LIVE: OTHMAN MAALIM - TAFSIRI YA QURAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    sheikh_othman_maalim,
    khutbah_mawaidha_vipindi_vya_dini

ความคิดเห็น • 28

  • @mossinivyamana3831
    @mossinivyamana3831 4 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezimungu akupe mwisho mwema Sheikh Othman,na uzidi kutupa burudani(amin)

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 5 ปีที่แล้ว +7

    Asanteni sana koo mzima ya ktv tz online kwakutuletea vipindi hivi vizuri na vilivo muhimu kwetu shukrani ktv tz online hakika hii ni Fahari yetu 👍

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh wetu my Allah akjaalie umri mrefu grant you jannatu naeem uzidi ktufunza maalim.

  • @aishajeaninejeanine8934
    @aishajeaninejeanine8934 5 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyezi Mungu akujalie umri mrefu uzidi kutuelimisha insha'Allah .

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 3 ปีที่แล้ว

    Sheik wetu aki tunakupenda Sana kwa ajili ya Allah Allah akupe ilmu zaidi na afia na nguvu uzidi kutulingania ameen

  • @debreezy3789
    @debreezy3789 4 ปีที่แล้ว +8

    Yani utaona watu weeengi wana comment mambo ya liyokua ayana maana alafu vitu Kama ivi wana acha cucoment shekh Allah akulipe Kira la kheri

  • @jikhanyahmady1955
    @jikhanyahmady1955 3 ปีที่แล้ว

    Ahsantee sana shkhe othuman maalmu Allah akulipe ujira uliokua juu zaidi kutokana na daawa unayoitoa kwa ummaty w mtume Muhammad ( S.a.w) ,,namuomba Allah akupe umri mrefu wenye mafankio inshallah uzidi kuitangaza kalma yake Allah (s.w)

  • @zamirujuma4485
    @zamirujuma4485 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

  • @omartamim4712
    @omartamim4712 5 ปีที่แล้ว +5

    Kheri nyingi ziwe kwako sheikh wetu

    • @rahemahamisi3558
      @rahemahamisi3558 5 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu akupe Umri sheikh wetu. Uzidi kutupa elimu.

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว +5

    MASHA ALLAH. SH. othman maalim.

  • @jumaadremane7756
    @jumaadremane7756 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah sheh Othman Maalim. May the almighty allah protect you sheh and all brothers and sisters in faith. Actually I thank you for your time to translate the holy Q'uran sheh.
    From Mozambique - Nampula.

  • @MaryamMaryam-ek7ks
    @MaryamMaryam-ek7ks 5 ปีที่แล้ว +6

    Barakllahu fiik

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 ปีที่แล้ว

    Tutakuaa kilasasiku tunarudiaa sualaa mojaa tuu hatusogii mbeelee nisawa tu wachatuogeze imani plz sijui umenielewa

  • @mohammedsaleh2202
    @mohammedsaleh2202 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka allah kheri

  • @ahlaamamy9342
    @ahlaamamy9342 4 ปีที่แล้ว +3

    السلام عليكم ورحمة لله وبركاته
    Natamani mashekh wazanzibar watengeneze darsa za tafsiri Qur'an sura kwa sura na Aeleze maana ya maneno yafahamike
    Kama wanavyofanya nchi nyengine za kiislaam tele
    Bil-asaf tunavyuo vya Qur'an vingi kuliko school zaserikali lakini Qur'an inasomeshwa kwa kuratili tu hata watoto wanaohifadhi ukiwaauliza maana ya walichokihifadhi hawakijui
    Nihasara kuhifadhi kitu usichokijuua maana yake na inapelekea kutokufanyia kazi ulichokihifadhi na kukisahau mara tu unapokiiacha kukipitia
    Ndio maana pia wanahifadhi halafu wakiwa wakubwa utawasikia *ilikuwa nimehifadhi juzuu kadha lakini nishazisahau*
    Hili linatakiwa lishughulikiwe ili tuelimike kwa haki ya kukifanyia kazi na isiwe hoja siku ya Malipo
    السلام الله عليكم

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 5 ปีที่แล้ว +1

    Shukran wajazaka llahu heri

  • @talhatony8028
    @talhatony8028 4 ปีที่แล้ว +1

    Djazaakumullahu khayran

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 ปีที่แล้ว

    Kamaa zahazii alitoiii nangaaa

  • @yunusfadhil602
    @yunusfadhil602 5 ปีที่แล้ว +1

    mashallah

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 ปีที่แล้ว

    Kulaaa sikuuu unapenaa alassmaa ya mashuaaa husikaa tena kesho unajuaa nyegine basi nisawaa wachas nisubri

  • @feswalsalim7909
    @feswalsalim7909 3 ปีที่แล้ว

    Shekh muulizee mzee hapo chini mim nilivo nilikua jirani yakee shekh nasoro khami

  • @jumahory3069
    @jumahory3069 4 ปีที่แล้ว +2

    Naombeni namba ya shekh othmani malim

  • @bukursalma6103
    @bukursalma6103 4 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar

  • @hassanwako6136
    @hassanwako6136 5 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @hassanomari6226
    @hassanomari6226 4 ปีที่แล้ว

    Sheke sudsi