Haichokeshi...Hata ukaskiza walau Aya moja siku nzima...Haijachosha Surah Fatiha Katika swala mara tano Kwa siku.... Ama kweli Qur'an ndio muujiza pekee unaoishi na ambao uko mbele kiwakati❤❤❤ Allah atujaaliye kuiacha duniya hali ya kuwa tuko waumini Mardhiya. Ameen.
Ndugu waislamu wezangu ni mmoja tu hakuzaa Wala hakuzaliwa Wala Hana mtoto yeye ni mjuzi wa kuumba uwezo wote ni wa kwake yeye na yeye ndie mwenye kutowa riziki kwa viumbe wote na yeye ndie mwenye malipo siku ya hukumu tumnyenyekee Alla tumuabudu Alla tusimshirikishe shirki yoyote wakati wetu wote tuutumie kwa ibada na kuijua kurani na tafsir yake ili tupate mwisho mwema Amin
Haikubadilika ...haijabdilika ..haitobadilika ..qur an ...n naneno ya Allah .na uislam ndo din ya haki ....Allahu Akbar..tujaalie mwisho mwema amiiin ya Allah.
MashaaaAllah 🥰 Quraan ni nzur sana M. Mungu akubariki ewe unayetutafsiria M. Mungu akuongoze katika njia iliyo nyoooka aaamin🥰 amin amin amin amin amin
@@shahakimbeofficial8901 Kwakweli ilinibidi nimwite mwanangu aliezaliwa 30.08.2020 jina la Yusufu kwa kuvutiwa na kisa hiki. nili coment mwaka 2019 kisha mwaka 2020 nikamwita mwanangu jina la Yusufu...Allah atujaalie tuwe wenye kusikia, kuzingatia na kufanyia kazi maneno yake.
Maashaallah Allah amjaziekila lakheri msomi huyu pamoja na mwenye kutafsiri na alla ajalie jamii zoteza kiisilam ziwe na kheri ktk dunia na akhera ameen
Asante Mungu kuzaliwa kweny Uslamu
❤maashaallah hakika mwenyezi Mungu nimwenye huruma namwenye kurehemu allah atuifadh naavifungue vifua vyetu kwakuifaz qur,ani Amin Amin yarabira alaminnn😂
Allahu Akbaru surat Yusufu nzuri sana kuisikia
Mashaallah Mw Mungu atufanyie wepesi na sisi atupe khusni lhatimqa
Nijalie neema yaarabbi
inshallah mungu tujalie
MashaAllah Mola Atubariki zaid kuhifadhi na kuifuata Dini ya haki Nakuhifadhi Qur_an kweny vifua vyetu Amiin
Haichokeshi...Hata ukaskiza walau Aya moja siku nzima...Haijachosha Surah Fatiha Katika swala mara tano Kwa siku....
Ama kweli Qur'an ndio muujiza pekee unaoishi na ambao uko mbele kiwakati❤❤❤
Allah atujaaliye kuiacha duniya hali ya kuwa tuko waumini Mardhiya.
Ameen.
Ndugu waislamu wezangu ni mmoja tu hakuzaa Wala hakuzaliwa Wala Hana mtoto yeye ni mjuzi wa kuumba uwezo wote ni wa kwake yeye na yeye ndie mwenye kutowa riziki kwa viumbe wote na yeye ndie mwenye malipo siku ya hukumu tumnyenyekee Alla tumuabudu Alla tusimshirikishe shirki yoyote wakati wetu wote tuutumie kwa ibada na kuijua kurani na tafsir yake ili tupate mwisho mwema Amin
Amin!!!
Allahu akbar nimejifunza kitu kikubwa mno humu ndani kwamba tusipende kutangaza heri tulizo pewa na allah alhamdurillah
Masha Allah,naipenda sana Surah Yusuf huwa naskia nafarijika sana na kupata utulivu wa nafsi nikiisikia
Masha Allah naipenda kiruan
Haikubadilika ...haijabdilika ..haitobadilika ..qur an ...n naneno ya Allah .na uislam ndo din ya haki ....Allahu Akbar..tujaalie mwisho mwema amiiin ya Allah.
