Bubu ame sema...kabisa yuko sahihi,muachane mama yake,mbona Hamisa ka ishiya form four na ana endesha maisha yake vizuri tu,vipo shilole na wengine wengi tu myaka 19 muna msakama mutoto ivi na mama yake! Mange apewe ubalozi wa roho mbaya na ku fwatiliya maisha ya watu simpendi uyo Mange simpende ata robo... ye mwenyewe watoto wake wadogo tena America uko wata fanya cha ajabu ku shinda ana sema
Hizo ndio attitude za teenager! Akili za maisha bado hawana wanachojua ni kujibu pumba, sasa mwanamme atammudu?? Tutafikia kule kwa wale waliojirushaga na kufa.
Mmmmmm wabongo nyie ebu wacheni mastar to wenu wapumue daaaa nyie maisha Yao yawausu Mimi chacha nkt .ebu toeni boriti kwa macho yenu kabla utolee jirani watzd daaah uaga hamna kazi zakufanya kalimeni hukooo
haha haha kitabibu mtoto wakike kadri unavyo ona manyonyo yanachomoza ujue ndiyo isia zake uchomoza weangalia wale ambao wanawafungia ndani watotozao na hawawafatilii kiushauri wa madactar watoto uangukia kupiga mayoe tu ile ni miamala inatafutia pakutokea dadek
Wazungu?? Mzungu anaku sue! kwa kumharibia jina mwanzoni ukijidai sio tabia za mtoto wako kumbe wote mmo katika business deals. Kusema ukweli yanayuhusu hata wengine tusioishi Tanzania tulimchukia Hamisa, Ray kwa kitendo mnachodao walikifanya! You did mislead the nation and world in general! So yes we are in this because you have mislead us!
The lady is right..kajala hajawazaa nyie 😆😆
Mange It’s true. 👍💓
Da Fatma masha lov kaolewa ebu tusongezee habar hku..ssi atuna Instagram ubuyu twaupata kwako🤣🤣🤣🤣
Sana paul 💞 haiwahusu 💗💞👋
Mliopo Dar,
Mwambieni karibu Duniani, Paula.
Mtoto yuko sahibi
Yeeeeea
Mange unadomo baya ndomana unapenda fatilia maisha yawatu
Let her enjoy her time 😂😂😂😂😂😂baadae atakuja kulia online labda 😂😂😂😂😂😁😁
Kiekiekie uyo mtoto ni 🔥
Kweli haya magazijuto kaaaaah😂
Sasa si wawaace jamani
Bubu ame sema...kabisa yuko sahihi,muachane mama yake,mbona Hamisa ka ishiya form four na ana endesha maisha yake vizuri tu,vipo shilole na wengine wengi tu myaka 19 muna msakama mutoto ivi na mama yake! Mange apewe ubalozi wa roho mbaya na ku fwatiliya maisha ya watu simpendi uyo Mange simpende ata robo... ye mwenyewe watoto wake wadogo tena America uko wata fanya cha ajabu ku shinda ana sema
Mange nakukubari
Wacha azalishwe ndio atajua ajui
Kweli mtoto miaka 19
Mtoto was nyoka ni nyoka cha ajabu nn hapo?
Kwel mang hayamuhuxu
Kwan mange hunaga kz ww👉
Hizo ndio attitude za teenager! Akili za maisha bado hawana wanachojua ni kujibu pumba, sasa mwanamme atammudu?? Tutafikia kule kwa wale waliojirushaga na kufa.
Mmmmmm wabongo nyie ebu wacheni mastar to wenu wapumue daaaa nyie maisha Yao yawausu Mimi chacha nkt .ebu toeni boriti kwa macho yenu kabla utolee jirani watzd daaah uaga hamna kazi zakufanya kalimeni hukooo
haha haha kitabibu mtoto wakike kadri unavyo ona manyonyo yanachomoza ujue ndiyo isia zake uchomoza weangalia wale ambao wanawafungia ndani watotozao na hawawafatilii kiushauri wa madactar watoto uangukia kupiga mayoe tu ile ni miamala inatafutia pakutokea dadek
Mtoto msh3nzi sana huyu
Sasa kuna maajabu gani binti akivunja ungo chakufatia nikumuozesha sema rayvanny alete mahar pakingali mapema
Hata washangza kweli watz🤣🤣🤣sasa mtu ako na 19 ana utoto gani
😅
Laana hiyo inaitafuna familia, kama sio wa watanzania basi stop making money on Tanzanians and Africans by sharing all your dirty laundry.
Wazungu?? Mzungu anaku sue! kwa kumharibia jina mwanzoni ukijidai sio tabia za mtoto wako kumbe wote mmo katika business deals. Kusema ukweli yanayuhusu hata wengine tusioishi Tanzania tulimchukia Hamisa, Ray kwa kitendo mnachodao walikifanya! You did mislead the nation and world in general! So yes we are in this because you have mislead us!
Kunasiku Paula ata juta na fahyma ameshindwa alikua anazidi nini
Shikamoo mapenz😀
@@sabrinakhamis4655 marhabaaaa