- 75
- 154 164
Johnjo Brand
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 17 ต.ค. 2016
Entertainment, Wedding, Documentary , & All Event
For booking. johndjohn40@gmail.com
WhatsApp/Call : 0767475514
For booking. johndjohn40@gmail.com
WhatsApp/Call : 0767475514
KASONGO & BABU SEYA live perfomance on Clayton’s wedding
KASONGO & BABU SEYA live perfomance on Clayton’s wedding
มุมมอง: 112
วีดีโอ
TAZAMA JINSI MAMA MZAZI ALIVYO WAPA MANENO YENYE FARAJA KATIKA NDOA YAO
มุมมอง 8789 หลายเดือนก่อน
TAZAMA JINSI MAMA MZAZI ALIVYO WAPA MANENO YENYE FARAJA KATIKA NDOA YAO
TAZAMA JINSI MAMA ALIVYO ONGEA NA BINTI YAKE NA KUMPA MANENO YA KISHUJAA HUKO AENDAKO {NIIGE MIMI}
มุมมอง 1449 หลายเดือนก่อน
Tamaduni zetu zetu za kitanzania hua kuna maneno lazima binti/kijana anapokua amekalibia kuolewa au kuoa ni lazima kuna maneno muhimu aweze kuambiwa ili ata kama atakutana na changamoto katika ndoa yake maneno hayo yawe yana mpa ujasili ,na ushujaa wa kuendelea kuvumilia kwani wakati mgumu Hsudumu milele.
BIBI HARUSI AFUNDWA LIVE MATUMIZI YA NDIZI FUPI NA NDEFU 🍌🍌 USIENDE KUAZIMA MWIKO KWA JIRANI
มุมมอง 65910 หลายเดือนก่อน
BIBI HARUSI AFUNDWA LIVE MATUMIZI YA NDIZI FUPI NA NDEFU 🍌🍌 USIENDE KUAZIMA MWIKO KWA JIRANI
Nilizani nimemaliza kuona maajabu ya Dunia kumbe bado sija sema 😂 Suti na Sendo (Mjomba ni mama)
มุมมอง 12910 หลายเดือนก่อน
Nilizani nimemaliza kuona maajabu ya Dunia kumbe bado sija sema 😂 Suti na Sendo (Mjomba ni mama)
🔴Vibe la wanasimba la zua baraa ukumbini Baada ya kumpiga mtu 6
มุมมอง 12910 หลายเดือนก่อน
🔴Vibe la wanasimba la zua baraa ukumbini Baada ya kumpiga mtu 6
NDOA MPYA YA DIVA YAJA NA NEEMA,DILI NENE (AMBASSADOR) LUCY BRIDAL SOLUTION
มุมมอง 18911 หลายเดือนก่อน
NDOA MPYA YA DIVA YAJA NA NEEMA,DILI NENE (AMBASSADOR) LUCY BRIDAL SOLUTION
BIBI HARUSI AIMBA KWAYA KWA KINYARWANDA UKUMBI MZIMA KIMYAAAA Part 02
มุมมอง 51611 หลายเดือนก่อน
BIBI HARUSI AIMBA KWAYA KWA KINYARWANDA UKUMBI MZIMA KIMYAAAA Part 02
Worship Team From RWANDA On Wedding of Mr & Mrs Grayson Part 01
มุมมอง 19711 หลายเดือนก่อน
Worship Team From RWANDA On Wedding of Mr & Mrs Grayson Part 01
MKE ATIMIZA MOJA YA NDOTO ZA MME WAKE MTARAJIWA TAZAMA HADI MWISHO UTAPENDA.
มุมมอง 383ปีที่แล้ว
MKE ATIMIZA MOJA YA NDOTO ZA MME WAKE MTARAJIWA TAZAMA HADI MWISHO UTAPENDA.
