What a great massage!, And this is exactly what is happening in day today's life. Pass my greetings to all actors who are involved in this content, indeed you're doing a great job. Be blessed richly, am Rev. Ishmael following you from Kenya.
Nashukuru kwa kutoa series kwa wakati....lkn mm cpendi jinsi wahusika mnavyoropokwa SIRI kabla hamjaweza kumsaidia Baba Karobo....naomba likes zangu pia❤❤❤❤
TUNAJITAHIDI KUTOCHELEWA KULINGANA NA MNAVOTUSAPPORT TUENDELEE MPAKA MWISHO
Sawa ila tunakuandikia wtsp hutujibu
Mpaka mwisho
Hizo like unashibaa😏
I'm wait for this. Part weeuh
Baba kalobo unachelewesha baba yangu jitaidin bac
Am Stephen kitho from Kenya naomba likes za baba kalobo.wakenya please 😂
🇲🇿
Hongeren sana Tim ya baba karobo na weziwe sasa mchezo tuna ufaham kwa sabubu unapo maliza ndipo unapo azia
🎉🎉🎉🎉
nilijua nimekuwa wa kwanza kumbe watu mshaingia mdaa😂😂😂 lkn hata hvo wa kwanzaa tuu
Kipofu kaonamwezi jamani washiriki mnatufurahisha Sana pokeeni zawadi🎉🎉🎉🎉🎉
Watching from 🇰🇪🇰🇪 kazi nzuri sana yenye mafundizo mazuri thanks 👍 sana baba karobo🎉🎉🎉🎉❤
th-cam.com/video/4BduxYtZxIk/w-d-xo.htmlsi=pHFY0YxvY2L_HHSQ
Thafadhali rya meni leo niko wakalibu. Kutok 🇧🇮 ninawapenda sana❤❤❤❤❤
😊
Bien Safi sana kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️👌
Baba karobo Leo kaona mwezi. Kamkumuta fasheni bakora😂😂😂 moja
Baba kalobo maua yak 🎉🎉🎉 kaz nzuli saaaaan
Nawapenda sana kutufurahisha mi niko burundi❤
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya Mafundisho yenu
th-cam.com/video/4BduxYtZxIk/w-d-xo.htmlsi=pHFY0YxvY2L_HHSQ
Napenda. Muvi. Yababa kaŕoboo❤😊❤❤
Wa Burundi hapa bujumbura.tupo n'a nyinyi❤.
Wow,, great job guys,,, keep it up,,,I really adore you all💖💖
Naitwa phibian kutoka Kenya sichelewi pia wanakenya wenxangu wapi likes ya baba kalobo. Yaani (BABA JOANI)❤❤❤❤❤❤❤❤
muigizaji Bora wa mwaka 2024 gonga like apa kama unamkubali @baba joan
Baba joan kitu kali sana🔥🔥
Imani ya Yesu na itawale mioyoni mwetu. 🥰🥰Asanteni nyote mnaosapoti kazi ya baba Joan.
What a great massage!, And this is exactly what is happening in day today's life. Pass my greetings to all actors who are involved in this content, indeed you're doing a great job.
Be blessed richly, am Rev. Ishmael following you from Kenya.
atimaye leo nimewahii aki iyi movie ni balaa kuliko 🔥🔥💯
th-cam.com/video/4BduxYtZxIk/w-d-xo.htmlsi=pHFY0YxvY2L_HHSQ
Wow mizimu inasikia bana🎉🎉🎉🎉
Hallooooo nimewahi na mm leo 👏👏👏👏👏👏
Mimi hapa sijachelewa vile vile wapi like za baba karombo mmi kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 naomba like 😊
Wa kwanza leo from RDC/Congo
Vzr jitahid iwe kama hivi isichelewe sana kamaleo
baba kalobo niue 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Wakwaza kutoka kenya🇰🇪,job Iraq🇮🇶naomba like zenu
Kazinzuli.sana.fashen.polsana.mamakalobo..mukatrisana
Like nmekuka mama..kuja ssa unipe connection ya job
Hana jop uyo@@peninnahkasungwa8076
Marry kijo
Naomba dada unisaidie vyenye nitapata kazi iraq
Maisha yana changamoto kweli 😢ila Baba karobo atapona tu ❤️
Hongela kwakazi nzuli tuko sambamba na wew❤❤❤ One Love
Nawapenda san baba kalob na familia yot miss yuo🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤
Nafuraiya sana filamu iyi nzuri kabisa ❤🎉🇨🇩
Am happy for this video I appreciate congratulations
Nipeni like zangu jamani hata mmoja❤❤❤❤from Kenya 🇰🇪
Wozaaaaa wozaaaaa wa kwanza kutoka +254
yaani shida sinaendelea kumpata baba karobo jameni mungu msaidie
Baba kalobo pokea maua yako kaka kazi yako vzr sana nakupenda bure ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Baba karibo safi sana huyu n kipofu ama maana amenipiga fimbo hiyo km moto😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo nimewahi 💪💪team strong 💪 huku anaona andazi limeliwa 😂😂team baba karobo tujuane kwa likes 😍😍❤️❤️🥰🥰🥰
Tupo team strong 💪 pamoja sana
@@user-mm5zq7sf1h 💪💪💪
