MWIGULU AJICHANGANYA, OLE SENDEKA AMKABA KOO, SPIKA APIGILIA MSUMARI "WAZIRI HAYUPO SAHIHI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 420

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 ปีที่แล้ว +7

    Spika Tulia Mara nyingi uwa uko SAHIHI katika uendeshaji wa bunge bila upendeleo kwa kufata sheria za uendeshaji wa bunge. Huwa nakuelewa Sana. Blessed!

  • @dulakibarati8987
    @dulakibarati8987 ปีที่แล้ว +2

    Namkubali sana supika wa bunge anaijua kazi yake dada mungu akulinde

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 ปีที่แล้ว +22

    Yaani hicho kiti Cha uspika kimekutosha Hadi kimekubana

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 ปีที่แล้ว +10

    Mwigulu ni mzigo, JPM aliwajua hawa akawaweka pembeni, Kuna shaka sana Kwa huyu mtu

  • @robertsikanyika7475
    @robertsikanyika7475 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama Yuko boraa aisee hata ngazi ya juu anaweza Sana namkubali Sana very tallented.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +17

    Wenye nchi ni wananchi watanzania.

    • @kashindisimon5265
      @kashindisimon5265 ปีที่แล้ว +3

      Ati mwenye nchi utafikiri nchi ni mali ya mtu mmoja

    • @salumntulo1589
      @salumntulo1589 ปีที่แล้ว

      Wananchi hawana mamlaka yoyote na tanzania zaidi ya rais

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 ปีที่แล้ว +8

    Spika hongera sana kwa maswali mazuri kwa Mwigulu,Watanzania tunafuatilia sana bunge maswali na majibu,hoja nk,hapa tunaona kabisa Wizi unamhusu waziri wa Fedha na aliyemteua wote wanahusika na tuhuma hii,wazi kabisa Mwigulu amesema mwenye uwezo wa kuidhinisha itoaji pesa kubwa kama hii ni Rais sasa hapa tunatafuta mchawi yupi tena? Endelea spika,Ole Sendeka wewe mtu makini.

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke wakitanzania big brain kutoka Mneya

  • @dinahnyagosaima1259
    @dinahnyagosaima1259 ปีที่แล้ว +1

    Spika Tulia umetulia sanaaaaaaaa

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 ปีที่แล้ว +1

    Mnajishangaa wenyewe mbona mnaposifu Mh Rais katoa pesa mlikuwa hamulioni hilo? Fuateni kanunu za pesa jamani. Mtakuja kumpaka matope Rais.

  • @philemonokesh5935
    @philemonokesh5935 ปีที่แล้ว

    Ongera Sana Mhe Spika kwa Uwelewa wako na utashi wa kiMungu uliokuwa nao,
    Endelea kuliongoza Bunge lako kwa kuongozwa na Hekima Na Busara za kiMungu.

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 3 หลายเดือนก่อน

    Sijui rais anampendea nini ni mwigulu.mwigulu ni mzigo,haenei ktk wizara hiyo.

  • @wemamwaikambo6485
    @wemamwaikambo6485 ปีที่แล้ว +13

    Hivi mama kwa nini amemweka huyu mtu, hawezi hicho kiti ni kikubwa sana kwake.

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      Pia hana nidhamu
      Pili muda mwingi anatumia kufikiria biashara na foundation zake

  • @robertkamunya7497
    @robertkamunya7497 ปีที่แล้ว +13

    Mama huyu mtu anamharibia sana

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 ปีที่แล้ว +2

    Spika wetu ni nondo Mungu akunze miaka mingi

  • @mwinyimzenga2054
    @mwinyimzenga2054 ปีที่แล้ว

    Ajiuzulu mchembaa aitakii Manisha mzuri

  • @NelsonTibesigwa
    @NelsonTibesigwa 4 หลายเดือนก่อน

    Mwigiru ni muongo sana na anajiamini sana

  • @SamoraHere-wj2ni
    @SamoraHere-wj2ni ปีที่แล้ว

    Hongera Sana spika mm nisamora laiser her

  • @kakaimbela2597
    @kakaimbela2597 ปีที่แล้ว +8

    Mambo ya TRAT na TRAB😂

  • @augustinekusekwa183
    @augustinekusekwa183 ปีที่แล้ว +4

    Enzi za mkuu jasiri wa nchi hii huyu sasa hivi angekuwa anachunga mbuzi kwao

  • @iddysonyo266
    @iddysonyo266 ปีที่แล้ว +3

    huyu ni miongoni mwa tatizo kubwa kwenye nchi yetu sema mnachelewa kulitambua hilo

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 ปีที่แล้ว

    Mpaka leo mwingulu anaamini inchi ni ya rais hajui inchi ni yawananchi ila rais ni kama mwajiliwa tu aliyeajiliwa na wananchi.