Mungu Atujaalie mwisho mwema
Allah atupe mwisho mwem ishaallah
Amin yarabill Allamin
مشالله تبارك الرحمن ❤
Yaarab tupe hsunl hatma ,ewe Molamlezi tupe elmu yenye manufaa Dunia wa akhera ,Amin
Alhamdulillah namshukuru mungu wangu kwakuniumba binaadam naninakuomba UNIFISHE NIKIWA muislam naunichanganishe na watendao mema mim na kizazi changu na wazazi wangu amiin
Ameen yarabi atujalie.mwisho mwema😢
Aamin
Alhmduilah mwenyezi mungu atujalie mwisho wetu
Allah Allah atujalie mwisho mwema Allahuma Amiin
Mashallahaa mashallahaa Mungu akuzidishie na akupe maisha malefu kama bado umzm
Mashaallah 💓❤️❤️ ya Allah tujalie tuhifathi Quran katika vivua vyetu
Allhamdulillah Mola wetu ni mwingi warehema ❤
Masha Allah jazakallah kher Allah awap maixh maref mashkh zet inshallah
SHEIKH mungu akujalie janatil firdaws amin thuma amin
Amin
ا لله اكبى
Amiin 🤲
Allah atujalie mwisho mwema, tufe tukiwa wauslam
Jazakallah
Mashallah🙏🙏🙏
Allahum amiin y'Arabbi tuongoze siwote waislam tuwe nyuma ya'mte wetu muhammad s.w.slm namshukuru Allah kuniongoza nikawa muislam
Masha Allah,Mungu mkubwa
Mashaallah ❤….may Allah atusaidie tuhifadhi Quran
Allah!! Awarehemu
Mashaallah tabarakaah
Kisa kizuri
Mashaallah mashaallah mashaallah tabaraka llahu shukran wajazaka llahu heri
Allah atupe nuru kwenye noyo zetu tushikane kuisoma na kusikiliza Quran mpaka mwisho wa uhai wetu ameen
Allah hummaa amyiiin thummaa amiin maneno matamu mazito
Mashallah kisa kizri,, yaa Allah atujalie mwisho mwema.
MashaALLAH ww unayetafsiri na mishary ALLAH awajalie jannatul firdaus
MashaaaAllah 🥰 Quraan ni nzur sana M. Mungu akubariki ewe unayetutafsiria M. Mungu akuongoze katika njia iliyo nyoooka aaamin🥰 amin amin amin amin amin
Amiin❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ya allahu nijaalie nife nikiwa muislamu
Ameen
Ninapenda sana Surat ur yusuph,, mashallah, Allah wakbar
in shallah
..tena na wingi wa matendo mema.Amin
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Allahu akbar
Allahu akbar
Allahu akbar
Allahu akbar
Allahu akbar
Allahu akbar ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah, hakika mwenyezimungu anajua zaidi vilivyo ndani yetu na kwahakika qur an ni ufunuo na mafundisho kwa yule mwenye aqili
Mwenyez mungu atujalie tuwemiongoni mwa watu wema in sha allah
Alhamdullillah ewe mwenyez mungu naomba mwisho mwema
Ameen yarabiiiiii
ee mola wangu mlezi nizid kunitia iman katit din yangu ya uislam
Mashallah najivunia kua muislam dini ya khaki
Mashaalah! Kisa chenye mafunzo
Kwa hakika kisa hiki hua kinanipa moyo na kutokata tamaa maishani. Subhana Allah
Allah tujaalie mwisho mwama nshaallah
Allah atujalie mwisho mwema
Mashallah tabaraka llah
Alhamdulillah Allah Akusimamie shukran sana
Yarab naomba unijahalie mwisho mwema
Hakika mwenyeenzi mungu ametukuka,allahu akbar
Ewe Allah nakuomba utujaalie sisi waislam tuhifadhi qur ani katika vifua vyetu amin amini
Mashaallah
P000pp see pp0pppp0p pp p0pppp pp p0pp
Allahumma amiin kwa sote!
Mash Allah
Ameen am willing hadi sai
Mashaallah Quran amani ya moyo
Masha Allah , Allah atuajalie mwisho mwema In shaa Allah
Aisee yusufu alikuwa mzuri kwelikweli maashallah kisa cha yusufu kimeniingia kwelikweli...Allah ajaalie tuwe miongoni mwa watu wema
Ameen.
