Waoooow much love last scene i enjoyed it 💋💋 mnatufundshaa kuna mapenz ya kwel jamnii japo ni adimu kuyajuaa adi tupate changamotoo you guys keep it up we need to see more about you 💪
Movie ni tamu sana alfu Rose cyo kwa kibao kile jmn kah ata kama mtu ampendi 🤣 nimempenda kelvin kwenye hii move ni mwanaume mvumilivu kaubeba husika vzr 🥰🥰😍
Ahsante kwa hii Jamn Hadi Basi shukran sina ziada Zaidi ya kuwashukuru tuu Allah awazidishie ufahamu kuliko fikra zenu sante Kelvin Victoria 💕💕💕💕💕💞💞💞💞💞💞💞💓💓💓🌹😍💞
Mwenyezi Mungu awatunze, awalinde, awatangulie katika kazi zenu Mr Kalvin miss Victoria nawapenda,nawaombea mwenyezi akuze vipaji vyenu,awabariki katika Kila jambo mlifanyalo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Waoooow much love last scene i enjoyed it 💋💋 mnatufundshaa kuna mapenz ya kwel jamnii japo ni adimu kuyajuaa adi tupate changamotoo you guys keep it up we need to see more about you 💪
woow! it's a wonderful movie...kweli mapenzi ni kitendawili ambacho kukitegua inahitaji umakini Sana...asanteni Kwa kua mnatulisha kilicho bora
Shukuran sana i love you soo much
Shukuran sana i love you soo much
Movie ni tamu sana alfu Rose cyo kwa kibao kile jmn kah ata kama mtu ampendi 🤣 nimempenda kelvin kwenye hii move ni mwanaume mvumilivu kaubeba husika vzr 🥰🥰😍
Napenda Sana 😜
Napenda sana
Nmependa hyo
❤❤❤❤
Mashallah kazi nzr 👌 mno nawapenda nyote washiriki, asanteni kwa funzo hili,haya ni maisha halic ambayo huwepo
Kevis Hatukuelewi Ww na Jems mlikuwa Pea nzur xn Hakika kz zenu zilitubamba sasa hatumuon yuko wp Jem's Yule jamaa Ulipata kila secter anajua Tz kwer Mnavipaji 🙏🙏🙏
Kelvin I love this movie too much it teaches us many things about love thank you kelvin
Mm nina toka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤎🤎🤎
Yanaitwa mapnz yalaniwe ppte yalipo walh😢😢😢😢mungu haibark kaz yenu 🤲🤲🥰🤗 much love frm 🇰🇪
Kwakweli hii igizo inatufundisha Mambo mengi sana hasa kwetu sisi wanawake,
Vicky dera la blue la majani linakera msirudie nguo guys...ila kazi zenu perfect ❤
Kupenda c kazi wakuu😢 ila kupata anayekupenda ndo kazi
Wao movie zenu nzuri sana nazipenda sana💋
Kwel iyi movie Sawa kabisa
Waoooooh much love
Nawapenda sana
Somebody to give me the author of song. It's lit 🔥
Wow ii movie ntamu Sana.....nawapenda Sana...movie zenu nazipenda Sana kevo na Vicky ntam Sana ..
Kwa movie zenu mmenifanya kuwa mfuatiliaji mzuri stamani kumiss Kila sehemu inayokuja "IT IS EDUCATIVE MOVIES IN REAL LIFE .
Zinafundish sana aiseeee😢😢😢😢
Bwana kelvin kwenye izi muvi za donta tv nimikukubali wewe na lavuness❤❤❤❤ 21:50
Bro Kelvin na Sis Victoria nawakubali katika uigizaji wenu Mungu awazidishie kipaji amen❤
Wow 👌 movie zenu tamu sana nazipenda sana❤
I like it
Kelvin the best masha'Allah
Aki nakupenda bure kak kelvin. Uko sahihi
More love kelvin naburudika tu mm ❤
Uigizaji wenu🎉💓💞💟mungu
Nimekuja kuzipenda movie hizi sana ,ziko n mafunzo
Exactly dear
Sna kabisaa
Wow! Nice movie also educating one ❤
Kelvin umeweza yaan unaweza na umeweza
Hongereni ndugu zanguni kazi zuri sana sichoki kuwafatilia ni kiwa saudi
Ahsanteni kwa move
Yn kweny movie zenu watu wawil ndio wap sirious san n kz yao n Victoria n Kelvin
Hhaaa atr san
Ilove this movie tamu kweli.
Love from chadia official to 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
It's a nice movie.inamafunzo
Asante sana
Kelvn wafundisha mapenz wasio kuw wanjua mapend wanajua toka kwako
Wow Kelvin congratulations
Safi sana kevin uko powa kwa maamuzi
Kelvin haunatofauti na hemed Suleman part zenu ni moja doctor wa mapenzi
Jameni Mapenzi Shikamoooo Subirini Nitoke Qatar Nije Nimpe Kelvin Penzi Mpka Juu Ya Siling😂😂😂😂😂😂😂😂
Kev kaka ujawai kufer nakupenda sana unajuwa kaka Asante sana 💯💯👌👌
Good lessons to the youth s .choose wisely by putting God first
Kweli hii kipindi naipenda bongo kunavipaji aky napenda sana hii kipindi mimi na wife aky inatufunza mengi sana
Love brother kelvn🎉😢❤
Sana Mr iko powa 👍👍
Napenda sn jmn hiz movie z kelvin🥰🥰
Asante sana
Ata mimi
We kijana wembe kijana mzima unalishwa na dem kevi unaliwa na tapeli vik.
