KIMBIJI Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 1K

  • @velavela5440
    @velavela5440 5 ปีที่แล้ว +325

    Wanao mpeñda kitale kama mimi gonga like twende bara baraaaa

  • @emmanuellukuwi381
    @emmanuellukuwi381 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubar sana kaz zako kitale ww ze best bongo muv Leo mm nimekuwa wa mwisho nipenitu lek jaman plz

  • @mohamedswaleh4673
    @mohamedswaleh4673 5 ปีที่แล้ว +17

    Beka....beka....bekaaaa!!! Aniaacha hoiya sana na anifundika kujipa shobo wakati hana huwakika na jambo ni mbaya sana yani tusirazame tu ila tujifunzee vitu pia big up brother kitale kwa wale waonao elewa kama mm tujuwane na like hapo twenda pamoja

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 4 ปีที่แล้ว

    Kiukweli hii move siichok mumetisha sana safi

  • @mussakizingiti3552
    @mussakizingiti3552 5 ปีที่แล้ว +117

    wale tunaosema bakari ndio Man of the match mikono juu😂😂😂

    • @faridaahmed2543
      @faridaahmed2543 5 ปีที่แล้ว +2

      Bakari ninoma sana anajua kuekti sana nakubali kazi kakamkubea

  • @happymboya9090
    @happymboya9090 5 ปีที่แล้ว +28

    Kitale kukupenda tuu sio swali la kuuliza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mickymadinda6228
    @mickymadinda6228 5 ปีที่แล้ว +36

    Hakuna Kama kitale afrika, shkamoo kitale heshima yako had siku ya mwisho we ni zaid ya bongo movie

  • @azdahalysaid2870
    @azdahalysaid2870 5 ปีที่แล้ว

    Bakari unatia huruma paka chozi lataka kunitoka Kitale movie nyingine Bakari mwoshee imuweke kwenye mikosi Tena Ila hongera yke anamdu saaaaan 😘

  • @ashurakambangwa14
    @ashurakambangwa14 5 ปีที่แล้ว +371

    Wangapi ilivyoanza walijua part 1 kama mm?

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri Sanaaa

  • @chataboetz2600
    @chataboetz2600 5 ปีที่แล้ว +287

    kama umeshangaa kdg baada ya kuanzia sehemu ya part 1 gonga like

    • @gilbertgill4979
      @gilbertgill4979 5 ปีที่แล้ว +1

      Amani Asheri

    • @imansaid4196
      @imansaid4196 5 ปีที่แล้ว +1

      Amani Asheri Nyimbo zote anaimba yeye

    • @alllialli7643
      @alllialli7643 5 ปีที่แล้ว +2

      Kitale we nomaa so kwa ubabe huo ila bakar anafrahisha hajapat pesa mkononi mwake kakopa nyama hatari katumiwa laki kaanza jeur gar haina hata mziki 😂😂😂😂😂😂

    • @alllialli7643
      @alllialli7643 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂bakwata hivyo hivyo

    • @mariammichael9773
      @mariammichael9773 5 ปีที่แล้ว +1

      Amani Asheri hata mimi bado nashangaaa ngoja nione mwendelezo

  • @officalmagoogemagooge5554
    @officalmagoogemagooge5554 5 ปีที่แล้ว +70

    tunao kubali kuwa maneno ya kuwambiwa 4life weka like zenu hapa twende sawa

  • @nestoryphiliberth4354
    @nestoryphiliberth4354 5 ปีที่แล้ว +10

    njema ipo vzr yan kimbij ila maneno ya kuambiwa kiboko gonga like

  • @abdallah-gv2sk
    @abdallah-gv2sk 5 ปีที่แล้ว +9

    Another hits episode from kitale kimbiji muko juu sahii,u take swahili movies to another level good work

  • @jeffmauzo5483
    @jeffmauzo5483 5 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha bakari utaniuwa wasema tumbo sio lako hahaha kitale asema la nani mashallah mnaweza sana

