PAULA amjia juu HARMONIZE baada ya kuthibisha ni kweli alilala nae, na PAULA ndiye aliyemtongoza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 111

  • @emilywangui
    @emilywangui ปีที่แล้ว +11

    Hii ndio matokeo ya kudate watu si rika yako ....mungu nisaidie nisijikute ,much love from kenya 🇰🇪

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi ปีที่แล้ว +4

      Harmonise has done well to expose them, that's how to deal with prostitutes 💪

    • @ROSEROBERTROBART
      @ROSEROBERTROBART ปีที่แล้ว +1

      ​@@JacklineNamundengozi😂😂😂😂😂

    • @teedullah5708
      @teedullah5708 ปีที่แล้ว +3

      Umeonaee mtu mzima kuchu🇰🇪🇰🇪

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @deboramartin8111
    @deboramartin8111 ปีที่แล้ว +7

    Harmonize leo kunywa k vant kabisaa utupe Mambo😂😂😂😂

  • @user-tt6jt8pz5m
    @user-tt6jt8pz5m ปีที่แล้ว +5

    Paula akifikisha miaka 30 kashazeeka😂😂😂uchi ka bwawaaa😂😂Ila kajala kichwaa ka kisoda mwilini nyumba akili sifuri

  • @user-fo7tq4ib5e
    @user-fo7tq4ib5e ปีที่แล้ว +11

    Harmonize endelea kulewa utupe vitu mmakonde😂😂

  • @deboramartin8111
    @deboramartin8111 ปีที่แล้ว +5

    Kwahyo mlizima taa na paula mda sana 😂😂😂

  • @janengowi-lt9gu
    @janengowi-lt9gu ปีที่แล้ว +4

    Mhhh kweli Mamaaa na mtoto kajala unatia aibu achakufuatana na Binti yako we mama

  • @samiraomari5442
    @samiraomari5442 ปีที่แล้ว +9

    Yote tisa kumi Kajala na Mwanae hawafai wauwawe....wamenisinya hawa mbwa kwa kweli...kwanza Paula ni kama mwanasesere kila mtu anamchezea...yaani sina usemi japa watakufa vibaya hawa watu l say

  • @rehemaothman2475
    @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว +8

    Episode 7 😂😂😂😂 scripts za harmo ziko moto piga tungi utupe uhondo 😂😂😂

    • @nzeyimanamwavita1904
      @nzeyimanamwavita1904 ปีที่แล้ว +1

      Wamalaya tu mama na mtoto aibu sana 😂😂😂😂😂

  • @gracepius1102
    @gracepius1102 ปีที่แล้ว +9

    Huzuni kwakweli😢😢

  • @ivymuthamia8234
    @ivymuthamia8234 ปีที่แล้ว +4

    Niko hapo kwa hate him😂😂😂

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 ปีที่แล้ว +2

    Hellow dear x..nimepata tetesi 😂😂😂hii goma la hamo ni tamu sana

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 ปีที่แล้ว +11

    Kwanza cwawezi yani mnamjibizana na mwana mume cwawezimalaya wakuu nyinyi

  • @Semenhahemed-lf5om
    @Semenhahemed-lf5om ปีที่แล้ว +3

    Huyo Paula atulie kabisa kwani nani aliyeanza kumchokonoa mwenzio kama sio mtoto na mamake

  • @enjoyMjungu-jg5dj
    @enjoyMjungu-jg5dj ปีที่แล้ว +3

    Harmonize hana makosa jaman paula na kajala syo watu ni wa kutupwa wachafu kama anavaa vle mbele ya marioo nae kama ajatulia atamla waachen jaman ni rahana unazunguka

  • @zainabukhalid8223
    @zainabukhalid8223 ปีที่แล้ว +7

    Kwahio jeshi ndo aliondoa bikra ya paula 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @matildalauzi2072
    @matildalauzi2072 ปีที่แล้ว +4

    Hii itakua vita sasa😂😂😂

  • @talhahfathia16-.
    @talhahfathia16-. ปีที่แล้ว +7

    Hii ndo reality show sasa

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni nacho Ushauri hamo Azidi kupiga tungi Atupe utamu amezidi kumzoea sana

    • @user-fo7tq4ib5e
      @user-fo7tq4ib5e ปีที่แล้ว +2

      Yani mi natamani ningekuwa karibu na harmo ningempa kret zima😂😂

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj ปีที่แล้ว

      ​@@user-fo7tq4ib5eminashangaaga pombe gani inayoona kalamu kwenye sim 😢😢 au mizunguo ya harmo

