🔴 BIBI HARUSI MTARAJIWA AWATETEMESHA UKUMBI MZIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pambee kwel kweli bi HARUSI WETU BINTI YETUUU❤❤❤❤❤ MAAAAAA MWAAAAA🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 9 หลายเดือนก่อน

      🥰🥰😍😍❤️❤️❤️ asantee sanaa

  • @MercyNyongesah
    @MercyNyongesah 9 หลายเดือนก่อน +3

    Singles continue clapping until our time❤❤❤

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 9 หลายเดือนก่อน

      Wakat wa Mungu utafika kipenz🥰🥰

  • @rehemamlowa2722
    @rehemamlowa2722 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mabibi harusi wa zamani full kuinamisha USO kwa adabu na unyenyekevu . Laki wasasa hivi mmmmh! Full umapepe. Jamani vibe zaidi linatakiwa liwe kwa muoaji na sio muolewaji! Mmeipata hiyo!!😂😂😂

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wivu tu zaman hizo vp, kwan lzm ukoment😏😏 kwendraa

    • @user-wd7xw6dl8b
      @user-wd7xw6dl8b 8 หลายเดือนก่อน

      Na umesema zaman Mambo yanachange

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 8 หลายเดือนก่อน

      @@user-wd7xw6dl8b ❤️

    • @uhurujan2244
      @uhurujan2244 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-nt9jt1uf3p😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @blandinadeogratius6130
      @blandinadeogratius6130 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo Ni Siku maalumu kwa mwanamke lazima awe na vibe lakini Siku ya ndoa lazima machozi yamwagike

  • @user-nt9jt1uf3p
    @user-nt9jt1uf3p 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ni moto,
    Nikwel Mungu amefanyaa... asante kwa picha kali na video kalii upo vzr @johnjo

    • @johnjo_brand
      @johnjo_brand  9 หลายเดือนก่อน +1

      Asanteh sana tunashukuru pia kwa kutuamini

    • @user-ed5ev5pc5s
      @user-ed5ev5pc5s 9 หลายเดือนก่อน

      MC Mungu akutunze daima nimekuelewa vizuri Sana unajua kusimama kwenye kazi Yako.

  • @masagama3771
    @masagama3771 8 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah yuko vizuri kwa kumtukuza mungu

  • @user-pe6nw2fp5o
    @user-pe6nw2fp5o 8 หลายเดือนก่อน +4

    Bibi harusi wa zamani walikuwa wanainamisha vichwa chini wanawaza huyu anae nios mzigo wake nitauwezaaaa? Walio wengi siku hizi wanakuwa wameshajuana na mumewe hivyo vibe kama loteee

    • @linahmlay8512
      @linahmlay8512 8 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo mtu unapaswa ununue usifuraie chochote wazamani ulikua unalazimishwa

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wamefanya umalaya mpaka wakachoka,,walikata Tama zakupata ndoa ndio mana hata hawana haya hawaoni aibu kabla jawajafika mji wa wenyewe

    • @HappyCello-fy4bd
      @HappyCello-fy4bd 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 ndio maana nko hapa na heshimu Ile kitu husema usiwahi pea mtu zawadi imefunguliwa glory be to God 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @leilasaid3623
      @leilasaid3623 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 ndio maan wew utakua unafikiria tyu unakoenda waenda kukutana na mtu ambae humjui sasa huyu kakiachia mno ​@@linahmlay8512

    • @user-es7lz9fp4b
      @user-es7lz9fp4b 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa aibu ya Nini maana wakwe wakitaka kukuaibisha wanakuaibisha tu

  • @rehemamlowa2722
    @rehemamlowa2722 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mabibi harusi wa siku hizi ndio wanachachawa kuliko ma bwana harusi . Inaoneka huwa mnalazimishia ndoa na mkizipata ndio inakuwa hivi. Kazi kweli kweli 😂😂😂😂

    • @aseraadrian5717
      @aseraadrian5717 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @magrethAndrea-mb9bi
      @magrethAndrea-mb9bi 7 หลายเดือนก่อน

      bibi arus wa siku hiz hawana uturivu ata kidogo

    • @magrethAndrea-mb9bi
      @magrethAndrea-mb9bi 7 หลายเดือนก่อน

      Mie huwa sifurahiswi ata kidogo

  • @user-gd1cf3gc4f
    @user-gd1cf3gc4f 9 หลายเดือนก่อน +2

    Uko vizur kwel mungu amefanya but iyoooo gaun apo kifuan hapana kpenz wameharbu ipo juu juu tyu

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo ishatokea fundi kafanya yake utafanyajee???? Hakuna anayependa kitu kibayaa,
      Pia kama hujawah kuharibiwa nguo na fundi bs hongera
      Kikubwa Mungu amefanya

  • @AgnesMakasi-wo3ut
    @AgnesMakasi-wo3ut 8 หลายเดือนก่อน

    Hongea uzampendeza zumbe

  • @user-kx3hi6te7c
    @user-kx3hi6te7c 8 หลายเดือนก่อน

    Waoooo alijua kuyaludi bi harusi jamn nimemupend bule

  • @user-or8yo2wj9v
    @user-or8yo2wj9v 4 หลายเดือนก่อน

    Mtukuze mungu sana dada

  • @Elizabethyassin-sy5bm
    @Elizabethyassin-sy5bm 7 หลายเดือนก่อน

    kweli kabisa hawapati shida kwa sababu wanajuana kabla ya kuoana daah

  • @barakadaniel9484
    @barakadaniel9484 7 หลายเดือนก่อน

    🎉bibi harus kapendeza lakn gauni juu ka over role

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 sanaa yn ila nashukuru mwaya imeshaisha salama

  • @user-li9us4zk3c
    @user-li9us4zk3c 4 หลายเดือนก่อน

    ongera my clatemat wng

  • @fadhilamahamoud7413
    @fadhilamahamoud7413 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongea n,gweshu

  • @gladesglades6578
    @gladesglades6578 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏

  • @mrsabdul-mz8hh
    @mrsabdul-mz8hh 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂Jiachie maaa haijirejei tn❤

  • @rechosagumo8971
    @rechosagumo8971 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @user-id3qp6mc2x
    @user-id3qp6mc2x 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa

  • @user-ed5ev5pc5s
    @user-ed5ev5pc5s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Oyooooooooooo ❤❤❤❤❤❤❤

    • @user-nt9jt1uf3p
      @user-nt9jt1uf3p 9 หลายเดือนก่อน

      Atar sanaaaa 😍😍🥰

  • @user-yt9uj5cf5c
    @user-yt9uj5cf5c 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kkariiyo

  • @MaunduAngelyne-wr7xd
    @MaunduAngelyne-wr7xd 8 หลายเดือนก่อน

    Cograts

  • @halimaphiniasibwire9688
    @halimaphiniasibwire9688 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli unaringa

  • @user-nq2gl9fj9x
    @user-nq2gl9fj9x 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uko'vzr

  • @esteralan5241
    @esteralan5241 8 หลายเดือนก่อน

    Gauni😢😢😢

  • @esteralan5241
    @esteralan5241 8 หลายเดือนก่อน

    Na iko kigodoro kimetuna

    • @jovinathaphilipo6385
      @jovinathaphilipo6385 8 หลายเดือนก่อน

      Yan wew 😂😂😂 nimecheka kwa saut wakati Niko peke yangu😂😂😂

  • @user-jz1vd9bq1n
    @user-jz1vd9bq1n 9 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @edinamathews7717
    @edinamathews7717 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nguo mbona Kama oversize kifuan

  • @GladysAtieno-jl8sj
    @GladysAtieno-jl8sj 9 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