Kama na wewe umebarikiwa na huu wimbo, ao kama na wewe umewezwa na YESU ngonga like tuchangiye hizi baraka kwa pamoja. Mungu akubariki sana Daddy Solomon Mkubwa umegusa myoyo ya watu wengi sana.
Hongera kamanda wa YESU ,hakika hii ndo injili na mataifa wajue kile MUNGU ameweka ndani yako,,Sauti ya MUNGU , inapiga kelele kupitia watumish wake, kila mtu askie injili maana yu karbu kurudi,,piga kazi mteule wa Bwana ipo taji yao wale wasemao kweli ya MUNGU bila haya..
Mungu akubariki mtumishi wa mungu, I still recall you when you visited Chewoyet High school in the year 2012 it was really a blessing to us.Nyimbo zako zanitia nguvu,na ubarikiwe mungu ameniweza katika jina la Yesu Amina.
Sharom.. Wapendwa Wa Mungu kwamajina naitwa Israel kusalula Ni Mwimbaji Wa gospel chipukizi Naomba saport yako kwa kusikiliza wimbo wangu mpya uitwao #NI MUNGU AUDIO usisahau Ku like na kucomment pia Ku subscribe ili kua wakwanza kusikiliza kazi zangu na Mwenyezi Mungu atakubariki sana th-cam.com/video/8FYMdarxodc/w-d-xo.html
Umeniweza Yesu😍😍 Wangapi tumebarikiwa na huduma hii? Nipe likes Kama Yesu amekuweza.
stephen kasolo hakika nimebarikiwa sana
Yesu ameniweza kabisa
I'm glad you are here bro Kasolo..it's good to surport others.
Kama unaweza toa song na rose why not Solomon,Ncy song
Amen hakika yesu umeniweza nimetulia kwako amen
Kama na wewe umebarikiwa na huu wimbo, ao kama na wewe umewezwa na YESU ngonga like tuchangiye hizi baraka kwa pamoja.
Mungu akubariki sana Daddy Solomon Mkubwa umegusa myoyo ya watu wengi sana.
Umeniweza Yesu
umeniweza yesu
Nilikua addicted na fb na group's zisizokua na maana....🙌🙌🙌🙌nimekutana na wewe YESU umeniweza nimetulia niko bzy sasa nafwatilia Neno lako.
Who else had missed Solomon Mkubwa like me?
🙋
M too
Nimebarikiwa sana na hii song be blessed Soomon mkubwa
Kwa sanaaa
Hakika umeniweza Yesu nimetulia!
Tuliowezwa na Yesu mko wapi?
Niko hpa
ameniweza yesu nakupenda yesu wangu asante solomon
Niko miongoni mwa waliowezwa na Mungu
Na mimi niko pamoja na mwe bote tangu RDC🙏😍
Hata mimi naamini Yesu ametuweza
Haki hii n injili ya haki, nashindwa kuongea. Kama unaamini gonga like 👍
Umeniweza yesu
Umeniweza yesu,wangapi yesu amewaweza nipe likes Kama yesu amekuweza
Nani mwingine amewezwa na Mwanaume Yesu huu mwaka kama mimi🙌🙌🙌😂😂anawezanga watu kweli…
Mbona nmechelewa kuskia hii ngoma mtumishi wa mungu jamani🤦🏾♂️ oh makosa
This is the right time for you to hear it ungesikia mapema haingekuwa na maana kwako be blessed
Yesu umeniweza
Umeniweza kaka na wewe Yesu amekuweza gonga Like kisha twende sawa.
Umeniweza Yesu! Nimetulia 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥❤️❤️❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾. Kazi safi sana Solomon, mungu azidi kukuinua.
Umeniweza baba..... Umenitoka ndani ya laana.... Wangapi Wenye mungu amewaweza??
Umeniweza kabisa bwana Yesu unanipitisha mukimbi iki sababu nikujuwe zaidi wewe ni mwanaume mukubwa Yesu 🙏🙏🙏🙏
Nilipokutana na wewe nilitulia....hakika Asante yesu kwa kunituliza kwako 🎉
Amina barikiwa mtumishi
Hongera kamanda wa YESU ,hakika hii ndo injili na mataifa wajue kile MUNGU ameweka ndani yako,,Sauti ya MUNGU , inapiga kelele kupitia watumish wake, kila mtu askie injili maana yu karbu kurudi,,piga kazi mteule wa Bwana ipo taji yao wale wasemao kweli ya MUNGU bila haya..
