vipi ilikuwa raha Zanzibar ikifika jioni hapo Forodhani. .Dr. Hussein vijana kama hawa lazima uwape support kubwa...

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 5 หลายเดือนก่อน

    Kipindi icho sisis tunaita mizingani nishapija makwachu kwa sana tu kipindi icho nasoma ndani ya shule ya hammamni halfu kuna sehemu nyengine inaitwa ngazi miaaa 100 alo kitambo sana inshallah nikirudi tz kwa kudraa za Allah nataka nifike apo

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 2 ปีที่แล้ว +1

    Aje na kitambulisho cha mzanzibar? Kama anacho cha Bára je?

    • @siloomar7699
      @siloomar7699 2 ปีที่แล้ว

      Kwan kuna cha bara au kuna cha tz?

  • @hamidamer8849
    @hamidamer8849 2 ปีที่แล้ว +2

    Waacheni wapige makwachu wote wanajielewa ao wanaakili zao kwiy linalowatokea watajijua wao wenyew sjawah kumuon chizi akaend foro akapiga makwachu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

    Wanabiapaji vikubwq sn yn wngekuwa nje saaiz wanakula pesa mno. Lkn sio Tzd

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar ni yetu sote yaani kuogelea tu forodhani uwe na kitambulisho na barua ya sheha au mjumbe hee ni Mtihani basi?

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 2 ปีที่แล้ว +6

    Wenye mamlaka wautazame huu mchezo usije ukalete mahafa kuchukua taazari mapema

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 2 ปีที่แล้ว +2

      Kuna mmoja kashapararaiz

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว

      Sio mmoja wawili wamepalalaiz wapo kitandan hd Leo huo mchezo mbaya Sana Basi tu

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 2 ปีที่แล้ว +1

      @@linahsemindu4261 aisee kumbe wawil bhc mm nlimuona yule mmoja yaam dah cjui pesa wanalipwa nyng maskn dah

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว

      @@Zainab-sq1tc wawili my Tena huyu wa 2 naona ni wajuz juz nae anatakiwa pesa nyingi apelekwe nje ni kijana mdg Sana shombe shombe

    • @jacrinsubi4198
      @jacrinsubi4198 2 ปีที่แล้ว

      @@linahsemindu4261 Kuna mmoja wa hapa mahonda kashafariki miaka Sasa.

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 ปีที่แล้ว

    Fanyeni kitu ambacho hao vijana they can make something in profit

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatari ipo wapi ata Mimi naweza hiyo.

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 2 ปีที่แล้ว +1

    MUWEKEWE NGAZI ZA KUPANDIA KUTOKA KWENYE MAJI KURUDI JUU.
    PIA MUWEKEWE KITU PA KUKANYAGA KABLA YA KURUKA HAPO.ISIWE TOFALI.

  • @davidephrahim4298
    @davidephrahim4298 2 ปีที่แล้ว +2

    Ah! Makachu forodhani! I Miss This!

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt 2 ปีที่แล้ว

    Ikitokea ajali mtu anaumia na ku paralais atajuta kuzaliwa ana dive anapgiza kichwa na mawe humo baharini tatizo ndo linaanza hapo

  • @mariyammariyam7209
    @mariyammariyam7209 2 ปีที่แล้ว +7

    Sio mchezo mzuri sana watu waumia sana uti wa mgongomungu atawasitiri

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 ปีที่แล้ว

      Htr Yann icho ni Kipqji na nchi. Za wenzetu wanafanya ji ajira iyo sio mchezo WA Bure

  • @abbynimel-kindy5107
    @abbynimel-kindy5107 2 ปีที่แล้ว +2

    Barua ya sheha tena.. Watu tumezaliwa stone town kesha unipangie boya nin wew...

    • @Mustakeem967
      @Mustakeem967 2 ปีที่แล้ว

      Hujalazimishwa mzeee

    • @waforo
      @waforo ปีที่แล้ว +1

      Hujamuelewa mzee apo amezungumzia kuwa memba sio kuwa mrukaji warukaji wapo wengi ila member sio wte

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 ปีที่แล้ว

    Waruhusuni wageni pia kufanya show kwa kulipia

  • @pepokigoma5395
    @pepokigoma5395 2 ปีที่แล้ว +1

    Tungepataa wabunge kama hawa tungefika mbali sana Mana weng waujum uchumii tuu?

