Dah kweli nimeamin watu wetu wa media mko makini jana mlituwekea kafupi tukalalamika nikiwemo mim hapa niliomba mtuwekee angalau dakika 20 naona mmetimiza hongereni sana kwa kutekeleza maoni yetu
Hongera sana Top score Azizi🔑 NBC hatukudai tena na umeziilisha ww ni nani🔰🔰💚💚 Una deni la CAF CL tunaomba msimu huu mtufanyie jambo kubwa mpk Dunia ishituke
Aziz anatumia robo tu ya uwezo wake aliojaaliwa na mwenyezi MUNGU! Hayuko serious sana akiwa uwanjani na huwa anakosa magoli na kupoteza pasi kizembe sana.
Ilikua rahisi kwa kipa wa azam kuzuia penalt ya aziz maana hata penati zote za nbc kapiga sehemu ileile,,kwa timu zenye video analyst professional ni rahisi kugundua hili
Dah kweli nimeamin watu wetu wa media mko makini jana mlituwekea kafupi tukalalamika nikiwemo mim hapa niliomba mtuwekee angalau dakika 20 naona mmetimiza hongereni sana kwa kutekeleza maoni yetu
Hongera sana Clement Mzize kwa ma-assist ya upendo bila choyo kwa Key Aziz.
Ni hazina ya nchii 🎉
Kweli jamaa nampa mau yake 🎉🎉🎉🎉🎉 clement nho
Hongera sana Top score Azizi🔑 NBC hatukudai tena na umeziilisha ww ni nani🔰🔰💚💚
Una deni la CAF CL tunaomba msimu huu mtufanyie jambo kubwa mpk Dunia ishituke
Lmk
umeona eeh
Gharib mzinga katangaza magoli mengi xana✌👍💛💚
Waoooo,stephan Azizi k mwamba huyu
Vile jinsi naangalia Magoli ya Ki Aziz najawa na furah😂😂😂 Nawaza mwanae na fimilia yake kwa ujumla inajisikia Raha kiasi gani Daaaa Aziz 🙋🙌🙌🙌
Very fantastic player in Africa,,keep it up Aziz K the king of football in Africa 🎉
Mm nilikuwa nasubiri alivyo wafunga simba tuuu😅
Aziz ki yupo vizuri.
Aziz k Stephanie 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻👏👏
#AZIZI K🔥
Ewaaa,sawa sawa tunaomba takwimu za matobo,asante sana azam tv hakika burdan kwa wote hadi walionuna pia.
Asante Aziz 👏🏽
Wa kwanza naomba like
Alistahili kwa kazi aliyoifanya, Daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💛💛💛💛
the best man of the season✅✅✅✅✅💨💚💚💚💚
tunaomba takwimu za matobo😂😂
Kweli watuhesabie Tupate takwimu za matobo
😂😂😂😂acheni utani jamani
😂😂😂😂acheni utani jamani
Kweli na matobo
Ki ukweli hii watupe tu
Magoli ya matobo na matobo yote kwa ujumla please😂😂😂😂😂
👏👏👏👏👏Pongez nyng kwake Mzinze kwa ma asist
Mzize hana baya
Kabisa
Ki master
Aziz anatumia robo tu ya uwezo wake aliojaaliwa na mwenyezi MUNGU! Hayuko serious sana akiwa uwanjani na huwa anakosa magoli na kupoteza pasi kizembe sana.
Congratulations key Aziz
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hizo Viongozi Mnazotaka kumpa Chama Bora Mumuongeze master K wetu
Tupe na assist zake
Kwa kweli Stefano azizik yanga msimwache kwenye usajili awamu hii 2024 Hadi 2025
KI AZIZ🙌
Wow! what A Player
Safi sana 💚💛💚💛💛
huyu azizi ki akiwa serious anaweza kufunga magori mengi sana, naona kama hajatumia uwezo wake wote bado.
Hiiii balaaaa🎉
Masha allah
Hongera kwak
Balaaaa 2pu na msmu huu atakua zaid
🔥🔥🔥
Lakin aziz ki penalty Anapig upande moja
Yanga Bingwa ✅
💚💛💚💛💚
Nice💚❤️💚❤️💚💚💚💚
Yanga damu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyu jamaa anabalaaa🔰🟨🖤✅✅⚽
Wow
azizi ki stephanie
Tuekeeen magoal ya wachezaj woteeee mf max,mudathiri, guede, pacome yaaaaan n mwendo wa kujikumbusha mpaka likizo inaisha
Master kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Asipopewa kiatu chake tutaandamana narudia Tena tutaandamana🙏🙏🙏
Ile ya ranwen william manula ilinifirahisha daaaah
Mechi ya yanga na simba 7 kwa 2 Tunataka full mechi zikiwa kwenye video moja hahhhaha 😂😂😂😂 this is Yanga
The 2023-3024 MVP...
Big profile ❤
best player
Kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii✈️✈️✈️✈️✈️✈️
Mwamba kwel kweli
Allaah Akbar
Hata ukiondoka hauna deni kwa wana yanga amazing player
Tunaitaji highlights ya magoli yote ua yanga 😅
Penalty za Azzk zote anapga upande mmoja😂
hakika yote yanawezekanaaaaa
Master KI
Goli ambalo nimelipenda lile la kichwa goli la jiooooooni nilifurah sana
Mwamba kutoka uwaga dugu vimba2 kii azizi hauna baya apa tz,,
Ilikua rahisi kwa kipa wa azam kuzuia penalt ya aziz maana hata penati zote za nbc kapiga sehemu ileile,,kwa timu zenye video analyst professional ni rahisi kugundua hili
Kwl Kabsa azzk anapenda kupga anapga upande mmoja tu
Na ayubu nae angezuia Sasa 😂😂
💚💚🖤🖤💛💛💪💪
Sema ki apiga penati upande mmj Kam baloteli
Hatar
Huyu kweli ni mwamba kutoka wagadugu
Master ki
Mfalme wa jangwanii
NAYAPA HADHI YA MIZINGA "21" YA HESHIMA KWA Raisi ENGINEER. HERSI. halaaah!...
Key
Tunaomba mtuletee na mechi za yanga zote alizoshinda kwenye NBC
😅😅😅😅😅 Tobo naziona mm tu au na nyie pia
nilikua nasubir tano za simba
Kiii Stephani
Kikubwa ni magoli dhidi ya mskolo😂😂
🎉
Mtu wa maana xana huyu
😂🤣🙌 nimemuona konkoni anashukuru
KUNA TIMU IKIONA HII VIDEO WANABAKI NA KUSONYA WANAISHIA KUSEMA YANGA INA MADENI
Mwamba kabisa
Kweli no sahihi,?
Bado kanzu Alizo piga watu
Asiondoke pls
Matobo tafadhali😂😂😂😂
MATCH NA SINGIDA NDIO GOAL LANGU PENDWA
NIMEBAK NACHEKA MATOBO KAMA CHIZI😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mwamba ni mtu na nusu haswa yani
Alwaatan tunataka na za matobo😅😅😅😅
😅😅😅
Quality ya Aziz k ni kbwa saan
Matobo
Ila lile goli la pili dhidi ya mtbwa 😂
kwan huwez kufunga bila kupiga watu matobo? sifa tu
Ki
Saf Sana💛💚🟢🟡
tupen na takwim ya matobo
Comasava😅😅😅😅
Matob nimangp? nalile la simba msisahau🤪🤪🤪
𝑯𝒂𝒑𝒂 𝒔𝒂𝒘𝒂