  • @massvpro
    @massvpro 4 ปีที่แล้ว

    Habari kitale hivi unajua hii timu uliyonayo Sasa niya kazi Usijaribu kulalamika au kukatishwa tamaa kivyovyote this is it. Wewe kwa hii timu ya maneno ya kuambiwa usikubali ivunjike usijali kipato peea zitakuja zejewe I like you Brother

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 5 ปีที่แล้ว +4

    Huu mwaka ni wa kaka @KitaleMkudeSimba hu gonga like ili twende sawa💖❤️🇲🇿❤️
    From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @nenolaleo6913
    @nenolaleo6913 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana kwa kazi ta mikono yako unairudisha bongo muvi

  • @re_up_gang
    @re_up_gang 5 ปีที่แล้ว +46

    Ogopa sana ku plan vitu na pindi ukiwa hauna cash mkononi ,,ogopa sanaa

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 5 ปีที่แล้ว

    hawa Ndio bongo movie
    original hamna maswala ya kufoji wanaigiza uhalisia big Up kwao

  • @judywabintitish9205
    @judywabintitish9205 5 ปีที่แล้ว +36

    R.I.P kibuyuu😔 tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi

  • @alu_tz1
    @alu_tz1 5 ปีที่แล้ว

    Jamaniiii lafikiyangu jemsi mungu amlaze mahara pema pepon

  • @bahatimwandwani6789
    @bahatimwandwani6789 5 ปีที่แล้ว +22

    nakupenda mnooo kitare kwa kazi zako

  • @khadijaomar7529
    @khadijaomar7529 5 ปีที่แล้ว

    Jamani mi nawaombea mungu tu awainuwe mana mwafanya kazi sana kitale uko juu na wenzanko
    Anae sapoiti kazi za kitale mkono juu

  • @yakiniramadhan8921
    @yakiniramadhan8921 5 ปีที่แล้ว +66

    All in all pongeziii kwa kitale KIMBIJI........ VS...... MANENO YA KUAMBIWA

  • @derickbenoit1322
    @derickbenoit1322 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyumbani jela nawakubali wa tzd from 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @BoiBrian1219
    @BoiBrian1219 5 ปีที่แล้ว +140

    Ama kweli Pesa isiyopo mikononi mwako usiipangie bajeti.. Utaumbuka

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 5 ปีที่แล้ว +1

    Daa nijifunza kitu...pesa ambayo auja ieka mkononi..usiipangie💃💃💃

  • @aseelaaseela4913
    @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaah aisee kibuyu bado namkumbuka sana jmn😭pumzika kwa Amanii kibuyu ALLAH akuwashie nuru ya milele kitk kabur lako 🤲

    • @fatmahaji5697
      @fatmahaji5697 5 ปีที่แล้ว

      Kwan kafa kiukwel au🙄

    • @aseelaaseela4913
      @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmahaji5697 Alifarik dear tangu mwaka 2018 March 😥

    • @fatmahaji5697
      @fatmahaji5697 5 ปีที่แล้ว

      Daah kumbe me cfaham cjui nko dunia ya ngap

    • @aseelaaseela4913
      @aseelaaseela4913 5 ปีที่แล้ว

      @@fatmahaji5697 kifo chake weng san hawakuamin jmn daaah! ALLAH amruzuku pepo ya milele🙏

    • @fatmahaji5697
      @fatmahaji5697 5 ปีที่แล้ว

      Ameen Inshaallah

  • @ev.kisika9085
    @ev.kisika9085 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa wamenifurahisha sana

  • @GamiTVOnline
    @GamiTVOnline 5 ปีที่แล้ว +9

    Kitale ni mtunzi mzur asee nipen like zake hapa

  • @eliasshinje75
    @eliasshinje75 5 ปีที่แล้ว

    Daaah nimecheka sana aiseh hili tumbo siyo langu na imenifundisha tusiwe na mipango na hela ambayo hatujaipata

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 5 ปีที่แล้ว +18

    Daaaah Bakari bhnaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂 anapiga ma deal ya kwanzia Bilioni na Milioni milioni,BAKARI SIFA ZITAMUUWA 😂😂😂😂