  • @ankovictor1564
    @ankovictor1564 ปีที่แล้ว +6

    Watu wazima mnajitia aibu

    • @marycelestin6586
      @marycelestin6586 ปีที่แล้ว

      Hapo wanawake ndo kujitia albu ....na kujidhalilisha wnyw

  • @user-kw2ln1vf4p
    @user-kw2ln1vf4p ปีที่แล้ว +3

    Kichwa chake hakijapinda wala nn anaona tu aibu uyo mtoto ana adabu mwijaku alisema paula anamtaka hamo mukamuona muongo hayo sasa

  • @FortunatahAshely-dh7jz
    @FortunatahAshely-dh7jz ปีที่แล้ว +2

    Lewa tujue mengi🤣🤣🤣

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 ปีที่แล้ว +2

    Akutunze kwahali na Mali umwite chizi dawa yao wameipata freesheet na bahati hiyo hairufi tena ngo'oo

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 ปีที่แล้ว +2

    Vita ya mapenzi nimbaya sn

  • @husnaabdallah886
    @husnaabdallah886 ปีที่แล้ว +2

    Harmonize anapenda sana kutafuta huruma😂

  • @rashidyusuphwewenimtotowam1761
    @rashidyusuphwewenimtotowam1761 ปีที่แล้ว +1

    Haya maisha bana hamoneze akivuta moshi atawanyoosha bora mngekaa kimya kuliko mjibu. Kawambia mkae kimya mkiludia atawaendea aer pot maneno atakayoyatoa mm smo😂😂😂😂😂😂emo

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 ปีที่แล้ว +1

    Kajala na Paula kwani hamna kazi nyingine Zaidi ya kumfatilia Konde boy. Mambo ya kusemana yamepitea na wakati. Hivi mnaoata wapi muda??? Nyie mbona wadada Waziri sana achanene na hayo mambo yakijinga

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 ปีที่แล้ว +4

    Chizi kapewa rungu mweee😂😂😂😂

  • @user-rc2ki7pn5d
    @user-rc2ki7pn5d ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaa😂 mwendo wakula kuku na mayaiyake

  • @marycelestin6586
    @marycelestin6586 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mtu alisema tuende NCHI JIRAN .....Wee nani ahame bongo kwny burudani live thubutu ......ata tozo ziongezwe ntang'ang'ana humuhumu ......😂😂😂😂😂 Tembo

  • @musamatsaki79
    @musamatsaki79 ปีที่แล้ว

    😂😂😂kwa hiyo munajaribu kusema buy one get one free 🤣🤣🤣Musiniambie Marioo anakula na Mkwe wake Kajala pia😂😂

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy ปีที่แล้ว +1

    kwani kama kalala nae kaacha alama gani, kila kitu kinapita ila range ipo pale pale maumivu yakizidi muone daktari wa washamba anapatikana chitohori, pole we 😂😂😂

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 paula na mama ke ww

  • @Veelicious999
    @Veelicious999 ปีที่แล้ว +1

    😅😅😅habari ndio hiyo

  • @user-ku5hr5nt4q
    @user-ku5hr5nt4q ปีที่แล้ว

    MAMBO YAMEISHAPITA KWANINI. MSITUNZIANE. HESHIMA. KAMA WEWE PAULA. UMEKULA VINGAPI. VYA HAMONAIZI PESA NGAPI ALIZOKUPA SI NI AFADHARI HATA ANGESAIDIA WATOTO YATIMA AMBAO HAWANA HATA. CHUPI ZA KUVAAA.

  • @micksonnyamwez96
    @micksonnyamwez96 ปีที่แล้ว

    HAPA BAADAE YA GUMZO NYING kondewide anaachia nyimbo moja tamu sana

  • @user-ku5hr5nt4q
    @user-ku5hr5nt4q ปีที่แล้ว

    KWA HIYO. KAJALA HATA AKIPATA BWANA MQINGINE MWENYE. PESA UTALALA NAE. TUUUUU. UMEISHAZOEA

  • @NajmaEmmanuel-ml6iq
    @NajmaEmmanuel-ml6iq ปีที่แล้ว +1

    Sasa kama alilala na hamonazi mwaka 2017 hiyo bikir niipi alompa ravyn jmn 🤓🤓 mwana Malaya Huyo 🙆 duuh

