SIYO YA KUKOSA-MCHUANO MKALI WA KWAYA ZA PAROKIA YA MAKUBURI KWENYE UZINDUZI WA ALBAM YA ANUARITE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 35

  • @danielkaloki1773
    @danielkaloki1773 ปีที่แล้ว +3

    Naomba jina la uu wimbo unaonza 5:12. This is my best choir ever. I love it. God bless you guys

    • @munuve100
      @munuve100 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/ckfLB24mV2k/w-d-xo.html

    • @munuve100
      @munuve100 ปีที่แล้ว +1

      But ofcourse KMK did it better. 😅

  • @antelmamwashibanda7098
    @antelmamwashibanda7098 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sana kwaya Mwenyeheri Anuarite Makiburi.

    • @antelmamwashibanda7098
      @antelmamwashibanda7098 4 ปีที่แล้ว

      Or Makuburi

    • @csato9415
      @csato9415 4 ปีที่แล้ว

      Kama hautajali nikuelekeze namna ya ku- edit neno ulilokosea.

  • @ceirahjohn6889
    @ceirahjohn6889 4 ปีที่แล้ว +3

    He who started the good work in you shall complete it! Good job and I really love the song Tembea nami

  • @gloriasospeter2988
    @gloriasospeter2988 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni mungu mwema kawajalia ushirikiano mmetuletea nyimbo nzuri zaid

  • @janemwangi6065
    @janemwangi6065 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni wanakwaya wote. From Qatar

  • @agatamaria564
    @agatamaria564 2 ปีที่แล้ว

    Napenda sana kwaya hii wako vizuri

  • @joramthomas3553
    @joramthomas3553 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana wapendwa hio nikarama nzur sana bas msichoke kumuimbia bwana

  • @munuve100
    @munuve100 ปีที่แล้ว

    Huo wimbo unaoanzia 11.00. This choir is the goldstandard of catholic choiring.

  • @romanaeugen3066
    @romanaeugen3066 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana...Mungu azidi kuwamiminia Baraka zake kwa uinjilishaji huo....nimeupenda Sana'a huo wimbo wa Nne....mmeimba vizuri sanaaa.......

  • @kambibikamugisha3394
    @kambibikamugisha3394 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni sana mwenye Heri Anuarite Choir kwa uzinduzi as album. Best best songs and creativity. God bless you.

  • @mahendekabwale8303
    @mahendekabwale8303 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ndo sijaona au? Kuna bwn mdg sana hapo ndo organist......aisee hongera yake sana.

    • @epistermichael8161
      @epistermichael8161 3 ปีที่แล้ว

      Mdg kwa umri lakini ni mkubwa kimuziki bro, ni mtoto wa mtunzi wa hizo nyimbo

  • @chrisbaramwafrika4776
    @chrisbaramwafrika4776 4 ปีที่แล้ว +2

    Napenda nyimbo zenu ,mbalikiwee

  • @rosemaryboniphace1642
    @rosemaryboniphace1642 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongeleni sana makuburi mko vizuri

  • @pelagiakarengi6666
    @pelagiakarengi6666 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana!

  • @georgemzeru8618
    @georgemzeru8618 3 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe sana wanakwaya

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว

    Huyo kijana wa kinanda ni hazina kwa kanisa. Alelewe katika maadili ya Kanisa,asilewe sifa

  • @michaelkithembe
    @michaelkithembe 4 ปีที่แล้ว

    Natembea kwa Imani,,,God bless KMK

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana Wana wa Mungu.

  • @stephenmukwata1737
    @stephenmukwata1737 3 ปีที่แล้ว

    Congrats guys, may God continue blessing you.

  • @mariamtepa1740
    @mariamtepa1740 4 ปีที่แล้ว +2

    Mko Vzr Wanakwaya

  • @hillaryodhiambo7396
    @hillaryodhiambo7396 4 ปีที่แล้ว +1

    album nzuri. Twaweza inunua vipi huku Kenya?

  • @gladwakuruamos4493
    @gladwakuruamos4493 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @pelagiakarengi6666
    @pelagiakarengi6666 3 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzuri nayo madhari pia

  • @magrethmallya7728
    @magrethmallya7728 3 ปีที่แล้ว

    Kwa imani nakuja hapo ulipo. Naomba ujaze maneno yako kinywani mwangu. Nikayahubiri ulimwenguni.

  • @magretipaulo6303
    @magretipaulo6303 2 ปีที่แล้ว

    Nawtakia heliya mwkampya

  • @eliezernzota9297
    @eliezernzota9297 4 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza wimbo wa 4 walioimba mt kizito sijui ,nitakuja hapo ulipo , mtunzi ni nani na unaitwaje

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 4 ปีที่แล้ว +1

    Ninavyowasubir kwa hamu huku TH-cam 😘😘😘plz msichelewe kutuma huku maana wengne tuko mbali