Mungu akubark xna umenena vyema, hakika nyimbo zako zinanifrj xn nataman ungekuwa na viungo vyote, ila kz ya mung haina makosa ana makusud yake
True
Wimbo mzuri, mungu Wa eliya ameniweza
The remnants of Gospel music musicians may God protect you from the armies of the enemy.❤🎉
Yesu tu ndo anabadilisha,solomon mkubwa ur an inspiration to many
Hakika nikikumbuka nilipotoka Yesu ameniweza leo nimetulia kwake kabisa
Hakika Yesu umeniweza
My always song time wangapi tunausikiliza Huu wimbo 2023🇰🇪😘
Yeah umeniweza nlikua mbishi Sana na leo nimetulia kwako bwana menipa furaha ya maisha yangu
Finally it's out
Umeniweza yesu.. Thank you Lord
Umeniweza baba ooh yesu wee. Kama unaipenda Nile like jameni
Nakupenda mtumishi wa Mungu, ùnaimbaga kutoka kwa moyo,unanifañyaga nilie kwaunyenyekevu wako kwa Mungu
Umeniweza yesu.umetuweza hapa Abu Dhabi
Asante Yesu maana umeniweza,nilikua na hasira za ajabu,za kishetani,Yesu umeniweza,umeniweza baba!!!!!
Nashukuru Mungu kwa kua mwanao ameniweza Mimi,nilikua WA kufa lakini uliniweza ukaniokoa
Am the nimebalkia sana huwu wimbo baba mungu mwenyw kakup mwisho mzuli👏
Mungu akubariki mtumishi wa mungu, I still recall you when you visited Chewoyet High school in the year 2012 it was really a blessing to us.Nyimbo zako zanitia nguvu,na ubarikiwe mungu ameniweza katika jina la Yesu Amina.
Umeniweza,Umeniweza,Umeniweza, Hallelujah 🙏🙏
Sharom.. Wapendwa Wa Mungu kwamajina naitwa Israel kusalula Ni Mwimbaji Wa gospel chipukizi Naomba saport yako kwa kusikiliza wimbo wangu mpya uitwao #NI MUNGU AUDIO usisahau Ku like na kucomment pia Ku subscribe ili kua wakwanza kusikiliza kazi zangu na Mwenyezi Mungu atakubariki sana
th-cam.com/video/8FYMdarxodc/w-d-xo.html
Ameeen
Amen
My name is hilda cheruto this songs are so blessings
Feeling blessed.
Nilikua na hasira, nilikua na lalamika Sanaa umeniweza nimetulia
Lit lit lit.......Umeniweza Jehovah...... Wale wa 2019 tugonge like apa
Nimebarikiwa sana
Nime barikiwa sana naona. Uwepo. wa bwana katika nyimbo hii
Ni mimi umeweza yesuuuu🙋🙋🙋
🌍 Hakika YESU ametuweza KWELI KWELI...
Wacha tutulie, na wale wasiotaka kutulia watatulizwa kwa LAZIMA...!!!!!
My best gospel artist ..Nyimbo zako zanibariki sana.mungu akubariki mtumishi wa mungu.....Live long Solomon
Nilikuwa nachezea watoto WA watu Ila Yesu umeniweza
I had to laugh😂😂😂
Mwanaume wawa naume umeniwesha kabisa my final say ur my everything asante yesu nakuheshimu umeniwesha
Yesu umeniweza kweli hii corona 🙏🏻🙏🏻🙏🏻n yesu tu pekee
Asante Yesu maana wewe ndiye muweza. Nimetulizwa nawe. Mwanaume Bora Wa wote
Mungu aendelee kukuinua mtumishi kwa huduma yako ya uimbaji.