  • @christinamsoka
    @christinamsoka ปีที่แล้ว +3

    Mh spika hongera sana,Nina zawadi yako nzr sana.

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo katiba inamlinda rais

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Anatumia offce ya Rais kujisafisha ufisadi wake

  • @selemanchongo-kw2hh
    @selemanchongo-kw2hh ปีที่แล้ว

    Spika wabunge Mimi naona uko sawa mama yetu, koma tu maake siku hizi kuna machatu Yana zowazo hera ya wanchi,!!!!😂

  • @AbduliSaid-zu1dx
    @AbduliSaid-zu1dx ปีที่แล้ว

    Wazeee wa busara hao waziri mwigulu aache uhuni

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru ปีที่แล้ว

    Toa muongoza ,jibu swali la sedendeka

  • @MihayoMunsana-cy4uh
    @MihayoMunsana-cy4uh ปีที่แล้ว

    Mwigulu mbona muongo muongo hivi Mheshimiwa Rais hamuoni hiyo si amtoe hafai kua waziri wa fedha huyo

  • @hoseamligula8092
    @hoseamligula8092 ปีที่แล้ว +3

    Likija swala la kujibu hoja mwigulu huwa anatamani ardhi ipaduke aingie

  • @sulimanmzee2310
    @sulimanmzee2310 ปีที่แล้ว

    UNANENEPA TU KWA JASHO LA WATANZANIA WANYONGE PUMBAVU

  • @mohameddikaluka3162
    @mohameddikaluka3162 ปีที่แล้ว

    Yani huyu mwigulu Ni mzigo kwa Taifa hafai hata kidogo Arafu Kuna watu wanamuona anafaa kuwa Rais huyu MUNGU tuurumie laaaah!!

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 ปีที่แล้ว

    HALI MTAANI KULIVYO NA TUNAYOYASIKIA MUNGU AMSAMEHE MTU MWEUSI KUNA TATIZO KUBWA AFRIKA😢😢😢

  • @HanifaBruno-lv1qf
    @HanifaBruno-lv1qf 3 หลายเดือนก่อน

    UFISADI TU UMEWAJAA

  • @majimotomalole1809
    @majimotomalole1809 ปีที่แล้ว

    Kitendo cha mwigulu kuharibu alafu anawaambia watanzania kuhamia Burundi Hiyo pia ni laana kama laana zingine yaani ndo atazidi kuharibu zaidi labda ahame yeye.

  • @ezrommkambati1554
    @ezrommkambati1554 ปีที่แล้ว +11

    Mungu anisamehe, sijawahi kumpenda mwigulu

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 ปีที่แล้ว +24

    Mwiguru kaidhinisha kuwa mama ndo kaiba pesa zetu.

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 ปีที่แล้ว

      Kabisa

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 ปีที่แล้ว +2

      Kabisaaaaaaa.

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 ปีที่แล้ว

      Nadhani Mwigulu apishe hiyo wizara. Rais ni wajibu wake kuweka watu wansojitambua. Malipo yanaidhinishwa na katibu wa wizara sawa ila waziri lazima ajue hivyo nae anahusika

    • @piusmdoe3200
      @piusmdoe3200 ปีที่แล้ว

      Anatafuta uchochoro wa kukwepa kuwajibika

    • @geey7893
      @geey7893 ปีที่แล้ว

      @@makongorowassira6593 hawezi kumtoa kwa sababu Mwigulu wanashare keki na akina Musoga

  • @kahmardintebe9266
    @kahmardintebe9266 ปีที่แล้ว +30

    Hapo ndipo utalazimika kumkumbuka hayati jpm mzalendo aliyeyatowa maisha yake kwa ajili ya mambo Kama haya pumzika kwa amani jpm

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 ปีที่แล้ว

      Wew naye! Akh!

