RECAP: BURNA BOY awaumbua DIAMOND, ALIKIBA, HARMONIZE, ATOA SOMO, WASANII WET WAACHE KUJIDANGANYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 71

  • @Akili820
    @Akili820 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kiukweli leo umeongea vizuri watu wa Nigeria ni moto wa kuotea mbali 🔥🔥🇨🇩🇨🇩☝️

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli bro 🙌

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 4 วันที่ผ่านมา

    Aisee❤ Leo umejitahidi

  • @user-nx4eg7sf8u
    @user-nx4eg7sf8u 9 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ni msumeno unakata mbele na nyuma Alikiba vitu vyake ni private hapendagi kuposti na Burna Boy pia kajaza watu lakini hajaposti kwanini usimfananishe Alikiba na Burna Boy kwa kua sifa zao ni moja?, we ni chawa wa Diamond huna unalolijua unabweka.

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @SafayaPlatnum-zz1dz
    @SafayaPlatnum-zz1dz 4 วันที่ผ่านมา

    Sahihi mkuu wasanii wetu waache majungu zaid washikamane tusogee mbele

  • @nickdemitychanell
    @nickdemitychanell 9 วันที่ผ่านมา +1

    Support kwa wasanii wetu🎉❤❤Spotify na boom ply iwe kubwa

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 5 วันที่ผ่านมา

    Diamond ni local artist

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 8 วันที่ผ่านมา

    Tell dem ma broda

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 5 วันที่ผ่านมา

    Hata Diamond hana uwezo wa kuwekeza kama wanaigeria. Usimjaze..!

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 5 วันที่ผ่านมา

    Umezoea kutupatia mapungufu ya shoo za wasanii wengine wa kitanzania, ebu leo tupe mapungufu ya shoo ya diamond. Ukiongelea mapungufu ya shoo ya diamond niko pale nasubiria kupigwa mawe.

  • @DrNdii
    @DrNdii 8 วันที่ผ่านมา

    Yani nyimbo kuchezwa na Chris brown nkama amechukua Grammy, realty bado sana

  • @davidnyerere2474
    @davidnyerere2474 6 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili haiwezi kutufikisha huko kwenye unasema

  • @jastinedaudi-qi9vr
    @jastinedaudi-qi9vr 9 วันที่ผ่านมา +2

    Upo sahh xn

  • @selemanirashidi-sc3pp
    @selemanirashidi-sc3pp 9 วันที่ผ่านมา +2

    Uchawi wa burnaboy ni mama yake kale ka mama nikikashika nitakafungiya ndani miezi sita kisha tuone uyo burnaboy atahenda wapi

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 9 วันที่ผ่านมา +1

      Umejuaje kama ni mchawi! Kama huna cha kuongea kausha

  • @kasereka-vy3mw
    @kasereka-vy3mw 9 วันที่ผ่านมา +1

    ome ona sasa brow navo asemaka kila mara kwamba tz bado yakwanza tz hatuya maliza sasa inje tuta wezanjee

  • @ValeryMungaSawamba
    @ValeryMungaSawamba 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ivi kweli kuacha ishuu ya Chris brown kucheza komasava, komasava inazidi single again kwenda kimataifa na kupokelewa vizuri? Mbona unaenda sana ngambo Moya? Sijaona maajabu ya komasava kuzidi single again

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 9 วันที่ผ่านมา

    Burna boy Usimlinganishe na diamond, Burna boy kawazidi hata wasanii wa mbele huko. Hawajazi kama burna boy.

  • @kirengemnandi
    @kirengemnandi 8 วันที่ผ่านมา

    Cyo Tanzania tu burna boy kwa sasa ni msanii wa Dunia top ten ya Dunia yupo

  • @user-vl3zs5eu5l
    @user-vl3zs5eu5l 7 วันที่ผ่านมา +1

    Bro plz tujibu hili swali komassava na single again ukizicompare ngoma gani imefanya poa maana single again ilikua inaimbwa mpaka nawazungu wakati hamonizer alikua anapiga shoo akiwa ng'ambo .....bt cjaona komassava ikipokelewa kama single again juzi naona anaperfom anaimba yy pekee

    • @babalao3250
      @babalao3250 5 วันที่ผ่านมา

      We naye ni ng'ombe 2 kwani komasava huioni

  • @kirengemnandi
    @kirengemnandi 8 วันที่ผ่านมา

    Hakuna msanii wa Africa wa kumfikia burna boy hata davido na wiz kid hawawez kumfikia burna boy

  • @elvisceruvoyageur6998
    @elvisceruvoyageur6998 9 วันที่ผ่านมา

    Wa bongo wali anza shindanisha king @Fally Ipupa Na dogo Diamond 😂😂 mukogo Aka wa chapa kwenye Afronation 🇨🇩👑🦅🦅

  • @johnjay205
    @johnjay205 9 วันที่ผ่านมา +1

    We love your video but please make it more of English

    • @kiatu
      @kiatu 9 วันที่ผ่านมา

      English halafu SNS atafsiri, we vipi? 😅

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 9 วันที่ผ่านมา

    Weeeeh😂😂

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 6 วันที่ผ่านมา

    Haitotokea msani we2 kujaza uwanja kama uo ao kina Diamond wakenda kwenye show za wa2 ndo wanakuta wa2 wengie

  • @DrNdii
    @DrNdii 8 วันที่ผ่านมา

    Leo ndio umeongea ukweli

  • @BebyKing-u9j
    @BebyKing-u9j 6 วันที่ผ่านมา

    Wewe unaongea Nini sasa komasava unaiweka mbele I am single again umeiwaka wapi??

