Tunakuelewa sana brother manyanya.. yaani ww ni zaidi ya mwalimu na unatufundisha mengi na hata jinsi ya kuwasifu wanawake zetu maana wanastaili kusifiwa every day... Na wao wafurahi. Tujitahid wanaume... Kama unaamin gonga like 👍 Yako tujuane...
Hv manyanya hayo maneno unayotoaga kwenye au umeandikiwa ..upo vzur unaongea uwasilia wa wanaume kiukwel wanaume ndo tupo hvyo tunaanza kupenda kwenye macho kabla ya moyo✌️
Kaz nzur sana kaka mungu akubaliki sana na muendelee kutuletea Kaz nzur Kila siku nataman hata ingekuwa inatoka Kila siku maana haichoshi ukiwa unaangalia unataman isiishe
Ila mtunz wa hii movie hakika anakipaji Sana apewe Maua 🎉yake hakika yupo vzr na manyanya kucheza vzr Sana nlikua skufatilii brother lakn saiv ndo naona kipaji chako hakika mungu kakubark Sana brother
Manyanya cna mashaka na ww naamin very soon utakuw m2 mkubwa sana wakimataifa mana una uwezo mkubwa sana!! Na pia muandaaji wa hii movie na director wake wana ubunifu sana hongera kwa hilo🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani, daktari napenda mistari zako, ivi mwandishi wa script huwa anapanga maneno vile huwa unapanga nashuku😂...kazi nzuri manyanya, unafanya Vai anaanza kufall in love❤❤
Wakati wa sasa tuna muhitaji sana manyanya katika uigizaji kuelimisha jamii yetu sasa na kuishi maisha halisia ya sasa Asante sana mtoa story hii Mungu akubariki sana❤
Manyanya toka kanumba afariki sijawayi penda filamu za tz. Laki hiyi nimeipenda yaani maombi yangu MUNGU akupe maisha marefu uendeleye nakutupa vitu justin poa from Congo 🇨🇩 butembo❤❤
@@jangwanjaphet9400hapana hajilaisishi shida ni kwamba mwanamme akimla siku moja tu anamuacha kwhy lazim utaanzisha husiano lingine huez kaa hivhv lkn yy ndo kila akianzisha anaachwa kwahy ni kma anajini mahaba au mkosi fulani hivi
Hii ndio faida ya kusoma kiukweri manyanya una kipaji na elim pia tangu nianze angalia bongo movie sijawahi ona akili kubwa iliyotumiwa kutunga stori kama hii manyanya your the best ecta
Wangapi tunaamini kwamba manyanya atakuja kuwa muigizaji bora tanzania
Anawez ila anashind moja tu anakaw kutup série nyingin djamen kicheche yup
He is already. NI SUALA la Mda tuu
Nipo😂
Kwan hapo alipo Bado
Yeah mshikaj atafik mbal san
Tunakuelewa sana brother manyanya.. yaani ww ni zaidi ya mwalimu na unatufundisha mengi na hata jinsi ya kuwasifu wanawake zetu maana wanastaili kusifiwa every day... Na wao wafurahi. Tujitahid wanaume... Kama unaamin gonga like 👍 Yako tujuane...
Mh kumbe zina kaz nipeni
Manyanya na vaileth mnajua paka mnakela na wapenda Sana ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥🎉🎉
Baba ako kicheche yupo wap😅😅😅
Jamani wanaomkubali Mudi na mke wake tujuane hapa😂
Awa jamaa wanatisha i say mudi anataka nywele zake😂😂😂😂
@@mazruikea6682 😂😂
😂😂😂
Mod kajinyea aiseee athariiiii 😂😂😂
😂😂😂😂😂@@mazruikea6682
Huyu mwanaume wa Vai yupo romantic xana nataman angekuwa wang❤
Sasa hayo si maigizo tu ukute kwa mkewe hayupo hivyo
😂😂😂😂@@MussaRasul
😂😂😂😂😂😂 kweli
Ushaanza kutaman vya kwenye movie kamuulize mwanamke wake anaishije nae
😂😂😂poleee
Hiii movie tamu mno nimetokea kuipenda sana tena sana kwamajina naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique wilaia ya nangade asanteni sana❤❤❤🎉🎉
Karibu sana mimi nimeishi Mueda
Mulevi na mke wake🎉🎉🎉🎉mauwa yenyu kutoka Zambia
😂😂😂😂
😂😂😂 Yani hadi raha
Uyu Dada anaeteswa nawanaume nae yumo kwenye kundi lawanaojua kwakweli nimetokea kumpenda ghafla tu kifup hii series nawaigizaji wake wote nimoto sana
Kama unamkubali manyanya kwa mambo anayoyafanya na camera man chuga gonna like ❤❤
Eee namukubar saaana❤❤
K
Lo
Manyanya ok vzr sana ,unatafute mbinu za kumrejesha vai ktk uhalisia wa ndoa.