Sasa ndio ulie😢 siutafute mwingine akupenaye
Kaka Kelvin,sister Victoria mmetisha , mapenzi ni fumb
Ahsante kwa hii Jamn Hadi Basi shukran sina ziada Zaidi ya kuwashukuru tuu Allah awazidishie ufahamu kuliko fikra zenu sante Kelvin Victoria 💕💕💕💕💕💞💞💞💞💞💞💞💓💓💓🌹😍💞
Movie nzur Ila Kibao Hicho je🤪😋
Congratulations ❤❤❤❤❤
Umekoma Victoria yuko sahihi hukuwai kumpenda kwanza nimuvumilivu mi nisinge vumiliya izosikuzote
Mchezo tena😂😂😂 nipenda sana movie zako kelvin
😂😂i wish i could tag gitf na endu na waone 😂😂ndio wanilaani paka kufa😅
Duuh🙊🙊yani hii kali
Hii move kuchapo sana❤❤❤
Somo zaidi ya jana akt
Nakubar san kivin
Ni nzuri Sanaa kelvin unajua kufurahisha Kiukwel
Asante sana 🙌
Ur welcome
@wembetz🤣🤣🤣 nimekupenda bure kwenye hii movie yani big up bro more love💓
Asante kaka nitaongeza juhud zaid
@@Wembe_tv 😂 mm sio kaka bhana dada
Asante 🙏
Good lesson to men like wembe
CONGRATULATIONS. Movie nzuri sana♥♥♥♥♥
Mwenyezi Mungu awatunze, awalinde, awatangulie katika kazi zenu Mr Kalvin miss Victoria nawapenda,nawaombea mwenyezi akuze vipaji vyenu,awabariki katika Kila jambo mlifanyalo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Ela Kelvin na Victoria wanapenda walai had bas tu siku hizi mapenzi n toka nikae ausio hongera nyote barikiweni vipenz❤❤❤❤
Hiyo sin ya rozi angecheza kendy hajui huyo 😊😊
Nimeipenda bule jamani mnatupa mafunzo
Hahahahaaa kelvin respect for you
😮😮😮😮😮😮😮mapenzi haya🙌
Waaaaah
Nzuri
Hapo sasa
Asante sana
Aki movie nzuri n yenye mafunzo much love from Kenya
Mmh kuigiza kazi sana me siwez ila hicho huwa ni kipaji kutoka kwa mungu to ongereni sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nzuli sana wembe hatali sana
Nime penda movie zenu❤❤❤😊
Waah mvi ni tamu sana aki nimeipenda sana❤
Ninzuriiii saaaana jmn 👌👌
Thanks
Asante sana
Asante sana
@@Dontatv255I love your movies
Nzur sana
I like your movies kelvin it earns a lot to my life
Nimeipenda kelvin jaman dah
Waaaoooh bro umeweza nigependa nijiuge nawe
Karibu sana
To be continued
Wow I love this 👌
Wembe umeweza kaka
🙌🙌
Asante next time Nitafanya Bora zaid
Hahaha wembe umejua kuuvaa uhusika hadi nataman nikutukane kumbe unaigiza tu
Jaman loveness ako api nampenda mie
Hah ila wwwww victoria ulikuwa na mzinga yanguvu ety
Ningepat mwanaume kam kelvin nisingemuach
Nimeipenda 🎉❤❤❤
Inapamba kupamba imeishia hpo ama kuna part two 😊
Ndio nashangaa nkm imeisha na suspence..nilidhn mwisho kelvin atamfuma huyu demu na yule jamaa mwengine
Aki nakupenda bure kaka Kelvin. Uko sahihi
Ipo xiku dharaw inageuka heshima
vizur sana nyie wote
Hak hiyo imenipata 🥺🥺
mnafanya poa sana
Donta tv ebu acheni kuact na huu dem anajiita victoria uwa anaboesha movie sana...ata better wale wengine
Anakosea wapi?
@@Dontatv255 uwa anaboo tu hajui kuact....am always fan of DOnta TV but hajanifuraisha..
Wapumbavu kama wembe wapo weng sana kuna moja limenusurka Kifo kwa aliemuona anampenda
Kama hakufurahishi wew fresh tu ila wengine anatufurahisha,hongera Victoria
Yupo vizuri kutokana na nafasinanayopewa
Bwana kelvin niunajua mpaka unajua tena nakukubal sana bro
Mwanaume ovyo huyo😂😅
Wow wow very nice keep the fire burning😊😊😊
Wow ❤❤❤
Kenya tunakupenda mko sawa kabisa
Napenda mov. Zenu❤️❤️❤️