Mfahamu Aliyeigiza sauti ya Kazim Aga kwenye The Golden Boy ya Azam Two

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 159

  • @starhmilyally1173
    @starhmilyally1173 4 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana,,, tulitamani sana kumuona mnakilishaji wa sauti ya Kazim😃👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @leonidangimbwa1526
    @leonidangimbwa1526 4 หลายเดือนก่อน +2

    Daah!!! Nimefurahi kumuona mwenye hyo sauti, aisee umejua kutufurahisha 🌼🌼🌼🌼

  • @JescahSamson
    @JescahSamson 5 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera kaka hyo sauti ya kazim Aga Sio rahisi

  • @allsportshighlite8027
    @allsportshighlite8027 5 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu ndo mwenye sini ngumu na ya kuvutia kuliko wote.

  • @pauljohn1411
    @pauljohn1411 5 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu alipwe pesa ndefu maana tamthilia kaipa hadhi.

    • @Shakira-Nb
      @Shakira-Nb 5 หลายเดือนก่อน

      Yan mm naangaliaga kwaajil y kazim na farit😂

  • @PriscaJublathe
    @PriscaJublathe 4 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikuw nataman kumjua aliyeigiza sait ya kazim bee hatimae nimemjua honger kwako

  • @mwanduelizabeth2282
    @mwanduelizabeth2282 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika anajua zaidi ya kujua 🌹

    • @jeedymasoud4269
      @jeedymasoud4269 5 หลายเดือนก่อน

      Big Up watu tunaifuatilia kufata sauti hiyo tu

  • @WamburaKibiriti
    @WamburaKibiriti 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa kazi nzuri 🎉

  • @tukuswigaikasu5227
    @tukuswigaikasu5227 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amenogesha sana tamthilia aisee

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mzome wa mzome unajua,ulipwe Hela nyingi

  • @GregoryBamba
    @GregoryBamba 4 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ respect I lov it

  • @tricemollel6739
    @tricemollel6739 5 หลายเดือนก่อน +16

    Yaani wooiiii oiiii!! Ndo msemo wangu siku hizi.... Much love❤

    • @vitalisimathew7593
      @vitalisimathew7593 5 หลายเดือนก่อน +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @raudhwatsalim727
      @raudhwatsalim727 4 หลายเดือนก่อน

      Woiiiiiiii woiiiiiiiiii😂😂😂😂

  • @charlesevodi1760
    @charlesevodi1760 4 หลายเดือนก่อน

    Hand Sam kichogo , chongo ndingoo, mlembo mzeee , kengeee weee, aiseee umetishaaa aaaaa mkuuu

  • @mzomewamzome
    @mzomewamzome 5 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe Ndugu Zangu Bongo Touch 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 5 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa anajua

  • @SaidMsolima
    @SaidMsolima 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kaua

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 5 หลายเดือนก่อน +3

    Big Up 👊👊

  • @Halima-xd3ug
    @Halima-xd3ug 3 หลายเดือนก่อน

    Oii oiii nyumbani na wapangaj wenzangu ndo msemo wetu kifupi ndo tunaongea kikazim aghaaaaa woiiiiii❤

  • @jackietogwa7957
    @jackietogwa7957 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kareem wa desire .

  • @PendoMushi-gy3vu
    @PendoMushi-gy3vu 4 หลายเดือนก่อน

    Yaani hii sauti nilikuwa natafuta ni nani kumbe ni wewe. Yaani nachekaga mpaka nalia hii sauti. Hongera sana sana

  • @ammylov7527
    @ammylov7527 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh eeeh 😅😅😅 yani umetisha mimi nimtu wakwanza nikiangalia dolden boy haswa napenda upande wa hagaa mbwembwe zake haki unaweza hadi raah mungu akujalie kabisa

  • @MiriamKimboi
    @MiriamKimboi 5 หลายเดือนก่อน +2

    Woiiiiwoiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @josephinejoachim5847
    @josephinejoachim5847 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka umetisha jamaniiii