🔴MUME APEWA TUZO YA USHINDI NA MKE WAKE MTARAJIWA MBELE ZA WAKWE
มุมมอง 72ปีที่แล้ว
🔴MUME APEWA TUZO YA USHINDI NA MKE WAKE MTARAJIWA MBELE ZA WAKWE
HAWA APA WALIO DATE KWA ZAIDI YA MIAKA 10 TAZAMA HADI MWISHO UTAPENDA
มุมมอง 968ปีที่แล้ว
HAWA APA WALIO DATE KWA ZAIDI YA MIAKA 10 TAZAMA HADI MWISHO UTAPENDA
UTAPENDA JINSI PAUL & STELLA WALIVYO IMBA KWA PAMOJA
มุมมอง 666ปีที่แล้ว
UTAPENDA JINSI PAUL & STELLA WALIVYO IMBA KWA PAMOJA
GWALIDE LA KIJESHI HADI UKUMBINI KATIKA USIKU WA ZAWADI
มุมมอง 400ปีที่แล้ว
GWALIDE LA KIJESHI HADI UKUMBINI KATIKA USIKU WA ZAWADI
🔴TAZAMA MIRA NA DESTURI ZA KIHAYA KATIKA MAKABIZIANO 🔥🔥🔥
มุมมอง 231ปีที่แล้ว
🔴TAZAMA MIRA NA DESTURI ZA KIHAYA KATIKA MAKABIZIANO 🔥🔥🔥
🔴BIBI HARUSI TOKA NJE/ BEACH/TWENDE KWA DJ NI BARAA ZITOO
มุมมอง 527ปีที่แล้ว
🔴BIBI HARUSI TOKA NJE/ BEACH/TWENDE KWA DJ NI BARAA ZITOO
🔴 BIBI HARUSI MTARAJIWA AWATETEMESHA UKUMBI MZIMA
มุมมอง 107Kปีที่แล้ว
🔴 BIBI HARUSI MTARAJIWA AWATETEMESHA UKUMBI MZIMA
Ameen
Mungu akujalinye heri amen
Iliyesimama pembeni ya mwenye nguo nyeusi 😅
ongera my clatemat wng
Huyu kama si mhaya nahama nchi
Wahaya ❤ kaka uyo ananikumbusha kua bibi yangu alikua muhaya 🎉bravo
Huyo kaka mweupe jamani
mhaya og😂😂😂😂
Mtukuze mungu sana dada
❤🎉
❤❤ waouh !!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Which language talk? Help plz
Wakwanza mimi nipeni like zanguu 😊😊
Waoooo🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ cogratulation mama koku❤
Mama kaongea kwa busara sana apewe maua yake , friend from kenya 🇰🇪🇰🇪
Wow 😂😂😂
🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤ l. Happy. to. You. One. Love. Filmy
❤❤
🎉🎉🎉🎉
Mambo ya antena ayoo 😂😂
🙌🙌🙌🙌😂😂😂
Nimecheka kiboya
DIVA UMESHINDIKANA KILA KUKICHA NEW NDOA
Tumesha mzoea sisi
Title if the song please
🎉🎉🎉 that's so exited 😆
❤
💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓
🎉bibi harus kapendeza lakn gauni juu ka over role
😂😂😂😂 sanaa yn ila nashukuru mwaya imeshaisha salama
kweli kabisa hawapati shida kwa sababu wanajuana kabla ya kuoana daah
Mwamnyetooooooo
Hahaha sawa swa @Ruby
Barikiwa
Cograts
Waoooo alijua kuyaludi bi harusi jamn nimemupend bule
Bibi harusi wa zamani walikuwa wanainamisha vichwa chini wanawaza huyu anae nios mzigo wake nitauwezaaaa? Walio wengi siku hizi wanakuwa wameshajuana na mumewe hivyo vibe kama loteee
Kwaiyo mtu unapaswa ununue usifuraie chochote wazamani ulikua unalazimishwa
Wamefanya umalaya mpaka wakachoka,,walikata Tama zakupata ndoa ndio mana hata hawana haya hawaoni aibu kabla jawajafika mji wa wenyewe
😂😂😂😂😂😂 ndio maana nko hapa na heshimu Ile kitu husema usiwahi pea mtu zawadi imefunguliwa glory be to God 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 ndio maan wew utakua unafikiria tyu unakoenda waenda kukutana na mtu ambae humjui sasa huyu kakiachia mno @@linahmlay8512
Sasa aibu ya Nini maana wakwe wakitaka kukuaibisha wanakuaibisha tu
Hongea uzampendeza zumbe
MashaAllah yuko vizuri kwa kumtukuza mungu
Nguo mbona Kama oversize kifuan
Ameen
Hongea n,gweshu
Na iko kigodoro kimetuna
Yan wew 😂😂😂 nimecheka kwa saut wakati Niko peke yangu😂😂😂
Gauni😢😢😢
Mabibi harusi wa zamani full kuinamisha USO kwa adabu na unyenyekevu . Laki wasasa hivi mmmmh! Full umapepe. Jamani vibe zaidi linatakiwa liwe kwa muoaji na sio muolewaji! Mmeipata hiyo!!😂😂😂
Wivu tu zaman hizo vp, kwan lzm ukoment😏😏 kwendraa
Na umesema zaman Mambo yanachange
@@MamuuGerson ❤️
@@SalomeJohn-q4q😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiyo Ni Siku maalumu kwa mwanamke lazima awe na vibe lakini Siku ya ndoa lazima machozi yamwagike
Mabibi harusi wa siku hizi ndio wanachachawa kuliko ma bwana harusi . Inaoneka huwa mnalazimishia ndoa na mkizipata ndio inakuwa hivi. Kazi kweli kweli 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
bibi arus wa siku hiz hawana uturivu ata kidogo
Mie huwa sifurahiswi ata kidogo
Kweli unaringa
Uko vizur kwel mungu amefanya but iyoooo gaun apo kifuan hapana kpenz wameharbu ipo juu juu tyu
Ndo ishatokea fundi kafanya yake utafanyajee???? Hakuna anayependa kitu kibayaa, Pia kama hujawah kuharibiwa nguo na fundi bs hongera Kikubwa Mungu amefanya