🚨Mazito Msimamo Yanga kuhusu Kagoma,Alikamwe atoa kauli tata,kagoma sio level yao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #ahmedally #alikamwe #football #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

ความคิดเห็น • 11

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 7 วันที่ผ่านมา

    Mnakula mb Bure Kila siku acheni ujinga wenu

  • @NahabirJuma-rl2we
    @NahabirJuma-rl2we 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ally kwamwe anazingua sana ana kauli za kitoto

  • @rosenyoni6426
    @rosenyoni6426 7 วันที่ผ่านมา

    Kione wivu umemja kinazeeka kwa unafiki cheki falawewe ngoja ungoke hapo utatembea uchi

  • @abelmirwatu544
    @abelmirwatu544 5 วันที่ผ่านมา

    Jina lake inawezekana lina fanana na tabia yake.

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 7 วันที่ผ่านมา +1

    Anaongelea kuhusu ukubwa wa timu yake na uwezo wa mchezaji na angekuja yanga angenolewa kwanza kabla ya kucheza mechi hata za kirafiki acheni kuweka kauli na maana zisizofaa je hapo mnajenga au mnabomoa na mwenye hasara si mjukuu wenu ni mchezaji mwenyewe je alivyosema dili la yanga halikua na ISHU mlilichukuliaje? Acheni unyambi mchongo kabisa

  • @EndobileHerman
    @EndobileHerman 7 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa Fountain Gate wanawajua yanga? Kama hawa wajui, ina maana mlimsajili mchezaji mwenye mkataba, ambapo ni kosa.

  • @geraldndibinze6837
    @geraldndibinze6837 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ukivuliwa nguo chutama, timu X ishajikanyaga na imevuliwa nguo ichutame tu yaishe, ila hyo kanuni ya hcho wanachoomba timu X sijui ipo wap..? Na pia hyo dhamana ya ku demand hcho kitu kwa mchezaji wa timu nyingine inatoka wap ? Na kwa nani..? Ila anyway tusubir

    • @geraldndibinze6837
      @geraldndibinze6837 7 วันที่ผ่านมา

      Mpira unachezwa kikanuni , sio kibusara au kiungwana au kwa utashi wa mtu , kanuni zifatwe mwenye haki apewe na shauri lisitolewe huko kwenye mamlaka husika

  • @morrisabdon7881
    @morrisabdon7881 7 วันที่ผ่านมา

    kama Kagoma hana uwezo wa kuchezea Yanga, Mbona anachazea Simba?
    Katika ranks, Simba ipo juu sana ukilinganisha na hiyo yanga ( 7th against 13th) au ndiyo yale yale ya kuwa huku Ni mihogo, na wenye akili hawazidi wawili??

  • @natamihambo8077
    @natamihambo8077 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kama sio level ya Yanga tulimtaka wa nini? Tuseme tukiweka akiba ya maneno.

  • @deokibona2835
    @deokibona2835 7 วันที่ผ่านมา

    8:58 kama Yanga hawatambuliki, kwanini kagoma kasimamishwa asicheze?