MTOTO GENIUS WA HESABU AANZA MASOMO, ANA KIPAJI KINGINE CHA MPIRA WA MIGUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 407

  • @winfredmutinda514
    @winfredmutinda514 3 ปีที่แล้ว +19

    Wote ambao wamejitojeza kumsaidia mtoto huyu mwenyezi Mungu awabariki zaidi

  • @jumampurusa9468
    @jumampurusa9468 3 ปีที่แล้ว +5

    Mimi kinachonifurahisha zaidi kwa huyu mtoto ni uwezo wake wa kusikiliza. Just pay attention anapoulizwa swali halafu angalia response yake. Hana pupa anakusikiliza kwanza umemuuliza kitu gani. He is a pure genius. Go champ, please make your dreams come true.

  • @dianamkita6571
    @dianamkita6571 3 ปีที่แล้ว +26

    Hongera sana mtoto Charles...Hongera kwa wote walioshiriki kuibua kipaji chake..Mungu ibariki Tanzania..

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว +59

    Huyu mtoto ana uwezo mkubwa sana lakini msimpeleke kwa speed ya kupita kiwango. Kwanza ana confidence ambayo hata watoto wengi wa form four hawana. Pia ana usikivu anapoulizwa swali hajibu kwa papara anahakikisha alichosikia ndicho alichoulizwa. Mungu akawe nae. Kulikobakia ni nyinyi waalimu tu maana kuna walimu ambao pia humvuruga mtoto akili.,badala ya kumpanua kumuendeleza.

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +3

      True 👍

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 ปีที่แล้ว +1

      kweli

    • @Admirah77
      @Admirah77 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli umenena

    • @violethkwilasa284
      @violethkwilasa284 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @kennethngoleka517
      @kennethngoleka517 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa waalimu wengine huchangia kuwavuruga watoto na kuwakatisha tamaa,pia mtoto huyu amebadili mazingira aliyoyazoea hivyo waalimu wajitahidi kuangalia pia na kubadilisha taratibu kutoka yale mazingira ya chini na kuendelea nae pia akiishi na wenzake ambao wametoka ktk mazingira ya wazazi wenye uwezo yaani acopy mazingira anayoishi sasa.

  • @elidarweyemamu5144
    @elidarweyemamu5144 3 ปีที่แล้ว +71

    Tanzania 🇹🇿 nchi yangu umebarikiwa sana.Tuna majenious wengi.wakina JPM wapo wengi wanakuja.

    • @sijiaalida5562
      @sijiaalida5562 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa🤝

    • @ramlamburi9743
      @ramlamburi9743 3 ปีที่แล้ว +1

      Labda tupate wakumfanisha na JPM kwa mbaalii, ila JPM ameshatoweka. Hayupo na hatokuwepo mpaka kiama..

    • @allpotentials8420
      @allpotentials8420 3 ปีที่แล้ว

      @@ramlamburi9743 kabisa saizi tumebaki na wanafiki tu🚮

    • @janetnyanda6209
      @janetnyanda6209 3 ปีที่แล้ว

      Hongera Sana Charles

  • @sheilamjune1233
    @sheilamjune1233 3 ปีที่แล้ว +24

    Masha Allah so nice may God continue blesse your Tanzania ❤❤❤😘😘😘😘🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Maggie-yx8pw
    @Maggie-yx8pw 3 ปีที่แล้ว +10

    Wow Mungu awatunze Fountain Gate kwa kujitoa kumfadhili Baby Boy Charles.

  • @husnarams3698
    @husnarams3698 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu amlinde mtoto huyu mdogo naamkinge na mahasidi ameen

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว +6

    Congrats na wachawi mshidwee milele.tunakufunika na damu ya Yesu kristo.

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 3 ปีที่แล้ว

      Amen maana wachaw hawana dogo hawachelew kuroga🤣🤣

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว

      @@cipladapretty8617 😃😃😃😃tunawaonea viusasa washidwe

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 3 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @tamaraseff.9707
      @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว

      @@agathathobias8690 Amen

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 ปีที่แล้ว +31

    Acha mungu aitwe mungu huyo mtoto atawakoa wazazi wake kwenye umasikini mungu mwema

    • @agneskadzo6105
      @agneskadzo6105 3 ปีที่แล้ว

      Amina 🙏

    • @tamashzuber4179
      @tamashzuber4179 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @musilivisabala9259
      @musilivisabala9259 3 ปีที่แล้ว

      Amen and amen

    • @parambili1382
      @parambili1382 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂kwa elimu y tz na ajila ndo amn eeh sema Mungu Ndo anajuwa atima ya mtu

  • @isabellamatoli232
    @isabellamatoli232 3 ปีที่แล้ว +6

    Thank you for taking care of his talent, God bless this school.

  • @blandinapeter7004
    @blandinapeter7004 3 ปีที่แล้ว +7

    Bwana akiwa upande wako nan atakaekua juu yako.hallelujah

  • @mohamedisuleiman7527
    @mohamedisuleiman7527 3 ปีที่แล้ว +5

    Dogo yupo vizuri sana gonga like

  • @rachelmbeyu4385
    @rachelmbeyu4385 3 ปีที่แล้ว +41

    Ni katoto kazuri sana jinsi kalivyopendeza. Mungu amtangulie

    • @sarapeter1255
      @sarapeter1255 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mtoto mzuri Sana mungu amtangulie🙏

  • @ukhutymamuu7470
    @ukhutymamuu7470 3 ปีที่แล้ว +18

    Mashaa Allah Allah akukuze vyema mtoto mzuri

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 3 ปีที่แล้ว +31

    Mshike sana elimu usimwache Mungu awabariki sana wote mnaosimama kumsaidia huyu mtoto

    • @kamikazejoseph3462
      @kamikazejoseph3462 3 ปีที่แล้ว

      Sio elimu uyo unamfkiria ww

    • @hannahhadada5696
      @hannahhadada5696 3 ปีที่แล้ว

      we love you Charles mày the Almighty God be with you from kenya

  • @jemnpaap980
    @jemnpaap980 3 ปีที่แล้ว

    God may protect u in de struggle to meet ur purpose in de wrld

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, hongera sana Mtoto wa Taifa nimefurahi sana kumuona mtoto uyu akiwa sehemu nzuri 🙏😘😍

  • @rosejoseph9811
    @rosejoseph9811 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki sana ,kwa hatua hii.tunamuombea pia kwa mungu mtoto huyu,awe mtoto wa baraka

  • @witnessombetu670
    @witnessombetu670 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni Sana watanzani mliojitoa kwa ajili ya Charles Mungu awabariki sana

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 ปีที่แล้ว +1

    Bi up

  • @wasajo
    @wasajo 3 ปีที่แล้ว +8

    Kweli njia za Mungu hazichunguziki kabisa, huyu mtoto tayari ni Kuhani katika familia yao

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 3 ปีที่แล้ว +13

    Waooooo honger pia mubarikiwe mnaomsomesha🙏

  • @haleemahaleema2517
    @haleemahaleema2517 3 ปีที่แล้ว +23

    Huyu ni rais mtarajiwa kwenye miaka ijayo mungu amtuze na kumpigania 😘😚

  • @sophiawillum4439
    @sophiawillum4439 3 ปีที่แล้ว +13

    Masha Allah mwenyezimungu amtangulia katika kila hates apitayo

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeravchales Mungu anibariki umalize shule yako vizuri😍😍😍

  • @bintyemeniya4731
    @bintyemeniya4731 3 ปีที่แล้ว +9

    I'm happy for him as his future is secured, but at the same time I feel sorry for the boy he will miss being with his parents, he's so young maskini

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania mko blessed..Raisi mzuri atoka kwenu watoto werevu wengi wanatoka kwenu..Anauwezo wa kuongea ila kuandika kutakuja pia automatisch..God bless u more baby Boy

  • @annewachira4317
    @annewachira4317 3 ปีที่แล้ว +4

    Love this!❤Blessings all! Congratulations Charles!

  • @winladynjau4016
    @winladynjau4016 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Toto Mwenyezi Mungu akutunze,akuepushe na mabaya.... Babu tale kaishia wapi tena?

  • @AngelMoris-cb5rf
    @AngelMoris-cb5rf 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu mjalie Charles afikishe malengo yake akomboe familia yake hatuwezi jua kesho yetu anatakuwa nani mungu mpe afya njema azidi kuelewa masomo yake

  • @magreth7981
    @magreth7981 3 ปีที่แล้ว

    Point Mwalimu.. vipajii ni viingii mnoo haswaa vijijini, Watanzaniaa waibuee vipajii vya watoto wao !

  • @wahidakisingo3588
    @wahidakisingo3588 3 ปีที่แล้ว

    Waoooo,,,good boy and shukrani sana kwa wazamini kumfikisha hapo sehemu nzuri na kwenye mikono ya waalim wamsimamie vyema,,,barikiweni Sanaa Sana ,, I'm proud of him as a mommy

  • @salomejonathan3946
    @salomejonathan3946 3 ปีที่แล้ว +1

    God blessing fountain gate mmefanya jambo lizuri sana

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni sn namuombea uyu mtoto ila baadhi ya shule za bwen watoto wanalawitiwa watoto wanaharibiwa...ustawi wa jamii na waziri anaeusika na watoto waliangalie..baada ya miaka kadhaa tutakuwa na kizazi cha mashoga,

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 ปีที่แล้ว

      Yaani mimi kama mzazi siwezi kumpeleka mtoto wangu shule za mabweni labda akiwa chuo ni hatari huko .Tena akiwa mdogo ndio hatari zaidi Mungu alinde watoto wetu.Ustawi wa jamii umebaki jina tu

  • @christinezighe6916
    @christinezighe6916 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana nina imana hata hizo zingine anaweza kwasababu hajasoma sana

  • @violachepchumba4624
    @violachepchumba4624 3 ปีที่แล้ว

    Wow! God bless you the Samaritans and for securing his future..... he'll return his hand back ...God bless TZ

  • @blessedblessed8582
    @blessedblessed8582 3 ปีที่แล้ว +1

    Truly God is faithful and when He says yes no man can say no, if He says no no man can say yes..
    The way Almighty God has remembered charles so shall it be my portion and of everyone who's looking forward to Him God the creator of universe..The unchangeable God the omnipotent, Omnipresent and Omniscient to Him alone be the Glory 🙏🙏

  • @ashaathuman1472
    @ashaathuman1472 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwake mungu amlinde zaidi katika masomo yake akue vyema

  • @prettiejojo6154
    @prettiejojo6154 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu akuinue mtoto mzuri naamn utakuja kusaidia famlia yako nakuona mbali sana😘😍

  • @eaglecrown1101
    @eaglecrown1101 3 ปีที่แล้ว +31

    Daaaa MUNGU bwana kwa kweli matendo yake Ni makuu

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 ปีที่แล้ว +1

    Wawoooo Mungu akutangulie mwanangu ktk masomo yako.

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 3 ปีที่แล้ว +5

    Hongera jamani Charles mungu Hawa bariki wote walio saidia mtoto charles

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 ปีที่แล้ว +1

    M.mungu amfungulie milango ya baraka yy na wazazi wake na wote waliomsapoti mungu atawalipa

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha'allah allah mlinde uyu mtoto Kwa hasadi za waja wako

  • @simonmhanje8251
    @simonmhanje8251 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa Muendelezo #Nanianatamanikamamimimtotouyoatimizendotozakekamamimi

  • @danwayne786
    @danwayne786 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kijana. Atangara uso sasa na atasoma bili matatizo mengi. Marafiki na wazazi atawamisi. Maskini wenzake wamebaki kwenyeshulle ya kubomoka.

    • @wasajo
      @wasajo 3 ปีที่แล้ว +1

      Lkn kupitia yeye inaboreshwa yeye kaifanya ijulikane

  • @poizonboy179
    @poizonboy179 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Amzidishie Mtoto ili kipaji Chake kiendelee

  • @geraldinemichael5231
    @geraldinemichael5231 3 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Charles. Lkni ningeomba afundishe kingereza ili haweze kusomea Mahali popote duniani

  • @daisytarus4971
    @daisytarus4971 3 ปีที่แล้ว +3

    Wonderful God
    He has wonderful plans for each and every one in life congratulations my dear boy God protects you to achieve your goals in jesus name
    Pilot direct
    From Kenya

    • @salufujuliet5490
      @salufujuliet5490 3 ปีที่แล้ว

      God bless 🙏🙏 much love❤ small boy. all from Namibia 🇳🇦 🇳🇦 .

  • @violetmunyasa3025
    @violetmunyasa3025 3 ปีที่แล้ว

    Walioshiriki kumsaidia Huyu mtoto,, Mungu Azidi kuwanyeshea baraka za Uzima wa Milele.. Barikiwa mtoto, usome kwa bidii, wewe n shujaa, our future leader

  • @fatumatandika5849
    @fatumatandika5849 3 ปีที่แล้ว +1

    Bado mdogo jamani anahitaji wazazi pia anaonyesha huruma sana na woga

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah hamsimamie kwa kila hatua in sha Allah hamzidishie ufahamu zaidi 🤲🤲

  • @zuhuramohamed3424
    @zuhuramohamed3424 3 ปีที่แล้ว +6

    Ama kweli kuna kuzaa na kujifungua, kajala kamzaa paulah na mama wa hyu mtt kajifungua genius.

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 3 ปีที่แล้ว

    Hayo ndio maajabu ya Muumbaji.Hugawa vipaji apendavyo bila ya kubagua.Atukuzwe Mwenyezi Mungu;mfalme wa mbinguni na ardhini.

  • @khamiskamtoi5094
    @khamiskamtoi5094 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu ni fundi sana

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu alishajua atakuwa nan kabla hata hajazaliwa Mungu aendelee kumpigania

  • @magrethndambo7684
    @magrethndambo7684 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie mtoto mnzuri uzidi kua kichwa na sio mkia

  • @elizabethjames2693
    @elizabethjames2693 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu awabaliki

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu ni mwema unalala maskini unaaamka tajiriiii

  • @waidaamon457
    @waidaamon457 3 ปีที่แล้ว +1

    M,Mungu awazidishie waliojitolea kumsomesha mtot huyuu

  • @lolakimaro8767
    @lolakimaro8767 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kumbariki mtoto wetu akazidi kua kichwa na sio mkia...

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 ปีที่แล้ว

    Husda na wabaya wampitie mbali mtoto mzuri mungu kamtunuku kipawa kikubwa.....amin🙏

  • @claudialupimo7614
    @claudialupimo7614 3 ปีที่แล้ว

    When Jesus say yes,no body can say no.. Ufadhuli wa drs lakwanza mpk atakaposema bhasi.. Ooh.. Lord...

  • @salmamusa8552
    @salmamusa8552 3 ปีที่แล้ว

    Mungu amufinike na damu ya yesu maadui wasimuone.....hongera sana

  • @frankelias3845
    @frankelias3845 3 ปีที่แล้ว

    Inapendaza Sana 💞 kumfanyia hivyo ndugu yet chrles

  • @ombenimalisa4499
    @ombenimalisa4499 3 ปีที่แล้ว

    Wawooo ongera sanaaa japo na mm nataman sanaaa japo sapoti yangu imfikiye huyu mtoto ,Mungu amuongoze afikiye zaidi ya anapo tarajia

  • @filothiasirizabongo5767
    @filothiasirizabongo5767 3 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana walijitolea kumsaidia huyo mtoto na Mungu akiongozwa ktk masomo yako uweze timiza ndoto zako

  • @azminahabib5288
    @azminahabib5288 3 ปีที่แล้ว +42

    Aliye chukua vidio kwa Mara ya kwanza na kupost abarikiwe🙏🙏🙏

  • @carolinenanjakho9280
    @carolinenanjakho9280 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki wote walioshirikiana kwa ajilj ya kuleta furaha katika kwa kiongozi wa kesho Charles

    • @anthonynetto4503
      @anthonynetto4503 3 ปีที่แล้ว

      Tunawapa big up mounta get wazazi wote

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyezi Mungu awalipe kheri na awape afya na azidi kuwalinda

  • @clairemuchai623
    @clairemuchai623 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema aki,,,anainua wanyonge kweli

  • @sadasaid4408
    @sadasaid4408 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalla kafika shulen maskin

  • @glasssmirror2314
    @glasssmirror2314 3 ปีที่แล้ว +2

    To ensure sustasinability in his maths proficiency his teachers should avoid calculators as all kids now use calculators and know little of calculations
    Tks for sharing

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 3 ปีที่แล้ว

    God is good cz amemuunganisha na watoto wa matajiri

  • @dollinechazzkavosa5777
    @dollinechazzkavosa5777 3 ปีที่แล้ว

    Hongerea sana nchi ya Tanzania...ila ningewaomba msimweke Huyo mtoto kwa speed ya juu kushnda kiwango chake,,kwanza mwafaa muelewe shule aliyoingia mazingira n tofauti,,haya wale wanaomzunguka n nyuso ngeni kwa hivo lazma azoee mazingira uoga ukishamwondoka.... alafu si vyema sana kueka mambo yake mtandaoni hasaa wakati mnamuelemisha

  • @latifahalitsi7986
    @latifahalitsi7986 3 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdhulilai,all the best Charlie.

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amulindee

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 3 ปีที่แล้ว +1

    Basi kuna wasenge wanajiandaa kumpiga tunguli huyu dogo wabongo noma sana dogo mungu atakulinda 🙏🙏🙏

    • @lovenessgodson1075
      @lovenessgodson1075 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🙌

    • @annastaziadaniel2308
      @annastaziadaniel2308 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @wasajo
      @wasajo 3 ปีที่แล้ว

      Kilichoinuliwa na Mungu huwa hakiangushwi na ibilisi hata kidogo ....huyo kapenya tayari

    • @candymusa5090
      @candymusa5090 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aminiii kwamba

  • @nicekoku664
    @nicekoku664 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana mungu ni mwemaa,

  • @hamidangitu227
    @hamidangitu227 3 ปีที่แล้ว +1

    Marshallah mungu atawalipa sana

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 3 ปีที่แล้ว

    Maashallah,Mungu amlinde na jicho baya, mtaalam wetu ajae

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 3 ปีที่แล้ว

    Watu wengne walikuwa wakitaka sifa tu kwa magufuri alipo fariki hamna mtu alie jitokeza kwenda kijijin kweo et kumsomesha wala kuhumoji. Hongera Sana wewe ulie mleta hapa paspo kutafta sifa

  • @otavinamsigala1794
    @otavinamsigala1794 3 ปีที่แล้ว

    Nimejisikia Raha Sana mungu mungu msaidie mtoto uyu afike mbali elimu imsaidie

  • @bab.d7921
    @bab.d7921 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ambariki mtoto huyu

  • @neemamasudi3550
    @neemamasudi3550 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongereni sana kwa msaada wenu Mando tunavyo takaga hivyo

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 3 ปีที่แล้ว +1

    Alafu nikazurii mashallah mungu akabariki katoto ketu ameen

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah ❤❤❤❤

  • @realramjen3270
    @realramjen3270 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu amsaidie,niliona ahadi nyingi za watu ila waliomsaidia ni wengine na hii ndio dunia

    • @danalves3232
      @danalves3232 3 ปีที่แล้ว

      wengine hawakupata fursa

    • @realramjen3270
      @realramjen3270 3 ปีที่แล้ว

      @@danalves3232 fursa bado ipo mtoto anasafari ndefu ndio anakuwa

    • @mariorobert1495
      @mariorobert1495 3 ปีที่แล้ว

      Usi judge kabla ya kujua ukweli ulivo inaoneka hukufuatilia hii habari vizuri.. Ipo hivi “walioomba kumsaidia ni wengi zikiwemo taasisi na pia watu binafsi Hivyo basi serikali Ikaamua Taasisi ndio Imuendeleze mtoto na si mtu binafsi kwahiyo kati ya hizo taasisi ndo Ikachaguliwa hii iweze kumuendeleza kimasomo”

  • @aishamussa3245
    @aishamussa3245 3 ปีที่แล้ว

    Mashalaah ila mngefanya asomee kule kwako maana elimu ni popote je wale kule vijijin hawana vipaji??? Nchi yangu tutaacha lini fikira ya kusema elimu na vipaji ni mjin tu hamuoni kwamba mnawakatisha watoto waliopo vijijin????

  • @nayomimmanuel2395
    @nayomimmanuel2395 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations chalse

  • @sittakibishi5019
    @sittakibishi5019 3 ปีที่แล้ว

    Shukran sana kwa Ayo Tv

  • @anandepallangyo4177
    @anandepallangyo4177 3 ปีที่แล้ว

    Waooo ni habari njema kwa kweli, Mungu awabariki wote,

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani Ebu Muacheni Mtoto Apumue Du Mpaka Kelo Sasa Vipaji Aviendelezwi Ivo Kila Muda Maswali Bola Mngemuacha Kwa Mama Yake

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabarki sana kwa moyo wa imani na kujituma umakhiri kwa kuendeleza kipaji cha mtoto huyu...nk

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki jamani kwa kumsomesha huyu mtoto

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 3 ปีที่แล้ว +12

    Mamake ukisikia lala maskini amka tajiri ndiyo hiyo

    • @naamohamed1042
      @naamohamed1042 3 ปีที่แล้ว

      Sure

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว

      Huo utajiri huo umeuona wapi? Ndiyo mwanzo kaanza darasa la kwanza

    • @joycenyakiha8121
      @joycenyakiha8121 3 ปีที่แล้ว +2

      @@damariszuckschwert9489 sawa lakn na huu ni utajir wapo wanaotafta bahat km hz hawapat

  • @jimmysalag7570
    @jimmysalag7570 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awape nguvu mmpiganie

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamani mwalimu nime kupenda rangi yako ❤

    • @galusmbele5410
      @galusmbele5410 3 ปีที่แล้ว +1

      Nikupe namba yake, maana ninayo hapa...

    • @fatumaseleman1579
      @fatumaseleman1579 3 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁✌

    • @epistermichael8161
      @epistermichael8161 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣Mwalimu yupi 🤣🤣🤣Feti hapana nakugawa

    • @epistermichael8161
      @epistermichael8161 2 ปีที่แล้ว

      @@galusmbele5410 🤣🤣😅😅😆😆

  • @mariamramadhani3860
    @mariamramadhani3860 3 ปีที่แล้ว +1

    Machozi yamenitoka kwakweli mbarikiweeeeee