    • @hafsahanif38
      @hafsahanif38 5 ปีที่แล้ว +1

      Baba chanja kumbe na huku hupungui😂

    • @hafsahanif38
      @hafsahanif38 5 ปีที่แล้ว +1

      Tukutane fb na soda zako za ku Google

  • @hawasaid8262
    @hawasaid8262 5 ปีที่แล้ว

    Yanimiminishaanza kusahau mv za kihindi nashangaa nyumbani sasa asanteni sana kazimzur nakuwaminiya mkude tuperaha👌

  • @agnesdeogratius9367
    @agnesdeogratius9367 5 ปีที่แล้ว +36

    Duuuh maskini beka weeeeee😭😢
    Angalia movi then toa maoni kipi kiongezeke kipi kipungue like mnazipeleka wap

  • @ropedwai5118
    @ropedwai5118 5 ปีที่แล้ว

    Daah kitale na beka hii movie umetishaa

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 5 ปีที่แล้ว +7

    Hahahahahaha kama umeona imeanza kama pat. 1. Gonga like twende saw

    • @gboy3138
      @gboy3138 4 ปีที่แล้ว

      Part 1 iko wapi jmn

  • @crushdancer0483
    @crushdancer0483 4 ปีที่แล้ว

    Kitale nakubali kazi zako makn sanaaa

  • @ashidonwafaida1284
    @ashidonwafaida1284 5 ปีที่แล้ว +3

    masikini akipata matako uliambwata haiseee pole sana ndugu yngu Beka

  • @edsonlake.mclake.5602
    @edsonlake.mclake.5602 5 ปีที่แล้ว

    Unanifurahisha sana BEKA.
    Yaani kiuharisia kabisa kaka unajua. Yaani unaonyesha uwezo binafsi ndugu yangu.

  • @chanutuchake9959
    @chanutuchake9959 5 ปีที่แล้ว +11

    Nilipo ona mwazo nikaaza kuvimba kama kama umeshtuka ka mm gonga like twende sawa

  • @bukadicharles7986
    @bukadicharles7986 5 ปีที่แล้ว

    Dah noma sana kitale bhana😆😅😅😅 eti watu wanalima mkaa dah😂😂😂

  • @samrankingfire5009
    @samrankingfire5009 5 ปีที่แล้ว +7

    Leo nmewahi kuliko siku zotee, dondosha like hapa 💞👏👏

  • @fatmaabdoulmadjid2050
    @fatmaabdoulmadjid2050 5 ปีที่แล้ว

    Waaaw hi ni kiboko
    👍👍👍👍 nimeipenda sana

  • @husseinkudra1987
    @husseinkudra1987 5 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali barakari ametoka mmeno ya mamba? 😄😃😁 big up kwakutupa burudani yau akika (hussein kudra kutoka bujumbura )

  • @chicharitomikh2268
    @chicharitomikh2268 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamaniiii kimbiji weee
    Like jaman hata kumi tuu

  • @harmonizetz6595
    @harmonizetz6595 5 ปีที่แล้ว +80

    Beka baada yakujuwa atapewa laki moja akaanza kulopoka 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂

    • @frankakuno.9511
      @frankakuno.9511 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @lizzenock9123
      @lizzenock9123 5 ปีที่แล้ว +4

      Na baada ya mambo kuharbka Hal ndo ikawa kama ivyo Tena 😂😂😂😂

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 5 ปีที่แล้ว +3

      Eti naona safr ndef nn alaf bila msc😂😂😂😂

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 5 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀 Kasahau kama alikua anatetemeka

    • @harmonizetz6595
      @harmonizetz6595 5 ปีที่แล้ว +2

      @@abubakaryalmas7673 😅😅😅😂😂🤣🤣

  • @dotopeter1509
    @dotopeter1509 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubar

  • @claudboaz3691
    @claudboaz3691 5 ปีที่แล้ว +10

    Daa rest in peace kibuyuu daah kama umemisi kibuyu gongaa likee yakoo hapa an

  • @iankulecho7120
    @iankulecho7120 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice movie,nawapenda💑💑💑💖