Lkn pia nampenda mke wa moud ,anaonyesha uhalisia wa upendo
Mungu awape afya njema waigizaji wote kweny hii season 🙏🙏
Mke wa mudi hongera kwako na kibudu ten munachekesha sana nyie na hayo mapemz yenu
😂😂😂😂
Wa 10 Leo naomba like zangu na wakubali Sana team manyanya mko vizuri ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥🌟💥
Jaman Manyanya ni Mtu Muhimu Kwa Wanao Mkubali Naomba Like Zenu Manyanya Big Up...
Japo sijui likes zinasaidia nini😂lakini naombeni🤗nimewaii
😂😂Ata mimi😅sijuwi
Acha tukupee tu sijui ni nini pia😂😂
Hivi inatokana Na nini yaani
Likes zinaumuhimu wake kama tu una channel yako zitabolesha Channel yako🤣🤣🤣🤣ila kama hauna Channel hazikusaidii kwa chochote kile🤣🤣🤣🤣
Na kufungua Channel yako ni bure hulipi chochote😂😂😂
Matridaaa tatizo lako unajilahsishaa sanaa,,,,yaaan utatumikaa sanaa na kuachwaaa kla sku😢😢
Hila manyanya unasauti fulani hivi romantic ❤🥰
❤❤❤❤
Manyanya
Yupo romantic sana jaman dah manyanya
@@MwajumaSaid-dk3pe napenda ayo mashairi yake🥰
@@IreneIsambi yani hatali
Nakubali sana brother Manyanya, salute sana kwa movie hii, itapendeza zaidi Manyanya aanzishe mahusiano na Maty ili Vai ajifunze, so kwa miyeyusho hii
Yaani na mm nlifikiria ivo ivo kama uloingia ktk akili yng
Mimi wa kwanza kama una mukubali manyanya gonga like asante❤❤
Hv manyanya hayo maneno unayotoaga kwenye au umeandikiwa ..upo vzur unaongea uwasilia wa wanaume kiukwel wanaume ndo tupo hvyo tunaanza kupenda kwenye macho kabla ya moyo✌️
Kaz nzur sana kaka mungu akubaliki sana na muendelee kutuletea Kaz nzur Kila siku nataman hata ingekuwa inatoka Kila siku maana haichoshi ukiwa unaangalia unataman isiishe
Surely Mr manyanya big up sana, ila mke wa mudi mmmmm kazi unayo😂😂😂😂😂😂
Congratulations my brother manyanya na dada angu vai na team nzima ya bichwa production
Ila mtunz wa hii movie hakika anakipaji Sana apewe Maua 🎉yake hakika yupo vzr na manyanya kucheza vzr Sana nlikua skufatilii brother lakn saiv ndo naona kipaji chako hakika mungu kakubark Sana brother
Wa Kwanza Leo from Doha Qatar 🇶🇦🇶🇦🇰🇪
Ila huyu dada mzuri nampenda sana dada ake mke wa mudi
Unae soma comment Hii japo kuwa sikujui mungu akubariki sana 🙏🙏
Amin
@@OrlandoTarcisio-r3h a
Manyanya chukua sindi uyu ni mkemwema mashaaAllah anavumilia shida japo mudi mweu😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Maono yangu ni kwamba manyanya atampata mtu sahihi wa maisha yake ambae ni matilda❤ kama unaamini hilo gonga like 👍
ata mimi naona hilo😢🎉
Ndio hivyo. Movie za kibongo ni predictable sana.. Game of throne unachofikiri kitaenda kutokea hutokiona😂😂😂
Sio yule mke wa chapombe mie nilidhani hvyooo
Jaman ,jaman mwanafarisafa ,atafika mbali,na anaelimisha wale walio kwenye ,ndoa ,au mausiano ,wanaomkubari mwanafarisafa ,gonga like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Love from Kenya.🇰🇪 Likes Zangu
Mudi jmn mkeo anakupanda Sana maana anaangaika na Mlevi chapombe we Uogopi😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa manyanya daah aiseeh ananiacha hoi🥱🥱🥱
Na nn
One of the best bongo series I ever watched...🎉
Hila hii ndoa ya muddy inafuraha sana juu ya maisha wanao pitia hila inatufunza kuwa na pesa sio kuwa na furaha 🎉🎉🎉
Mh uwa naangalia move ila hi n kiboko yao hongera sana tim ya hi move
Nimewah Leo jmn wa kwanza
Kipenzi changu mati pole sana kwa majanga ila umetixha sana acha nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ongela 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Manyanya naomb utupunguzie kingereza😂😂😂😂😂wengn hatuelew...