    • @labankisunga1567
      @labankisunga1567 ปีที่แล้ว

      Alitoa maisha yake kwako...Yesu pekee ndio alitoa maisha yake kwajili ya wanadamu. Acha bang

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 ปีที่แล้ว +1

      @@labankisunga1567 👍🏾🤝safi sana ngoja umjibu huyo asiyejielewa. Hao ndo walikuwa wanamuita mungu wao.

    • @lidyakisoka-is4ru
      @lidyakisoka-is4ru ปีที่แล้ว

      Magufuli alizuia binge live lazima tumkumuke kwa sababu alitunyimwa uhuru

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 ปีที่แล้ว

      @@lidyakisoka-is4ru 😀😀👍🏾🤝

  • @donaldmaziku7915
    @donaldmaziku7915 ปีที่แล้ว +6

    Ni sahihi rais ndiye uhidhinisha, maana utaratibu huo ulianza kwa mwendazake. Kila siku tunasikia mama katoa pesa za .....na hajawahi kukanusha. Leo ikionekana upigaji eti awekwe pembeni? Spika ni chawa anajaribu kupaka mafuta kulinda tumbo lake, anakumbuka kilichompata ndungai.

    • @saburikilonzo2593
      @saburikilonzo2593 3 หลายเดือนก่อน

      Haukuanza Ila ulijuwepo kwa mujibu wa katiba na kanuni za fedha. Hata jpm aliukuta.

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 ปีที่แล้ว +5

    TRAP na TRAC una bahati mbaya sana na Spika wa sasa

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola7512 ปีที่แล้ว +7

    Raisi anajua hayo malipo haiwezekani akose kujua, Mwigulu Yuko sahii mama alikuwa anajua hizi pesa

  • @rashidchimwenda
    @rashidchimwenda ปีที่แล้ว +10

    Mimi sio mwanasheria. Ila hili suali la Mh Olesendeka ilikuwa ni ya kimtego sana. Ilihitaji mtu mwenye elimu ya kutosha ya sheria na uwezo wa kuikokotoa na kuinyambua na kuinyambulisha kama Dr. Tulia. Nampongeza sana Dr. Tulia kuliweka sawa. Nadhani Mh Mwigulu anajambo la kujifunza juu ya namna nzuri ya kujibu maswali yake.

    • @gililwise
      @gililwise ปีที่แล้ว +1

      Kabisa huyo Jamaa wa kinyiramba hafai kwenye hiyo nafasi ni kilaza kwa kweli

  • @innocentchuwa5269
    @innocentchuwa5269 ปีที่แล้ว +6

    Mimi naona nibora ujiuzulu mwenyewe Kama hautaki utaondoka kwa nguvu ya Mungu

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hiyo wanamchomekea na yeye anasign bila kujiridhisha, Magu alikuwa anakesha na mafaili...ndio maana..

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว

      Yeye anazunguka kukopa,wenziwe Wana piga tu😏

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 ปีที่แล้ว +1

    Akiongea Mwigulu kuwa kabla ya tar 10 anaomba kibali,wabunge makofi.Spika akifafanua kuwa Rais hahusiki kwa mjibu wa katiba kuidhinisha malipo wabunge makofi.Mmenichanganya

  • @edinalihedule7609
    @edinalihedule7609 ปีที่แล้ว +12

    Mama mtoe huyo mtu hicho kiti hakiwezi jamani 😭😂

    • @majutokihaka9644
      @majutokihaka9644 ปีที่แล้ว +1

      Ifike mahali tuwe wakweli mwigulu achunguzwe kuhusiana na malalamiko yaliyopo wizara ya fedha mmmh.....

    • @majigedioniz8049
      @majigedioniz8049 ปีที่แล้ว

      Mama mwenyewe ananufaika na upigaji wa mwigulu ataanzaje kumutoa

    • @punnamalaba4445
      @punnamalaba4445 ปีที่แล้ว

      Wamnyang'anye hiyo kazi ,huyo

  • @saburikilonzo2593
    @saburikilonzo2593 3 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu pamoja na udaktari wake duh!!! Mbona kujibu maswali dhoful hali😂😂😂kazi ipo kweli, hapo bila Dr Tulia sijui

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 ปีที่แล้ว

    TRAB NA TRAT acha kabisa kumhusisha Mama kwenye uozo wenu. Mimi nadhani kama kuna ongozeko ambalo halikuwa kwenye mkataba na sio justifiable kwanini lipelekwe kwa Raisi. Watendaji mlipaswa kuputia hilo ongezeko na kuchuja chochote kilicho nje ya mkataba. Kwanini mkubaliane na kila ongezeko??

  • @mjunikiobya
    @mjunikiobya ปีที่แล้ว +2

    Mwigulu kaongea kiprofessional siyo kisiasa

  • @HassanShehiza-li9dm
    @HassanShehiza-li9dm ปีที่แล้ว +8

    Mh spika wa binge upo vzr Sana mungu Akusimamie katika kazi zako hongera sana

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 ปีที่แล้ว +25

    Nashauri, watumishi wa umma wanapokiuka maadili ya kiutumishi na ikaonekana kuna ubadhirifu "wataifishwe mali zao".

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kufanya hivyo ndio kungepunguza kiasi fulani wizi wa fedha za umma,,,,

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว +1

      Kweli
      Kuhamishwa,ni kuhamisha maradhi 😳😏

    • @nhoutyeddycole7506
      @nhoutyeddycole7506 ปีที่แล้ว

      Unahisi mali zao zinatosha kufidia kias cha ubadhilifu.acha wivu .sheria ipo wazi

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 ปีที่แล้ว +3

      @@nhoutyeddycole7506 itasaidia wengine kuwa na hofu
      Sasa kuna wivu kwa watu wanakula pesa yetu 😳😳😳😳😳😳

    • @festomlowegypsum8214
      @festomlowegypsum8214 ปีที่แล้ว +1

      Naunga mkono hoja

  • @philemonokesh5935
    @philemonokesh5935 ปีที่แล้ว

    Ajiuzulu tu Huyo.
    Hiyo nafasi ya uwaziri wa Fedha imemshinda.
    Tena asirudie kumpaka RAIS wetu matope,
    Eti mama anajua.

  • @philemonokesh5935
    @philemonokesh5935 ปีที่แล้ว

    Sijaririshwa na maelezo ya waziri wa Fedha alivyoitetea hoja ,
    Utetezi wake waurizishi kabisa.
    Nashauri kamati ya uchunguzi iteuliwe kufanya uchunguzi.
    Na takukuru wahusike ktk sakata hili.

  • @deogratiasrugangila3100
    @deogratiasrugangila3100 ปีที่แล้ว

    Imedhihirika ki ukweli yeyote aliyetiliwa shaka na kuondolewa na JPM wamekuwa waborongaji kweli kweli, wanamuangusha Rais wetu Jamani hakuna wengine????

  • @FaridaJames
    @FaridaJames ปีที่แล้ว +6

    Mwiguru, Samia, wote mafisadi,kwasababu hata kwenye teuziyake alisema,nimemchagua kwa sababu anapenda pesa kwa hiyo Hawa wote wanajuana

    • @guugug9gt829
      @guugug9gt829 ปีที่แล้ว

      Umeongea point mpenziwanguuu ndiomaana samia hataki kumtoa mwigulu

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaaaaa.

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 10 หลายเดือนก่อน

    Kwann Tulia Alain unamtengenezea huyo Mwigulu njia ili ajitetee vizur? Kwann unampa njia nyepes apite Aise unazngua sana! Mwache ajikanyage mwenyew kwny matapish yake aliyoyaptapika kabla ili umnase

  • @idrisasimba8501
    @idrisasimba8501 ปีที่แล้ว

    JAMANI MAVUNO YA MCHELE YAPO MBIONI PLEASE PLEASE PIGENI MARUFUKU KUUZA MCHELE NJEE GHALA ZIPO TUPU HUKU WAFANYABIASHARA WANASUBIRI WAPELEKE MCHELE UGANDA KENYA RWANDA SUDANI NA BURUNDI PLEASE TUNAWAOMBA MZUIE MCHELE USIENDE NJEE MAANA MWAKA HUU TUMETESEKA SANA .

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona tanzania atuna uaba wa wachumi kama tunao tunao ambao Awaaminiki sio wapiga dili ndio maana awapati nafasi kuinusuru nchi yetu ni kumurudisha mzee izidoli mpsngo kwani mwiguru sio mchumi wa kulitoa taifa wala mshauri wa uchumi yeye ni mshauri wa kuuza kilichopo na kukopo au tukodi waziri toka nje

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 ปีที่แล้ว +4

    Ndio mana JPM aliamua kufanya mambo KWA amri yake mwenyewe maana alikua anajua mijitu inapo pigia pesa nyingi.ila tu itoshe kusema mwigulu hatoshi kwenye hio wizara na kama ni kuwaroga wanao mteuaga alisha faulu akafaulu tena kwenye urogaji wake😬😬😬

  • @HermanSasuri-tu6we
    @HermanSasuri-tu6we ปีที่แล้ว

    Waziri Mwigulu Tunaomba uachie ngazi ,pamoja na pesa kutoka kwa Rais ,wewe ndo mpokeaji wa pesa na unafanya yote hayo katika ngazi za utekelezaji maana mambo yote yanatoka kwako .

  • @RyobaWambura-j8b
    @RyobaWambura-j8b 3 หลายเดือนก่อน

    mwigulu anamkozi watanzania wengi hatumpendi hata wabunge hawamtaki majinga hawamtaki halafu huyu ndie anayepunguza kula za rais eti aligombea urais ndio tungekua na rais gani hatufai sisi watanzania

  • @rubyring100
    @rubyring100 ปีที่แล้ว +1

    Rais ni Kiongozi mkuu siyo mwenye nchi! Mwenye nchi ni Wananchi... tuwe waangalifu na hizi narratives tunaziunda

  • @chemistlaizer6562
    @chemistlaizer6562 ปีที่แล้ว +2

    Rais ameshakataa wasaidizi wake kukimbia majukumu yao na kushindwa kuitetea serikali. Hakuna cha kusema fulani ndio anahusika. Waziri ni ngazi ya juu ndani ya serikali. Anatakiwa kutoa maelezo kwa kujihusisha yeye(waziri) tu.

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob ปีที่แล้ว

    Halafu Dr. Mwiguli uwe unajua kutofautisha. Rais hana nchi wenye nchi Ni wananchi, Rais yake Ni serikali

  • @hassanmohammed4891
    @hassanmohammed4891 ปีที่แล้ว

    Kwani Mama anasubiri Nini kumtoa huyu mwigulu kwenye hicho kiti apelekwe kitengo kingine hata ukuu wa wilaya huko ama mtendaji wa kata akajifunze upya 😏

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 5 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu maneno yamemponyoka kaweka wazi kuwa wizi mkubwa unaotokea ni kwa idhini ya Rais manake wanamtumia mwigulu kuiba yaani wanaiba wote.,,kwishenei

  • @kassimrajabu56
    @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว +13

    Mm Mwigulu simuelewagi kabisa.

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 ปีที่แล้ว

      Hata chembe

    • @kassimrajabu56
      @kassimrajabu56 ปีที่แล้ว

      @@petermwacha9909 ana dharau sana jamaa,anajiona yy ndo msomi kuliko wote

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +1

      Hatumelewi wengi na yeye anaona kwa kuwa ni msomi wengine hatuelewi kwa kuwa hatuna akili za kuelewa

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 ปีที่แล้ว

      @@hadijamandanje6189 Nimekuelewa sana Hadija.
      Kwa darasani ni kweli jamaa ni mkali namfahamu. Ila katika utendaji ndiyo ana shida na kudhani sisi ndiyo tuna shida.

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +1

    Hakika hawa mawaziri wa fedha ni kwa nini huwa wanachelewesha malipo ya fedha kwa WAKANDARASI katika miradi mbalimbali na kuisababishia serikali yetu HASARA KUBWA SANA kama PENALTI ya kucheleweshewa MALIPO ya FEDHA ZA MIRADI, UKWELI TUNAUMIA SANA sisi watanzania kwani ni JASHO LETU NA DAMU YETU WATANZANIA !!!

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 10 หลายเดือนก่อน

    Nchii inaitaji viongozi wenye kumuogopa mungu nakuweshim binadam wengne uongo hata ujibu vip unaonekana two

  • @abbas.h.saydy.3991
    @abbas.h.saydy.3991 ปีที่แล้ว +1

    Yawezekana kabisa PENALTI MONEY zinazopatikana huwa ni zao hao WIZARANI, tunaumia sana jamani kuweni waadilifu japo kidogo!!!