  • @ratiohagu2637
    @ratiohagu2637 5 หลายเดือนก่อน +8

    Aliua kwenye saut ya kibaraka wa hurrem kwenye sultan ila na humu kaua

  • @MohamediKalanje
    @MohamediKalanje 5 หลายเดือนก่อน +3

    Pale kweny sumbula aliua noma sana

  • @TausiRashidi-g7d
    @TausiRashidi-g7d 4 หลายเดือนก่อน

    Umetisha Kaka umeipa hadhi tamthilia hii inapendwa na wengi

  • @KevooNgao
    @KevooNgao 4 หลายเดือนก่อน

    Anaweza sana,saluti kwake

  • @ChimamJuma
    @ChimamJuma 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka unatufurahisha mmno😊 'we kuweza'

  • @paschallubango8713
    @paschallubango8713 4 หลายเดือนก่อน

    Umetisha ❤

  • @AllyHaruna-ko3it
    @AllyHaruna-ko3it 4 หลายเดือนก่อน

    A😅😂 ahaha aha jamn me nakupenda Bure Yan kwel me uyo Mzee ndo anae nivutia kutizama mana lazima nicheke kwakwel ..hongera sana

  • @SheylaRashid
    @SheylaRashid 4 หลายเดือนก่อน

    Katishaa sanaaa😊

  • @RahmaRajab-ww9bo
    @RahmaRajab-ww9bo 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ndie alienifanya niipende na kuifatilia gold boy😂😂😂😂

  • @TheresiaMrema
    @TheresiaMrema 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i lov him

  • @Rashidrasheed-r1q
    @Rashidrasheed-r1q 5 หลายเดือนก่อน +2

    Sumbulaaaa

  • @amoursalim7418
    @amoursalim7418 4 หลายเดือนก่อน

    Mm angalia kwaajili ya kasm aga

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan familia yetu wote tunaongea km mzome wa mzomeeeeee yaan tunampenda sana

  • @BarakaMwasapi
    @BarakaMwasapi 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka mkubwa mpe sifa mungu nashukuru kwa kitu kikubwa

  • @Rashidrasheed-r1q
    @Rashidrasheed-r1q 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sultanaaaaaaa

  • @kimram5225
    @kimram5225 หลายเดือนก่อน

    Huyu c ndo wa yule wa sultana kimanumanu..

  • @BashiruSajasi-be1us
    @BashiruSajasi-be1us 5 หลายเดือนก่อน +2

    Oioi wee

  • @sanfordpeter2751
    @sanfordpeter2751 4 หลายเดือนก่อน

    Waooow

  • @asiamohamed8431
    @asiamohamed8431 4 หลายเดือนก่อน

    Nampenda ila kuna wakati lazima avuruge. Ila yuko vizuri sana

  • @AshuraMsofe
    @AshuraMsofe 4 หลายเดือนก่อน

    Anamuwezea sana

  • @EdinaMbalamwezi
    @EdinaMbalamwezi 5 หลายเดือนก่อน

    Brooo unajua sanaa

  • @IreneMsigwa-w7b
    @IreneMsigwa-w7b 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman mzome😂😂😂😂

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 5 หลายเดือนก่อน +2

    🤣😂😂😅😁 Yaani ww Mbavu zangu unazivunja siku zote ila ww ndo umeipendezeaha ile kazi

  • @ismailabbas4197
    @ismailabbas4197 4 หลายเดือนก่อน

    Aisee mwamba kauwa mbaya yani sauti imefanana na kazim mwenyewe 😅

  • @NasraNasra-xc6jp
    @NasraNasra-xc6jp 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahahahaha nampemdaa jamanii kazim bila huyu sijisikii rahaaa

  • @kelvinmanywele2638
    @kelvinmanywele2638 5 หลายเดือนก่อน

    😁😁naenjoy sana

  • @MUSSAJUMA-re5wo
    @MUSSAJUMA-re5wo 5 หลายเดือนก่อน +4

    Astagavirulah ulikunywa maji kwa ajili ya kitu cha kipuuz 😢

    • @nasrasheikh1020
      @nasrasheikh1020 5 หลายเดือนก่อน

      Kazi nyengine mtihani, sasa hapo aliharibu funga yake kwa ajili upuuzi

    • @musapfute6608
      @musapfute6608 5 หลายเดือนก่อน

      Muombeeni afe😂😂 km kawaida yenu

    • @ishe_ngo8926
      @ishe_ngo8926 5 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa kazini lakini alivunja swaumu yake kwa mpango wa kuilipa baadae

