Serekali ya awamu ya 6 kumbe TATIZO NI UISLAMU ndo maana yanatokea haya - Sheikh Muharam Mziwanda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 46

  • @amisseachiro2734
    @amisseachiro2734 ปีที่แล้ว +1

    Um

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 ปีที่แล้ว +1

    Nyerere hawakusema kitu mwinyi wakasema sana
    Mkapa hawakusema kitu
    Kikwete wakasema sana
    Magu hawakusema kitu
    Samia wanasema sana
    Hawa ni watu dhaifu sana waislamu pia ni watu

  • @samuelmuthui4699
    @samuelmuthui4699 ปีที่แล้ว +2

    Umesema vyema sheikh. JazakAllah

  • @jumamasoud1188
    @jumamasoud1188 ปีที่แล้ว +1

    Asant sana Sheikh Mziwanda

  • @allylassuh4947
    @allylassuh4947 ปีที่แล้ว

    Shukran sana habeeb

    • @zuzadomikano3765
      @zuzadomikano3765 ปีที่แล้ว

      HADOLEO BADO MNAMSIFU KUA NI BABA WATAIFA (NYERERE ) SINDIE ALIWEKA WIMBO NENO {Udini ,Upemba ,......} !!!

  • @2002-h6c
    @2002-h6c ปีที่แล้ว +1

    Yaani Warioba angejuwa jinsi Wakristo wanavyowabagua Waislam kwenye maeneo ya kazi, wala asingenyanyua mdomo wake kusema hayo aliyoyasema, manake asilimia 90 ya taasisi na vitengo vya umma wakuu wake ni Wakristo, na asilimia 97 ya watumishi wa maeneo hayo ni Wakristo. Wakati wa usaili wa kuomba kazi Waislamu wanabaguliwa, labda apewe udereva au uPS
    Ukienda kwenye mashirika yanayofadhiliwana USAID au EU ndo kabisa wanawaambia msiwape kazi Waislam
    Kwa hiyo Warioba asitutoneshe kidonda Waislam

  • @Nedjadist
    @Nedjadist ปีที่แล้ว +1

    Aibu kwa mwanasiasa kuropoka tu bila statistics. Kama angekuwa na statistics za Idara, taasisi au shirika moja tu la Serikali, angejua namna gani Waislamu wako marginalised Tanzania. Yaudhi, yachukiza na huyu mzee ni mnafiki.

  • @jeremiatarimo7452
    @jeremiatarimo7452 ปีที่แล้ว +1

    Aliyeyasema haya ni Warioba lakini naona kama wanaongelewa wakristo in general. Sisi wananchi wa kawaida tunaishi wote kwenye wimbi la Kodi na maisha magumu. Hao wakubwa wana agenda zao. Wakristo wala hatuna shida. Mjibu huyo aliyeongea. Hawakuongea wakristo haya.

  • @HassanKhalid-v7g
    @HassanKhalid-v7g ปีที่แล้ว +1

    Wakrosto wote ndio maneno Yao hayo wasikwepi nakusingizia ati alisema warioba tuu noon hizo ndizo Hila zenu pindi anapo ongoza mwislam kwenue ngazi ya uraisi

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว +2

    Wametunyanyasa sana kwa kuona wao wana hati miliki ya kuwa na haki zaid ya wengine. Ndio sababu dini ya kislam ni dini ya haki, lazima tuipambaniye dini yetu pamoja na nchi yetu.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Uislamu si dini ya haki,Kuna maeneo ukienda kuchota maji kwenye visima vyao vya maji wanataka uslimu kwanza,sasa hiyo ni dini ya ubaguzi.

    • @jumamahamoud2022
      @jumamahamoud2022 ปีที่แล้ว

      ​@@edwardntamaboko3414 Acha unafiki

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 ปีที่แล้ว +1

    Aboud Rogo pumzika kwa amani.
    Ungekuepo tungekiwasha.

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว +2

    Tena shekhe kipindi kile kulikuw na umoja wao uliitwa wana - ukwata!
    Dah! wametumaliza kwelikweli!!!!

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว

    Shekhe huyo mzee ni Linafiki sana.
    Ndo maana alinaswa kibao hadharan. Hilo lilikuwa fundisho ma somo kubwa sn kwetu.