  • @khadijaali6
    @khadijaali6 2 ปีที่แล้ว +1

    Na pia kuwekwe mahodari wa hiyo kazi incase mmoja akishindwa asaidiwe😂😂uoga mbaya

  • @ummkolthumkoalthum3271
    @ummkolthumkoalthum3271 2 ปีที่แล้ว

    Jiangalieni msije mkajivunja uti wa mgongo

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 2 ปีที่แล้ว

    Hio sehemu iacheni public kuifanya private ni ujinga mkubwa.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar Raha Sanaaaa

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 2 ปีที่แล้ว +1

    Serikali inaingiza pesa kwa nguvu za vijana kama mumejiandikisha munatangaza utalii nyie vijana munalipwa kila mwezi na serikali ama vp mwambieni Raisi awe anawalipa mana naona ata mukipata ajali hawawezi kuwatibu angalau mumengeomba insurance ili muende check up kwa mwezi sio kuruka tuu kuitangaza nchi wkt hampati chochote serikali oneni aibu kwa vijana hii ni ajira yao bwana

  • @leahsamson9354
    @leahsamson9354 2 ปีที่แล้ว

    MTANGAZAJI ANAFANANA NA DULA SURA HADI KUTANGAZA

  • @salummazurui3270
    @salummazurui3270 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya simu ya kiongozi wao

  • @frankmasamaki9640
    @frankmasamaki9640 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana

  • @mundhiraly3368
    @mundhiraly3368 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalinde

  • @isackanhandula2345
    @isackanhandula2345 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatari

    • @mussadelight4038
      @mussadelight4038 2 ปีที่แล้ว

      Yaan uku zenji ukiongeya maneno ayo bx ushamba

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn angalien msije mkavunja uti wa mgongo

    • @mussadelight4038
      @mussadelight4038 2 ปีที่แล้ว

      Huk foro kwetu ni kawaid t n wat kutok nchi tofaut wanakuj kujioneya

  • @glorydenis5111
    @glorydenis5111 2 ปีที่แล้ว

    Hata sio mzuri

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 2 ปีที่แล้ว +3

    Masha-allah

  • @Mustakeem967
    @Mustakeem967 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sio hatar mzeee

  • @respectall4551
    @respectall4551 2 ปีที่แล้ว

    At 2.09 he said this game doesn't appear anywhere in the world except zanzibar 🙄. There kids doing this in Morocco too "paradise valley" Agadir Morocco.

  • @imransalim6352
    @imransalim6352 2 ปีที่แล้ว +2

    kivutio kikubwa within but not duniani

  • @Meshaonetz
    @Meshaonetz 2 ปีที่แล้ว

    New songs Mimi na wewe kutoka kwangu njoo uisikilize nyimbo tam ya mapenzi

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +2

    Hichi ndio kisiwa ambacho watu wake wanaimani sana kwa hakika ndio kisiwa kitukufu kwa hapa duniani Mashaallah ,sio Kama Tanzania bara hapa kwa hakika kwa sbbu Wabongo ni shida duh

    • @ankdullahtv1693
      @ankdullahtv1693 2 ปีที่แล้ว +2

      Wanainani ya kuswali tu Ila Wana laana ya zinaaa

    • @johanesbina1302
      @johanesbina1302 2 ปีที่แล้ว

      Jidanganye

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 ปีที่แล้ว

      Umeongea ukweli zinaa hapo ndio yao na wala hawaogopi

    • @magrethmbuma3045
      @magrethmbuma3045 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahhaa mambo yasiyooneka kwa macho ndio hataarii zaidi kuliko yanayoonekana kwa macho...we fanta uchunguzi tena utakuja na majibu menginee na utafunga kimya kuwanenea watu wabaya kama hayo.

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 ปีที่แล้ว

    Badae mkipata matatizo ndio muanze kuomba msaada wakuoelekwa india

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 2 ปีที่แล้ว +3

    Manshallah Kaka mzur umeoa kama hujao mke mwema nipo hapa

  • @taliyagogo1481
    @taliyagogo1481 2 ปีที่แล้ว +14

    مشاء الله عليهم.. أنا ازور زنجبار عشرات المرات . وهالمكان دوم اجلس فيه لأن يعجبني اشوف السباقات.. بس بجد الاخ العماني بويتكلم سواحيلي مضبطها صح كانه منهم وفيهم 😀😂 .. اقول للجروب بس لاتروحوا اماكن اخرى بتنزانيا حلوة وطبيعية مثل مونزا وبوكوبا واروشا وموشي... 👍🌺 ترا خلصتها تنزانيا حواطة واستكشاف

  • @DoctorPesandegeMgangaTibAsili
    @DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 ปีที่แล้ว +1

    🌳🌳🌳🌲🌲🌿🌿🌿

  • @mitanotena5149
    @mitanotena5149 2 ปีที่แล้ว

    Daaaah saizi wanajisajiri aaaaaaaah ujinga tu!!zamani ilikuwa free hapo

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 2 ปีที่แล้ว

    Sio hatari achaneni ushamba nyie.

  • @adamzachariakinyekile6948
    @adamzachariakinyekile6948 2 ปีที่แล้ว +2

    Aje na kitambulisho kama yeye ni mtanzania na sio kama yeye ni mzanzibari,wote ni watanzania

    • @zulaykhajuma41
      @zulaykhajuma41 2 ปีที่แล้ว

      usime wa vyetu vyenu, vyenu vyenu umekufa now. Forodhani Iko Zanzibar na anataka lazima awe mzanzibar. So, aje na kitambulisho Cha Mzanzibar

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 2 ปีที่แล้ว +2

    Mchezo mbaya sana huo watu wanalala kitandani miaka kwa ajili ya michezo hiyo.

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 ปีที่แล้ว

    Kwetu kuzuri mashaallah 🥰

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 2 ปีที่แล้ว +1

    Members 60

  • @neemakombe67
    @neemakombe67 2 ปีที่แล้ว +2

    Wakivunjika uti wa mgongo wanakuja kutulilia tuwasaidie michango

    • @ramlaomar7923
      @ramlaomar7923 2 ปีที่แล้ว

      😁😂😂

    • @pantherking_tz
      @pantherking_tz 2 ปีที่แล้ว

      Ndo hapo sasa na hawajifunzi tu kupitia hao waliokwishaumia.

    • @neemakombe67
      @neemakombe67 2 ปีที่แล้ว

      @@pantherking_tz yani acha tuu wanaumia vibaya sana na wote waonaumia kwenye makachu ni uti wa mgongo unavunjika so sad kwa kweli

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 2 ปีที่แล้ว

      Keasababu hawajapewa mafunzo
      Ya kuruka majini wanajirukia ovyo ovyo
      Wakiangukia tumbo,shingo,vifua
      Nihatari sio kufurahia na serikali inaona

    • @ahmedmohd5507
      @ahmedmohd5507 2 ปีที่แล้ว +1

      sku zote hakuna kizuri kikosacho kasor lila kitu kina faida na hasira zake so tuache husda na kuombeana mabala tuombeane mema tusapotiane na kwa maana ajali zipo majin na nchi kavu...!!

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah ALLAH barik

  • @indigirlkacecullar9363
    @indigirlkacecullar9363 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa wale wanaotaka mambo ya Wazima karibu ujionee 🍆🍑💧th-cam.com/video/obPggjKPDQIh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/obPggjKPDQIh/w-d-xo.htmlttps://th-cam.com/video/obPggjKPDQI/w-d-xo.html

  • @dullahdimba8423
    @dullahdimba8423 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuh

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      masha Allah lkn huu mchezo unawatia watu ulemavu wa maosha😅😅

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar 🥰🥰

  • @frankmasamaki9640
    @frankmasamaki9640 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana

  • @salimally7358
    @salimally7358 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🙏

  • @taliyagogo1481
    @taliyagogo1481 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu kijana anaitwa Hussein ni handsome sana..kama kuna handsome Man toka zanzibar wapo... nataka mchumba.☺️☺️☺️ Am from Oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว

      Handsome man tupo kila mahali ni wewe tuu useme wataka mfupi au mrefu

    • @taliyagogo1481
      @taliyagogo1481 2 ปีที่แล้ว

      @@binhussain3445 😂 am serious about what I said 👍

    • @fariduwezo9557
      @fariduwezo9557 2 ปีที่แล้ว

      Nipo handsome nilokosa Matunzo from Zanzibar

    • @taliyagogo1481
      @taliyagogo1481 2 ปีที่แล้ว

      @@fariduwezo9557 I didn't understand??