Napenda tu zaidi tafsir ya quran
Mca
Mie ndo nimekuja leo hapa,🙏2020 Ila honger kwa kumpa mwanao hili jina
@@shahakimbeofficial8901 Kwakweli ilinibidi nimwite mwanangu aliezaliwa 30.08.2020 jina la Yusufu kwa kuvutiwa na kisa hiki. nili coment mwaka 2019 kisha mwaka 2020 nikamwita mwanangu jina la Yusufu...Allah atujaalie tuwe wenye kusikia, kuzingatia na kufanyia kazi maneno yake.
Manshaallaah 🤗🤗🤗❤️❤️❤️❤️😍😍😍😍😍😍Allaah tujaliye mwisho mwema 🤲🤲🤲 Ameen 💕💕💕💕💕💕
Ameen
Ameen
Mashaallah allahu akbar ewe Allah tujalie tuwe niwenye kukuamini inshaallah na kuwa na hofu juu yako inshaallah 😢😢😢
Allah akujalie katika wajaa wema
Maashaallah Allah amjaziekila lakheri msomi huyu pamoja na mwenye kutafsiri na alla ajalie jamii zoteza kiisilam ziwe na kheri ktk dunia na akhera ameen
Ameen
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 mashaallah
Alhamdulilah
Shukran allah
Mashallah Allah akibar hakika Allah atujalie mwisho mwema umat Muhammad (s.a.w) thuma amiin
Ameen
Aamin
Amiin
Mungu ajalie tuwe katika makundi yakheri nabaraka makundi yawatu wema
Mashaallh
Ameen
Allahu Aqbaru
MashaaAllah😍kisa kizuri mmnooo kina kila Aina ya mafunzo yaaRabiy tuongoe tujaalie na sisi miongoni mwa waja wako wa PEPONI aaaamin
Allahuma aamin
Subhannallah 😓!. ALLAHU AKBAR ALLAH AKRAM 🕋🤍🕋
Napenda sana kusikiliza tafsiri za Qur'an
Nzr
Mashallah
Mca
Mashaallah Allah awalipe kila lenye kheriii
Amin yarabiy kwa sote
Allah atuepushe na husda
mashallah
mashAllah
Mashaallh yaaraby tupe mwisho mwema
Allah atupe mwisho mwema, amen
Ameen.
Ameen
JazakaAllah kheir💕💕❤❤
MaashAllah Alhamdulilah
JazzakaAllah kher
Mungu akutangulie popote ulipo
Allah atujaarie mwisho mwema امين
Amiin
inshaala
Mashaallah... Mashaallah... Mashaallah
Mashallah 💓💓💓💗
Amiin
Asant umesoma vizur sana
Inshallah
Tujàalie ALLAH tuwe wenye kuzingatia maneno yako matukufu na tuwe wenye kuyafanyia kazi kwarehma zako
Insha ah
Allah akbar
Kwakweli uislamu ni mzuri sana
Alhamdulilah rabbil Allamin
Allah Akbar
allah is enough
Masha allah nic
kama umependa gonga like twende mbele
NimefurAhi zaidi allah atujalie tuwe miongoni wa wapole wAkweli kama nabii yusuf alsm Allah akbar
Nipo
Alhamdulillah kwa kujua kiswa hiki
Mashallah God gives us imaan
Hapana mjuzi ila Mwenyezi Mungu
Apo kweli kabisa
Allhamdulilah
Shukrani
❤❤❤
Kiukweli Allah Akbar🥰🥰🥰💕💕💕💕💕🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Allah akbar allah akbar allah akbar aallah kareem🙏🙏😅😅😅
L love you allah ik are em🙏🙏🙏🙏🙏
May the blessings and peace of Allah be up on our beloved prophet Yusuf!!
Ramadhan hii napenda kusikiliza tafsili za Quran tukufu za kiswahili
Mca
one of my best surah..Alhambulilah
Somo wangu yusuf namkubali sana
Somo wetu ,tunapaswa tuege n matendo yke
Masha Allah