![Maarifa Technique](/img/default-banner.jpg)
- 35
- 19 654
Maarifa Technique
เข้าร่วมเมื่อ 6 เม.ย. 2019
KUWA MWANAFAMILIA KWA KUBONYEZA NENO "SUBSCRIBE "
Karibu Maarifa Technique
Hii ni sehemu itakayokupa maarifa ya matumizi ya simu, mtandao na technolojia kwa ujumla, maarifa haya yatakayokufanya upate ufahamu wa mambo mbalimbali
pia channel hii itakupa nafasi ya kufanya mazoezi kwa vitendo. hivyo usisite kuwa karibu na channel hii kwa kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu za vitendo.
ninawakaribisha sana
Karibu Maarifa Technique
Hii ni sehemu itakayokupa maarifa ya matumizi ya simu, mtandao na technolojia kwa ujumla, maarifa haya yatakayokufanya upate ufahamu wa mambo mbalimbali
pia channel hii itakupa nafasi ya kufanya mazoezi kwa vitendo. hivyo usisite kuwa karibu na channel hii kwa kusubscribe ili uwe wa kwanza kupata video zetu za vitendo.
ninawakaribisha sana
JINSI YA KUFUTA GROUP ULILOJIUNGA KWENYE FACEBOOK
JINSI YA KUFUTA GROUP ULILOJIUNGA KWENYE FACEBOOK
มุมมอง: 21
วีดีโอ
UKIPIGA TU SIMU INAJIZIMA? fanya hivi utatue.../screen off during calling problem solving
มุมมอง 395หลายเดือนก่อน
screen off during calling problem solving Subscribe,like&share Subscribe,like&share Subscribe,like&share Subscribe,like&share Subscribe,like&share
OMBA CHETI CHA KUZALIWA MTANDAONI KWA URAHISI
มุมมอง 462 หลายเดือนก่อน
hivi ndivyo utakavyoweza kujiunga na mfumo wa kuomba cheti mtandaoni kwa urahisi na haraka na kufanikiwa... usiivushe video hii kwa uelewa #hakikisha unatoa taarifa sahihi @erita_portal Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share
IFANYE LAINI YAKO IWEZE KULIPIA APPS NA BIDHAA MTANDAONI
มุมมอง 162 หลายเดือนก่อน
Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari subscribe, like&share Tafadhari sub...
Wasiliana na mtu anaetumia lugha yoyote WhatsApp
มุมมอง 2342 หลายเดือนก่อน
Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like Tafadhari subscribe, share na like
Zuia machapisho(post) machafu kwenye ukurasa wako wa Facebook part 1
มุมมอง 1073 หลายเดือนก่อน
Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&...
JINSI YA KUONA PASSWORD ZAKO KWENYE SIMU YAKO/NJIA RAHISI YA KUONA PASSWORD ZAKO
มุมมอง 1K3 หลายเดือนก่อน
Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&share Tafadhari subscribe,like&...
Unaweza kuiuliza app hii kitu chochote na itakujibu
มุมมอง 2483 หลายเดือนก่อน
Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, like na share Tafadari subscribe, lik...
JINSI YA KUTUMA PICHA,VIDEO& DOCUMENTS ZINAZOJIFUTA KWENYE WHATSAPP/ Mtu anaifungua mara moja tu
มุมมอง 983 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUTUMA PICHA,VIDEO& DOCUMENTS ZINAZOJIFUTA KWENYE WHATSAPP/ Mtu anaifungua mara moja tu
Namna ya kumiliki account mbili au zaidi za TikTok kwenye app moja ya TikTok
มุมมอง 6866 หลายเดือนก่อน
video hii ni kwaajili ya kujifunza na maarifa tu na sio vinginevyo Tafadhari Subscribe like share comment Jinsi ya kufungua google a/c th-cam.com/video/h3n7l1MSNY4/w-d-xo.html
Jinsi ya kubadilisha vitufe vya kupokelea simu kirahisi kwenye simu yako
มุมมอง 1.2K6 หลายเดือนก่อน
Tafadhari subscribe like share comment
App ya kutengeneza picha nzuri za AI
มุมมอง 5096 หลายเดือนก่อน
Video hii itskusaidia kuongeza ujuzi wa kujifunza kutumia simu janja yako vizuri naomba usisahau kusubscribe kulike kushare wa kujifunza zaidi Jinsi ya kutengeneza picha ya kuvutia za AI kwa kutumia simu yako th-cam.com/video/Iv3s2doGiRs/w-d-xo.html
Jinsi ya kutengeneza picha ya kuvutia za AI kwa kutumia simu yako
มุมมอง 1.1K6 หลายเดือนก่อน
Karibuni tujifunze jinsi ya kutengeneza picha zenye muonekano wa kuvutia kwa kutumia simu janja. utajifunza kwa vitendo mwanzo hadi mwisho kwa wale wanaohitaji kujifunza kufungua email google account bonyeza link hii 👇👇👇👇 th-cam.com/video/h3n7l1MSNY4/w-d-xo.htmlsi=66nrRId_TNkvimS0 Video hii ni kwa madhumuni ya kujifundisha tu na sio vinginevyo. kwa video zaidi tembelea maarifa technique ujifunz...