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 ปีที่แล้ว +10

    😁😁😁😁Sasa jaman hii safari Mbona mbali hvyo yani Leo beka mbavu sina 🤣🤣🤣🤣🤣beka et namimi mznguaji😹😹😹😂😂😂🙆🙆

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 5 ปีที่แล้ว +1

    Ck nikiwa msanii uhusika wa shida na mashida hapana kabsa maan maneno huumba ww bek maneno ya kuambiwa ulikua hvhv angalia icje ikuandame maishani nimeona wasanii wanaobeba uhusika wa shd kwenye life yao huwa hvo

  • @zainabalex388
    @zainabalex388 5 ปีที่แล้ว +5

    Kamutajirisha kobelo🤣🤣🤣🤣asema hazirudi tena mfkoni zote zishe leo 😂😂😂

  • @AmaniBernadoo
    @AmaniBernadoo 2 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana movie za kitale asikwambie mtu

  • @fatmamody9146
    @fatmamody9146 5 ปีที่แล้ว +22

    Leo nimechelewa 1.5k viewer 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👣👣👀🎬🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 5 ปีที่แล้ว +1

    Bongo movie wamenishikasafar hii sinajeur nnawafuatilia hawajamaa kuliko hatakulaaa!!!!

  • @alphalechipya2134
    @alphalechipya2134 5 ปีที่แล้ว +6

    Hahahahah wangapi walimisi msemo Wa kobelo inaumaga hyooo

  • @ksncompany9940
    @ksncompany9940 5 ปีที่แล้ว

    Hii kitu ni noma sana

  • @annertz6667
    @annertz6667 5 ปีที่แล้ว +27

    Jamani namm toka maneno yakuambiwa mpaka kimbiji ndonimewahi nimekua mtu wa 181 kwenye comment

  • @hassanmoshi5439
    @hassanmoshi5439 5 ปีที่แล้ว

    Asa kk MUSSA KITALE mbona umetuacha njia panda
    Sema nini hili bonge la movie lipo juu nizaid ya bongo movie nimeipenda sana

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 5 ปีที่แล้ว +7

    mtu ashakufa, acha afe azikwe, we endelea na mambo yako 😂😂😂 kama unamkubali kitale gonga like please 👊

  • @damsafir2576
    @damsafir2576 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah zischelewa ninja wangu kitale naaminia 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mariammussa2540
    @mariammussa2540 5 ปีที่แล้ว +64

    Nimewahi wa 54 😊😊
    Ila bado navunjika mbav na bakari😂😂😂😂

    • @festotz8824
      @festotz8824 5 ปีที่แล้ว +1

      mariam mussa mipang bila pesa nikelele

    • @jovintosssi3287
      @jovintosssi3287 5 ปีที่แล้ว

      Et bos kafika bos kafika 😂😂😂😂😂😂😂

    • @mariammussa2540
      @mariammussa2540 5 ปีที่แล้ว +1

      @@@jovintosssi3287 😂😂😂😂Hatariiii

    • @mariammussa2540
      @mariammussa2540 5 ปีที่แล้ว +1

      @@@festotz8824 😂😂😂😂

    • @festotz8824
      @festotz8824 5 ปีที่แล้ว

      mariam mussa yan beka bhn et me bado nachek2 hahaha

  • @calvinalfayo2158
    @calvinalfayo2158 4 ปีที่แล้ว

    naomba mtoe mwendolezo mbona kimya kimezidi sisi tunawapenda na kuwathamin tupenden na sisi ma fans wenu

  • @matakaspices6435
    @matakaspices6435 5 ปีที่แล้ว +45

    Me nahisi ile laana ya Bakari kwa mzee wake kwenye Maneno Ya Kuambiwa haijaisha..
    Imehamia Kimbiji

  • @amadeafae3500
    @amadeafae3500 5 ปีที่แล้ว +1

    Powa

  • @sitikisheto4804
    @sitikisheto4804 5 ปีที่แล้ว +20

    Mbavu zangu mie na beka anasoma alf fataaa ndio duwa alio nayo kwakichwa chake😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @selemanmazemle3148
    @selemanmazemle3148 5 ปีที่แล้ว