  • @sadikingonyani315
    @sadikingonyani315 ปีที่แล้ว +3

    WAKRISTU HIZO NDIO ZAO WALIANZA WAKATI WA AWAMU YA PILI, AWAMU YA NNE NA HII AWAMU YA SITA. WANALALAMIKA
    UDINI LAKINI AWAMU WALIZOONGOZA WAO WAISILAMU TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU, TUNAJUA NI WATANZANIA WENZETU

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +1

      @sadikingonyani315Udini ulianzishwa na Awamu ya Nyerere kabla ya kulazimisha Muungano kupinga Uislam wa Zanzibar.

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 ปีที่แล้ว +2

    Acha choko choko wee mzee, tutakuja kukatana Mapa mapanga subili uone

  • @simbillamachiyya
    @simbillamachiyya ปีที่แล้ว +1

    Amekosea warioba ajibwe, kadhia hii inamhusu Warioba pekee, maneno yamekuwa mengi mno, watu Sasa wanatukanana kwa Nini?

  • @ericstephenm.844
    @ericstephenm.844 ปีที่แล้ว +3

    KICHAA kimeanza kuamka.

  • @esterpaschal6080
    @esterpaschal6080 ปีที่แล้ว +1

    Waislam weng mmesoma din asa mnataka mupewe vyeo wap akat amjasoma elim dunia

    • @shabaniiddi7017
      @shabaniiddi7017 ปีที่แล้ว

      Soma ww elim dunia kafir

    • @shabaniiddi7017
      @shabaniiddi7017 ปีที่แล้ว

      Shekhe mungu akupe umri mlefu lnsha allah

    • @ayah844
      @ayah844 ปีที่แล้ว

      Unachekesha,wewe unasema au unaota dunia yote imo kwenye qur'an mtu wakwanza alonyanyua ndege angani nimuislam qur'an haija acha kitu,bora nyamaza wala usitake kishindana na muislam,nyinyi hanna kitu kichwani mnasaidiwa saidiwa tu, kwa laughs nyingine mna kasukumwa tu,pole sana dear.

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว

    Shekhe tena walioajiliwa wengi wao ni wa lile dhehebu ambalo kiongozi wake mkuu anatangaza(tetea) ushoga Dunian!!!

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Hata waislamu wengi wamasema akitawala muislamu tunakuwa na raha,kwa hiyo hata waislamu wanafanya mambo kiufichoficho ya kibinafsi.

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 ปีที่แล้ว +1

    Shaikh hta kipengele Cha katiba kinachotaka rais apunguziwe madaraka, lengo lake huend ni kuzuia uwezekano wa waislam kujipenyeza ktk nafas za juu serikalini.wao huwamin et rais akiwa muislam ndo waislam nao hupata nafas za uongoz serikalini, lakin katiba ikibadilishw na nafas hiz zikiwa ni za kushindaniwa Kwa CV bas waislam wengi watashindwa Kwa wanavyoamini wao.

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +2

    Hata kama hamjasoma mupewe nafasi tu? Kwendraaaaaaa kule

    • @alalawiymuhammad446
      @alalawiymuhammad446 ปีที่แล้ว

      Umesoma wapi ww

    • @samuelmuthui4699
      @samuelmuthui4699 ปีที่แล้ว

      Waislamu wamesoma,bwegeee!😝😝😝

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 ปีที่แล้ว +1

      Nyie mmesoma wapii ambapo waislaam hawaja soma.!! Sema nyie mna roho mbaya mnataka muwe nyinyi tu km nnchi ni ya kwenu pekeenu vilee.!!

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 ปีที่แล้ว

      Umesoma una PhD, kisha una miungu wanaokufa.

    • @alihaji215
      @alihaji215 ปีที่แล้ว +1

      Mmewafelisha waislqm kwa makusudi ili ukifika wakati mnaotaka muanze kuweka vikwazo vya elimu na inhaling sisi tumeshtukizia zamani na ndomaana tumeeenda nje kusoma bila ya nyinyi kujuwa

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 ปีที่แล้ว +1

    Tumuombee Dua na hayati Kigoma Ali Malima kw hekima zake aswa Ile kuu 1

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanamjibu aliewachokoza ukichokoza uislam.utajuta uislam ndio.dini.ya mungu.wala hakuna nyingine

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 ปีที่แล้ว

      Uislamu si dini ya Mungu,hata huyo shekhe anayoongea ni mazuri,ila nyie waislamu waumini mnakalia eti dini ya haki wakati Kuna machafu mengi.