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 ปีที่แล้ว

      😁😁😁

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri ila bado staili mpya hamuna mana wengine wanajirusha tu hazina mbwembwe.vionjo tafauti na zamani miaka ya 1995

  • @islamjarwan1476
    @islamjarwan1476 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua kwanini mulikuwa nikivutio kikubwa na watu waliwapenda na mukaonekana ni wa kipekee ni ile staili ya kuchupa namakanzu yenu ingawaje sio vizuri lakini ndo mulipendeza sasa kama leo mumevaa sare munakuwa wakawaida tu sio ishu ni kama diving wengine tu duniani.

  • @myamwezmyamwez8669
    @myamwezmyamwez8669 2 ปีที่แล้ว +1

    Washakufa wengi hapo na hilo eneo limesha lemaza wengi hivyo hivyo.

    • @AliMohamed-gv7nw
      @AliMohamed-gv7nw 2 ปีที่แล้ว

      Hakuna sehemu wasokufa watu tatizo wengine maji sio Mambo yenu

  • @ahmedismail4192
    @ahmedismail4192 2 ปีที่แล้ว +1

    Njoeni mafia money vipaji vya diving humujui chochote wanzazibari

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 ปีที่แล้ว +1

      Chuki hizo zisizo sababu chanzo chake roho mbaya na roho mbaya haijengi hubomoa....umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.....znz ni nchi ya utalii na vivutio vingii.....kazi kwako

    • @ahmedismail4192
      @ahmedismail4192 2 ปีที่แล้ว

      @@hannansdeliciousfood4261 njoo mafia uone utalii znz hakuna chochote

    • @hannansdeliciousfood4261
      @hannansdeliciousfood4261 2 ปีที่แล้ว

      @@ahmedismail4192 hahaha ukishaona ww inatoshaa......tangaza utalii nje sio kwa wazanzibar bye

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 2 ปีที่แล้ว +1

    Aya hao wana luka kawaida sana unaluka unajigeuza ki samaki ukiwa angani sio poa

    • @mussadelight4038
      @mussadelight4038 2 ปีที่แล้ว

      Wew fatilita iyo halfu nd uongee maneno yk

  • @DoctorPesandegeMgangaTibAsili
    @DoctorPesandegeMgangaTibAsili 2 ปีที่แล้ว

    *MASHALITI YA KUMILIKI PESA ZA MAJINI/MIZIMU.*
    1. Uwe na umri kuanzia miaka 18 n.k
    2. Uwe na moyo kutunza siri pindi utakapo kua umemiliki pesa za Majini/Mizimu.
    3. Uwe ni wa kusaidia ndugu zako pamoja na kutoa misaada katika vituo wanavyo lelewa watoto yatima au wazee
    4. Uwe unavaa nguo nyeupe kila siku ya alhamisi pamoja na kuchinja mnyama kila mwaka Kisha kula pamoja na ndugu zako au jamaa na marafiki. Usinyanyase ndugu eti kwasababu unamiliki pesa hizi.
    5. Pia haichagui jinsia uwe mke au mume wote inawezekana kumiliki pesa za majini

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Sio mchezo mzuri sana baadae watapata madhara makubwa ya mgongo

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 ปีที่แล้ว +1

    Huo mchezo muuache Mara moja .

  • @abdulialiy5411
    @abdulialiy5411 2 ปีที่แล้ว +1

    Hindi ata kiswahili hakikijuwi vizur ila ndio linawapangia watu wapi wakoge na wapi wasikoge ndani ya nchi yao

    • @mrs2899
      @mrs2899 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 fala ww yy ni moja kati ya uongozi bichwa lako sikia vizur acha ubaguzi

    • @adaboychibu1659
      @adaboychibu1659 2 ปีที่แล้ว +1

      @@alphadreammedia Anaweza akawa sio mzanzibar lakini akawa mtanzania halisi au bado ni mbaya ?

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +1

      Unaijua Zanzibar na watu wanaoishi??

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 2 ปีที่แล้ว +1

      Baguzi hiloooo...bado na ushamba wa kizamani eti mhindi..big fool wewe

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ezekieljacob5795 Inaonesha hajuwi hata zanzibar inawatu waaina gani 🤣🤣

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว

    DAWA ZA KUONGEZA AKILI,PAMOJA NA KUMBUKUMBU,*#
    m.th-cam.com/video/ntptVUbwEts/w-d-xo.html

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว +2

    DAWA ZA KUONGEZA AKILI,PAMOJA NA KUMBUKUMBU,*#
    m.th-cam.com/video/ntptVUbwEts/w-d-xo.html