    Beka hata hajatumiwa kaanza kuchangamka hahaaaa,respect kwa ote mlofankisha hii movie pongz kwenu nice voice, sound.script and location vko poa san

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 5 ปีที่แล้ว +54

    Kama umependa marafiki kama wa bakari gonga lik tujuane

    • @zakiahmwakikonyola3911
      @zakiahmwakikonyola3911 5 ปีที่แล้ว

      Jamani bakali duuuu😂😂😂😂😂😂😂🤣 adi urumaaaa

  • @zainabutondwe6147
    @zainabutondwe6147 5 ปีที่แล้ว +1

    yaan nimechek😀😀😀et nimepew taarifa ya msiba

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 5 ปีที่แล้ว +3

    Team kitale a. k. a Ninja💪💪 gonga like twende sawa..,

  • @muniramsati5345
    @muniramsati5345 5 ปีที่แล้ว +2

    😂 😂 😂 😂 Jamaniii beka Uuwwii mbaaavuu zanguuu mieeee nimecheka miee loohh

  • @bintyk5149
    @bintyk5149 5 ปีที่แล้ว +44

    jamani nikiomba like cpewi wakati kila cku nawahi jmn

  • @seniordecanzhen7897
    @seniordecanzhen7897 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri ktale after maneno we are now in kimbiji

  • @victoriadamas5261
    @victoriadamas5261 5 ปีที่แล้ว +6

    kitale hongra kakaang, kweli umeamua kufanya mapinduz ya bong movee

  • @mbromeo7489
    @mbromeo7489 5 ปีที่แล้ว

    movie kali toka mwanzo hadi mwisho hongera kitale

  • @veesessy3318
    @veesessy3318 5 ปีที่แล้ว +40

    Kwenye hal hyo ya beka,halaf mtu kma Kobelo anakwambia "Inaumaga hyoo"😨 wallah inauma😢😢

    • @shukurumangare8070
      @shukurumangare8070 5 ปีที่แล้ว

      Unaweza ua mtu aisee

    • @veesessy3318
      @veesessy3318 5 ปีที่แล้ว +1

      @@shukurumangare8070 yan unaweza kumtoa utumbo na kidole kimoja kama kitale😂

    • @shukurumangare8070
      @shukurumangare8070 5 ปีที่แล้ว +1

      @@veesessy3318 haaaahaaaa nouma sana

    • @veesessy3318
      @veesessy3318 5 ปีที่แล้ว +1

      @@maherzain615 ata bongo tunafanya but kumbuka hyo ni movie bro,it was meant to be that way

    • @jacobchallo9692
      @jacobchallo9692 5 ปีที่แล้ว

      😃😃😃😃😃😃😃

  • @jaqlinemtilenandy
    @jaqlinemtilenandy 5 ปีที่แล้ว

    Beka anajua kuvaa uhusika nampendag yupo vzr bila kumsahau mwene mama la mama😍

  • @dignaerasto6699
    @dignaerasto6699 5 ปีที่แล้ว +7

    Hivi nyiee wezangu mnaona km Mimi beka alivyonenepa

  • @khadijamakwega3654
    @khadijamakwega3654 5 ปีที่แล้ว

    Kaz nzur San kitale utabaki kuwa juu🙌🙌🙌

  • @mkumbafidels6807
    @mkumbafidels6807 5 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa ubunifu wenu mana hata mtoto unaweza kuigiza uke wenza na mama yako na bado watu wakakubali na wengine kukutaaa mko juu sana nawapenda wote

  • @sidratybinkhamis2837
    @sidratybinkhamis2837 5 ปีที่แล้ว

    Jamani ogopa sana finga 😂😂😂😂bakari bwana tumbo sio langu

  • @BIN_NOOR27
    @BIN_NOOR27 5 ปีที่แล้ว +74

    Uwoga wa bakari unamfanya hadi asome herufi za alif na kusema takbil allahu akbali😂😂😂😂