  • @salamathiastz274
    @salamathiastz274 ปีที่แล้ว

    Kama watu umewateua wakasabisha hasara yote hiyo bila kiongozi uliyewateua kujua hatua zilizochukuliwa ni zipi?

  • @nyamwekomatoke9951
    @nyamwekomatoke9951 ปีที่แล้ว

    Huyu mwigulu Mimi simuelewi
    Naona anajichanganya tu
    Maelezo yake inaonyesha hata yeye anahusika kbs Katika wizi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 ปีที่แล้ว

    Mmeona wenzenu kotoka bara wanavouliza masuali wabunge kutoka zanzibar mnawawasikia wenzenu unasikia rahaa wanavouliza masuali

  • @chloecallie3619
    @chloecallie3619 ปีที่แล้ว +19

    Kwa kweli Mwigulu hutoshi kwenye kiti chako. Spika big up to you

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Hiuyu.waziri.anacheza.na.na.akili.za.wtz

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Mama. Tumbua. Hawa

    • @kabulukimati
      @kabulukimati ปีที่แล้ว

      Spika.nakuelewa.saaana.ubarikiwe

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 ปีที่แล้ว +13

    Waziri wa fedha awajibike

    • @majutokihaka9644
      @majutokihaka9644 ปีที่แล้ว

      Hawa ndio wanakuwa na maslahi binafsi hata anavyo jibu tu maswali yanayo husu wizara yake miuwa simuelewi anatosha kweli uyu !

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli tu ndo alijua kupambana na mafisadi. Huyu hana huo uwezo. Anasubiri mafisadi watupishe watoke maofisini! Wewe unadhani hilo linawezekana kujitoa wao wenyewe na kufunga mizigo bila kutolewa? Huyu mama sijui anakwama wapi? Hakujifunza lolote kwa Rais Magufuli? Mama fanya kazi, hizi sifa unazopewa za "mama, mama, mama" hazisaidii. Tunataka kuona kazi inafanyika kama ilivokuwa kwa Magufuli. Siyo washenzi wachape pesa zetu alafu na wewe unajiunga nasi kulialia.

  • @dmox8723
    @dmox8723 ปีที่แล้ว

    Wanaoharibu Tz ni mawazir, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kama vp wasiwe wanateuliwa na RAISI nao wapgiwe kura na wananchi maana tukiaza kuwapigia kura watakua na adabu

  • @kennedkaaya5998
    @kennedkaaya5998 ปีที่แล้ว +1

    Ipo siku mwigulu atamshauri mama wauze mlima kilimanjaro ili wapate ela ya kuendesha serikali..uyu jamaa sio mbunifu kabsa kiukweli

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 ปีที่แล้ว

    Et mwenye nchi khaaa kwani mwenye Nchini nani hahahaha , mtaan Kuna kamsemo hvi mama anaupiga mwingi kumbe wapigaj mpo kimya???

  • @MwanduMachiya
    @MwanduMachiya 3 หลายเดือนก่อน

    Mwigulu,anamhalibia raisi kwenye mamichango, anavuluga Sana anatamaa Sana,

  • @paulmakoye-dp4eq
    @paulmakoye-dp4eq ปีที่แล้ว

    Jipu hilo lilishakubuhu ili kutibu aliyelibeba anastahili kunyongwa maana anamshahara lakini hatoshi walipakodi hatutaki kumuona

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 ปีที่แล้ว

    Huyu waziri kimaaadili tu ukishakuwa unahisiwa Tena na mhimili kama huu na kulitumia jina la mkuu wa nchi kutiliwa mashaka ningekuwa Mimi rais nakutoa siku hiyohiyo

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 ปีที่แล้ว

    Kwanini huyu Mwigulu hakamatwi.? All the body language speaks it all

  • @twisilemwabukusi4981
    @twisilemwabukusi4981 ปีที่แล้ว +21

    Hongera saaana Mh Spika. Kweli umeiva kwenye Sheria. Umevaa kiatu na kimekutosha. Kwa kweli binge limempata Spika. Big up sana Dr. Ujaliwe maisha marefu, afya njema na mafanikio zaidi.

