Kivuli hiki ni cha akili 😢maana sjafahamu maana yake,mtu yuko mjini kimakazi mda mrefu,kaenda kijijini kutembelea familia yake anakutana na msiba wake umepita mwaka,sasa yule aliekuweko mjin ni nani?au angebakia kule mjini angeishi km kawaida na asendetisha watu?hii imekaaje?leo butua sta mkubwa unaniangusha nakufanya stor za fisi na bunuasi aaaa sjapenda naenda kula chapat na maharage😂😂😂
Kazi nzuri hongera mkuu❤
Kazi nzuri sana 🎉🎉❤❤
Shukran kazi nzur
Mm nimeipenda hii movie ❤❤❤❤❤
Hongera boss wangu dullah kwa kazi nzur 🎉
@@JosephinaMaiga-v2u ahsante na ww boss wangu
Movie nzuri sana ❤
Ati swala sita nmeipenda hiyo
Movie mzuri san
Movie Iko sawa, isipokuwa huko kutiatia "kivuli". Vinginevyo ipo sawa
Lakini sababu haswa ya movie yenyewe nn...kidogo kusudi halibainiki
Mmmh mm sijui kuandika story ila hii mumechemsha sana 😂😂😂😂😂 anyway congratulations kwa kupoteza mda wangu😂😂😂😂
😂😂😂si umeinjoy lakini 😂😂😂😂
😅😅😅😅😅Butua anawabbutua kila kona mnazopita🎉🎉🎉🎉🎉
Jmn Ii movie nimecheka Sana sipendi movie za kutisha uzur hii aitishi sana
Jama hii filamu unaniua mbavu huyu mwenyekiti na movie hii ataniua mbavi
Butuwa ameamuwa kutufraisha asante sana😂😂😂😂😂
Mwenyekiti kimemramba😅😅😅😅
Kivuli hiki ni cha akili 😢maana sjafahamu maana yake,mtu yuko mjini kimakazi mda mrefu,kaenda kijijini kutembelea familia yake anakutana na msiba wake umepita mwaka,sasa yule aliekuweko mjin ni nani?au angebakia kule mjini angeishi km kawaida na asendetisha watu?hii imekaaje?leo butua sta mkubwa unaniangusha nakufanya stor za fisi na bunuasi aaaa sjapenda naenda kula chapat na maharage😂😂😂
😊
Mi sijapenda sijajua sababu nin yaani mpaka ikawa kazikwa lakin yuhai 😢😢😢
Yan hawajaeleza hasaa
Nsio move za kibongo kupetezeana muda tu
Good
Mashaallah
Yaani mwachanganya kama hyu buttah😅😅😅
Maana ya kivuli
🎉🎉🎉🎉
Shehe ❤
Atanteeee
Huyu kaka mkuraish mwanzo nilimuona kwenye movie za madebe ila sijui kimetokea nn hawafanyi kazi pamoja
Ulimuoña kwénye kazi ipi
Kwenye nabii mswahili
@nurumasha hapana yule mdogo wangu sio Mimi ila Mimi nilicheza na madebe kwenye ngondo
Nn wee kiboko lakini ukiwa mganga ndio unanogesha movie 😂😂😂
Kwaio rafiki yake butua na yeye alipotea hakujua njia ya kurudi mjini
Movie nzur sn
😂😂😂😂😂😂😂ebusubiri kwanzo kwani umekanyaga mdudu au🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂🎉🎉
Uyu jamaa wakumushika kwa wofa anachekesha😂😂
@@AidatAmadi hahahaha
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