😂😂😂😂
🤣🤣
😂😂😂
Njoo tufundishane dear
Movie nzuli sana aiseeee Mungu awaongezee nguvu mzidi kuelimisha jamii
Nakupenda sana sana jaman hii movie ❤❤🎉🎉
Salamu kwenu Jameni movie ❤️❤️❤️❤️👍
Manyanya nakupenda sana,unahiguiza vizuri ,mimi kutoka Moçambique MUEDA
Waaa mm ndio wa kwanza kutazama hii video naomba like zangu nipo Mombasa kenya
Yaani manyanya iyo sauti yako Dah. Inatia isia tofauti.....
Kazi njema kwenu
Wa kwanzaaaaaaa
Naipenda hii kazi jamani naombeni uwezekeno wa kuonana na hawa watu
mwanamke jiongeze udugu...utagongewa na sio mlango😂😂
Atagongewa na si mayai😂😂
Manyama safi sana izi dio muvi zinaitajika kwenye jamii safi sana manyama
Namkubali sana bro Manyanya wewe Mimi nakupa nafasi ya kwanza unajuwa kupangilia mv KBs
Manyanya cna mashaka na ww naamin very soon utakuw m2 mkubwa sana wakimataifa mana una uwezo mkubwa sana!! Na pia muandaaji wa hii movie na director wake wana ubunifu sana hongera kwa hilo🎉🎉🎉🎉🎉
Kiukweli muko vizuli mungu awape afya njema flom rey pande za mtwara ❤ 11:50
Manyanya fundi jomn hii mov nomaa wanaemkubal manyanya honga lik apo chin
Manyanya is very romantic daaah imeenda shule mnipee pia like zangu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu nibaki mwanaume kama huyu kwa maisha yangu 🙏🙏🙏 manyanya he is good man
Jameni Nina funzwa mengi ndani ya iyi films Kama naweye unafunzwa naomba like zangu from congo
Kicheche yuko wapi jamani tume mumisi sana vaileth kicheche yuko wapi iyi série ni nzuri sana na ipenda sana 🇨🇩 🙏
Jamani, daktari napenda mistari zako, ivi mwandishi wa script huwa anapanga maneno vile huwa unapanga nashuku😂...kazi nzuri manyanya, unafanya Vai anaanza kufall in love❤❤
Wakati wa sasa tuna muhitaji sana manyanya katika uigizaji kuelimisha jamii yetu sasa na kuishi maisha halisia ya sasa Asante sana mtoa story hii Mungu akubariki sana❤
Mimi wa kwanza Congo RDC 2pac DEPADU DRC
Sema via ni kisanga anajua kuigiza tena ni mzuuuuuuriiii
Amo muito o vosso trabalho, sucesso sempre 🎉❤
Manyanya aaa Maya yako mhm pokea pote ulipo🎉🎉❤
Wa kwanza mkenya hapa. Dunia tunasonga, haki kazi nzuri na nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Manyanya toka kanumba afariki sijawayi penda filamu za tz. Laki hiyi nimeipenda yaani maombi yangu MUNGU akupe maisha marefu uendeleye nakutupa vitu justin poa from Congo 🇨🇩 butembo❤❤
Mimi hapa wakwanza
Manyanya umejua kotongoza 😂😂😂❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Inaniumiza sana situation anayopitia Matilda kwakweli it look like real
Yeye ndo kwenye shida, anajirahisisha mno, na Kam ataendelea Ivo kumpata mwanaume wa kweli Ni ngumu
@@jangwanjaphet9400hapana hajilaisishi shida ni kwamba mwanamme akimla siku moja tu anamuacha kwhy lazim utaanzisha husiano lingine huez kaa hivhv lkn yy ndo kila akianzisha anaachwa kwahy ni kma anajini mahaba au mkosi fulani hivi
Nahisi manyanya ndo angekuwa mchungaji,, unabisha💯