  • @fatumamhada651
    @fatumamhada651 4 หลายเดือนก่อน

    kaka upewe mauwa yako jamani bila wew movi hainog kabsa

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 5 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani nimjue alieigiza sauti ya Mzee Fikri wa kwenye Our story

    • @thajuyusuph8723
      @thajuyusuph8723 5 หลายเดือนก่อน

      Ni yule baba mrefu kwenye mizengwe ya ITV

    • @ZSavana-gi4pf
      @ZSavana-gi4pf 5 หลายเดือนก่อน +1

      Anaitwa sumaku wamizengwe

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka yetu huyo

  • @muhmmadilutando9561
    @muhmmadilutando9561 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @HajiMpakati
    @HajiMpakati 5 หลายเดือนก่อน

    Wooi woooi hatuchi wangu haraka saaanaa habibt kipenzi

  • @zakiabakari9983
    @zakiabakari9983 5 หลายเดือนก่อน

    Woiiiiiwoiiiiwoiiiiii

  • @wemapiano4420
    @wemapiano4420 5 หลายเดือนก่อน +2

    Alichokivaa mkononi nikijiko

  • @Chabay-h3d
    @Chabay-h3d 5 หลายเดือนก่อน

    Me nampenda bure

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 5 หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @nasmajuma6784
    @nasmajuma6784 4 หลายเดือนก่อน

    Itabidi aongezwe mshahara woi woi woi

  • @zohra5799
    @zohra5799 5 หลายเดือนก่อน

    Wamemkosea sana sauti ya kazin

  • @MuilatiHababuu
    @MuilatiHababuu 4 หลายเดือนก่อน

    Kumbe ni kermal soidere

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 4 หลายเดือนก่อน

    Kusema kweli huwa ninacheka saana haswa kwa manjonjo anayoongeza kama kugunaguba.

  • @NanceMbaga
    @NanceMbaga 4 หลายเดือนก่อน

    Bila hyu ile tamthilia nikama chakula bila chumvi

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 5 หลายเดือนก่อน

    Broo iyo imekaa poa sanna

  • @angelchuwa3668
    @angelchuwa3668 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani nilikua nawish kumjua sana maana katisha

  • @ZamdaJuma-n1x
    @ZamdaJuma-n1x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nachekaga sana😂

  • @NayMolely
    @NayMolely 4 หลายเดือนก่อน

    Ni noumaaaa

  • @mwanaidimustapha6621
    @mwanaidimustapha6621 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu pia amefanya sauti ya KEMAL

  • @twahashearer8302
    @twahashearer8302 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah 😂😂😂🙌

  • @KhadijaZahoro
    @KhadijaZahoro 4 หลายเดือนก่อน

    Hata mm naona huyu ameuwa apewe mauwa yake

  • @dorineedward4187
    @dorineedward4187 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hundsome kichogo ferit hahhahahhhHHHHHHH😂😂😂😂😂😂😂

  • @sharfasephu
    @sharfasephu 5 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi mwenzio 😂😂😂😂😂😂

  • @irenea6887
    @irenea6887 5 หลายเดือนก่อน

    Kemal wa kara sevda

  • @rajimuashirafa8265
    @rajimuashirafa8265 5 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu kaifanya thamthilia iwe tamu

  • @MohdTryson
    @MohdTryson 5 หลายเดือนก่อน

    Sio nabii mswahili huyu nambie kama ni yeye?

  • @kharfanally4186
    @kharfanally4186 5 หลายเดือนก่อน +1

    Umeacha kufunga .fanya toba

    • @RamlahNassoro
      @RamlahNassoro 5 หลายเดือนก่อน

      Lipa kama hujafunga anko upo na afya yako funga Haina msamaha jamani

  • @julyodette6945
    @julyodette6945 5 หลายเดือนก่อน

    Woooy hoooy ohhy 😂😂😂

  • @AzizaHussein-wq8ql
    @AzizaHussein-wq8ql 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka kuigiza nifanyeje