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 ปีที่แล้ว

    Izi siku paulla avahi Tena izo wigi .maria huna pesa 😂😂😂😂😂paull umechoka

  • @user-ku5hr5nt4q
    @user-ku5hr5nt4q ปีที่แล้ว

    KWANZA WEWE PAULA NI KWELI. ULIMTAKA HAMONAIZI. USHAHIDI. UPO. ULIKUWA UKIKATIKA MAUNO. M B ELE YAKE

  • @VenerandaHerry-os1br
    @VenerandaHerry-os1br ปีที่แล้ว +1

    Hii itakuwa vita ya tatu ya dunia🤣😅

  • @ukhtymdee8557
    @ukhtymdee8557 10 หลายเดือนก่อน

    Aache ujinga huyo hamo maan wew ni mjinga

  • @user-pm9gs1xb1j
    @user-pm9gs1xb1j ปีที่แล้ว

    Jaman si mumuach kajala na mtto wak bona mnawasem saan adi nasikiy uchug masikin Pol kajala wang

  • @GodfatherHitler
    @GodfatherHitler ปีที่แล้ว

    😂😂😂 makubwa mngu ninusulu minakizazi changu

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 ปีที่แล้ว +1

    Ww harmonice acha ushamba we Ni mwanaume

  • @user-td6kr5dm3r
    @user-td6kr5dm3r 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmmh😢

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 ปีที่แล้ว

    Yani kumbe mnajifanya wala bata kumbe hadi fance ya nyumba ya mama amejenga Harmonize.

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 ปีที่แล้ว

    Mario m wew kula kuku na mayayi yake 😂😂😂 km honde

  • @michelinesifa3502
    @michelinesifa3502 ปีที่แล้ว +1

    Iyo mapenzi hakuwa yakawa ida

  • @majumaatieno5640
    @majumaatieno5640 5 หลายเดือนก่อน

    Usijifanye unajua kusema so baada ya kulala na paula mbona hujafanya busara usidate na ma make ... hHarmonize ulikosea .kama ..ulijua ushalala na paula kwanini umdate mamake ..alafu unasema alikuwa mtoto mdogo ..huoni kama huna aikli

  • @mwasitiramadhanramadhan7214
    @mwasitiramadhanramadhan7214 ปีที่แล้ว

    Wapotee hao niumalaya unawasumbua mama namtoto

  • @sivaboycm6633
    @sivaboycm6633 ปีที่แล้ว +1

    😄Nooo 😁

  • @jeturdasimon4851
    @jeturdasimon4851 ปีที่แล้ว +1

    Kichaa kalogwa tena

  • @PrettyAngel-lr6op
    @PrettyAngel-lr6op ปีที่แล้ว +2

    Leta story ya Rich Mindindo na Wolper wame unfoliana uko insta 😂😂😂

    • @priscakadzo6892
      @priscakadzo6892 ปีที่แล้ว

      Haha😂😂😂😂harusi bado mwaka

  • @MagrethThobias-fm8bm
    @MagrethThobias-fm8bm 20 วันที่ผ่านมา

    Paula angalia ndoa yako usipo angalia nawe utakuwa kama mama yako kajala

  • @user-xh7wy2mi2j
    @user-xh7wy2mi2j ปีที่แล้ว

    Mungu wangu hii ndio nini. Kwa kweli hii ni aibu

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 ปีที่แล้ว

    Lewa Tena hormns utupe mambo Paula ww kaa kimia na wewe uko mkee mdogo wa harmo

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx ปีที่แล้ว

    Yani kila kukicha ni Paula kwani kawalia nini

  • @user-cp1jb2cf4l
    @user-cp1jb2cf4l ปีที่แล้ว

    Duh. Hii. Kali. Kala. Kuku. Na. Vifaranga. Vyake. Haja. Fanya. Poa

  • @AbibaKhamisi-yp4tt
    @AbibaKhamisi-yp4tt ปีที่แล้ว

    Achana nayo harmo fanya kanz iliyo kuleta mjini

  • @lightnessabdallah2340
    @lightnessabdallah2340 ปีที่แล้ว +3

    Tunasubili muendelezo 😂😂😂😂

  • @hadahada4546
    @hadahada4546 ปีที่แล้ว +1

    Hom in

  • @bellazara6448
    @bellazara6448 ปีที่แล้ว

    Iyo ndo shida ku date mama n mtoto

  • @theresaelizabethelijah117
    @theresaelizabethelijah117 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Harmonize fala kweli kweli kama alidate na Paula 2017 ina maana Paula alikua 16. Yrs yani bado under age hajui ni kosa la jinaa kuwa na mtoto wa muaka 16? Kajala sasa ana haki ya kumpeleka Harmonize kotini amevunja sheria kwa kumharibu mtoto mdogo !

