Kidogo hicho esma nakuunga mkono wanaume ovyo hawajijui,wala, hawajitambui wanaoa wake wenye àkili .ili wafiche mapungufu yao,halafu , wanataka kujipendekeza Kua wao ndio Watu wakutoa ujuba n'a ilhali mke ndie anasota kutafuta maisha yéyé avimbe kichwa n'a kujifany a n'a kujitunisha kua ATI yéyé dumé!! ovyyyooo !!! Umenifurahisha sana esma ❤️❤️
Aliyah na Zuchu wanamgombea mondi ,,sasa apo lazima mmoja wao ataondoka wasafi,,hasa hasa Huyu Aliyah ,,sioni kama atadumu apo wasafi,,hiyo kampuni ina wanafiki wengi sana ,,diamond akifunga ndoa na Zuchu ,,Aliyah lazima ataondoka wasafi,,hatoweza vumilia kupolwa bwana
@@exoticsomalibantuhistory9476 alifata kazi,, kisha aka changanya na mapenzi ,,sasa inamtokea puani ,,Siku zote ,boss akitembea na mfanyakazi wake lazima kazi iharibike ,,Aliyah angejali kazi yake ,,yasinge mkuta hayo
WAY EJAMAAEEEEEH!!,,,, HIVI HAMJUI NI KWA NAMNA GANI NGOMA ZANGU NI KALI SANA,,, UNYAMA MWINGI,,, AAAAAH😂😂😂😂😂MTAKUWA MNAZINGUA NA MASIHARA MENGI... NJOOO KWENYE PAGE YANGU SIKILIZA UNYAMA AFU KUNIFOLLOW UTAAMUA WEW UKISHAONA UNYAMAAAA👏👏👏👏
Wanawake mnajisahau...wanaume tunapenda unyenyekevu pia huwa hatupendi ku-argue sana na mwanamke....wanawake onesheni unyemyekevu kwa wanaume zenu pia muache tabia ya ku-argue
Innalilah waina illah rajiun msiba huu dada zetu na nyinyi ni waislam amuzieshimu ndoa zetu sababu ya dunia mtaenda chomwa mpaka kope zenu innalilah waina illah rajiun mnatakiwa muwaeshimu waume zenu kwani ndio pepo zenu dunia ni mapito tu 😭😭😭
Mbona nyny mnataka kakaenu awakoromee watt wa wenzenu 😏 na ila juu mara tunataka mke wa kk etu awe hv awe vile wakat nyny hamjakamilika ndoa pia zinakushindeni
Dini yako iko chini sana Ms Esma ungekuwa na dini hungesema eti hutamani mwanaume wa kukuchunguza control wewe .ungekuwa na dini ungedumu kwenye ndowa yako
Mwanamke ukiolewa uko chini ya mmeo kulingana na mafundisho ya dini. Kama unajiona huezi kua chini ya mmeo sababu unajiweza just go and marry yourself. Huezi olewa na bado unafanya vile unataka bila ruhusa ya mme
Uliolewa lazima uwe chini ya mumeo halafu anajita muislamu ss muislamu gn anaepinga mamrisho ya dini yake na mtume wake alokuja kuongoza uma kasisitiza

Umeongea ukweli kabisa hapo👏👏👏👏👏👏👏
Huyu dada munamuita yuda lakini mm nampenda esma anasema kweli Hana Cha kuficha ficha Toka alivyosema ukweli wa msizwa nilimpenda Sanaa 🥰
Leo tu ndio kaongea kweli
Nimeguduwa esma anamweshima queen darline
Queen hapendi shobo ndio maana Esma hamuelewi🤣
Hu
Wanawake wapambanaji piga kelele💕💕💖❤️💖 nimekupenda esma kalibu UAE
😀😀😀eee fetty wee nimeshakuona
@@ashuuuaisha9122 da shuuu haaaaaa siunajua hapo ndio home
Women struggling make noise 💞💕💗♥️💖 I have admired Esma welcome to UAE
Aliyah na Zuchu wanamgombea mondi ,,sasa apo lazima mmoja wao ataondoka wasafi,,hasa hasa Huyu Aliyah ,,sioni kama atadumu apo wasafi,,hiyo kampuni ina wanafiki wengi sana ,,diamond akifunga ndoa na Zuchu ,,Aliyah lazima ataondoka wasafi,,hatoweza vumilia kupolwa bwana
Kwani Aaliyah amefata kazi au bwana?
@@exoticsomalibantuhistory9476 alifata kazi,, kisha aka changanya na mapenzi ,,sasa inamtokea puani ,,Siku zote ,boss akitembea na mfanyakazi wake lazima kazi iharibike ,,Aliyah angejali kazi yake ,,yasinge mkuta hayo
@@exoticsomalibantuhistory9476 wanawake wana jirahisisha sana
@@aminaqatar5041 TRUE
Huyu anayesaili ananibamba sana love from 🇰🇪😅
🤣🤣🤣🤣🤣oya nakubali unavo fanya interview mwanangu. BIG UPPPPPPPPP
I love the answers that Esma gives confidently 😂😂😂😂wambea wakomeee
Hahaha...and the guy kept on insisting.
@@blessedemily3652 y
@@blessedemily3652 yyyuiuukjumykyy
Kyykyymykyykyyiyiykyyniyyiykkyyo
Kyjniyyyik
Napenda sana sauti ya Esma jamani kutoka Kenya nakupenda bure
Esima ESIMA yangu macho 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Ankula mizgo
hii family ya hovyo sana
Mwenye nyumba wetu ni mmoja!!
Esma nampenda Mimi 🤣🤣🤣🤣
Hapo sijaelewa. Yani wamepanga nyumba.Haiwezekan..Mapesa yote wasiwe qanamiliki mijengo.It cant be🤔
@@nataemsuya ata mimi ndicho kilichonishangaza 😂😂😂😂
Nakupenda bure dada Esma
WAY EJAMAAEEEEEH!!,,,, HIVI HAMJUI NI KWA NAMNA GANI NGOMA ZANGU NI KALI SANA,,, UNYAMA MWINGI,,, AAAAAH😂😂😂😂😂MTAKUWA MNAZINGUA NA MASIHARA MENGI... NJOOO KWENYE PAGE YANGU SIKILIZA UNYAMA AFU KUNIFOLLOW UTAAMUA WEW UKISHAONA UNYAMAAAA👏👏👏👏
Hapo Esma Nimekupenda Buree
Na hapo ninyi kujiona mnaweza ndipo mnapoingia ujeur na kutukosa
I wish they didn't cut hizo parts wame edit😂😂😂😂😂😂
Kiboko ya wambea
Mmmh pesa zenu ila mheshimu Mume
Wifiii kama wifiii ndo ushasema asikugombanishe
Wanawake mnajisahau...wanaume tunapenda unyenyekevu pia huwa hatupendi ku-argue sana na mwanamke....wanawake onesheni unyemyekevu kwa wanaume zenu pia muache tabia ya ku-argue
True wanaume wasitutawale💯
Innalilah waina illah rajiun msiba huu dada zetu na nyinyi ni waislam amuzieshimu ndoa zetu sababu ya dunia mtaenda chomwa mpaka kope zenu innalilah waina illah rajiun mnatakiwa muwaeshimu waume zenu kwani ndio pepo zenu dunia ni mapito tu 😭😭😭
Hizi ndio zama za fitna za masih dajjal, mifumo ya feminism imefanikiwa, na ndio dimbwi la moto na Allah anawazidishia hayo maradhi
Pepo yangu mamaangu
@@barbie5052 haya bs usiolewe
Play don't worry by hakim sasha
Nimekupenda sana Esma kwa majibu yako,wanawake hoyeee
Esma amejua kusuta watu
Apa tutaulia kilasiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wanaume meskia esm uwekee sanam
Piga like kam unapenda diamond platnumz
Yuda ana mimbaaa😳leo kafurugwaaa
Ila yuda sasa umekua umejirekebishaq
Chezea dada wa taifaa wewe kakuchamba mpka umenyooka..ila Aaliyah ni kweli mnaficha nn.mimba itakua ytu machoooo.lisemwalo lipooo....
Esma mtangazaji mbea 😅😅😅
Esma umeongea 💯🔥🔥🔥
Good esma...
Waah! Esma nilidhani umejenga nyumba ya kwako ama kanunua? Mungu abariki kazi ya mikono yako
Yuda hataki umbea 🤣🤣
Waziiiiiiii Esma
Esma my crush
😂😂😂😂 leo sio Aliya anae tangaza,theza wewe
Esma amekuwa na akili ,😂😂
Mmh mbona tumbo kubwa esma vip 😳🤔
Asma 😘😘😘
Esma wivuuuu
We Esma umekasirika
Hello Esma plantumz
Vous jette très janti machallah ❤️❤️❤️😍
Ton français tu l’as enterré où ?
Tu voulais dire quoi?on vous êtes très gentille.
Mpo naye kwa ajili ya ku "mtreat' 🤣🤣
SEMA mama SEMA wasikie
Ivi kwann mastar mnajisifu mna hela mnamabiashara mna nn I'll mnapanga nyumba za gharama kwann hamjengi
Diamond sio mstaarab.. anawaala wafanya kazi zake tuuu.. ni uzalilishaji
Wadada kama nyiyi ndo mnataka ku control ma bwana zenu, single is gonna be yr forever status.
