Jinsi ya kutengeneza picha ya kuvutia za AI kwa kutumia simu yako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Karibuni tujifunze jinsi ya kutengeneza picha zenye muonekano wa kuvutia kwa kutumia simu janja. utajifunza kwa vitendo mwanzo hadi mwisho
    kwa wale wanaohitaji kujifunza kufungua email google account
    bonyeza link hii
    👇👇👇👇
    • Jinsi ya kufungua E-MA...
    Video hii ni kwa madhumuni ya kujifundisha tu na sio vinginevyo.
    kwa video zaidi tembelea maarifa technique ujifunze mambo mengi zaidi yanayohusu simu janja SMART PHONE
    link
    👇👇👇👇
    / @maarifatechnique8644
    Asanteni

ความคิดเห็น • 8

  • @amashakisoma2596
    @amashakisoma2596 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @lucilamkenda2843
    @lucilamkenda2843 6 หลายเดือนก่อน +2

    Thank you very much.

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  6 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru sana, pia karibu kwa video nyingine ili uweze kujifunza zaidi🙏🙏🙏

  • @petertem1117
    @petertem1117 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda ila n swal Kuna uwezekano wa kuingiza pich binafs

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  9 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa swari naomba nilifanyie kazi

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  6 หลายเดือนก่อน

      Swala lako nililifanyia kazi, lakini kwa njia hii ni ngumu isipokua kuna app zingine za kuweza kufanya hivyo unavyohitaji

  • @amashakisoma2596
    @amashakisoma2596 หลายเดือนก่อน

    Shida yangu simu haifungui picha za wasap na status nisaidie

    • @maarifatechnique8644
      @maarifatechnique8644  หลายเดือนก่อน

      @@amashakisoma2596 unatumia simu ya aina gani na ina ram ngap na storage yake ni ngapi?