  • @suraiaamina4062
    @suraiaamina4062 5 ปีที่แล้ว

    Oooh nikajua mnazingua

  • @professormpakistanimweusi5766
    @professormpakistanimweusi5766 5 ปีที่แล้ว +20

    Shukran Sana kaka kitale,Hongereni sana kwa kazi nzuri.mashabiki wenu kila kukicha dua njema tunawaombea.Kimbiji mwanzo mwisho hatari fire.kaka Kitale mwambie Kaka Beka Kazi yake naikubali sana,ila Azidi kuongeza Facial Exprecion, Isia za uwoga Instead ya Kuuzunisha kumuonea imani basi inatubidi tucheke,alafu naye pia Bakari Scene inambeba kuna wakati anakuwa anataka kucheka wakati .ila Hongereni sana Crue imekamilika hiyo.From +974 Ninawafuatilia sana nikiwa na My Wife Hapa. Tunasubirieni part 3 mashabiki Inshaa Allah.

    • @mwanashoogobo1785
      @mwanashoogobo1785 5 ปีที่แล้ว +1

      We Bakari umetuma pesa kwa wrong number siureverse hizo pesa mbona gozi mpaka jamaa anatoa pesa.

  • @mariamkamote3348
    @mariamkamote3348 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha bakari kavimba sura😀😀😀

  • @dullahmalva3572
    @dullahmalva3572 5 ปีที่แล้ว +40

    Dah haya wale wa kimataifa like hapa tujuane😀😀

  • @japharjuma6641
    @japharjuma6641 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanza nan anabisha agoge like hapa show bakar nipe namba nikurushie hela kitale anakuuwa😂😂😂😂😂🇹🇿

  • @amshlynebaby8495
    @amshlynebaby8495 5 ปีที่แล้ว +15

    hahaha nilikua najua ni part one....ila kitale hamfiki kimbiji

  • @dvjaddie7176
    @dvjaddie7176 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani bakar mbavu zangu 😂😂😂😂 kitare nakupend ila haujui

  • @levinersamwel4849
    @levinersamwel4849 5 ปีที่แล้ว +16

    Hz dkk 45,naomba zihamie kweny MANENO YA KUAMBIWA

  • @mwajumamrutu605
    @mwajumamrutu605 5 ปีที่แล้ว +3

    Daah ama kwel binadam tunatembea na Kifo.....kama utani tu wenyew .....ila Bakari mwaka wako huo hahahahaa

  • @Paty_wangu
    @Paty_wangu 5 ปีที่แล้ว +26

    nilidhani part 2 mpaka wiki ijayo daah asante Kwa kuunganisha

  • @rehemasalehe4271
    @rehemasalehe4271 2 ปีที่แล้ว

    Kitale hizi namba ulizotaja Zako kweli nichukue manaa naelewa kazi zako

  • @billygeorge7868
    @billygeorge7868 5 ปีที่แล้ว +3

    Wadogo zangu awataki kuenda shule nawazingua dahhhh stress za kuachwa kazi maliza beka jaman like stress kuachwa zifike hapa na coment

  • @jaqlinemtilenandy
    @jaqlinemtilenandy 5 ปีที่แล้ว

    Nzuriiiii mno kitale hujawah kutuangusha sema cjaelew apo ndo mwsho au tusubr part3

  • @Jfashiontv
    @Jfashiontv 5 ปีที่แล้ว +56

    Wanao angalia huku wanasoma text wagonge like

  • @ramadhanjuma907
    @ramadhanjuma907 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwan nn maana ya kuomba like nijuzen make kila mtu naomben like naombeni lik😂😂😂

  • @albait5227
    @albait5227 5 ปีที่แล้ว +12

    Leo nimekuwa wa kwanza Tim maneno ya kuambiwa

    • @maherzain615
      @maherzain615 5 ปีที่แล้ว

      Na kwa swala pia kuwa wa kwanza

  • @naamohammed8454
    @naamohammed8454 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani boss beka