Ila zujaty wee ni mrembo mashallah❤
Mungu wangu baba kalob ataenda wap na kalobo jaman duuu
Heeee jmn mnakaaga you tobe mda wote mara hii mpo watu40 naaa duh Aya hongeren kwa kaz nzul pia inapendeza mkiwaisha
Baba karobo tuko pamoja mpaka macho yapone,,, haya usikawie kutuletea ep nyengne
Kazi safi baba karombo ❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Wa kwanza leo wapi likes za Baba karobo pamoja na zangu kutoka🇰🇪
jamanii naitwa Carlos from Congo DRC 🇨🇩🇨🇩 Naipenda sana hii Sanaa , wandugu naomba like zenu ili baba karobo asonge mbele shukrani 🫡✊
Hongera sana baba joan kwa kazi nzuri. team baba kalobo mpo
Fasi sana nilikua nimengoja kwa hamu
Happy birthday mtu mzima kazi safii yako naikubali 254 locked
Leo nimefurahi yngu yte vile baba karobo umempiga fashon fimbo hapa nitawatch hta mara kumi,,,baba karobo poker maua yako 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Nimekuwa wakwanza leonjama nawapenda timu ya baba joan
Kazi nzuri sana❤❤❤❤
Baba karobo my favorite ❤❤❤❤❤from kenya bt in jeddah saudi ❤halafu napenda vile mama karobo original anavyo mtetea karobo na babake❤
Baba Joan mpo vzr bana tunawapenda ap DRCongo
Wao napeda hii series kama unaipeda nipe likes
Hata mimi nacheka bala😀😀😀😀😀
Nice video from kenya baba joan and his team tunaenjoy sana muendelee kushine❤🎉
Courage et félicitations 💐💐 pour la bonne prestation, continuez ainsi
th-cam.com/video/4BduxYtZxIk/w-d-xo.htmlsi=pHFY0YxvY2L_HHSQ
Jamani kwani kosa lake nini ya Leo ni Kali 🎉🎉🎉,,,
Baba jon mungu akuongoze nitaendele kuku sapot kila Leo vzr kaka
❤❤walai mko sawa
Kazi safi sana kaka mkubwa mola akujalie maisha marefu 🎉🎉
Jaman leo wa kwanza nioneeni huruma nipen like zangu hapa from tz
Kazi nzuri baba karobo ❤
Napenda kwa uwajibikaje na kazi wenu mungu awabariki
Kama unakubali series ya series ya BaBA KIPOFU ......please.
Gonga...like..tujuane.
😂😂😂❤❤❤❤
Wakwanza leo naomba like zangu
Nashukuru kwa kutoa series kwa wakati....lkn mm cpendi jinsi wahusika mnavyoropokwa SIRI kabla hamjaweza kumsaidia Baba Karobo....naomba likes zangu pia❤❤❤❤
Fasheni kapokea kichapo 😂😂 oooh pole baba karobo 🇰🇪🇰🇪💖💖💖
Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿, naomba like zangu 🎉🎉🎉🎉.
Ndo kufika baba karobo hongera kwa kaz saf🎉🎉
Jamani mama. Karobo unanichekesha Sana Leo mbavuzangu
Hongera sana Baba Joan Kwa kutoa kazi yetu Mapema❤
Wakwanza leo niomba like zangu mzee
Wow kazi nzuri sana
Jmni nimimieni izo likes 🥰🥰much love from kenya 🇰🇪
Jmn baba karobo Bado tu ajaona macho
Wakwanza jaman leo nipeni like zangu bbakarobo kwa ubora wake ❤❤😂
❤❤😂
Today am the first person ❤
Wa kwanza leo kutoka kenya wapi likes zangu
Baba kalobo 🎉 nafurahia unavyoonyesha ujasiri kwa mama kalobo wao❤️❤️ tulio furahi kumuona baba kalobo like 💐❤️❤️
Wakwanza reo nipeni like zangu
Kudadeki baba karobo umenifurahisha vile umemjapa na vimbo😂😂😂😂maua yko🎉🎉❤❤❤😂😂😂
Toka DRC 🇨🇩 LIKÉ zangu jameni
Safii saba niliisubiria
Jmn baba karobo poleee
Chapa kazi baba karopo. Tunakuwangalia toka moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wa kwanza sijawah pata lk japo moja
Hii kitu ni nzuri sana ,,,❤❤❤❤ mau yako baba Joani
Kaz nzur sana hongeren sana❤
Una movie nzuri sana baba Joan nazipenda movie zako
Number one ❤naomba like zenu please ❤
Ukimaliza Ku act hao waizii munipee mmoja 😂😂😂
Siku Moja Tupelekee Hadi Shule mwanao anasomea bro, kazi nzuri all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 One love
Nampenda huyu zoe sana jamani ❤😢mnipe nkamwoe from kenya working abroad
huku mnipeangi likes😢😢😢ata nkitoa point😂😂😂😂mungu anawaona❤❤
Tunakupenda baba karobo kazi Yako nzuri sana 😘😘🥰🎉🥳💝
Baba kalobo leo umenifuraisha et kasikia moto 🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉baba karobo na team yako
Wa tano Leo naomba like zangu
Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia