Acheni ushamba kuna wanao kufatilieni wameishia lasaba tena shule za kimaskin tena ndioweng zaidi sasa icho kizungu chenu cha zezeze !!..afu huo ni ushamba tena ulopitiliza kwani kama unajua kizungu ukakitumia sehemu husika utababuka au? Hoooovyooo....
Jamani Kipindi nikizuri Saaana ila sasa ivyo vingereza Vingereza Vyenu Duuuh Acheni Kujipendekeza na Vingereza Jamani ila BING UP kwako AALIYAH Uwa napenda Sauti yako
This lady must have gone to school in international school. Very bright and knowledgeable. Kudos Aliah
Huyu interviewer kuna kitu anatafuta😂😂..but aaliyah is so smart
Aaliyah kawa very emotional kwernye swali la kapata mtoto nje ya ndoa. moreover she seems open minded and able to contain herself brilliantly.
Myself I realize that there is something going on .. 😌
MAKOPA KWA AALIYAH ❤❤❤❤❤
🧡❤💛🧡❤❤❤💗💘
Mtangazaji ana juwa kingereza huyo mgeni anajishaua Sana
Wooow she a genius
She's very matured...I love her
Waiting for the interview 💃💃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo umepatikana?
Nice interview..bt kweli mafahari wawili?....there was tension btn these 2 at the beginning..If u don't get it forget abt it🤗
Nimeona ktu kwa Aaaliya ajarb kuigza ..!👌
Aliyah mzuri Jamani sweet ❤❤❤
Ma sha Allah
Kinge🙌🙌🙌🙌,tunaomba tutorial class
Combination Nnzuriii sanaaa Aliya na huyuu mtangazaji
I love you Mackenzie that was being very professional. Big up to àaliyah as well it was so mature of you
Katisha sana
Huyu mpuuz kasemaje😂😂😂 hapo mwisho😂😂
Zuchu forever ❤❤❤
Yaan wazungu watangazaji hawafanyi vipindi kwa kiswahili Ila sisi wabongo kujifanya kingereza km vile tumeishi nacho
Ndo ukoloni wenyewe huu ,
Ndio raha ya shule bro!!!!!
Yn host your so talented I like ❤️
Excellent journalist
anakaa na matharau huyu sijui nialia ,ama sijui yukoje ukiangalia uso anakaa anamathatau sana ,
Umeona ee..mimi huwa spendi kuangalia wakimuinterview. Hata hii sijaangalia nimeona tu ulivyocoments
Huyu mwanamke anajua Aliya na Zuchu ni WA Mondi
😂😂😂very tough game 😂😂pole sana Aaliyah 😂😂
Hadi huku my 💞
@@stellah3844 yote mitaa yangu my dear 😘😉
@@Dhahira16 🌺🌺
I love you guys
I love Aliyah
Kwavile unakazwa na domo unromantic umtaje harmonize 😂
Yaani hapo kwa Harmonize Aliharibu kwa Kweli Yaani wasafi mnamchukua snaa Mwenzenu na Anafanya Kazi nzry sanaa
Kipindi kizuri mnoo
Una akili sana
Take out from the position of boss and sell ice cream.
Na madam host you take a sip from a drink not a puff,a puff ni from smoking..
Lia sababu ni wcb, thus y she hate harmonize, coz boss at apunguze mihela
Nimeipenda😅
kipindi kizuri idea kali sana ispokua u need to put time they take too long to answer
Huu ujinga watanzania awako real unamuweka mtu awezi kuongea ukweli
Acheni ushamba kuna wanao kufatilieni wameishia lasaba tena shule za kimaskin tena ndioweng zaidi sasa icho kizungu chenu cha zezeze !!..afu huo ni ushamba tena ulopitiliza kwani kama unajua kizungu ukakitumia sehemu husika utababuka au? Hoooovyooo....
Kwani umeitwa uangalie. Pita kushoto.
@@dannylinguist15 ndio ushamb tu waongee lugh ya taifa ushamb mwing
Mtu na mke mwenzie
Haya maswal lazima utakunywa ty😂😂😂
Hamna lolote ongea lugha moja tatizo mnajua ukiongea kiingereza uko juu kumbe ujinga tu na ulimbuken
ONGEENI KISWAHILI BWANA MSITUZINGUWE. WACHENI USHAMBA HUWO.
Nenda kaangalie za kiswahili mbona zipo nyingi ..!!Kuna watu wa kimataifa wanaangaliaga sasa wataelewaje
Mnafiki tena umbwa eti harmonize hafai kuwa msani bola wa mwaka acha bangi
My advice SHOW YAKO INA UTIMU KATIKA MUZIKI. YOU HAVE TO BE PROFESSIONAL. MGENI ANAKUHARIBIA SHOW YAKO
Kila mtu alijua tu utasema Harmonise tu
Mbona aki ulizwa kuhusu familia ya Diamond anakwepa ila kwawengine nimwepesi kuyajibu!?
Wakwe zake katoa mimba tena na tena na bado kaachwa
Anam kejeli aliyaa openly ndio maana anakuchekacheka hovyo.
Oya nyie ongeani bn kenge nyny kingeredh chann mfyuu mijitu yenyew hpo inanuka miupapa
Ongea Kiswahili au muende kuishi Kenya
IRIT O SPILIT
Jitahidi show yako isilete uteam itakuwa upumbavu tu
I assume you want people to drink instead of answering
😂😂😂😂
Jamani Kipindi nikizuri Saaana ila sasa ivyo vingereza Vingereza Vyenu Duuuh Acheni Kujipendekeza na Vingereza Jamani
ila BING UP kwako AALIYAH Uwa napenda Sauti yako
Wewe mwenyewe una official hapo nikiswahili
@@edinakyaruzi9226 🤣🤣🤣🤣🤣
@@edinakyaruzi9226 😄😄😁
@@edinakyaruzi9226 🤣🤣nimependa
Nilijuwa utamchaguwa hamo ili umrizishe mond.
Na ukweli ana utimu
Kwani aliyah ni mkenya...she talks nice and fluent English
Kwani kenyans tu ndo wanaongea fluent english
Kama mnamchukia harmo msimtaje taje wapuuzi nyie
Hapo kwa harmonize wewe ni muongo
Mbona haujamuuliza Aliyah ni kabila gani?
Kabila litakusaidia nn? Ni mchaga, umeridhika?
lol@@shabanihamisi115
uyo alia akikaa utampenda ainuke sasa kama ubao wa menyu shi food 😅😅😅
😂😂😂😂😂
@@iradukundamike5370 🤣🤣
😂😂😂😂
Sio vizur
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣shishi was just chilling
Punguzeni vingereza wakati nyie wabongo piwa
Anajichetua shape yenyewe ya kabati
😂😂😂 jamani watz mna mambo
Vingereza vingereza vingerezaaaaa wabongo mpka tunakeraaa kwa vingerezaa vyakijinga jingaa ebu ongeeni kiswahili banaaa ruga ya taifaaa mnakeraaa banaaa Kwani ukiongea kingerezaa ndo unaonekana unamaendeleooo 🤣🤣🤣🤣 au ukiongea kingerezA unaonekana unamafamikio sanaaa ?🤣🤣🤣mnakeraaa sanaa
Kipind ni kizuri lkn,na wanajua🤭🤭
Nenda shule dada acha makasiriko
@@tatuomari781 🤣🤣
Mjinga kumtaja harmonize kwenda huko na hivyo vimacho vyako sio bure zuchu kakunyanganya boss wako
Harmo 🥰🥰is the best n vile wasafi hamwezi mchoose .inaeleka pia
Kipindi kizuri mnoo