Summary 1. Jiulize kama wewe ni sahihi? 2. Jifanyie tathmini binafsi 3. Jiangalie kwako wewe na sio kwake 4. Jiandae kitabia zaidi 5. Hakikisha mazingira yanayokuzunguka ni ya watu sahihi (OQP) 6. Kuwa tayari kujifunza na kubadilika
Mimi nazidi kuikoa nafsi yangu 😊 , safi sana kaka 👍 maana haiaezekani unao mbwa ela ukisema huna unakasirikiwa mtu anakufosi umfanyie michakato 😣😣ii nn nn
Nilikua kwenye usihano nikatoka tena tulikua Kwa muda na mm Niko mbali sana na yeye ju job naye uko job Sasa tulikosana kupitia kusungumsa nikamwambi sorry alikataa kukbali,na sijaw tenda naye tendo LA ndoa ni ushauri ngani nawez pata hapa hapo,saaii hatuko in good na mpenzi wang
Mh unatafuta nn tena achana naye yaan kama umensema hata mm ilintokea nkasema siforce acha aishi kivyake na hatukuwahi shrk chochote naye alikuwa mkoa mwingine na mm mkoa mwingine
kwanza kabisa nashukuru umeeleza kitu kizuri ila #chris mauki tunaomba utupe more explanation ktk hz points ile tuweze kuelewa mtu sahihi yupoje na tufanye nini ili tuwe sahihi na pia tuwe na tabia gani n.k
Nakushkuru Sana na ntazidi kukushkuru unakuwa sababu ya Mimi kuwa katika njia sahihi kila wakati
Nakupendaga sana kaka chriss yani m tu asipokuelewa haelewi tena
Asante Dr umedibadirisha tabia sana
Mimi nilikuwa mtu wa kuhisi sana
Asante Kwa Somo zuri,Kwani umenisaidia kunitoa kwenye Giza Nene.Mungu akubariki Kwa kazi nzuri ya kuelimisha jamii.Pia MUngu akupe Maisha MAREFU.
Asante kwa ushaur
Daah nafurahii sana kupata mafundisho bora na muhimu sanaaaaaaaaaaaa kutoka kwakooo baba.... Mungu akubariki sanaaa.....
Nakupenda sana chriss,mimi ni dada Esther kutoka Italy.
Hi dada Esther
Nitajuaje huyu nisahihi
Italy ipi ya tandika au NCHI ya Italy🤣🤣🤣
Shukran Chris kwaushauri wako
Kaka Chriss asante kwa somo,nipo tayari kubadilika
Dahhh barikiwa Sana kaka Chris kwaushauri
Mungu nisaidie
Munguu azidi kukupaa kibali
Dr asante kwa somo zuri naomba utufundishe namna ya kushirikiana na wenza wetu maana kuna shida hapo kwa weng
Ahsanteh Sana Mwalimu Mauki
Ubarikiwe kwa somo zuri
Asante kaka kwasomo zuri
Aseee shukrani sana nimekupata
Kaka uko vizuri sana mungu akubariki sana kwa mafundisho yako
Nashukuru kwakutuelimisha Dr
Mungu wa Elia akufungulie jia saidi 👍
Asante sana my brother from another mother
Amen teacher
Nimefarijika san kiongozi mung akubariki
Wow ujumbe mzuri sana asante sana nmeipenda kwakweli
Asante Dr. Nmejifunza na nitafanyia kazi elimu hii ili nisijepotea, nkampata asiyesahihi
Ubarikiwe
Ahsate sana 🙌
Shukran Dr mngu akubariki
Nashukur sana dr chris😘😘
Hi
Summary
1. Jiulize kama wewe ni sahihi?
2. Jifanyie tathmini binafsi
3. Jiangalie kwako wewe na sio kwake
4. Jiandae kitabia zaidi
5. Hakikisha mazingira yanayokuzunguka ni ya watu sahihi (OQP)
6. Kuwa tayari kujifunza na kubadilika
Thank you
Asante
Mmmh
Only Quality People...🙏🙏🙏🙏
Thxz boss for points
Asante kwa somo dhuli🔥
Asanti sana
Thanks Dr
Asanteee
Wacha nisikilize kwa makini,maana naitamani sana ndoa,nataka kuoa sasa.