Esma kwenyewe kashachoka muache aropokwe kwa sasa🤣
😂😂😂😂Ila asma
Atazaa kama wakina misa zari na wengine
Kweli mwaya uko sahihi sana Esma .
Good girl ❤️❤️❤️
Sasa mbona unapanga ?nanyie mnapesa?
sasa ninyi watangazaji mbona mnajifunika uso msionekane kwanini?
We esma una mimba au🤪
Lissa nilijua macho yangu to
Esma umeongeya kweri kabisa wanawak wapambanaji hawapndi kuendeshwa..ila wanaume wa izi siku wajuwaji wengi wanapenda kutrend mbona wanawak niwengi wastarabu kwanini wasiwawowi aca wayaone wamezidi.
Pesa za kakaako, unàfañya biashara unaweza?
Hahaha Esma,nimekupenda sana🥰🥰
Tabu ya wasichana wa sasa hv wakiwa wanapata vijisent tu jeuri kwenda front
Uyu esma aongea ajiamn na anakaa ako na ugomv na uyu ndo analeta ugomvi katka hii familia n choko kiupande wake 🤣🤣🤣
Tangu Esma apigwe character development,, amejua kumind her business ya watu waachie..
Bora kwini hasemi
Kweli esima umeshakuaa wake Wa Kaka ako achana nao
Jamaa kaamua kuchimbua story za watu wa wcb ,,Dada ka mind kinomaaa,,haha ha ha haaaa
Mbona nyny mnataka kakaenu awakoromee watt wa wenzenu 😏 na ila juu mara tunataka mke wa kk etu awe hv awe vile wakat nyny hamjakamilika ndoa pia zinakushindeni
Mwanamke akiwa mtafutaj hawez kuwa kubabaishwa na mwanaume
Kweli
umeonaee
dera pambee umependeza sana
Esma umekosea ungemvua lemba hilo km ana donda....!!!
Wanapo feli siaseme tuu tunapo feli 🤣🤣
Jamani duuu
Wacha azae yamkute ya Hamisa ndo atajua mbivu na mbichi
Dada Hovyo nyooooooo!
Nampenda esma
🔥🔥🔥
ESMA nakupenda Sana,by the way Niko SINGLE
Dini yako iko chini sana Ms Esma ungekuwa na dini hungesema eti hutamani mwanaume wa kukuchunguza control wewe .ungekuwa na dini ungedumu kwenye ndowa yako
Hahaaaa Familia yaalimbukeni!!! Punda walioona mwezi!!! Au masikini akipaya mkundu Julia mbwataaaa!!!
Kweli dada Esma angalia yako yakaka yako muwachiye mwenyew mana wanasema wewe ndo sababu kaka yako kuwacha wanawake
Makubwa dunia iyi good interview
Big World great interview
Hahaha ESMA nakupenda
Duwe❤️
Esma kajibu vizuri
✌
Kichwa kama kobe
Huyu dada nampenda
Mwanamke ukiolewa uko chini ya mmeo kulingana na mafundisho ya dini. Kama unajiona huezi kua chini ya mmeo sababu unajiweza just go and marry yourself. Huezi olewa na bado unafanya vile unataka bila ruhusa ya mme
Perfect broo kaomgea pumba sn kumbe analaanika tu hajijui tu yy anaongea tu
Uliolewa lazima uwe chini ya mumeo halafu anajita muislamu ss muislamu gn anaepinga mamrisho ya dini yake na mtume wake alokuja kuongoza uma kasisitiza
Aliyaah hapa nimefurahi sana
Esma leo ukimtajia wanawake wa nasib mkaliiiii😅😅😅😅😅
Haya sisi tupo walimwegu unajiweza eti Ok jua likipiduka tutaona 🤔
Mbona aliah atangazi tena?
hhaha na usinilazimishe
Esma amakuwa 💪💪💪
🤣🤣🤣Esmah waah
Ana kiburi sana huyo mama
Mkundu wa mama yako
Kiburi chake nikip sasa hpo
Amechoka na umbea
Esma usiseme unajiweza kwa pesa zip ulizonazo bibi weweeee hujakutana na wanaume wenye mahelaaa ungekua mpoleeee
wako wapi
Pesa za kaka ake dmond😂😂😂
😂 Utakua uvai nguo zangu tena ukija dukan nakufukuza🤣🤣we Esma wee 😂
Uyo anaejielewa sasa😂😂😂
Duwe Santana✌️
Jeurii ya pesa hiyooo
Takataka
Yaani kila demu anayehusishwa na Diamond ni mjamzito pia zuchu mmesema hivyo hivyo hivi hamchoki kutamka flani ni mjamzito
Hata huyo Kaka yako mzee misifa ameshindwa kukujengeaaa hahahahahaaa mjini school
Edna kiboko umkantage zuchu vizuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