  • @davidnyerere2474
    @davidnyerere2474 6 วันที่ผ่านมา

    Otile alisema hilo but mkaona ni mpuuzi sasa mbona mnarudi huko

  • @sagatv4306
    @sagatv4306 8 วันที่ผ่านมา

    Ila kumbuka tunatumiya kiswahili sio English kama tunatumiya Lugha yawo tutaza wapita

  • @Lina4285baby
    @Lina4285baby 9 วันที่ผ่านมา +1

    No bro is enough We are not going to take anything for Burna Boy let’s just appreciate what we have first every day you are comparing them to Burna Boy,davido,wizkid no we have diamond, alkiba, rayvanne,harmo, is enough for us and we are proud of them stop comparing them to anybody we will make it one day but lets appreciate what we have right now believe me this people work day and night to make 🇹🇿 proud what do they get in return we laugh at them for what? You sit there judging them did you ever do an interview with David or Burna Boy, no so work on yourself firs

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 9 วันที่ผ่านมา

    Simbaaa

  • @aminamwinyi6004
    @aminamwinyi6004 8 วันที่ผ่านมา

    ujajua kitu sisi tanzania asilimia 50 atendi kwenye mashoo hayo asilimia chache ndio wanaenda ktk show

  • @LazaroMartin-zn7zo
    @LazaroMartin-zn7zo 5 วันที่ผ่านมา

    Unavoongea hivo Wana igeriaa wakisikia watazidi kutupelekeaaa moto balaa ani bola ukae kimya ya kisikia tyuuu ani Yana kiwasha sana

  • @jamalmuro
    @jamalmuro 8 วันที่ผ่านมา

    Wee n matakoo hujielewiii ,wingireza n kolon la nigeria,waambiee hao wanaijeriaa wakajazee ufaransaa kama watajazaaa

  • @MeshaLeckison
    @MeshaLeckison 9 วันที่ผ่านมา

    Arafu ww mbona sikuerewag Ray vanny anafanya mambomkubwa unakua Kama humuonag

  • @DidasSaousien
    @DidasSaousien 9 วันที่ผ่านมา +5

    Unamuacha wapi harmonize jeshiiii

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 9 วันที่ผ่านมา

    Zombiii

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 9 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa mjinga kwanza bado mtumwa ki fikra unafikiri ngozi nyeupe nzuri kuliko yako, tena, komasava bado, watu hawaja vibe ww si mwana habari ni chawa wa diamond, mkuze wasanii mnao kina Ray, harmo, alikiba, mario muwakuze kuliko kubania msanii aliye kwama. Mta ishiya kulalamika.

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 9 วันที่ผ่านมา

      Sounds like a hater much. Diamond to the world hater. Let this sink in. He is the king hater. Harmonize for one looks like a boxer not a singer. Whenever her perform the man is out of breath. Anyhooooooooooooo without Diamond there is nothing for you people to talk about nothing nothing. ❤❤❤❤ Diamond🇺🇸

    • @thierrybisimwa3312
      @thierrybisimwa3312 9 วันที่ผ่านมา

      @@joyhylton7901 diamond ameshaku roga ww chawa.

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@joyhylton7901👎👎👎👎👎👎👎👎😏😏😏🤬🤬🤬🤬🤬

  • @BabeRymz
    @BabeRymz 9 วันที่ผ่านมา +2

    Yule ni SIMBA LAMA SIMBA DANGOTE 🦁🦁🦁

  • @barekebavugemasudi3436
    @barekebavugemasudi3436 9 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo wa bongo hawamsapoti kila akifanya kitu wao wanaponda wa naigeri wanasapotiana sana wabongo wanapondana

  • @AlhajiRocky-xd5vl
    @AlhajiRocky-xd5vl 9 วันที่ผ่านมา +1

    Hebu tuandalie kama docomentary ya mambo alofanya Diamond ili tujue plz

  • @mohamedassumanesumailassum1823
    @mohamedassumanesumailassum1823 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ww no chawa wa diamond, mbona aujaongoleia Ilê show mbovu, mbona aunglei show ya harmo, na matokeio anayofanya Ali kiba. Mm sikueleui ww.

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 9 วันที่ผ่านมา +3

    Nenda kajaze wewe na huyo diamond wako unae muita big mngese wewe

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 9 วันที่ผ่านมา +1

      Asa matusi ya nini na wewe

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@humbleshoal aleetee msaanii wakee aijaaazee😅😅 yeyeee

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 5 วันที่ผ่านมา

      Tangia akupeleke Qatari kwenye kombe la dunia, umebakia kusifia tu.

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 5 วันที่ผ่านมา

      Sio kweli, wala watanzania hawana habari naye😅😅, ndio kusema hata Mwijaku anamtazama diamond 😅😅😅😅

  • @BadBadMpLiTe
    @BadBadMpLiTe 8 วันที่ผ่านมา

    Tulia wewe

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 9 วันที่ผ่านมา +1

    Burnboy sio mtu wa masifa kajaza na ajajitapa na na masifa.

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +3

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +2

    Simba

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +1

    Simba

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 9 วันที่ผ่านมา

      We nae unakua km mgonjwa

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 9 วันที่ผ่านมา +4

    Simba