  • @cristianorobathchilambo4463
    @cristianorobathchilambo4463 ปีที่แล้ว +1

    Mmakonde oeeeeeeeeeee

  • @happynesssamwel4249
    @happynesssamwel4249 ปีที่แล้ว +2

    Hawa akina pau na kajala wanajizalilisha2 kushindana na mwanaume nikaz kweli kweli

  • @SadaAhamadi
    @SadaAhamadi 10 หลายเดือนก่อน

    Harmonaz nimkweli

  • @jacklinepallangyo196
    @jacklinepallangyo196 ปีที่แล้ว

    Wape baba hawana hata chembe za aibu

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 ปีที่แล้ว

    Hamo kuwa na adabu sasa na ukuwe pia. Tayari uko na mwingine achana nao imeisha hiyo.
    Hukawii kuanza kulialia na maua ma mabango.

  • @alawysaid3719
    @alawysaid3719 ปีที่แล้ว

    Kwani hamumjui huyo dogo, anawatafuta wasanii alale nao

  • @juliakinusa4900
    @juliakinusa4900 ปีที่แล้ว

    Loi mama na mwanae...f really 😊

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 ปีที่แล้ว

    Kumbe Bado pombe ina ongea 😅

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 ปีที่แล้ว

    Hamonize achana na hivi vitu fanta mziki, na kuwa na huyu msichana wako mpya

  • @SaleheAbdadal
    @SaleheAbdadal ปีที่แล้ว

    Kindoa

  • @masizitony9800
    @masizitony9800 ปีที่แล้ว +2

    🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🙏🏼🙏🏼🙏👍

  • @christinamabula416
    @christinamabula416 ปีที่แล้ว

    Mim napitia comments tu

  • @OfficialTeacherTz
    @OfficialTeacherTz ปีที่แล้ว

    Ukitaka kujua kiingereza bure ingia youtube Official Teacher kasome kuongea kiingereza bure kabisa

  • @nurumasha
    @nurumasha ปีที่แล้ว

    Majani uko wapi??
    Simama kwa ajili ya binti yako

  • @DorcasWanny-jb4js
    @DorcasWanny-jb4js ปีที่แล้ว

    Armo chéria ya kwetu weye ni mbakaji uli déti n'a mtoto mbele kwa nini upendane n'a mama ile ni montaje

  • @mariamumsanzu8266
    @mariamumsanzu8266 ปีที่แล้ว

    Tembo 😂😂😂😂😂

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 ปีที่แล้ว +1

    Harmonizi apunguze manenoo

  • @user-px9mk4fh3l
    @user-px9mk4fh3l ปีที่แล้ว

    Wewe Hamo ndio unajizalilisha kumbe ulinuana na Paula kabla ya mama kwanini ulimtongoza mama yake kwahiyo huyo Paula angeficha aibu angeendelea kudet na ww nahuku unakula mama yake mama alikuwa hajui chochote masikini wewe Hamo Malaya utamla Hadi mwanao Sasa siungebak nahuyo pau kuliko kumtongoza mama ake kwendaa makosa niyako yote

    • @pueblo148
      @pueblo148 ปีที่แล้ว +3

      Kosa ni la kajala na mwanae.Kwa Nini Paula hayupo shule kimasomo? Anafatana na mama ake kwenye bar usiku kucha.

    • @samiraomari5442
      @samiraomari5442 ปีที่แล้ว +1

      Wewe unalaumu hamo...Paula kalala na diamond kwani hakujua mamake pia alilala na diamond...hawa watu ni tamaa inawasumbua kwanza hamo ana subra na hekma kubwa sana...acheni kumuattack hamo

    • @deboramartin8111
      @deboramartin8111 ปีที่แล้ว +2

      Mwanaume ni mwanaume ww kosa ni la mama na mtoto

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 ปีที่แล้ว +1

      Hao wanawake hawana maana kabisa, Mondi kawachakaza wote, harmonize kawachakaza wote, na kunauwezekano wq marioo kuwaminya wote. Na unaweza kukuta hata Q laka kawaminya wote tayari😅😅😅😅, Harmonize we love you. Lewa tena utupe udaku😂😂😂

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 ปีที่แล้ว +1

      Harmonize amewafanyia mengi, ebu watuambie wwnaume wengine wamewafanyia nini?

  • @MasizieRahim-gw1bf
    @MasizieRahim-gw1bf 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🦣🦣🦣🦣

  • @MasiziaKari-lh6wc
    @MasiziaKari-lh6wc ปีที่แล้ว

    🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🙏🙏🙏♥️