Jinsi ya kuweka kiungo kinachobonyezeka kwenye maelezo ya video youtube
มุมมอง 237 หลายเดือนก่อน
share like comment link Jinsi ya kuseti simu yako ifanye kazi kwa muonekano wa kompyuta th-cam.com/video/8SdIKe6yScM/w-d-xo.html
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
มุมมอง 147 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
มุมมอง 47 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
มุมมอง 97 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kurekebisha lugha kwenye bundy c1
Jinsi ya kupiga simu bila kuitafuta namba
มุมมอง 1407 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupiga simu bila kuitafuta namba
Jinsi ya kuseti simu yako ifanye kazi kwa muonekano wa kompyuta
มุมมอง 1467 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kuseti simu yako ifanye kazi kwa muonekano wa kompyuta
Jinsi ya kutengeneza playlist ya video kwenye youtube chanel
มุมมอง 867 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kutengeneza playlist ya video kwenye youtube chanel
App ya kutunza taarifa zako kwa muda mrefu
มุมมอง 277 หลายเดือนก่อน
App ya kutunza taarifa zako kwa muda mrefu
Jinsi ya kufungua E-MAIL account ya simu kwa dakika chache
มุมมอง 9787 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kufungua E-MAIL account ya simu kwa dakika chache
Ni wewe Yesu- Jackson William( full audio cover)
มุมมอง 883 ปีที่แล้ว
Ni wewe Yesu- Jackson William( full audio cover)
jinsi ya kurudisha account ya google kwenye simu, hata kama umesahau neno la siri #2
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
jinsi ya kurudisha account ya google kwenye simu, hata kama umesahau neno la siri #2
DJ jack-jina lako (Official music audio)
มุมมอง 424 ปีที่แล้ว
DJ jack-jina lako (Official music audio)
Sifa liyopamba moto, Siku ya kufunga kongamano
มุมมอง 205 ปีที่แล้ว
Sifa liyopamba moto, Siku ya kufunga kongamano
Nakibal
Mim nimesahau pn jamn utanisaidiaje
Unaweza kuniachia mawasiliano ili nikucheki tuone jinsi nitakavyokusaidia
Nimesahau namba ya Siri na namba nilotumia kusajili email
Pole Naomba mawasiliano ili tuone tunafanyaje
Kaka Asante Sana nimekamilisha kuludisha Google account yangu
Vzr
Kaka me nimeweza kuset ila ikiita inachukuwa muda San mbk kuonesha mwangu yn haioneahi nani anapiga inakuwa kiza alafu ndio inaonesha Yan inachukuwa muda
Cheki hiyo video ikusaidie th-cam.com/video/YcBZG3dRp64/w-d-xo.htmlsi=3TZRb_VJ7gbPYjL0
Manake wakinitumia zile 6codi haziwezi kufika kulingana hii sehem mtandao hakuna kabisa plz help me
Jitahidi upate muda wa kuwa sehemu ya mjin ambapo mtandao unashika, ni kitendo cha dk chache tu mkuu
Mimi nimesahau password halafu namba niliyo iweka kwenye acount ya mwanzo nipo sehemu ambapo hio laini mtandao haushiki kabisa nafanyaje mkuu
Ss km hujuw français akikutumia sms itakuaje
Download translater halafu uwe unatumia kutafsiria
Me ikija kwenye checking info inaniletea use pin verify that it's you sasa nashindwa maana pin me nishasahau kabisa
Naomba ufafanuzi wa swari lako... Au acha mawasiliano ili nikutafute
@@maarifatechnique8644 yaan nikibonyeza add account naenda Google nikibonyeza Google inakuja checking info kabla haijafunguka inaniletea use pin yaan mpka niweke pin Kwanza
Yangu inagoma
Naomba mawasiliano yako kama hutojar nijue unafanyaje, na kwa nn inagoma?
Habari kaka,mimi nimepoteza laini niliyofungulia email pamoja na namba ya siri sikumbuki,email naijua je,naweza kuirudisha account yangu?
Baada ya kupoteza laini uliyoifungulia hiyo email account, ulilinew? Au ndio umebadilisha lain nyingine?
@@maarifatechnique8644 nilisajiri laini nyingine maana nilikuwa mbali na nchi yangu
@@maarifatechnique8644 nilibadilisha nyingine
Kwa mfano uliiacha aukurenew na auikumbukii Amna xehem ya kusearch ili uipatee
Nataka VPN ya tigo ya free
Naifanyia kazi
Bd net VPN
Ubarikiwe mie tayr
Asante kwa kunitia moyo
Year nimefatilia somo hongera kwakutupa elimu mtandaoni
Part 2 yake inakuja usiache kuifuatilia pia
Jee iwapo namba imepote
Namba ya nini ndugu
ngoja nijal kixha nitakupa majibu
Thank you very much.