Yesu umetuweza Mimi na Mke wangu tumeowana du Yesu umetuwezaaaaaaaaaaaaaaa ni neema tu
Umeniweza umeniweza umeniwezaaaaa nimetulia
umenibari sana huu wimbo, barikiwa mtumishi
Yesu hakika wewe umeniweza kabisa..nimetulia kwako
Kuna nyimbo zenye hata miaka ipite mingapi itabaki hit tu. Ninaongelelea nyimbo kama hii.
kwa kweli MUNGU ameniweza hata mimi, MUNGU AKUBARIKI SOLOMONI KWA HUDUMA,INAPENDEZA
Ameeeen Asantee Yesu kristo umeniweza nimetulia
kwa Yesu kristo . Barikikiwa sana mtumishi wa Mungu
Euh nimekuwa wapi ? Ila sijachelewa kabisa 2023 napata ku Enjoy wimbo umeendana na maisha yangu
Alishaka tuweza sana, barikiwa sana Solomon twashimwa tebanga 🙏🙏🙏tungali nakungoya Norway Brother 🇧🇻🇨🇩🇨🇩🥰🥰🙏
My favorite song ever..Yesu hakika umeniweza ❤
Kama umebarikiwa twende like apa
Mikono yangu nishainyoosha maana Mungu ashaniweza na Nimetulia.
Hakika umeniweza yesu😍😍😍😍😍umenifikisha hapa
Umeniza nime tulia yesu, barikiwa mchungaji
Haleluyaaaaa.nice song umeniweza yesu.solomoni umenibariki nime barikiwa Sana.
Baba hii ni moto sana 🔥🔥🔥🔥
Mwimbo mtamu , ahsante solomoni , mungu ametuweza hakika
Hallelujah 🙏 inanibariki sana
Yesu naomba na mimi uniweze nituliye.
Glory to Jesus,tumewezwa nayeyesu
Kweni yesu ameniweza nilikuaga MTU wa asira yesu ameniweza napenda huu wimbo jameni
Enyewe,umeniweza,nimetua,mungu ndio kilakitu
Hakuna angenniweza. Wewe Yesu . Umeniweza nimetulia.
Halleluya aaa umeniweZa hakika yesu
Jesus umeniweza..I pray peace in my family...
Amen. .umeniweza Baba nimetulia. .🙌🙌🙌igwe igwe
Yesu umeniweza nimetulia😭😭powerful
Nigetaka mmoja kutokea kunisaidia mimi katika uibaji wagu
Tunabarikiwa na huduma yako solomon mkubwa
Niko hapa,,,,,,,Yesu umeniweza
Kwa kweli yesu umeniweza nimetulia thank you Jesus
Back to it again ,,umeniweza Yesu nmetulia😥
Brother fanya kolabo na gudrack gozibeti
Mtumishi wakati unatoa wimbo pekeako kuna kitu cha kipekee huwa ndani barikiwa saana kwa huu wimbo
vry nice song God bless u Soloo
I love this song oooh my God nataka uniweze baba nitulie
Umeniweza Yesu ......natuliea pako.
Real gospel music 🎶, this is how legends are...!!💃💃💃💃💃 Umeniweza 🔥🔥🔥
Mwanaume wa ajabu ni Yes
still blessed here in 2024
More grace papa ...you always bless my soul with your ministry ...kwa kweli yesu ameniweza nikatulia ..thank you God ...
Proud to have heard this song first at Joram Kamau festive huko Railways Training Institute.
paa juu tu sana Solomon.
hata Mimi yesu ameniweza.thx bro Solomon
Umeniweza Yesu ......mwanaume zaidi ya wanaume wote ,,,,barikiwa mtumishi kwa huduma nzuri
Mwanadamu shingo ngumu Yes pekee ndiye anamweza
Asante Yesu umeniweza ningekuwa nimeangamia.
Umeniweza Yesu 🙏
Sina ubishi
This is the best jam of july 2019 so far. thanks for this inspiring song.
Nii kweli umeniweza nimetulia asante kwa kunituliza
Hata mm Yesu ameniweza,Barikiwa sanaa
Umeniweza Bwana nililemiwa na mguu ukaniponya bure. Asante Mungu wangu
Karibu tena Rock City Mwanza Tz, nyimbo zako zina upako ndani yake Yesu ametuweza pia sisi watu wake wa Tz. Amen 🙏
Asante sana kwa hii wimbo ya baraka. Mimi pia ameniweza
Kweli kabisa baba yangu umeniweza kiukweli
umeni weza mungu wangu... upewe sifa
kazi nzuri sana mm ni shabiki wako no.1
Kweli Yesu ametuweza wengi ubarikiwe mtumishi