namshukuru mwenyeenzi mungu kwa kuzaliwa muislamu na wazazi wangu wote kwa waislamu ALHAMDU LILAHIRABILALAMIN.NA SHEIKH OTHMAN MUNGU AKUBARIK IKWA KUTUFUNZA MENGI YA DINI
mm nashkuru sana maana sheikh amenipa ilmu najisomesha mengi kupitia darsa zake nanazisambaza tuwe wengi twasoma kupitia kwa sheikh shukran sana sheikh otman 💯💯💯
Nakupenda kwa ajili ya Allah na nakuombea inshallah na kujiombea nafsi yangu mwisho mwema inshallah katka huu mgongo wa ardhi mashaallh mashaallh mashaallh
Yaan nina kuwa mwepesi saana na mwenye kuyafikiria mawaidha yko sheikh na hii ina zaidi ya miaka lakni bdo inasikilizwa allah akufanyie wepesi wa safar yako ya mwsho amiin
Ustadh kwa baraka za allah na rehma zake azidi kukupa afya njema umri mrefu wenye manufaa ktk Dunia na akhera insha'allah... Katika ustadh ninayemwelewa na mawaidha yke hayana kumsema mtu zaidi yakufundisha umma ni huyu ostadh..tunakuombea kwa Allah akubariki sana🤲
Asalaam alykum sheikh shukran Allah akujalie umbri na afya njema in shallah na uliza jee kama una soma wakati wa alfajiri kila siku jee napata na mm in shallah
Jazzakallahu ghaira sheikh wetu kwa darsa zury
namshukuru mwenyeenzi mungu kwa kuzaliwa muislamu na wazazi wangu wote kwa waislamu ALHAMDU LILAHIRABILALAMIN.NA SHEIKH OTHMAN MUNGU AKUBARIK IKWA KUTUFUNZA MENGI YA DINI
Allahu Akbar
Yaa Rabbi tunakuomba utufungamanishe na Qur an
Tuwe Ahlul qur an
mm nashkuru sana maana sheikh amenipa ilmu najisomesha mengi kupitia darsa zake nanazisambaza tuwe wengi twasoma kupitia kwa sheikh shukran sana sheikh otman 💯💯💯
Tunakuombea kheri kwa Allah shehe Othman maalim kwakutupa elim hii jazakalaah khaira
Shukrani sheick twashkuru saana na mawaidha yako yanatupa nguvu zaidi kuomba maghfir na kuisoma kwa wingi suratil Yasiin jazaka Allaahu kheir
Nakupenda kwa ajili ya Allah na nakuombea inshallah na kujiombea nafsi yangu mwisho mwema inshallah katka huu mgongo wa ardhi mashaallh mashaallh mashaallh
Allahumma aamiin
Alhamdu Lilah .IN SHAA LAH ,MUNGU ATUPE HERRY YA PAMOJA,KWA DARASA UNAZOTOA SHEKH OTHMAN MAALIM
Shukran sheikh wetu kipenzi barraka allahu feek yaarabi ajalie kila Muslims aweze kuihifadhi quran yote kw ujumla
Allah akufanyie wepesi kwenye dunia hii akujalie afya njema na Peponi Uinqie amini
jazakallahu kheir sheikh othman ALLAH akulipe kheir fill dunia wal akheira
kwa hakika napata mazingatio makubwa
Allah Akbar Alhamdulillah Ya Allah ume tuumba waislam tuna kuomba Ya Rabbin tujalie mwisho mwema 🤲😢
Jazakalwahu khaira shehe othman maalim Allahuma jaalni mima yastamiuna lkaula fayatabiuna ahsana
Mashallaa
Shukran jazakkallah kheri, Allah azidi kukupa elmu uzidi kutuelimisha
ss tuna mwiita zakir naik wa swahili darsa mashaallah Allah akulinde wewe na fameliya zako na sisi sote amin yarab
Ameen
Saiyd Saiyd
assallam alekhum. pole na majukum, mwenyezi munguakujalie wepesi.mwezi huu mtukufu utudarasishe.inshallah
ramadhani karim
mashaallah mungu akujaze kheri
No, msimwite jina jengine wao wanajivunia Dr Zakir Naik, na sisi tujivunie Maalim Othman Maalim
Ayoub na mitihani na subir.... Somo zuri sana shekh othamn Allah akujaalie umri mrefu... Tukapata kujua zaid. Kupitia mawaidha.... Nimejifunza subra
ALHAMDULILLAH.....NASHUKURU MAANA SASA NIKISOMA SURAT YAASIN NINAELEWA NINASEMA NINI..JAZAKKALLAH KHAIR MAALIM
mashaĺlah baraka allahu fii
assalam aleikum tunamshukuru Allah akamuezesha shekhe Othman kwakutupa dawa Allah Ambariki ampeanalo taka.shukran
Yaan nina kuwa mwepesi saana na mwenye kuyafikiria mawaidha yko sheikh na hii ina zaidi ya miaka lakni bdo inasikilizwa allah akufanyie wepesi wa safar yako ya mwsho amiin
Aamiin
Ustadh kwa baraka za allah na rehma zake azidi kukupa afya njema umri mrefu wenye manufaa ktk Dunia na akhera insha'allah...