  • @MOMENTS-STORIES
    @MOMENTS-STORIES 5 หลายเดือนก่อน

    KWANINI KIJIKO LAKINI😂😂😂😂😂

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂❤❤❤❤

  • @NeemaSaidi-ql7lt
    @NeemaSaidi-ql7lt 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤😂😂

  • @PrincesBony-ou9bs
    @PrincesBony-ou9bs 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @SheylaRashid
    @SheylaRashid 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @MaulidSleman-l7m
    @MaulidSleman-l7m 5 หลายเดือนก่อน

    Htri😂😂

  • @amosethantheking8815
    @amosethantheking8815 5 หลายเดือนก่อน

    Kuigiza sauti siyo issue hasa kwa wale wanaolengwa..(Walaji) lakini kwa mawazo yangu ni bora angeigiza sauti ya Aga mwenyewe.

    • @amosmemba9926
      @amosmemba9926 5 หลายเดือนก่อน +2

      Wewe hujui lolote yaani Bora unyamaze

    • @amosethantheking8815
      @amosethantheking8815 5 หลายเดือนก่อน

      @@amosmemba9926 najua nini sasa wajina, wewe kama amekuvutia na sauti ile ni sawa. Lakini sisi tulioona series yenyewe kabisa, tunaona kuna chumvi nyingi ambayo pengine inawavutia watu wa aina kama yako.

  • @husseinally6699
    @husseinally6699 5 หลายเดือนก่อน +4

    Cjui mnapongeza nn ikiwa lafudhi original ya muhisika haendani na hiyo Mnaharibu sana moview
    Yaani umahir wa kuingiza sauti uendane na original lafudh , mm si amini km mwenyewe anaongea kwa rafudh hiyo

    • @rynesawaya7043
      @rynesawaya7043 5 หลายเดือนก่อน +6

      Wwe mwenyewe ujui kuandika rafudh ndio nin? kama kiswahil kinakutesa iv english inakuaje?af acha wivu kila mtu na kipaji chake 😅😅😅

    • @roselyimo7154
      @roselyimo7154 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@rynesawaya7043wivu unamsumbua tu huyo achan naye

    • @amosmemba9926
      @amosmemba9926 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mwambie huyooo.. kama yeye akaigize sauti tumsikie...

    • @AbdulrahmanMahanje
      @AbdulrahmanMahanje 5 หลายเดือนก่อน

      eti anajifanya mswahili...

    • @sarahlyimo2378
      @sarahlyimo2378 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂sasa si na wewe ukaeke sautiyako wewe handsome chogo😂😂😂

  • @godblesshudson1564
    @godblesshudson1564 5 หลายเดือนก่อน +16

    Huyu si NI WA Jambo na vijambo

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂eee

  • @ammylov7527
    @ammylov7527 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh eeeh 😅😅😅 yani umetisha mimi nimtu wakwanza nikiangalia dolden boy haswa napenda upande wa hagaa mbwembwe zake haki unaweza hadi raah mungu akujalie kabisa

  • @siphifahashimu9723
    @siphifahashimu9723 5 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @FranceMakukula
    @FranceMakukula 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @TumainiSawee
    @TumainiSawee 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @TheresiaPhilipo-z6j
    @TheresiaPhilipo-z6j 5 หลายเดือนก่อน +21

    Jamaaa kauwa yani tamthilia bila uyu mimi nakuaga kinyonge sana yn

  • @veronicaromwald8311
    @veronicaromwald8311 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie mbona naona wameanza kufanana 😂

  • @Halima-xd3ug
    @Halima-xd3ug 3 หลายเดือนก่อน

    Kazimu akulipe bwana unemtambulisha sana huku bongo kwetu 😂

  • @ZuwenaHassan-n4o
    @ZuwenaHassan-n4o 5 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂natqman nikutame nae nna zawad yake

  • @zawadmussa8613
    @zawadmussa8613 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka unatufurahisha sana , duh tamthilia bila huyu jamaa bado haijawa nmzuri bado

  • @marryofficial9143
    @marryofficial9143 5 หลายเดือนก่อน +2

    Ba mkwe wa ferit😂😂😂mzee wa faida🎉

  • @BahatiKassim-zw2yw
    @BahatiKassim-zw2yw 4 หลายเดือนก่อน

    Yan wee acha napenda tuu anavo nogesha