Nashukuru sana, pia karibu kwa video nyingine ili uweze kujifunza zaidi🙏🙏🙏
🔥🔥
Mkuu simu yangu inajizima nikiwa naongea na mtu
Ichunguze vizur, labda betr linasumbua
Maliam simeo 0:41
Sijaelewa kitu
Hamna vidio
Sijakuelewa dada
Asante sana my brother kwa maelezo yako hakika nimefanikiwa kwa ili 👍👍👍 much love from Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Asante sana kaka
Nimeipenda ila n swal Kuna uwezekano wa kuingiza pich binafs
Asante kwa swari naomba nilifanyie kazi
Swala lako nililifanyia kazi, lakini kwa njia hii ni ngumu isipokua kuna app zingine za kuweza kufanya hivyo unavyohitaji
Nimepoteza sim na Kuna vitu vyangu vingi unanisaidiaje kaka
Hivyo vitu ulivihifadhi kwenye Google drive?
Kwa kweli sikumbumbuki vilikuwa Kwa sim tu kwani yenyewe haipo automatic kujisev mpaka huiseti
Hapana haipo automatic, haiwezi kujisevu yenyewe mpaka uviweke wewe mwenyewe Ingia kwenye hiyo video utaelewa cha kufanya th-cam.com/video/XLouhOegbQo/w-d-xo.htmlsi=XBA8QYy0DwOSoiHW
naomba nisaidie account tangy militumia password mamba y'a simulator name Jesus I'll line ameuziwa Myrna mwingine nifanyeje ili kupata kufungua account yangu
Habari, changamoto yako ilipata ufumbuzi?
Naomba no yako tafadhali
Naomba nishirikishe changamoto yako zaidi
@@maarifatechnique8644msaada nilipoteza cm na lain xkuirudixha nambaa meisahau
Mi naambiwa number nimeitumia Sana kufungua account
Yeah huwa inakuaga hivyo
Naomba msaada zaidi
Msaada upi
Safi
Naomba unicheki kwa hii namba nipigie 0678858936 au unipe wewe namba yako nimejaribu imegoma
Naweza kukupigia
Haina shida
Oy
Me namba niliokua natumia siko nayo lkn namba ya sili naikumbuka lkn nilijalibu kuirudisha naletewa maandishi afu na voice zinaongea Kama marobot ko sielew hata
Habari, nimerejea naomba nishirikishe changamoto yako
Mm nikibonyeza try another way hainletei option nyngne
Umejaribu nilivyokuelekeza?
Hi shida yangu namba nilizoweka zilipotea za cm kwahiyo verification code inakua inatumwa kule je kuna njia nyingine kuirudish account yangu?
M mwenyew shida ndo hyo hyo huyu jamaa nae hata hajibu
Habari ndugu yangu samahani, nilipotea kidogo. Nishirikishe changamoto yako, au ulishaitatua?
Bd atujapata ufumbuziii
@@BarikiziMwanshuli hebu nitumie namba nikuchek tuone tunashairiana vip bro
@@anithathadeo5316 mambo vip bro, pole. Naomba nipe namba yako nikucheki tuone jins ya kusaidians
Broh mm nimesahau account yangu yazamani inamiaka Saba nimewka nyimbo zangu znavew nyin nifanyej hli hirud
Kama umesahau account inakua ni shida kidogo kuipata, labda neno la siri ndio rahisi lakin vumilia kidogo naandaa video ya kuipata account. maana nachoamini hakuna kinachoshindikana
Sawa Mana niliweka nyimbo alafu zishaanza kuwekwa matAngazo ckumbuk account wala namba Ila video zpo apo youtube
@@kipedereva498 inaitwaje hiyo channel?
@@maarifatechnique8644 kipe dereva hukiandika utaona nyimbo apo
Nipe msada mwalimu
Bro wanatak no nipiosajilia haraf nimesahau
Samahani, sijaelewa swari lako vizuri
Nimeweza asante
Asante. Ila nakuomba usiache ku subscrible ili nikitoa video zingine zipate kukufikia haraka uendelee kujifunza zaidi
Nielekeze na mmi
@@maarifatechnique8644 naomba nielekeze samahani nawezaje kuziona data nizojaza kwenye Google account,nishasahau namba niloiweka kwenye google
Mimi ya kwangu nimesahau kabisa kwahio naomba unisaidie kuirudisha nita kupa pesa.
Pole kwa kuchelewa kukujibu. Naandaa video nitaipost siku si nyingi, Naomba kama huja subscrible ufanye hivyo ili nikiituma ikufikie kwa haraka
Mambo
Safi
Hongera sana ndugu
Asante bro
aisee...