MAZINGE MIMI NILIKUA PHOTOGRAPHER | TOKA MWAKA 1983 NIKA ACHANA NA KAZI ZA KIPUUZI | HAPA HAFI MTU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni ปีที่แล้ว

    MashaAllah ustadh Allah akupe umri mrefu uzidi kueneza Daawah

  • @adanyattani5928
    @adanyattani5928 ปีที่แล้ว

    MashaAllah ❤ sheikh mola akuzidishe ilmu ....nimekupenda sana kwa ajili ya Allah(S.W)

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 ปีที่แล้ว

    Masha'Allah Allah akulinde Sheikhe Mazinge akujalie kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin

  • @IsmailJuma-ke2wd
    @IsmailJuma-ke2wd 5 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mazinge Allah hawajalie

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah shekh mazenge mwenyezi mungu azadi kumpa umri ili azadi kuilimisha uma

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @shuwanaliloka3816
    @shuwanaliloka3816 2 ปีที่แล้ว +2

    Naomba no ya sheck Mazinge

  • @zuenazuena5690
    @zuenazuena5690 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @rashidsaid1726
    @rashidsaid1726 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashalah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @ramsongige5444
    @ramsongige5444 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli sheikh nilishuhudia alipokuwa mpiga picha msimbazi mission

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 7 หลายเดือนก่อน

    Shekhe mazinge ni mzuri sana kwa porojo,hamasa,na michango,lakini hana hotuba yoyote ya kusoma aya za koruani na kujenga hotuba katika aya alizosoma.
    Yaani Mazinge husimama msikitini akaongea weeee hadi anaondoka hajasoma aya yoyote ya koruani.Siku zote kinachomleta msikitini ni kuomba michango tu siyo minasaba yake na Allah wake. Kuna mithali ya kiswahili inayosema "Akukataaye hakuambii toka" ukiona watu wanatoa 6000 ujue wamekuchoka na michango yako.Shekhe Michael anajua zaidi kusoma na kufafanua aya za korouan na hapendi porojo msikitini
    Huyu ndie atakuja simama kuwasaidieni katika kujenga imani za waislamu wenu.
    hii nyota katoka nayo kanisani. Ndio maana Wakristo wengi wanaoasi ukristo wakaingia msikitini wanakuwa wazuri sana katika kufundisha kuliko wazaliwa katika uislamu.

  • @chilaichilaialaba4978
    @chilaichilaialaba4978 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah
    Allah akupe umri mrefu

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 ปีที่แล้ว

    Mashaallah 💓

  • @HassanGuro-c9n
    @HassanGuro-c9n 27 วันที่ผ่านมา

    Shehk mazinge tuna omba uje Lamu kenya

  • @KhadijaKipua-dw7yz
    @KhadijaKipua-dw7yz 10 หลายเดือนก่อน

    Waislam tunatakiwa tubadirike sana Tena sana kuhusu kutoa sadaka ili tufanikiwe lazima tujitoe ktk kutoa sadaka sadaka ni ponyonyo sadaka ni tiba sadaka inatufanya tuongezewe rizki na Allah

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Toka mwaka 1983 Ukristu upo tu mpaka Leo,hujiulizi.Ukristu umekamata Kila kitu.utaushindaje

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 ปีที่แล้ว

    Walhai Alha akulinde mazinge tunakupenda kwa ajili ya Alha

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 2 ปีที่แล้ว

    Ya Allah😍🤗🤗

  • @ahmedosman7698
    @ahmedosman7698 ปีที่แล้ว

    Lakini shehe pia unapenda kuchangisha Sana ata ivyo

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 8 หลายเดือนก่อน

      Hujalazimishwa kutoa Acha zako hizo

  • @habiyaremyeyusuf2621
    @habiyaremyeyusuf2621 ปีที่แล้ว

    @@

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndiye mazinge mzee wa kuforce michango

    • @alisaidabdallah1480
      @alisaidabdallah1480 2 ปีที่แล้ว +3

      Na ww ni ulee mgumu wa kutowa wacha ubakhili itafilisika mkono wakutowa ni mkono uliyo barikiwa

    • @Xaajcali2
      @Xaajcali2 ปีที่แล้ว +1

      Ww usitoe
      Sisi hatuna furaha tukikosa kutoa
      Iblis mkubwa ww

    • @hassancharo1496
      @hassancharo1496 ปีที่แล้ว

      UBAKHILIA Una mpeleka MTU moto ni utoaji kwa ajili Allah Una mpeleka MTU peponi chaguo nilako wataka kwenda wapi

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว

      Si lazima umpe mazinge kampe mwamposa

  • @MwalimuMassaweOnlineTv
    @MwalimuMassaweOnlineTv ปีที่แล้ว

    Waislamu wabahiri hatari, watu wote hao mnatoa 6000

  • @kimsi682
    @kimsi682 2 ปีที่แล้ว

    Quran ndo inatambaa duniani kote kwa harake sana! Mazinge kasema...haana habari ni kwa nini. Ukweli huu hapa kwa clip hii!
    th-cam.com/video/P5aFppM13H4/w-d-xo.html
    Atakuja kujua hapo mwishoni.

  • @saidemuamedeali2678
    @saidemuamedeali2678 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @ZaitunSeif
    @ZaitunSeif 7 หลายเดือนก่อน

    Mashalla