  • @januwako8030
    @januwako8030 ปีที่แล้ว

    RAISI HAWEZI KUWA MUIDHINISHAJI HARAFU TENA ASHANGAE NA KUTUKANA,HAPO KUNA NAMNA.AWAMU HII UFISADI NA WIZI UMETAMALAKI.

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka ปีที่แล้ว

    Nyie wenyewe ndyo mlianza kusema rais anatoa pesa badala ya serikali ni kweli wote ni mafisadi hakuna aliye msafi

  • @albertomlelwa
    @albertomlelwa ปีที่แล้ว

    Shikamoo mh sendega nakujua vema kweye kuwanyosha wapotoshajji tang uko mkuu wa mkoa njombe

  • @henrychacha5592
    @henrychacha5592 ปีที่แล้ว +8

    Mtani wangu Dish limeyumba kwa mara nyingine tena !

  • @charlesmafwimbo5588
    @charlesmafwimbo5588 ปีที่แล้ว

    Hivi kwa Nini mwigulu asijiuzulu? Hizo kashfa zote hazioni au ya ya ya ya ya ya yaaa ya ya yaaa

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 ปีที่แล้ว +2

    Ingekuwa nchi zilizoendelea waziri wa fedha angeshajiudhuru. Lakini nchi zetu hizi za kiafrica hasa tanzania wanalindana!

  • @michaelkitundu1489
    @michaelkitundu1489 ปีที่แล้ว

    Kama nitaeleweka naomba mama amtoe mwiguru ana anachokifanya kama hatomtoa itakua niuongozi wa kupeana.

  • @tabasamu-lk8xy
    @tabasamu-lk8xy ปีที่แล้ว +3

    laana ya kuwatukana watanzania waende burundi mara unawaita wabunge wenzako waganga wa kienyeji kama alivyo mbunge wa Igalula mh venant, mh katani alisema mwigulu ana academic arrogance ndio maana unajikuta unamtaja hadi rais kuhusika na wizi wako mtaendelea kutajana mmoja baada ya mwingine na wallah nakuhakikishia mwigulu laaana hiyo ya watanzania itakutafuna sasa na hadi akhera....

    • @rehemafungo7387
      @rehemafungo7387 ปีที่แล้ว

      😂

    • @punnamalaba4445
      @punnamalaba4445 ปีที่แล้ว

      Hili ni jizi miaka yote, linaanza kumwingiza rais kwenye wizi wake, huna aibu wewe iba sana
      Mungu anskuona trap wewe unajulikana kwa watanzania wote kwa wizi ,

  • @geofreynyigo-qy1hu
    @geofreynyigo-qy1hu ปีที่แล้ว +12

    Spika hoyeeee

  • @voisaclassic1866
    @voisaclassic1866 ปีที่แล้ว

    Rais magufuli toka atutoke nchi imerudi kule kule kwenye ufisadi

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 ปีที่แล้ว +2

    Rais alikuwa anafahamu hela za kimarekani milioni 37 lakini hii iliyorudi ya 86 na mtoa invoice kutaka ilipwe haraka haraka na serikali ndio wanatafutwa hao wachawi walioichepusha na kufikia 86, lazima watatajana tu

  • @rahma6189
    @rahma6189 ปีที่แล้ว

    Huyu waziri hafai ila arubaini yake itafikatuu simpendi alisema watu wahamie burundi

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 ปีที่แล้ว +8

    Nchi hii ni ya watanzania wote na ndio maana inaitwa nchi ya wananchi wa Tanzania. Shida yako unakengeuka mara tutaenda Burundi mara TRAB na TRAT na leo umekuja na mwenyenchi. Hakuna msamiati mwenyenchi bali mwananchi au wananchi. Huyu mzee hatoshi kwenye kiti chake labda achunguzwe

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni waziri mzigo hajitambui magufuli alimtumbua...

  • @yasiniyahya
    @yasiniyahya ปีที่แล้ว

    Tusigombane bali tujenge hoja ili tutatue matatizo ktk nchi yetu

  • @BernardMichaelMpombo
    @BernardMichaelMpombo ปีที่แล้ว

    Tanzania nitaznia kuwa hali ingebadilika kumbe shimoni tumetupwa