Gud
Amina sana kaka hata mm ngoja nisikilize kwamakin namm nipate aliyesahihi
Mi pia nahitaji mume sahihi
@@mariamyoyote8172 hujapata bado.
Nipate mume aliyesahihi mung niongoze
Ndio Mimi hapa namtafuta mpenzi sahihi
Mimi nazidi kuikoa nafsi yangu 😊 , safi sana kaka 👍 maana haiaezekani unao mbwa ela ukisema huna unakasirikiwa mtu anakufosi umfanyie michakato 😣😣ii nn nn
Hakika namba 5 mia sana
Safiiiii
Asante kaka,Dr ,elimu nzr sn
Yani nakupa hongera Sana kwa mafundisho mazuri sana nimejifunza Mambo mengi Sana kutoka kwako
Maneno mazuri sana lkn yamekosa mifano hai ili kujifafanua zaidi
Asante mtumishi, je nafanyaje ili kujibadilisha hizo tabia?
Nikweli
Thank you
Thank you
Mwalimu
Kuna madhara ya kufanya tendo la Ndoa kabla ya kuoa au kuolewa ?
Mimi naomba unisaidie Nina hasira za karibu mnooo
Naomba namba nataka kitabu chakusoma maana bdo sijaolewa
Samahani doctor hv ntajuwaje kuwa niye naye ni sahihi kwangu sorry can you help me please
naomba unisaidie mimi kuna boy wawili wananipenda nisaidie nifanyaje nijue yupi ni sahihi kwangu
Je ni dalili gan mtu utamjua kam anakupenda na hajawai kukutamki?
Mpenzi sahihi ni yupi
Nisaidie namba yako na shida
Dr umetoa Nondo nzito,
OQP ni hatari saana.
Self evaluation course nzito.
Personality and Charaters sasa.
Bado naendelea kupata elimu zaidi
Habari za asubuhi, jamani kama unakaa na mwanaume ambaye anakupenda sana lakini hupendi unaweza kufanya ili utoke Kwa hiyo ndoa??
Mimi Nina MTU akipita Karibu Nami ifeel him Na nkimkosa nafeel nimepoteza kitu Nate hasemi kitu? Ndiye au la,
Nilikua kwenye usihano nikatoka tena tulikua Kwa muda na mm Niko mbali sana na yeye ju job naye uko job Sasa tulikosana kupitia kusungumsa nikamwambi sorry alikataa kukbali,na sijaw tenda naye tendo LA ndoa ni ushauri ngani nawez pata hapa hapo,saaii hatuko in good na mpenzi wang
Mh unatafuta nn tena achana naye yaan kama umensema hata mm ilintokea nkasema siforce acha aishi kivyake na hatukuwahi shrk chochote naye alikuwa mkoa mwingine na mm mkoa mwingine
Wow masomo matamu
Ni rahisi tu kupunguza kitambi bila mazoezi check apa th-cam.com/video/IXQceZGw71g/w-d-xo.html
kwanza kabisa nashukuru umeeleza kitu kizuri ila #chris mauki tunaomba utupe more explanation ktk hz points ile tuweze kuelewa mtu sahihi yupoje na tufanye nini ili tuwe sahihi na pia tuwe na tabia gani n.k
Wife material na husband material ndo wakoje? Wana sifa zipi?
Wanaozeeka pamoja
Kama hizo Ndo mbinu sahihi
Dr mauki toka nimeaza kuku fuatilia kweli nimejifunza mambo barikiwa Sana .. Nakufurahia Sana dr .
Mimi najiona sina hela ili niwe wife material, kwasababu Mimi siwezi na sipendi kuomba omba hela yaani
gee kilimba tunaendana
Mungu nisaidie