Katika ustadh ninayemwelewa na mawaidha yke hayana kumsema mtu zaidi yakufundisha umma ni huyu ostadh..tunakuombea kwa Allah akubariki sana🤲
Mashallah mada ni nzuri nshallah mungu atupe uwezo wa kuijua sura tul yaseen
Allahumma aamiin
Ma Shaa'ALLAAH, TabaarakALLAH, Hafidullaah.
Jazaaka ALLAAHU Kheiran, for sharing.
MashaaAllah Tunao sikiliza mawaidha mpk hii leo 2024 tujuane na walokuwa wametangulia Allah awalipe ujira usiokwisha
Maa shaa Allah
Ahsante jazakallah kheir tunafaidika mawaidha yako kupitiya kiasi Mungu akupe elemu utunufaishe na sisi ziada
Shekhe ALH azidi kukupa afya njema tu kila siku tupate maneno ya mtume wetu
Jazakumullah kheir fi dunia wal akhera allahuma amiin.
Shukran sana shekhe Allah akupe umri mrefu uwe nafraha yadunia nafraha ya akhera.
Allah akujaze kheri akuongoze kwenye elimu upate kutuelimisha kwani tunajifunza na kuelimika jazakaallahu kheri
Ya raby mwenyez mungu tujalie husnilkhatima njema tujalie shahada kabla ya umauty😭
Allah alinipendelea Sana kunifanya mwislam wakati ndugu zangu na wazazi wangu wote bado ni makafilu Allah alinipenda Sana Alhamdulillah ❤
ALLAH AKUBARIK SHEIKH
SHEIKH OTHMAN MAALIM MUNGU AKUJAALIE KILA LA KHERI
Abdi Isaak amina
Subhaanallah,,Mola Aitakabalie Tawba yetu yaa Rabb,,,,Jazaakallah Sheikh
Allah nijalie nihifadhi kitabu chako ktk kichwa changu 😭🤲yaa raab😭😭😭😭😭😭
ماشاءاللہ جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Jazzakallahu kheir sheikh Othman Maalim
allah akupe maisha marefu inshaallah
Allahumma aamiin
shukran sheikh othman maalim.
Masha Allah akupe kheri
mashaallah jazaka llah khayr
MashaAllah Allah Akubariki Akuzidishie afya na umri
shukran jazakalahu khery
Mashallah mashallah mashallah
Shukran kwa ukumbusho
Allah akuhifadhi
JAZAQALLAH KHEYR
shukran
barakallah fiyk
MASHA ALLAH
masha Allah
Mashallah allah akujaze kheir
Allah akuzidishie il'mu mwl wng
masha Allah, tabaarakarrahmaan.
Maasha allah
mashaallah allah akupe umri mrefu upat kutuelimisha
Amin yarabi shukran wajazaka llahu heri
baraq allah fiyh
Shukrani maalim Othuman
Asalaam alykum sheikh shukran Allah akujalie umbri na afya njema in shallah na uliza jee kama una soma wakati wa alfajiri kila siku jee napata na mm in shallah
🙏🙏🙏🙏🙏🙏#Allahakbar
Maashallah Allah akujaze kheir
Subhanallah
Mashaallah tabaraka llah, shukran shekh
SUBHANALLAH
Manshallah
mashaallah
mashaallah😘😘
Shukran Othman Maalim Mungu akupe umri
Ivi hawa wanao dislike mawaidha ni kina nani
Ni wale waislamu ambao hawafatilii mambo ya dini wao ni bongo fleva tu Sasa haya wanaona ayana mana mungu awape mwisho mwema yarabb.
Wametekwa na dunia ila Insha Allah wataongoka
Mashallah🌙🌙🌙
asante s
Ninazoweya kuisoma suratu yaassin ila sikuwa najuwa fadhila yake Allah akulipe
Mashaallah
Hashim Mtandika how do we get sheikh othman Maalim online.
Waislamu naomba namba ya othman jamani😓😓😓😓😓😓😓😓😓😓
Allah akulipe pepo
Allahumma aamiin
Maashaaalh
Kicha na nabii ayub by othman maalim naipataje?
Amiin
Subhaanaallah
Nice
haya sheh sasa kama iyo sulat yasini ujahifazali aifai kusoma lazima uhifazi?
Sio lazim usome kwa kuhifadh Ila ukihifadh ni Bora zaid
Neema kubwa sana kuwa kuwa na shekhe kama ww
Mashaallah,tunaomba Allah akulinde
Mashallahallek
Shukkran mashkura alwah akupe umri mrefu na afya tele ni ukweli shekhe umetusaidia wengi tulikuwa tumejisahau
Inshala mngu atuwezeshe amina
❤
🥺🥺
Naam
Bi
Masha Allah
masha allah
Mashalllah
Masha Allah
Maashallah
Manshaallah