Jinsi ya kuseti simu yako ifanye kazi kwa muonekano wa kompyuta

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ย. 2023
  • Video hii ni kwa wale wanaohitaji maarifa ya kuifanya simu kufanya kazi kwa muonekano kama pc( kompyuta)
    Video hii haina dhumuni la kuiga au kurudufu video ya mtu yeyote, video au picha yoyote isiyokusudiwa katika maudhui ya video hii itakua imeonekana kimakosa.
    karibuni wafuatliaji wa MAARIFA TECHNIQUE kwa ajiri ya kujifunya katika ulimwengu wa maarifa
    niwaombe
    kusubscribe
    kulike
    kushare
    pia
    comment

ความคิดเห็น • 6

  • @ManZube
    @ManZube 4 หลายเดือนก่อน

    Mkuu simu yangu inajizima nikiwa naongea na mtu

  • @user-cp1te7nu7j
    @user-cp1te7nu7j 7 หลายเดือนก่อน

    Nimepoteza sim na Kuna vitu vyangu vingi unanisaidiaje kaka

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  7 หลายเดือนก่อน

      Hivyo vitu ulivihifadhi kwenye Google drive?

    • @user-cp1te7nu7j
      @user-cp1te7nu7j 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli sikumbumbuki vilikuwa Kwa sim tu kwani yenyewe haipo automatic kujisev mpaka huiseti

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  7 หลายเดือนก่อน

      Hapana haipo automatic, haiwezi kujisevu yenyewe mpaka uviweke wewe mwenyewe
      Ingia kwenye hiyo video utaelewa cha kufanya
      th-cam.com/video/XLouhOegbQo/w-d-xo.htmlsi=XBA8QYy0DwOSoiHW