Wakwanza kutoka serengeti national park gonga likes apo😂😂😂😂😂😂 leo nmewahi
Hii ndio faida ya kusoma kiukweri manyanya una kipaji na elim pia tangu nianze angalia bongo movie sijawahi ona akili kubwa iliyotumiwa kutunga stori kama hii manyanya your the best ecta
Mm apa wakwanza leo like npeni jamai
Tatizo manyama anaiga Dana waigizaji nakingereza chakina ray hebu asiwe msomi sana atumie uhalisia wa kitanzania
Wangapi tunaamini kwamba manyanya atakuja kumpenda Mathilde gonga like hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Heri manyanya apatane na Matilda tu kwa kweli mana duh wanahurumisha
Hii snema iko swa yaki kila nikiangalia najifunza kitu ❤❤❤ 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
Nimekuwa wakwaza
Mtuwaishie jamani muwe mnaweka hata vipande viwili jamani nzuri lakin 😮 fupi sanaa😢😢 au mnasema vipi wenzangu😊😊
Mimi wa kwanja munipe like zanguuu❤
Mudi naye na mke wake wananiacha hooyi sana😂😂😂😂😂 yani mara amereta mawe mara nipeleke chooni😂😂😂
Kuna ndoa ya Manyanya alafu kuna Ndoa ya Mudy 😂😂😂 Yaan hapo ni club bingwa na kombe la shirikisho
Kweli bwana umeongea kisanga kitupu
Bora ndoa mudi hamna stress😂😂
Yan manyanya hongera sana kazi nzuri utafika mbali,
Wa congo mpo🔙
Yan ote umu ndan mmeuwa sn ❤❤❤ history tam wachezaj mpo vizur sn manyanya👌vaylet👌 Matty 👌kwachapombe 👌best wa Matty 👌wote pambe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Du leo wa kwanza
Daaaaaa iseee uyu jamaha apana iseee Kwa tz saizi uyu mwamba ni no1 Asante kaka unatufuza sana iseee
Naomba like mimi
Jamaa Ana D mbili Anaongea kingeleza kizuri sana Kazi nzuri sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mke wa mudy kaolewa na last born walah😅 na wapenda
Tena yeye nadhani na akili zilikua zimeisha alipozaliwa😂😂
Manyanya ni moto wa kuotewa mbali ,,,daha filamu zuri sana
Iyi kali sanaaa❤
Natamani manyanya awe na matrida❤❤❤ wafarijiane maana kila mmoja wao anamajanga ya mapenz
Huu mchezounatufundisha sana manyanya uko vizur Sana nanakupenda sana unavyokua na msimamo na mke wako
Hivi hizo like mnazo ombaga zinakazi gani,,? Namm naombeni hata chache tu nione kazi yake
Tunajazia kwenye video zetu 😂😂😂
Mtumishi wa mungu hongeta sana ,kama lilivyo jina lako IMAN ,,, Imani yako imekuponya.matlida anafaa kuolewa na manyanya
Ivi huyu MANYANYA ni mbongo kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Muigizaj bora ajae manyanya very good
Filamu Bora kabisaa napenda sana naomie Christine je vous regarde depuis Lubumbashi Congo RDC
Church boy kafanyiwa mbaya sana,kama wanavyosema utopolo,gusa achia twende kwao.
Ila Vay na Manyanya wataja kuwa waigizaji bora kama Kanumba na Elizabeth Michael..Kubali kataa Like🎉
Mke wa mlevi na manyanya kula maua🎉🎉🎉🎉
Aki mudi ananibamba walai like zakee zikowapi😅😅😅
Naomba mwezi mungu anijalie mke kama wa mudy wanaohitaji fulsa kama hii tujuane