TAZAMA LEONARDO,TX DULA,WALIVYOWAVUNJA MBAVU WATU WA ARUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ค. 2024
  • #chekatu #snakeboy23 #clamvevo3 #yangatv #azamtvtz LIVE
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 14

  • @AzamDjimmy
    @AzamDjimmy หลายเดือนก่อน +3

    Kweli sisi wa Congo tuko nguvu Sana Léonard kaitikisha Pia tuko wapi wa Congo🇨🇩🇨🇩💪🙏🙏🙏

  • @mrmartinipaul2464
    @mrmartinipaul2464 16 วันที่ผ่านมา

    Sasa performance ya joe makin hatujaisikia sauti haman😢😢😢

  • @adamkipenga6512
    @adamkipenga6512 หลายเดือนก่อน +3

    Dulla sio mkali sana wa standup comedy

    • @BabaShaymah
      @BabaShaymah หลายเดือนก่อน

      Sawa Nalifanyia kazi

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn หลายเดือนก่อน

      Anajua sana

  • @MwanaidiLipakatika
    @MwanaidiLipakatika หลายเดือนก่อน +1

    Dulla ukovizuri ila kuna vipande unaviludia sana jitahidi kuongeza vitus vipya bado tutachekatu

  • @jumazahoro3537
    @jumazahoro3537 หลายเดือนก่อน +1

    Oya Subaru kero Sasa kah

  • @user-uh6og9fj7b
    @user-uh6og9fj7b หลายเดือนก่อน +3

    Ndaro Yuko wapy

    • @MgazaMhina
      @MgazaMhina หลายเดือนก่อน

      Ndaro wamesema yuko Dubai

  • @gilbertchilewa-su2hc
    @gilbertchilewa-su2hc หลายเดือนก่อน +7

    Dulla unarudia Sana content uko vizuri but boresha ubunifu maana kila unachokiwasikisha kinaruka kwenye mitandao so watu tunaokufatilia tunaona unavyorudia

    • @Juli-ep9dn
      @Juli-ep9dn หลายเดือนก่อน

      Atafanyia kazi

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe หลายเดือนก่อน

    Nyinyi nihatari kabisa 😂😂😂😂😂

  • @user-df1fr1zg6v
    @user-df1fr1zg6v หลายเดือนก่อน

    Saut mbn inakatakata

  • @JacksonMatuga
    @JacksonMatuga หลายเดือนก่อน

    Leornad